King Noel Hana makosa YUPO sahihi sana alitafta aman ya moyo wakat maua alikua anawaka moto,,ila dada maua alijipiga na akapata adverntage Kwa akili yake finyu ALINIUZI SANA
Shida ya dada zangu nikuamba wanacho amini na njia rahisi ya yeye kuoleka na kukubalika ni apate uja uzito itakuwa rahisi kwa yule anae mpnda pila kuwaza je yule mwana ume akikataa huo uja uzito itakuwa aje
Jaman kila mara nawapa nyie like naomben mnipe 12 tu
Yeah king Noel lazima Trudi kw maua 😂I support you and you rather not disappoint us ama vipi watu wangu😂 gonga like twe nalo😂
Ayo ndo mambo sasa
Jamani mnaangalia movies za watu tu bure bila kutoa like zenu gongeni like apo chini Jamani
Nimechoka kuwa like kila move❤❤ na mm munipe like hata5😢😢🙏🙏 please
Dadake maua umeipat fresh eeeh mme wa mtu sumu Huwa wanamaanish hivo mapenz ya wawili Huwa hayaingiliwi never pole ❤❤❤❤
Hapo hapo nakumbuka Mme wangu arivyo ondoka badae kuludi nakupiga makoti nikimwambia kalibu mume wangu❤❤
Kama na wewe ni mfatiliaj wa mapenz ni gem gonga like kama zote apa♥️♥️♥️♥️
❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤😂😂😂😂
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Jaman toka hii move ianze xjapewa hata like mbili nioneen huruma
❤😮
Kiongozi kuwa mwepesi wa kutoa mapema unachelewa sana yan upo slow❤❤❤❤❤❤❤❤
Queen 😂😂hapa penyewe nafikria nizae unipe mimba nyingine....nimeipenda hiyo 😂😂😂
Jamaan naomben like na mm😮
Movie nzur ila inachelewa sana kuendelea. Jitahidini iwe inatoka mapema zaid.
jamani mm mipia ni Moja wenu nafatilia mapenzi ni gem naomba NAMI hata like za kuhisabu nawapenda sana❤❤
Tuliokuwa tunachungulia kila saa huku tujuane mapema😂😂😂 Kazi nzr sana japo tuna baki na hamu hadi tunakoma😂😂😂❤
Tupo bebe😂
🤣🤣🤣🤣yan hapo ndo wakwazaa
😂😂😂
Wa Congo tunaho ifwatiliya mapenzi ni game tujuwane kwa like apa 😍🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Mi wakwanza Toka nyamongo tarime nipe like hata 10
jamani naipenda sana na pia najifuza mengi
Ongela🌹
King noely jaman nilikuona umefanya maamuzi ya maan numbe na wewe umekuwa chanzo cha maumivu kwa mama k. Wanaoungana na mimi like hapa😢😢😢😢
King Noel Hana makosa YUPO sahihi sana alitafta aman ya moyo wakat maua alikua anawaka moto,,ila dada maua alijipiga na akapata adverntage Kwa akili yake finyu ALINIUZI SANA
Me cjui jaya nipo upande Gani jaman
MAPENZI GAME
Mimi siungi mkono kwasababu dada Kawa shetani asinge date na shemeji yake😢
Huyu dada nashepu Lake kama mtungi washisha ndo chanzo yeye ananiuzi yani
Mungu awajalie hizo like kama ni chakula😆😛😄😂😂
😂😂😂😂
❤
Jaman mm sina laiki ata moja nipeni basi
Tulio mmis mzee wa sisisiiiiii tukuwaneeee❤❤❤😂😂😂
😂 mlimtoa baruu
Tunao tamani noely arudishe majeshi nyumbani kwa mkewe tujuane jmn me nataman hta arudi sasahviii❤
Aludi tu
@MariaDaniel-z7i yaan natamani hvyo sanaaa
@@Officialsamiahassan tupo wengine rafiki yangu natamani sana arufi kwa maua mme wake au unasemaje
@Salma-jr2sr kabisa yaniiii ila mapema to atarudii ❤
Jamani na mie
Wako vzur shda wanacherewa san
Nimekuwa wakwanza naomba like zangu🎉
Chukua likes 😁
🎉
😅😅😅😅😅
Fanyeni bas vipande vingine vije ila king unanoga kweli ukiwa na maua Yan duuh pendeza sana
Noel umefanana na ex wangu alikuwa handsome na body km yako😍🥰, nikikuona nammic😢
Nenda kwa maua wew , hata kama maua ni mkosefu ila wew king Noel ndo umemkosea maua kabisa
Tuwemakini na watu tunao waomba ushauri mana wengine ni majeneza twaigia mwenyewe ya uyu dadake maua hata haya haoni wala vimbaya hajui...
