Jinsi ya kutengeneza app za android kwenye simu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 гру 2024
  • Jifunze jinsi ya kutengeneza application za android kwa kutumia simu ya android pia kiurahisi sana , unaweza kutengeneza app ya blog , app ya biashara , app ya kuchat su game za android kwa kutumia njia iliyo elekezwa kwenye video hii.
    This video show how to make android application by using android device too without knowing programing or codding . you can create app for business , blog app, chatting app , or android games

КОМЕНТАРІ • 41

  • @AdoDeBrilliance
    @AdoDeBrilliance Рік тому +2

    So fantastic

  • @ernestojr1648
    @ernestojr1648 2 роки тому +1

    Napenda sana kutengeneza app keep it up

  • @maulidiallyramadhani
    @maulidiallyramadhani Рік тому +1

    Daah !! Bro shukran🎉🎉

  • @jamesmtewele4517
    @jamesmtewele4517 2 роки тому +2

    Naikubali sana

  • @talibally8743
    @talibally8743 3 роки тому +6

    Mm nataka ntengenze app y internet bure naweza au nikatengeneza tv bil kutumia MB

    • @Vinei
      @Vinei  3 роки тому +2

      Hakuna kisicho wezekana 😁

    • @talibally8743
      @talibally8743 3 роки тому +1

      @@Vinei tengeneza iy app alfu m ntumie makulupa apo apo mna m npebd hbr lkn some time nkuaga kazini as si pati kuona mpk niwe n MB

    • @KarimuSadiki-z2w
      @KarimuSadiki-z2w 3 місяці тому

      Heee😂😂

    • @KarimuSadiki-z2w
      @KarimuSadiki-z2w 3 місяці тому

      Heee😂😂

  • @ChocllatteMedia
    @ChocllatteMedia 3 роки тому +3

    Respect Brother angu 🙏🙏🙏

    • @Vinei
      @Vinei  3 роки тому

      Asante kwa support kaka 🙏

  • @esteemgaming
    @esteemgaming 2 роки тому +3

    nice

  • @Nelsonmutagwaba
    @Nelsonmutagwaba Місяць тому +1

    Kaka Samahn sm angu ina tabia yakulock whatsapp kila nikijlibu kuingia inagoma nkisajili upya napo inagoma Masada jaman

    • @Vinei
      @Vinei  Місяць тому

      inaandika nin inapogoma

  • @westonkapinga234
    @westonkapinga234 10 місяців тому +1

    Safi sanaaa kijana

  • @Yo_tune-tb5sn
    @Yo_tune-tb5sn 2 роки тому +2

    Ninaitaj msaadawako zaid ninawazo lakutngnez applcation yakibiashara nawez pata no.. za whatsp kk

  • @amosially5614
    @amosially5614 2 роки тому +2

    Thanks so much for opening my mind 😊

    • @Vinei
      @Vinei  2 роки тому +1

      Pamoja bro

    • @amosially5614
      @amosially5614 2 роки тому +2

      Tunaomba uendelee na hyo program brother,,wengi tumeipenda asee,,tupe full process

    • @Vinei
      @Vinei  2 роки тому

      Sawa kiongoz

  • @EmmanuelKinyaha
    @EmmanuelKinyaha 7 місяців тому +1

    Bro inamaana unaweza kuingiza kias gan per month kwakufanya hvyo

    • @Vinei
      @Vinei  7 місяців тому

      Juudi yako tu

  • @baoflixmovies4762
    @baoflixmovies4762 Рік тому +1

    Sasa kaka siwezi kuweka matangazo ya Admb mpaka Ni iweke play store mwenyewe au naweza kimpa mtu aniwekee Play store na nika weka matangazo ya Admb

    • @Vinei
      @Vinei  Рік тому

      Unaweza mpa mtu mwenye Play console account tayari akuwekee

  • @mchopekostarch
    @mchopekostarch Рік тому +1

    Nawezaje kuposti vitu

  • @ShadowZero10
    @ShadowZero10 6 місяців тому +1

    Kaka ee mm naomba jinsi ya ku design blogger

    • @Vinei
      @Vinei  6 місяців тому

      Sawa

  • @mnisi3694
    @mnisi3694 Рік тому +1

    Umenielewesha

  • @mnisi3694
    @mnisi3694 Рік тому +1

    Nilikuwa natafuta Sana hii kitu kujua

  • @KarimuSadiki-z2w
    @KarimuSadiki-z2w 3 місяці тому

    Kaka mimi. Sijakuelewa

  • @majoxkemmoyofficial
    @majoxkemmoyofficial Рік тому +1

    Unafaidikaje au malipo

  • @peacesaria7805
    @peacesaria7805 2 роки тому +2

    Hello

  • @IdrissaNassor
    @IdrissaNassor 3 місяці тому +1

    naomba namba yako ya whatssapp

  • @festondaki-zz5zl
    @festondaki-zz5zl Рік тому +2

    Naomba namba yako ya Whatsapp

  • @MbagaraMhitira
    @MbagaraMhitira 11 місяців тому +1

    Mkuu naomba namba yako ya Whatsapp

    • @Vinei
      @Vinei  11 місяців тому

      0624741607

  • @DanielMgaya-m5b
    @DanielMgaya-m5b 3 місяці тому +1

    Kaka naomba namba yako ya WhatsApp kaka

    • @Vinei
      @Vinei  3 місяці тому

      0624741607

  • @festondaki-zz5zl
    @festondaki-zz5zl Рік тому +2

    Naomba namba yako ya Whatsapp bro