Huyu mzee hatosahau alichofanyiwa na Rais Magufuli mbele za watu

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 109

  • @AliM-di8dz
    @AliM-di8dz 5 років тому +10

    Love you so much magufuli jembe tunajivunia asnt kwa uzalendo.

  • @aminaabdi8078
    @aminaabdi8078 5 років тому +4

    Ata ukistaafu me nataman maisha yako yote ungeiongoza Tanzania bcoz c dhani kama atatokea kama wew Raisi magufuli mungu akubariki jaman muaminifu mwenye kupenda maendeleo...

  • @amneymtullah148
    @amneymtullah148 5 років тому +3

    Dezidel sinahaja tena ya Ku koment nagonga like tuuu kwako bas

  • @farajimtoi9238
    @farajimtoi9238 5 років тому +9

    Hongera sana Rais wetu JPM, ningependa kusikia kuwa kuna mpango wa kujengwa kiwanja kikubwa cha ndege Dodoma kama kile cha DIA na JNIA. Hii itasaidia kukuza utalii kwani watalii wakitua nchini watakua wako karibu kwenda kwenye kila kivutio nchini kuliko hivi sasa wanakua wako karibu na baadhi ya vivutio na vingine vinakua mbali.

    • @mcshukuru_mrb8088
      @mcshukuru_mrb8088 5 років тому

      mbona upo na eneo limeisha patikana watu wamehamishwa tayari kule Dodoma eneo lilotengwa ni kubwa mnoo na utajengwa uwanja wa kisasa mno

  • @marcondokeji8982
    @marcondokeji8982 5 років тому +8

    Magufuli nakupenda bure mzee

  • @frankmpinga3295
    @frankmpinga3295 5 років тому +3

    Mungu akulinde my president

  • @eliuskivuyo6521
    @eliuskivuyo6521 5 років тому +7

    hongera sana rais wangu

  • @hamismabula5813
    @hamismabula5813 5 років тому

    Hongera sana Mzee Mapunda, hongera Rais JPM kwa kumkumbuka huyo mzee. Mungu awabariki!

  • @drgeofreymdede3952
    @drgeofreymdede3952 5 років тому

    Hongera sana rais Magufuli am proud of you kwa kweli. Hongera mzee Mapunda kwa uzalendo. Lakini nimpongeze mheshimiwa rais kwa kutambua wazalendo wa nchi hii. Sis vijana wa leo tuna hitaji kujifunza sana kwenye uzalendo huu. Sasa hivi taifa uzalendo umepungua sana. Asante rais Magufuli

  • @antonymathias8219
    @antonymathias8219 5 років тому +4

    Mungu ambariki sana huyo baba

  • @josephmsanga6751
    @josephmsanga6751 5 років тому +12

    Hayupo Tena Atakaye kuwa JPM Tanzania! Nashauri tu! Maisha yake Amalizie kwenye Urais Tanzania.Asante Mungu!

    • @salmadalaquimane5303
      @salmadalaquimane5303 5 років тому

      Wallah nakuunga mkono maana huyu akitoka watakuja yale kama ya mwanzo

    • @feiz3180
      @feiz3180 5 років тому

      Musilolijua litawasumbua.

  • @thuvakonde2584
    @thuvakonde2584 5 років тому +10

    Mzee mapunda mwaka umemuishia vzr

  • @angelusilljujalijuja9852
    @angelusilljujalijuja9852 5 років тому +8

    HONGERA MH JPM NA MZALENDO MAPUNDA TUSONGE MBELE

  • @dezidellaurian4533
    @dezidellaurian4533 5 років тому +15

    Tumuunge mkono rais wetu, tuungane kuwakabili wenye nguvu.

    • @feiz3180
      @feiz3180 5 років тому

      Majuto mjukuuu

  • @kingofkings7525
    @kingofkings7525 5 років тому +7

    Magu we Bora sana.

  • @jaypollyjackson3520
    @jaypollyjackson3520 5 років тому +6

    Asanti sana wanasemaga fanya vizuli ujiendeye baraka zako utazikuta mbele asantu sana

    • @abdallahahmed8728
      @abdallahahmed8728 5 років тому

      mwenyezimungu yupo n.a. watu wenye imani ya kweli.

  • @samwellwiza5339
    @samwellwiza5339 5 років тому +7

    Kuwakumbuka watu ni jambo muhimu sana

  • @Kathren-ed7xb
    @Kathren-ed7xb 5 років тому +2

    Mungu akubariki rais wetu

  • @lulushambazuri4861
    @lulushambazuri4861 5 років тому +1

    Nakupenda magufuli MUNGUBABA akulinde milele

  • @charlesfrancis9438
    @charlesfrancis9438 5 років тому

    Hongera sana raisi Magufuli kwa juhudi zako katika kuchochea maendeleo ya Tanzania na Mwenyezi MUNGU akujalie afya njema ili uweze kutimiza majukumu yako vizuri.

