Ndugu Lisu, nakukubali kuwa umesoma, lakini naamini kuwa unauwezo wa kutumia lugha ya moja ya kiswahili bila kuchanganya na kiingereza. Si amaini kuwa wengi wa wajumbe/wapiga kura wa Chadema wanajui kiingereza kiasi hicho. Maneno ya kiswalihili mbona yapo, tena mengi tu!
Kiongozi anayegombea ajue kwamba chadema ni ya watanzania na Watanganyika wote, pia ajue tunahitaji katiba ya Tanganyika kwa sbb uhuru Tgnyika umedhoofika. Pia ajue Tanzania ni Tajiri kuliko nchi za magharibi hivyo ajifunze kwa SAHEL Brothers, ajue kutembea na bakuli ni kudhalili uhuru wataifa letu na watanzania na bendera ya isimame kurudisha hadhi ya taifa la tgyka

Safi tunamtaka tundu lisu
We abyudi kama kichaaa uliza vzr vitu vya msingi
Akili Nyingi nyingi
Super timamu waongo sana
Akili nyingi sana
Heche yupo wapi hapo?
Acha kuwadanganya watu.Huna adabu.
Ako sahihi tu sioni ati hudanganya, wenye akili tunaona ako sahihi..