Visa Vya Mtu Asiyekupenda

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

КОМЕНТАРІ • 161

  • @martinsulle152
    @martinsulle152 3 роки тому +14

    Watu hawa tunao wengi sana na wamesababisha madhara makubwa sana kwenye maisha yetu. Mungu atusaidie kuwatambua na kuweza kuwa nao km inavopaswa

  • @khadijajuma7142
    @khadijajuma7142 3 роки тому +3

    Nilikutana nae aisee, tena ni ndugu yangu wa karibu. Alijua kunichafua kwa ndugu kila mtu akaniona sifai, waliobaki na mm ni ndugu niliozaliwa nao akiwepo Mama ndo walisimama upande wangu ila wengine wote walisambaziwa simu za sumu tupuuu, Alinizushia maneno hadi mm mwenyewe nilishangaa huyu kiumbe mtu au shetani 2017 niliiona chungu mwaka mzima. Nikaamua kwenda mbali ili wasinipate hata kwenye simu ikawa afadhali kwangu. Alinifanya niuchukie ule mwaka loh na sijui kama nitausahau japo kwa sasa nacheka nae ila kanifunza jinsi ya kuishi nae maana kumtenga kabisa haiwezekani ndugu wa karibu sana hata nikimkwepa vip nitakutana nae tu. Ila kwa mda nikiwa nae ameshanifunza nikae nae vip. SINA HAMU 🙌🙌🙌

    • @elbertmutungi7876
      @elbertmutungi7876 3 роки тому +2

      pole sana jitahidi kumsamehe japo najua ni ngumu binafsi ilinitokea mwaka 2018 nikiwa nafanya mitihani ya mwisho ya chuo huyu ndugu tumeshea mama ila baba tofauti alijaza familia nzima uongo hadi mama aliamini nilitikanwa na ukoo mzima hasa upande wa mama ndugu mmoja tu ndie alie kataa hayo maneno na kupinga mwingine alie ni kua upande wangu ni bibi huezi amini mpaka leo sijawahi fika nyumbani sina hamu ingawa wao wanaanza kunitafuta najiuliza hivi hawa ni watu au mashetani kiukweli inataka moyo hamna kitu kibaya kama kuumizwa na ndugu

    • @khadijajuma7142
      @khadijajuma7142 3 роки тому

      @@elbertmutungi7876 Mm nishamsamehe, nawe wasamehe pia ndo binadamu walivyo wanabadilika hadi unashangaa wakati hana uhakika na hicho kitu kiukweli inauma ssana.Mm nilienda mbali akaniambia hata ukiondoka ipo siku utarudi na utaongea vizuri 😁😁nikamwambia sawa. Nimerudi baada ya miaka 3 ,nikakuta yuleyule tena kawazushia wengine kati yawalionichukia, wakavurugana weee mwisho narudi kila mtu, ETI SAMAHANI BHANA FLAN NDO ALITUJAZA UONGO KUMBE, NIKAWAAMBIA MMEAMINI VIP KAMA UONGO WAKATI MM HAMKUNIPA NAFASI YAKUONGEA, ETI SI KUMZUSHIA FLAN NA FLAN HIVI NA VILE WAKATI SIO KWELI. NIKABAKI KUCHEKA ILA WAMENIFUNZA WOTE NIISHI NAO VIP HATA WAKINICHEKEA.

  • @marymamntine1909
    @marymamntine1909 3 роки тому +7

    Nimejikuta nalia tu na bora nilie uwa napunguza uchungu.. Hawa watu kunamda uwa wanatuumiza sana

  • @daniellepari4525
    @daniellepari4525 3 роки тому +2

    Ahsante sana ndugu jeol Nanauka kwa ushauri wako mimi binafis ishawahi kunitokea kwa hilo nakushukuru sana maana umenipa nguvu💪 ya kuangalia belle saidi nikutakie maisha marefu enye uzima ndaniake

