Visa na mikasa ya watu inatifundisha sana. Marafiki, familia, nyakati ngumu, kafara (sacrifices) walizo kubali kutoa ili wawe walipo, nadhani wao tu kuwa wao ni tuzo kubwa sana. Asante salama
@@sebastianlubava5505 sijakosea joh ni rapa anayekosewa heshima na wapumbavu wengi sana ...amefanya kazi kwa muda mrefu na ubora wa hali ya juu laki ka young kila kanamdiss ...
Joh kwa mtu ambae hajui alipoanzia hawez kumwelewa ni rapa pekee aliechangamsha game kwa akil sana ndomana alifananishwa na hao watu wote mpk mtu aje ajue kua kapitiwa ashatoa hit nyingine so hiphop sio babogum music lazima uumize kichwa sema wabongo ni vichwa maji ndomana tunasapot ujinga kuliko vitu vya maana kwny industry
Joh n miongon Kat ya the best rapper mweny maisha ya Aina mbil Yan as a musician lakn pia Kam Kaka na ndo Mana hana drama za ajab ye n Kaz na dawa big up bro
Joh ameaso sana na siku ya kwanza nilimuona Arusha pale Via via alikuwa na demu mmoja kama mnaijeria hivi afu jamaa kapiga jeans zake pana kama kawaida then haters wakawa wanampa maneno mabaya wakati wa kutoka baada ya show! Jamaa alitulia sana akawa anawasikiliza tu wanavyoropoka sana, sikufurahishwa lakini Joh ulionyesha maturity ya hali ya juu sana! Napenda kukwambia kwamba mimi ni mmoja wa fan wako Wakubwa lakini Nina mshkaji wangu Anaitwa Baraka Masudi wa Mwanama anakukubali kuliko kitu chochote duniani! Keep maintaining bro
Salama na mimi ni mwana mziki wa hip hop naishi 🇬🇧 kama vipi tufanye interview soon.. Home or away.. Google King Bidder.. Video song Machungu ya Kuachwa.. Nakufagilia sana xxx
Ungemuuliza Joh kwanini ashiriki kwenye Kumsiku na kumuabudu mkuu ...!!??? Kwani haoni madaraja Mabarabara Ndege na matreni ...!!!???😊😊 Au yeye sio mzalendo kama wasanii wenzake ...!!???
Yaani naswali unayouiliza dadaangu hayamek sens kabisaa ..yaani mie naona uwengeze juhud ktka kuhoji..hiki kipind kizur najua umeinvest ktu different ila naomba maswali yawe profesional kidgo... I LovE this show ila unaweka pat2 lakini.. haina faida sana kutokana na unavouliza...you just brand your program ...kuna wengine ukiwahoji it is so meant, Es mi punto de vista 🤷
I like ~ Kumtengenezea mtoto mazingira then aje kuchagua yeye mwenyewe. Amen to that! John ni makini sana!
Kipindi chako kinahitaji watu kama hawa cool,intelligent people maana tunajifunza kitu,safi salama 🤝👌🏿❤
Salama umetupunja, Naomba ufanye interview ingine na Joh asee kapu limejaa maswali hujayauliza afu muda nao mchache sema nini yechu imekaa mkao wa ku yente
Maneno ya busara sana mwamba wa kaskazin hongera brother ,ni kweli kila mtu mungu anakupa riziki yake
Truly, best interview.. you both had fun and the nice chemistry can be seen from both of you. Joh is interesting. Mlete tena please.
Visa na mikasa ya watu inatifundisha sana. Marafiki, familia, nyakati ngumu, kafara (sacrifices) walizo kubali kutoa ili wawe walipo, nadhani wao tu kuwa wao ni tuzo kubwa sana. Asante salama
so powerful
One of My favorite artist....wow!
The guy is so real and genius that's why he maintained his crown. More blessings
One of my best interviews. Joh ana madini m3ngi sana
Nimefurahi kumsikia Joh hapa! Nimesikiliza nyimbo nyingi za Weusi. Nitatafuta za JohMakini💪
bado Salama na Nick na G nako waiting for that madam
Joh anaexplain powa sana more especially uwez mweka kwenye maswali ya mtegoo akaropokaa, professional expert kind like joh.
joh makini is the most underrated rapper in tz
Acha utani
Umekosea kuandika au ndo unamaanisha ivo ivo kaka
@@sebastianlubava5505 sijakosea joh ni rapa anayekosewa heshima na wapumbavu wengi sana ...amefanya kazi kwa muda mrefu na ubora wa hali ya juu laki ka young kila kanamdiss ...
Kwelii kabisa
Joh kwa mtu ambae hajui alipoanzia hawez kumwelewa ni rapa pekee aliechangamsha game kwa akil sana ndomana alifananishwa na hao watu wote mpk mtu aje ajue kua kapitiwa ashatoa hit nyingine so hiphop sio babogum music lazima uumize kichwa sema wabongo ni vichwa maji ndomana tunasapot ujinga kuliko vitu vya maana kwny industry
Jamni mbona interview fupi na Joh😫😫😫shortest interview jmn my fav rapper
Joh n miongon Kat ya the best rapper mweny maisha ya Aina mbil Yan as a musician lakn pia Kam Kaka na ndo Mana hana drama za ajab ye n Kaz na dawa big up bro
John Ni mwamba wa kaskazini katokea mbali mnoo aisee
Salam sijakuon mud ukiwa umesuk kipindi Bomba
Bado ujamaliza stori na joh naomba umualike tena
kwa mara nyingine niko na hii interview aseh,mwamba yuko vzr
Hapa ndo ninapo mpenda Salama keep it up?
