Mitonga Jazz Band - Mariana

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 вер 2024
  • Another song from Mitonga Jazz Band

КОМЕНТАРІ • 24

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 7 років тому +2

    umenikumbusha sana zile enzi,hizi ndio nyimbo zilizokuwa zinatamba,hebu ona jinsi wimbo ulivyotulia na jinsi vyombo vinavyosikika vizuri,asante sana uncle nimefurahi sana kuupata wimbo huu.mimi ni mpenzi sana wa hizi old songs.alafu natafuta wimbo uitwao halima barua yako nimeipata.uliimbwa na vijana wa tabora jazz,tafadhali uncle hebu pekuapekua huko kwenye maktaba yako.naitwa mariam fritsi,switzerland.24.12.16.

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 7 років тому +2

    asante sana kwa kutuwekea kibao hiki,ambacho kinanikumbusha sana maisha ya utotoni niliupenda tangu nikiwa mtoto ingawa lugha siielewi.16.01.17.

  • @hildaeliya5582
    @hildaeliya5582 8 років тому +7

    Nimepata Tafsiri ya nyimbo hii'' Mariana ukiwaona wenzako wamekaa embu nawe kaa nao chini'' uwe msikivu kwa wakubwa Mariana'' Ni nyimbo uliyokuwa inamfunda Mariana kuwa na heshima kwa wakubwa na watu wa rika zake''

  • @musadali6959
    @musadali6959 7 років тому

    yusuphu dali chiul
    nakumbuka enzi ya ujana nipo kwetu nauza duka mshahala kula nikisikia naumia moyo wangu keli kulumuka mnavyona

  • @bmpingo
    @bmpingo 9 років тому +1

    Thank you Abdallah Ally for posting this song. We stayed in Mtwara when I was a small kid, and this was the best hit of all our local friends. Nice memory.

  • @mr.bandatanga7090
    @mr.bandatanga7090 6 років тому

    Naomba mashairi ya wimbo huu. Nitashukuru sana kuyapata.

  • @catherinethomas2029
    @catherinethomas2029 6 років тому

    Duh inanikumbusha mbali enzi hizo mtwara ni mtwara, kabla ya Ujio wa watu wanakuja kuchukua utajiri wa mtwara na kuiacha mtwara bila kitu

  • @allynayomo485
    @allynayomo485 6 років тому

    mitonga ni band iliyokuwa pale Lindi

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 4 роки тому

    Bado nipo hapa 2020.

  • @twilamtumbi2647
    @twilamtumbi2647 8 років тому +3

    Jamani hii hatari sana, maana unaweza mumliza mtu bw Abdallah, yani umegonga nyoyo yangu sana, unanikumbusha utotoni kabisa na hii ngoma, hongera sana bw ally daaa hongera, ally naliaaaaaaa asante kaka, wamakonde wa nyumbani

    • @hildaeliya5582
      @hildaeliya5582 8 років тому

      +Twila Mtumbi Nadhani amekufikisha na kurudisha hisia zako nyuma na kukumbuka mengi ya kale'' embu tupe maana ya hii nyimbo anazungumzia nini?? mm naipenda sana ijapo siielewi

  • @miriamfritsi9183
    @miriamfritsi9183 8 років тому +1

    nimefurahi kuusikia tena wimbo huu,yaami we acha tuu,nikikumbuka enzi hizo nilipokuwa ndio naibukia usichana basi nilikuwa nikiupenda sana wimbo huu,ingawa si mmakonde,kaka abdalla asante sana umenikumbusha mbali sana natani soku zingerudi tena nikawa vilevile nilivyokuwa,na nyimbo hizi ziendelee hivihivi,ooh old is gold.kaka naomba wimbo wa tabora uitwao halima barua yako ulionitumia.naitwa mariam fritsi nipo uswis.16.02.16.

    • @obillaezra7617
      @obillaezra7617 7 років тому

      Naongea pasipo ushabiki Dada yetu Mariam Fritsi ijapo upo Uswisi lakini bado unakumbuka nyimbo za Nyumbani, hususani ulishawahi toa historia moja ya maisha yako huko Tanga pale ulipo-comment wimbo wa Amboni Jazz Band- kidomidomi'' binafsi nilipenda'' Embu tutambulishie muziki wetu huko ng'ambo na hata hawa wa kizazi kipya''

    • @dhanuarygundana6342
      @dhanuarygundana6342 4 роки тому

      Mwaka gani jimbo hii ilitika hata terehe na siku itasaidia sana

  • @upendoamani5054
    @upendoamani5054 4 роки тому

    Nimewakumbuka sana bendi yetu ya Lindi

  • @jumaarashid7367
    @jumaarashid7367 5 років тому

    Hao watu hakuingia studio,wimbo huu umerekodiwa na OB Van ya RTR wakishirikiana na mafundi wa shirika la posta na simu!

  • @obillaezra7617
    @obillaezra7617 7 років тому +1

    Mariana ukiwaona watu wakubwa wamekaa nawe kaa mariana''' Ni nyimbo ilinayofundisha heshima kwa Wakubwa'' ni kati ya nyimbo zinazokumbukwa kwa watu wa Mtwara na Wamakonde wote

  • @hamisbanka4763
    @hamisbanka4763 7 років тому

    mitonga jazz karibu vibao vyote ni shida vinagusa maisha yangu

  • @obillaezra7617
    @obillaezra7617 7 років тому

    Ni kati ya Nyimbo zilizoipa heshima kubwa Mtwara'' Ni nyimbo ya malezi na ya kumfundisha Binti kuwa na heshima na Adabu mbele ya wakubwa zake'''

  • @saidkhamis5318
    @saidkhamis5318 8 років тому +1

    mariana ni hatari jamani ,udongo umebeba watu

  • @adamhassan3735
    @adamhassan3735 7 років тому

    inanikumbusha mbali

  • @abdullkilawi5504
    @abdullkilawi5504 8 років тому

    Charity began at home

  • @rensono7447
    @rensono7447 5 років тому

    Io

  • @hildaeliya5582
    @hildaeliya5582 8 років тому

    Nyimbo ilipigwa mda mrefu, lakini upigaji wa vyombo ulipigwa katika standard ya hali ya juu'' Wanamuziki wa zamani wengi hawakufaidika sana kimaendeleo na kazi zao'' wengi walipata umaarufu wa majina tu, inasikitisha'' Nyimbo inathaminika sana na watu wa Mtwara'' ilikuwa ya maonyo na maadili kwa mabinti zetu'' Mitonga jazz band, makazi yao ni mikindani pale''