  • @msetotv4448
    @msetotv4448 3 роки тому +6

    Yan spend kucoment kitu mdandaoni ila leo nimeona tu nikoment hakika @nanauka umezungumza jambo ambalo lipo lipo na limejaa katika mazingira yetu ila hakimu ni Allah

    • @asyaasya3766
      @asyaasya3766 3 роки тому +1

      Ndio hakimu ni Allah ndugu, sote yamutukuta haya 😭

    • @msetotv4448
      @msetotv4448 3 роки тому

      @@asyaasya3766 maisha ni mapito tu tunapita

  • @asyaasya3766
    @asyaasya3766 3 роки тому +3

    Mmh Kaka Joel somo la leo nimenigusa mnoo 😭😭😭umenikumbusha mbali niliwai kua na rafiki mbwa mbwa kama huyo yani alinitendea hayo yote uliyoyaongea hajaacha hata kimoja alinisababishia ndoa yangu kuvunjika nilipoteza watu muhimu wengi kwenye maisha yangu kwa sababu ya huyo kikulacho alikua anangata na kupiliza nilikuja kumgundua nimeshaharibikiwa

    • @nurukwilabya2790
      @nurukwilabya2790 3 роки тому

      Mi ni mdogo wangu wa tumbo Moja mpk aliwahi kumuambia baba mi sio mtoto wake, nimweupe zaidi

  • @josephkipangula2835
    @josephkipangula2835 3 роки тому +2

    umeongea maisha yangu brother, na nimejifunza mengi....thanks a lot

  • @juliethswai4263
    @juliethswai4263 3 роки тому +3

    nyumba za kupanga kaka. mtu hujawahi kumkosea lakini from no where anakuletea visa. mara umsalimie asiitike, mara afunge maji kwenye koki yako...mara unapaki unakuta ametoboa tair pancha dah...

  • @kingyehoshafatitvbornerys2496
    @kingyehoshafatitvbornerys2496 3 роки тому +1

    Joel nakubal kazi yako.....natamani nikupigie simu tuongee

  • @officialmbeyaone3572
    @officialmbeyaone3572 3 роки тому +2

    Sijui hatanikwambie nn inatosha kukuambia unatisha

  • @stellakimario4607
    @stellakimario4607 3 роки тому +1

    Ni kweli kbs kaka nachukiwa kisa2 Niko karibu na mtu anaetaka awe nae karibu

  • @subiraadam2322
    @subiraadam2322 3 роки тому +1

    Hakika Mungu azidi kukulinda uendelee kutumika umefanyika Baraka sana

  • @eliasbufula2482
    @eliasbufula2482 2 роки тому

    Asante SANA, Mimi hii nilishakutana nayo kama ulivyoielezea utadhani kwamba nilishakutana simulia, nilifanyiwa na rafiki yangu kabisa hivyohivyo kama ulivyoeleze sitasahau.

  • @nursechunga4470
    @nursechunga4470 3 роки тому +1

    Hawa watu tunao kwenye jamii yetu, Mungu atusaidie namna ya kuishi nao. Asante kakangu.

  • @gracekitumi5535
    @gracekitumi5535 3 роки тому +1

    Ni nilimwamini rafiki Sana nikamkopesha fedha nyingi na hakunirudishia amedhulum.

  • @peteryukunda9239
    @peteryukunda9239 3 роки тому +1

    Majumbani mwe2 2po & haya mashetwani,nayapa pole.

  • @peteryukunda9239
    @peteryukunda9239 3 роки тому +1

    Kuna yalocngizia bint wa watu,acha Mungu awalipizie,yalitoa macho km yamebanwa kwa mlango.

  • @anthonsanga9029
    @anthonsanga9029 3 роки тому +11

    Kaka joely una phd ya sphysicology nakubr kaz zako

  • @billshinedc4918
    @billshinedc4918 3 роки тому +2

    Nimejitahidi kusikiliza motivation speaker wengi sana ilaa kaka joel upo juu, content unayoandaa na jinsi unavyofanyaja presentation uko vizuri sana....you are intelligent man .Thanks for good sms@@ from India

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  3 роки тому +1

      Ahsante sana kwa mrejesho. Tuendelee kujifunza na nisaidie kushare na wengine ili nao wajifunze pia.