Joh ameaso sana na siku ya kwanza nilimuona Arusha pale Via via alikuwa na demu mmoja kama mnaijeria hivi afu jamaa kapiga jeans zake pana kama kawaida then haters wakawa wanampa maneno mabaya wakati wa kutoka baada ya show! Jamaa alitulia sana akawa anawasikiliza tu wanavyoropoka sana, sikufurahishwa lakini Joh ulionyesha maturity ya hali ya juu sana! Napenda kukwambia kwamba mimi ni mmoja wa fan wako Wakubwa lakini Nina mshkaji wangu Anaitwa Baraka Masudi wa Mwanama anakukubali kuliko kitu chochote duniani! Keep maintaining bro
Hakuna mtu muoga kama joh nafikili iyo ni sababu ya kumfanya awe mpole lait kama angekua kama kina lord au nabi koko aaaahh sio kiivyo wewe
Uwindaji wetu tofauti .....Bonge la point
Salama mlete songa on incredible p the mc sterio niki mbishi wot kikos kazi kazin
Salama ur the best #
Salama naomba tuletee ujugu
Namkubali sana huyu BRo
Very sana joh makin karbu mwanza
15:18 anzia hapa “NDIO ILE MIMI NAFANYA WIMBO WEWE UNAFANYA SKENDO UONEKANEEEEE “
hapa nazidi kukuelewa joh makin thanks salama kwa kumleta huyu mwamba
I appreciate you.. sanaaa
Hii interview imevutia sana, kama Party 3 ipo please
Ha ha ha ha
Kwahiyo Mtoto Wa Joh Makini Anapenda Soccer Noma Sana Role Model Wangu Joh Makini Mwamba Wa Kaskazini Mwamba Ni Mwamba Joh G Wala Wala
Kipindi kizuri Sana. Na nafikiri No makini is the best though napenda rapa wengi .
Fanya mpango g nako awe ndani ya mjengo itakuwa safi sana
hio ahadi ya sneakers naikumbuka😂😂
#johmakini🔥🔥👏👏👏
Salama na mimi ni mwana mziki wa hip hop naishi 🇬🇧 kama vipi tufanye interview soon.. Home or away.. Google King Bidder.. Video song Machungu ya Kuachwa.. Nakufagilia sana xxx
nakupenda sana kwa maswali yako ya uchokozi chokozi
Shida wasanii wa chugga guliouse akiona mwingine anamzidi kitu flan
Kata Kata Leta Feat Davido 🔥🔥🔥🔥🔥
Salamaa plz.put joh back on interview
Mashallah nakupenda Sana ww kaka
Salama tuletee vatoloco soldier
waiting
Inspired
Unaweza ona impact😂😂😂🤣🤣🤣 good one joh
Joh umetishaaa sanaa
Ulikuwa unashindanishwa saana na fid q
Salamaa ur juc soooo great..
Nimeisubiri hii since majuzi I was keeping refreshing Yah Stone town. Let's subscribe this channel fellow Tz'n ... This is Home Made Product Design
Salama mlete Nikki wa pili
Nice tuletee Dina Marios, G nako and Jonijo
Salama Fanya kumuita Paka Rapper hapo itakaa poa zaidi..
Tunataka Salama na Aslay
Chakula kimechelewa ee😂😂
But Joh Nako2 Nako was still a very gud crew singing some best gud music bt also we mwwnywe best rapper..in town
Ila jesca ana muwowowo
🔥🔥🔥🔥🔥
Ayo maji mnayokunywa mbona hamyatangazi
👨🎓
Salama mlete diamond,jackline ,jayb
Mzee unataka bata tuuu
Mlete Nikki Mbishi hapo akuletee nzi
Naombeni jina la background beat jamanii plz
Yeah - marco chali
@@jumakomba3337 aiseee baada ya hiyo kuna beat ya regae ndo naitaka
Joh
💋
Ungemuuliza Joh kwanini ashiriki kwenye Kumsiku na kumuabudu mkuu ...!!???
Kwani haoni madaraja Mabarabara Ndege na matreni ...!!!???😊😊
Au yeye sio mzalendo kama wasanii wenzake ...!!???
Uliza ww 😂hapa ni maisha na mziki 😂uongozi unaingiaje sasa
Roma Mkatoliki
Yaani naswali unayouiliza dadaangu hayamek sens kabisaa ..yaani mie naona uwengeze juhud ktka kuhoji..hiki kipind kizur najua umeinvest ktu different ila naomba maswali yawe profesional kidgo... I LovE this show ila unaweka pat2 lakini.. haina faida sana kutokana na unavouliza...you just brand your program ...kuna wengine ukiwahoji it is so meant,
Es mi punto de vista 🤷
Hii ndo maan halisi ya uchawi