Muv nzur sema mnachelewesha sanaaa
Movie nzuri ila inakawiya bana🤦 mjitaidi msitucherewesh warundi ngoga like apa🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Mbona mnatucheleweshea sana kwanin
Yaan katika wahusika wote huyo papp duuh 😅😅😅 anasura mbaya sana 😅 kama umekubaliana na comment yangu gonga like hapo
Kabisa😂😂😂😂😂
😂😂😂❤❤🎉🎉dah pole sana king🤴 kwa changamoto ila ulikosea kwenda kuomba ushauri kwa shemeji na shemeji kashazingua
Sijawah kucoment ila King noel anapafomance nzuri sana tunaomkubali gonga like apa
Hongela doctor ila madoktor wote wangekua hvyo naww king Noely rudi kwa maua bhan achana na huyo shemeji
nafatilia sana tu ila unatuweka sana jamaniiii 😢 pia kazi nzuri ❤❤❤❤
Hatimae nimewakuta jamani mpo haraka nimeanza toka mchana mpaka saiz
Kazi safi kbsa, I do like the way u guyz r acting. Am watching frm 🇰🇪
Kutesaaa kw Zamuu dada akee Mauaa Kulaa Chumaaa ichoooooo😂😂😂😂
kumbe ndowanavo teseka ivi wakewapili bas skubal kuolewa namume wamtu kumbe mwanaume enyewe anakuwa hayupokwenye fraha nivile bas tu 😮😢😅😅staki mumewamtu😅
Shida ya dada zangu nikuamba wanacho amini na njia rahisi ya yeye kuoleka na kukubalika ni apate uja uzito itakuwa rahisi kwa yule anae mpnda pila kuwaza je yule mwana ume akikataa huo uja uzito itakuwa aje
Mapenzi niyawa2 wawili dada ake mauwa imemkata
Movie nzuri ❤🎉
Napenda hii movie sana inachelewa sana mjaribu at least video mbili kwa wiki ❤❤❤❤
Vile nilikua naisubiri kwa hamu❤❤❤ila mapenzi nyinyi😂😂😂😂
Daaah kweli Léo nime Amina hakuna mkate mgumu mbele ya tsaï Léo king amebaki kisha tu kumbembeleza âme ingiya kwenye kumi na nane
Mimi ni mngeni lkn nimeipenda tu ❤❤❤❤❤
Ila huy bab anajua kukea mpka rah 🎉🎉 anae mkubali huyu kak goga lake hapa 😅🎉🎉
Jamn mnatoa taratibu sana
Huyu dada yake maua ni mjinga kabisa yaani mojawapo yy ndiyo aliyataka hayo yote
Kweli kabisa hadi nimeanza kumchukia
Hello namwuona huyo daktari Ako sawa ninaweza PATA connection yake please Noely nitashukuru
jaman ❤mnatuchekeweshea San hiiMovie
Kweli mapenzi ni game 😂😂
Kaka mnaweza Sana mungu awatangulie Kila kazi mtakayo fanya❤❤
Hakuna kumba like apa tuagalieee movie tu. 😢😢Goga apo chini kawewe unampenda dada ake maua
Daktar naomba usitoe mimba ya mtu plseas kipande kinacho fuata .naomba hao wahuska wote waje wakutane hosptal ili kupasua bom
My brother unaenda kukosa vyote naomba nikupe pole mapema🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kashakwambia hauondoki...sip lazima tutumie nguvu 😂😂😂
Leo nimewah mapema saan gonna like apa❤❤❤❤❤
Aaaah sasa wafanyaje king kumshika mkono nurse weweee
King umeyatimba kaka
😂😂😂😂 ad namwonea imani