    • @billshinedc4918
      @billshinedc4918 3 роки тому

      @@joelnanauka usiofu hiloo

  • @user-gn9is3sm4u
    @user-gn9is3sm4u 8 місяців тому

    Asante sana kaka ulichosema Kiko sahihi kwenye jamii ilio tuzunguka Tena Kwa watu wa karibu kabsa.

  • @matrugnawangaeli4815
    @matrugnawangaeli4815 2 роки тому

    Hapo, hapo ndipo nilipo mimi mwenzenu nashangaa Mara kwa Mara nasikia vitu ambavyo havifanani kabisa nami bali siwezi kujitetea. Na Kama ulivyo eleza Niko kwenye mchanganiko fulani hivi. Na hicho ndicho kinaniumiza zaidi. Nauhakika kwamba, una kitu kimepita hapo katika na ukiniuliza, leali sinajibu. Kilicho balia mi kuzungumza na Mungu wangu. Kwani wewe hunitoa katika misukosuko wote. Namshikuru na kuminua ili nipate mpumzika.

  • @abdirizakrashid726
    @abdirizakrashid726 3 роки тому +2

    Tatizo kubwa baadhi sisi binadamu tunaishi katika maono ya shetani,uovu na chuki binafsi ni tatizo hapa dunia,somo hilo nifundisho kwa binadamu wote wa mataifa mbali mbali hapa duniani tuwe na huruma na imani ya mwenzimungu.

  • @nuliatbaraka6350
    @nuliatbaraka6350 3 роки тому

    Yaani hayo ndo maisha niliyoishazoea kwa tabia zote hizo ila nashukuru nilishatambua kuwa ananichukia sana kwani najitambua na kufichua ubaya wa ndugu zake kwa hiyo inamkera sana pia mbinafsi hivyo anatafuta kila njia ya kunidhoofisha nijione mimi.ndiye mkosaji kaka you vizuri hujapoteza point 👍

  • @felixjoachim9482
    @felixjoachim9482 3 роки тому +4

    Nimekuelewa sana kaka joel

  • @vailethbasil2260
    @vailethbasil2260 3 роки тому +1

    Yalinikuta lkn namshukuru Mungu alinifunulia kabla japo kuwa sikuelewa nikaendelea kuomba . nikaja kugundua kuwa alinisingizia,na kunisemea ya uongo kwa watu muhimu

  • @angeliquekalenga5131
    @angeliquekalenga5131 3 роки тому +2

    Kama una mtu wa namna hiyo na yeye ndio kila shida yqko yuko mbele utafanya je.
    Asante

  • @happytrina464
    @happytrina464 3 роки тому +1

    Kweli kabisa asante sana ndugu yetu kwa mafunzo mazuri

  • @AkitakaHuwa
    @AkitakaHuwa 9 місяців тому

    Kweli nashukuru sana tusaidie sasa vipi tuwaepuke maana wanauzi vibaya maana wakati mwingine nashindwa hata kujizuia maana wengine watu kama hao ndio wamenizunguka maana kama vile ulikuwa unanishauli mimi

  • @jescadeogratias5292
    @jescadeogratias5292 3 роки тому

    Mm kwangu hawaishagi, kazin mpaka nikaachishwa Kaz, biashara hawakosekani wakuzua , kwenye mahusiano ndio ilikuwa balaa tupu Hadi leo, nilikuwa nalia kila siku, Ila imenifundisha kujiamini, kujisimamia mwenyewe na kutowekea maanani na kufanya Yale naona yatanipigisha hatua ya kwenda mbele. Asante sana Joel, nakufuatilia sana na unanitengenezea misuli ya maisha

  • @happymakambi233
    @happymakambi233 3 роки тому +1

    Yaan hii usiombe awe mke au mme wako,utajuta dunia nzima

  • @daudiingson4674
    @daudiingson4674 2 роки тому

    Kaka uko sahihi kabisa nimechafuliwa jina langu mpaka coni umuhimu wa kupanda daraja