  • @hamadyjumaaa8810
    @hamadyjumaaa8810 5 років тому +8

    WWE unao mkashifu rais ni fara tu tena mpiga dili ww

    • @salmadalaquimane5303
      @salmadalaquimane5303 5 років тому

      Tena ni senge anafokonyolewa rais afanye nn mlidhe Kila k2 kupinga2

  • @kingofkings7525
    @kingofkings7525 5 років тому +6

    Wema akiba,
    Wema hauhozi

  • @SaleheRashidi
    @SaleheRashidi 28 днів тому

    Ulisema tutakukumbuka uku sio kukumbuka tu bali tunajuta

  • @samsonmagesa3959
    @samsonmagesa3959 5 років тому

    Ongera sana Rais huyo Mzee Mapunda Alikuwa Amesaulika kabisa Bila wewe hata Watanzania wasingemjua

  • @lucassabida5471
    @lucassabida5471 5 років тому +5

    Story ya huyó mzee niliwahi kuisikia siku nyingi mpaka ikataka kunitoa chozi

  • @lasteckmmary9741
    @lasteckmmary9741 5 років тому +2

    nikitu gani kitakacho nichenga na ccm, zaidi ya kifoo

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si Місяць тому

    Hongera Mapunda❤❤❤❤❤

  • @anodanorbert1803
    @anodanorbert1803 5 років тому

    Mzee wa Tanzanite, mzee madaraja Eng mfugale, mzee wa kutorosha ndege captain Mapunda, asante rais

  • @jeninunu9177
    @jeninunu9177 5 років тому

    Vlva JPM Mungu akulinde I like you

  • @moseskayan3705
    @moseskayan3705 5 років тому +1

    Sijamchagua magu lakini nimetamani sasa aongose miaka 20

  • @frankkobelo787
    @frankkobelo787 5 років тому +8

    Ongera baba

  • @user-rl3ou5rg4p
    @user-rl3ou5rg4p 6 годин тому

    2024

  • @peterrobert5688
    @peterrobert5688 5 років тому

    Mtu anayetumikia watu mambo mema kwa moyo wake na yuko tayari kufa kwa ajiri yao, anaufunuo wa Mungu. Watu leo imeandikwa siku za mwisho watapenda pesa, hawatawapenda wakwa. Rais yuko sawa ametumwa mtu aliyetumwa hudharauliwa au watu hawaamini, maoni yangu watu huwa wanamwamini MTU anye wajali kwenye shida na maisha yao hata kama ni mkali kwa uzembe wao.

  • @innocentthomas2325
    @innocentthomas2325 5 років тому +5

    baba kweri unapambana kweri nami naamini

    • @ajabamosi9037
      @ajabamosi9037 5 років тому

      Jaman kama huyu rais akishindwa kufika tunapotarajia naomba wazalendo wote tusimlaumu katu nia yake nadhani so mbaya bali ni njema,

  • @mathiasmb4967
    @mathiasmb4967 5 років тому

    Nini ni mkongomani, walakini na mupenda huyu raisi saaana,Mungu akubariki Tanzania kwa kupata Raisi huyu.

  • @mohamadngwale4147
    @mohamadngwale4147 5 років тому +10

    Wakati mwingine... Moyo unampendaga tu.. Rais... Magu..... Natamani.. Siku moja.. Nimuone ata live sija wahi kumuona

  • @antonymathias8219
    @antonymathias8219 5 років тому +2

    Love you so much baba yetu mpendwa

  • @josephmalisa3432
    @josephmalisa3432 5 років тому

    Hongera sana kuwaenzi watu wa chini na wazalendo lakini hizi pesa anazogawa si za wananchi na hazitoi mfukoni kwake?

  • @athumanimakorongo254
    @athumanimakorongo254 5 років тому +2

    mh rais amefanya jambo la msingi na lakuigwa

  • @antonymathias8219
    @antonymathias8219 5 років тому +2

    Somuch magufuli wewe ni baba wawote

  • @Vuvuzelaz1
    @Vuvuzelaz1 5 років тому

    I love Mapunda effects nimempenda huyu baba natamani nimuone

  • @edgerperes5950
    @edgerperes5950 5 років тому +5

    Jamaa kafanya maendeleo mengi tz kwa nd a mfupi miaka 5 haijaisha kakamilisha mambo kibao

    • @feiz3180
      @feiz3180 5 років тому

      Njaa na umasikini umezidi.

