Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
mlituambia saa nane kamili mna habari nzuri , sisi tulijua JOBE na MANGUNGU , wamepwa THANK YOU ,kumbe mnatuletea habari za simba DAY ,mnatuzingua Sana
pesa ya kuvunja mkataba wa jobe utatoa ww au unasema tu hisia zako bila kuangalia gharama za kuvunja mikataba
WEWE YANGA SIYO SIMBA!! WANAKUZINGUA NN SASA?!
E e4q@@eliagobe6939
Huyu mtangazaji wa Ayoma napenda sana anavyofanya kazi kwa uweledi mkubwa
Dada MashaAllah umependeza sanaaaa. Ndoa inakuhusu kama uko tayari
hatutaki maneno tunataka usajil muzur mwaka huu tusip chukua kombe utatwambia nini
Huyu Ahmed apewe thnx choko
This is 🦁💪
Uko vizur sana msemaj
Daaaaaaaah Ahmed ally sisi usajili atuuelewi kabisaaaa tushakata tamaaa kabisa
Siyo sisi ni wewe
Tunaomba msimuache chama simba itazoofika sana
Msemaji na Mo ndo mmebaki kuibeba Simba,tupo pamoja
Jamani hii microphone ipo upande imeegamia sana jamani ukivaa eaphone@
Simba nguvu moja
Safi sana semaji letu la Caf 😂😂😂
Mnatudanganya
Mwenye namb ya mtangazaji
Too much talks no action i just hate that about my team i hope next season we improve massively
Congo tena si mlisema wacheza bendi ama ndo mnakula matapishi yenu😂
Simba kausha dam mashabiki tumechoka kukauswa dam jaman daah
SEMAJI SIYO KAIFA ANTA HUYO NI MWANAMKE NI KAYFA ANTI
Wewe msemaji ujue tumechoka kuteseka jamani hatuna amani mitaani
mashabiki wengine mnachosha eti umtaki msemaji tafuta wakwako
😂😂😂😂😂 kausha damu
Hatumtaki jobe kwenye timu yetu na kama timu imeishiwa hera semeni tutachanga tunataka wache,aji bora na sio bora wachezaji
Wapunguze mizigo
washabik mtulie muache kulaum semaji ndokaz yake
Wanasimba kuweni watulivu mbivu tutaijua tarehe 3 ila Hamed Ally kweli nimemchoka
Unafikili kulizisha washabiki mchezo ww et acha ushamba sikilizakinacho ongelewa ukiona hulizishw namanone yanayotamkwa usimfatilie talifa zake
Tumekuzoea mwaka Jana ulituambia hivyo hivyo matokeo akaja jobe
😅
Sema semaji la shirikisho…. Balaa lao liko pale pale… sisi ndo Yanga
Una nunua mbeleko wakati mtoto bado haja zaliwa jidanganye na yanga yako
Wasiwas tunao kwa sababu hajayaona majembe ya kaz
Vp chama bad yupo
Fanyeni mnachoweza aibu hatuztaki Tena
Kaifa anta kwani mwanmme huyo mwanamke huambiwa wakaifa inter boya ww
Hujui kiarabu baba,mwanamke unamuuliza wakayfa anta???
Badala ya aninti et Anita hhhhhh😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Açheni longolongo tutawachoka Endeleeni kujikologa tuu
Wachezaji hawatatwi kimehemko kama ivo
Utabaki nao shirikisho
Semaji la FIFA Wengine wasemaji wa 🐸🐸🐸🐸 fc
Tunawategemea
Kwa nini msiipeleke amani zanziba?
Swali zuri ila wao wanaandamana misri ndugu wakati wenu ukifika wapelekeni hata bagamoyo
Ongea ueleweke mbona unaongea kama umemaliza wa tatu kwenye ligi
Unaesema umemchoka ninn hasa anakukela
Maneno mingi tu alafu hamna kitu
Mchongo wa klabu yetu unajiumiza bure acha semaji atoe taarifa ya klabu yake. Kaa kwa kutulia
Kiongozi iwe kweli sasa maama sio Sio kwa kuluka na ndege uko
Tunachotaka ss n mabadlko ya tmu yet tmechoka kudanganywa
Semaji tunakubaliana nawe
Unaongea sana dada
we mkundu wanyoko
MUONGO HUYOO,MWISHO WA SKU JOBE NA FREDY
Ukuta wa eriko vipi bado utakuwepo
Utakuepo...ili prince dube akatizeee 😂
Mangungu anang'ang'ania nn Aondoke hata akibaki tutakuwa hatumwelewe kabisa
huyu jamaa kwel ni moko aswaa
Jobe so mbaya
😂😂mtani mbona mnaanza na simba day kabla ya mkutano mkuu vip bajet mafanikio amtaki kutujulisha??
Wewe haikuhusu mbona??

Kiongozi iwe kweli sasa maama sio
Sio kwa kuluka
na ndege uko