  • @msalaba6768
    @msalaba6768 Рік тому

    Kaka ujawai kunigusa kama leo yaani umeongelea Ninachopitia kabisaaa daa Acha nisiseme sana,ila niseme hivi. Mungu amekuleta duniani kwa ajili yangu.
    Naomba ulete sasa dawa kwamba huyu mtu kaisha nihabia jina kwa watu muhimu na amefanikiwa. Kaisha tengeneza uzishi juu yangu na amekubakiwa ... Sasa mimi nifanye je sasa.

  • @phaustinegodfrey4056
    @phaustinegodfrey4056 3 роки тому +2

    Tunajivunia uwepo wako Tz

  • @fedharmmark6398
    @fedharmmark6398 3 роки тому

    Nimejifunza mengi sana kwa miaka 4 maana nilikuwa naamini sana watu kirahisi ila nikajuwa kukosea mara moja halafu badala ya hapo unakuwa mwalimu wao, ahsante Brother kwa kubadilisha kwa vingi Ubarikiwe sana 🙏💪🏆

  • @salimramadhani5237
    @salimramadhani5237 3 роки тому

    Pesa nzuri jaman,,,huyu Nanauka siku hizi anang'aa yaan hazeek leo wala kesho ndo kwanza sura ya ujana inazid kumkaa

  • @innocentminja7304
    @innocentminja7304 3 роки тому

    Ni kweli kaka ulicho kifundisha hapo upo sahihi kbs yanatokeaga kwenye maisha yetu ya kila siku.
    Na pia kuna baadh ya mambo ambao yaliyonitokea kwny maisha yangu kwa watu ambao nilio waamini nilidhani wananipenda kumbe sio hvy nilivyodhan mm hapo mwanzo.
    Hao naweza kusema ni zaidi ya nyoka ambaye mwenye sumu kali.

  • @jenifamtima9325
    @jenifamtima9325 3 роки тому +1

    Waopo, kazini, shuleni, chuoni, mtaani, familia hata katika mausiono wapo saana tu.

  • @rizikinaftary8105
    @rizikinaftary8105 3 роки тому

    Kaka hichi kitu kimewahi nikuta kiasi kwamba siwezi elezea Kama asingesimama mungu pengine ningekuwa jela lkn ashukuriwe Sana mungu aliyetenganisha Nuru na Giza kwamba haviwezi Kaka pamoj . Kaka mm nakuelewa zaidi ya unavyoweza kuwa unajua ww na umenijenga na kuniimarisha Sana kwa Mambo mengi especially kwenye nidhamu ya pesa

  • @mundiajamesfurahia477
    @mundiajamesfurahia477 3 роки тому +1

    Thank

  • @jumamabruck7846
    @jumamabruck7846 3 роки тому

    Binafsi yamenifika ila sijibu mtu huo muda kwangu ni mdogo na mchache....alafu nazidi omba Mungu nizid kunyoosha mambo yangu........wao waongee Allah ajaalie..

  • @enockaward7346
    @enockaward7346 3 роки тому

    AWA watu tunao sana wanatuharibia had kazi zetu ata uwasaidie vip lakin bd wanaifu na na mafanikio yetu

  • @maryamsaid1307
    @maryamsaid1307 3 роки тому +1

    Asante Sana bro hio n kweli kabsa

  • @aminamstumi416
    @aminamstumi416 3 роки тому +1

    yeah its true mbona watu hao wapo wengi...

