SAFARI BY Apostle M. Joseph

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 січ 2025
  • Bwana yesu ameniita nifanye kazi yake ya kuwatafuta walio potea nakuwafanya wanafunzi wake, hii kazi ni ngumu lakini kwa neema ninaifanya. nimeona nitafuta mahali itakayo kuwa station yangu mtu yeyote akinitaka anaweza kunipata, imenipendeza kuiweka station yangu mahali panapoitwa kitengela, na kwa utukufu wa mungu tumeanzisha huduma inayoitwa Emmanuel fellowship international ministry, hii ni cover ya huduma tumepewa na mtumishi wa mungu Koskey.Tunapo zunguka dunia tukichoka tunarudi kanisani pale kitengela, kwa majumapili kadha tumekuwa tukiwahudumia watu pale kitengela, familia yangu walihama nakuru sasatuko kitengela

КОМЕНТАРІ • 35