Noel hana makosa uyo dada gani kwanza unamsalit kiasi icho mdogo wako atakama maua anakose ndy ndo dadake aamue kutembea na shem wake kaah😢
jamani kwa kuchelewesha hii series mnatuumiza jaman king Noely
Movie nzur sema Noel unachelewesha sana kutoa muendelez kaka ang 🎉🎉🎉🎉ila naipenda sana ❤❤
Yaaani ata tunasahau story ilikua imefikia wapi,atie bidii kutochelewesha
Ni kwl maan tunasahau na utamu wake piah tunausahau piah😢😢
Umetisha king
Hicho ndicho huwanakubaliag wanaume ,mkeo n mkeo tuu😅na malaya huwa yanamwsho wake,maua alivyokuw anamchit ila bado kamoyo kapo😂😂😂
Nurse ana meneno mengi kama mpelelezi vile unaharibu professional bhanaaa
Daah...zimeshafika siku 10 bado hatujapata muendelezo...Noel unajua kutuumiza
❤❤❤❤king noer unatuangusha kwa hili mjeda huna msimamo hata kidogo 🎉🎉
Napenda sana move zenu
Dada kimekuramba na mbili kichwa zako ulivo huna haya ulikosa wanaume huko mpaka kutoka shemeji yako ety fyoko fyoko mtoto wako huna aibu
Mie ananiuz😅😅
Anabowa sna uyo dda😂😂
❤❤❤ mko poa sana jamn Kaz nzr shda inachelewa sanaa
King vp kaka mbona mnachelewa sana kutoa,tunakukubali sana
Uyu dada Yako mwenyewe anakula kidogo tu mwizi wa mahaba Yako anakuzunguka tu uoni hata majibu yake maua we ni mwamba mama
Jamaniii movie nzurii sana ❤
Yaan hii game ndoinaanza sasahv,kma unawazo swa na mm gonga like
A very nice show bro !!!!! Like it 👌👌👌big up with more movies coz they are really giving 💕💕
Jaman kazi nzuri rakini munacerew san
Movies ni nzuri lakin mnachelesha jamanii😂😂
Dokta pinki anazingua we mtoe mimba mengine muachie yeye pinki unazingua sana ujuwe
King noel umesemaje apo ulipo mkumbatia dada wa mauwa sijakusikia vzur
Duh wa kwanza hapa
Kaz nzur sn nimesubiria sn jaman
King eeeh umeyakanyaga hiyo ni mapenz ni gem hahaaaa
Sasana wewe kwanini ubebe mimba ya Shem wako wakati unajua aliondoka Kwa mauwa Kwa hasira😂😂😂😂😂😂
Aoe wote wawil awe na bimkubwa na bimdogo
Aiwezekan ao ni ndugu iyo lana wataipeleka wapi😢😢
Nakubali kaka
Kama unapenda hii move gonga like
❤❤ mapenz ni game bnaa achaaa ni atar 🔥🔥🔥🔥
Kweli mapenzi game❤❤❤❤
Maua kila kitu anakijuwa ilimradi mimba itolewe 😂😂ww maua acha nikupe maua yako🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤big up king noely🎉🎉❤❤👏👏👏
Ewaaaa waooo napenda sana
leo naitaji n mimi like hata 10 zinatosha
Nimeamin leo mume wa mtu ni wamtu tuu
duuuh mwanamke ni mwanamke tu machoz kidog ya dadake maua yamemchanganya king
😂😂😂😂
Mauwa mzuri sanah sanah
Mtu wa 600 naomba like zangu
King noel acha kutuchanganya na huyo mauwa wako 😅
❤❤❤ nice 👍 good job
Naipenda sana hi I move
King noely jamani rudi kwa maua seeee seeeee
King noel lazima turudi kwa maua🎉🎉 wanao ungan na mee wagonge like hap ila king noel umeyatimbaaa
Sema inakaa sana