  • @emanuelkitomary1124
    @emanuelkitomary1124 Рік тому

    Dah Hawa wapo kweli.thank you bro

  • @josephmallya1299
    @josephmallya1299 3 роки тому +1

    Kaka wee ni nomaa sanaaa,nimekuelewaaa mnooo

  • @mwajumamwishehe2743
    @mwajumamwishehe2743 3 роки тому +3

    Asante sana kakangu ninayo huyoo mtu yanii ni shida

  • @balloondecorationtz3190
    @balloondecorationtz3190 3 роки тому +3

    Ni kweli kabisa. Maisha ni mapambano nipo uku nchi Za kiarabu nafanya kazi changamot kubwa ni wahindi wafanya kazi wenzangu inshort hawatupendi sisi tunaotoka africa, inafikia kipindi mpaka boss analishwa uwongo mpaka anakuwa anakuchukia kwa vitu ambavyo havipo. Ni mengi sana yakuongea na tunayoyapitia uku ila mungu ndie mjuzi wa yote.

  • @Mkaambali
    @Mkaambali 3 роки тому +1

    Asante

  • @esthermikoma9800
    @esthermikoma9800 3 роки тому +1

    Asante teacher

  • @maseiafricano1250
    @maseiafricano1250 Рік тому

    Certainly I quite agree with you teacher

  • @samsungoman5626
    @samsungoman5626 3 роки тому +1

    Asante kwa somo nzuri

  • @olivermfinanga1268
    @olivermfinanga1268 3 роки тому +2

    😭😭😭😭kwa upande Wang Dada yng na mdogo ang wananichukia jmn 😭

  • @janicejohn62
    @janicejohn62 2 роки тому

    Ni kweli kabisa Joel

  • @swalhaomar162
    @swalhaomar162 3 роки тому +3

    Asante kwa mafundisho

  • @juniorkakudji3478
    @juniorkakudji3478 2 роки тому

    Kweli

  • @mubarakarashidi1228
    @mubarakarashidi1228 3 роки тому

    Asante broo nimeshea vidioo hii wengi tyupate elimu hii

  • @lavieestbelle3263
    @lavieestbelle3263 3 роки тому +1

    Nikwelikabisaa mi yamenikuta kwa kiongozi wangu wa kazi

  • @Aviero_07
    @Aviero_07 3 роки тому +3

    FANYA UJE KIONGOZI... 🔥

  • @goalhall
    @goalhall 3 роки тому +1

    Ahsante sana role model

  • @nchimikajoseph4862
    @nchimikajoseph4862 3 роки тому +1

    Kweli kabsa yamenikuta last week

  • @farajamkuchu8458
    @farajamkuchu8458 3 роки тому

    Asante kk

  • @jeanbb1385
    @jeanbb1385 3 роки тому

    Asante sana

  • @deusdedithsalama8234
    @deusdedithsalama8234 Рік тому

    Kuna mtu alitumia udhaifu wangu alinitesa Sana nilivyojua chanzo wala sihangaiki nae tena

  • @GianaPallangyo-yf3eq
    @GianaPallangyo-yf3eq 6 місяців тому

    Barikiwa sanaaa

  • @Aviero_07
    @Aviero_07 3 роки тому +1

    NGULIIIIIIIIIIIIIIIIIIII ❤️... ABDULHALIM FROM ZANZIBAR....

  • @adijarichard8571
    @adijarichard8571 2 роки тому

    Sawa

  • @francismtaki5979
    @francismtaki5979 3 роки тому +2

    Kabisa Kaka

  • @alfredjohn5693
    @alfredjohn5693 3 роки тому +1

    Atakukumbushia makosa yako,,,, kweli bro ubarikiwe nimekukubali

  • @swdaalii6892
    @swdaalii6892 3 роки тому +1

    Upo sahihi brother

  • @auntiemylee3157
    @auntiemylee3157 3 роки тому +1

    Ahsante sana kaka ninao kibao

  • @neemarajabu9432
    @neemarajabu9432 2 роки тому

    Yani ayo mambo yametokea kama wiki,yani kunamtu alinifanyia visa adi nikaona niame,yote uliyoelezea kama ulikuwepo,ila masomo yako yananipa ujasili mimi nimtu niliyekuwa sina ujasili,na nilikuwa mwenyeofu ila sasa siyumbishwi ubarikiwe

  • @mikeonesmo285
    @mikeonesmo285 3 роки тому

    You're very smart my brother, UE enlighten me so much sipend kucoment lakin but nimejikuta leo

  • @givenabasy3926
    @givenabasy3926 3 роки тому

    Hiyo uko sahihi kabisa ,ubalikiwe

  • @RoroRoserororo
    @RoroRoserororo 3 роки тому +1

    Mmmmh umefunza yaliyo nikuta kila wakati

  • @farhadkusupa4399
    @farhadkusupa4399 3 роки тому

    Somo zuri joel wapo maofisini watu hao tuwe makini tuchape kazi.

  • @aidanmbilinyi8184
    @aidanmbilinyi8184 3 роки тому +1

    Wengi San iyo ya kwanza ya pili n ya mwsho

  • @safiyasafiya5014
    @safiyasafiya5014 3 роки тому

    Nakushkuru sana sana

  • @williamdavis1749
    @williamdavis1749 3 роки тому +1

    Asnte brother

  • @hebeye
    @hebeye Рік тому

    Kaka aisee hii hali ndoinanikuta sasa hivi kazini kwangu mpaka nashindwa nifanyeje ndugu yaan kila ninachofanya hakionekani ila likitokea jambo lolote naambiwa mimi mpaka nahisi ninagundu

  • @mondaynatoo2117
    @mondaynatoo2117 3 роки тому

    True advice

  • @menardkyando6288
    @menardkyando6288 Рік тому

    Nimekutana nao wanatutesa sana

  • @samiragillian5972
    @samiragillian5972 3 роки тому

    Vitimbwi... Aah our kiswahili

  • @robertmdoe1728
    @robertmdoe1728 3 роки тому

    Kwel kabisa kaka Joeli ,,,,%%%%thats true

  • @nevagasmsamba5060
    @nevagasmsamba5060 3 роки тому

    Ahsante sana chief

  • @helenamusa432
    @helenamusa432 3 роки тому +1

    Joel watu wahivo wapo saana tena wajanja mpka umgundue ni ngum

    • @lisayusuphu9195
      @lisayusuphu9195 3 роки тому

      Yaaan wanajifanyaga wakarimu kweli kumbe ni nyoka mwenye sumu Kali

  • @danielmsangi7271
    @danielmsangi7271 3 роки тому +1

    Hao watu wapo kabisa

  • @AliMohamed-wp1op
    @AliMohamed-wp1op 3 роки тому

    Kweli kabisa Bro, swadakta👍👍👍

  • @mwamvuakibenga9788
    @mwamvuakibenga9788 3 роки тому

    Da!!! yaani ni kweli kabisa

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 7 днів тому

    MMungu awalani wanafiki wote!! yani kuishi na viumbe kma ni mtihani

  • @farajajoseph2971
    @farajajoseph2971 3 роки тому

    Nina kuelewa sanah

  • @eglahmwisijo5664
    @eglahmwisijo5664 3 роки тому

    Umesema kweli kwani mtu anarudiarudia mambo yale yale na mbaya zaidi hata kama anakosa yeye nawe unamuuliza yeye anabadillisha mada yake na anaanza kukushutumu pia kuongelea mambo ya nyuma

  • @gracemwampashe7116
    @gracemwampashe7116 3 роки тому

    Ahsante bro

  • @fhyubhhh2881
    @fhyubhhh2881 3 роки тому +1

    True 100%

  • @blackbeauty579
    @blackbeauty579 3 роки тому

    Kweli kabisa bro

  • @chrismassawe326
    @chrismassawe326 3 роки тому

    Shukrani Dr

  • @mugishasine7778
    @mugishasine7778 3 роки тому

    Asante Kaka ubalikiwe

  • @meryfrank5272
    @meryfrank5272 3 роки тому

    Ayo yapo

  • @fra_nyuki
    @fra_nyuki 3 роки тому +1

    Daaaaaaaaaaah brooooo

  • @evancemariki6769
    @evancemariki6769 3 роки тому +1

    Aseee

  • @zelfat4956
    @zelfat4956 3 роки тому

    Nice bro