  • @hassankurwa464
    @hassankurwa464 Рік тому

    Wana propaganda hivi hawaoni aibu? JPM anamkaribisha balozi huku mijitu inasema hakuwa na mahusiano na mataifa😢😢

  • @jameshaule6862
    @jameshaule6862 5 років тому +2

    Hii nimeipenda sana safi sana Raisi wetu Makufuli

  • @muarabuemanueluongozihauwe6238
    @muarabuemanueluongozihauwe6238 5 років тому

    Tanzania ilipata rais kwerikweri tanzania inabadirika tumsapoti .nilikua sijaona maajabu haya.

  • @jacobmagori9790
    @jacobmagori9790 5 років тому

    That's my president💪

  • @munfatchichi2874
    @munfatchichi2874 5 років тому +1

    Nice rais

  • @happykipeya8516
    @happykipeya8516 5 років тому

    Mzee magu shikamoo 💪

  • @linusrohomoja8856
    @linusrohomoja8856 5 років тому

    eti akapande za jeshi ha ha ha ha ha ha respect my president

  • @piuspanga864
    @piuspanga864 Рік тому

    Alikuwa hana nauli

  • @aminajuma6924
    @aminajuma6924 5 років тому

    Mapunda umekula sikukuu vizuri

  • @issavenanc1133
    @issavenanc1133 5 років тому

    tukiwa kama mapunda na Magufuli, tutafika mbali mapema ajabu

  • @singidaboy1586
    @singidaboy1586 5 років тому

    Thank mapunda

  • @peterjohn1969
    @peterjohn1969 5 років тому

    anastaili yote uliyo mfanyia japomdamlefu uamungu asau

  • @loyaltey6407
    @loyaltey6407 5 років тому

    Hii sanatuu

  • @gracetitus9963
    @gracetitus9963 5 років тому

    CAPTAIN MAPUNDA SIYE ALYEITORISHA NDEGE KUTOKA KENYA. WAZIRI AMEMPOTOSHA RAIS. ALIYEITOROSHA NDEGE NI CAPT. MAKINDA. TUSIIBADILISHE HISTORIA. MAPUNDA RUDISHA PESA NA USEME UKWELI.

    • @edmondthomas3321
      @edmondthomas3321 5 років тому

      Issue ni "uzalendo", na issue ni kuenzi kitendo kilichofanywa kwa niaba ya nchi! Kama kuna sintofahamu ya nani hasa alifanya kitendo hiki cha kishujaa, ni jambo rahisi tu! Weka wazi kwa kumwandikia barua rais... Ninaamini hoja yako itamfikia! Kuanza kutoa amri huku kwenye youtube, ni kujichelewesha!

  • @godwinmariki2812
    @godwinmariki2812 5 років тому

    TUMUUNGE MKONO RAIS HUYU WA WATANZANIA

  • @tonyfredy8975
    @tonyfredy8975 5 років тому +3

    Hongera rais,but hakuna uzalendo km kuthamini,utu wa mtu mmoja,akina tundulisu wako hospitality,tundulisu in zaidi ya ndege,akina aquilina wamekufa kwa ajili ya uzalendo wa mkurugenzi mmoja ambae alikataa kutoa,vyeti na kusababisha kifo,ninani anaweza kumuumba aquilina,ila ndege inatengenezwa.kutekwa watu,na uovu km huo unapoteza uzalendo.

  • @yahyamajidyahyahilalal-har8762
    @yahyamajidyahyahilalal-har8762 5 років тому

    Uzalendo kwanza

  • @feiz3180
    @feiz3180 5 років тому

    Hakuna uzalendo kutoka CCM. Munauwa upinzani na kusambaratisha upinzani halafu eti uzalendo. Wewe binafsi ni mtu wa chuki na kudhalilisha wafanya biashara etc. halafu unaongelea uzalendo. Ndege sio kipimo cha uzalendo.

    • @edmondthomas3321
      @edmondthomas3321 5 років тому

      Feiz... be serious bhana... nani anaua upinzani? Kwanza sidhani jina "upinzani" ni muafaka! Ningependa kuwaita vyama "kinzani" ikimaanisha vyenye itikadi tofauti na kilichopo madarakani! Tatizo HAKUNA hata chama kimoja kinachoweza kujitanabaisha kama chama "mbadala"! Huwa ninamheshimu mhe. Zitto kwa jinsi anavyotendea haki baadhi ya hoja anazojaribu kuzijenga... Laiti angejikita kwenye kutengeneza mfumo wa chama kinachofikiria na kujenga hoja kama anavyofanya yeye... tatizo mkuu wetu huyu kama vile yupo busy kujijengea kiti cha enzi, kuliko kujenga chama chenye nguvu!
      Hivi vikundi vya kupinga kila kitu na vyenye kujitangazia kazi ya 1./ Kuhakikisha waTanzania eti wanachukia serikali iliyopo madarakani, na 2./ Kuhakikisha nchi haitawaliki.... Hivyo navyo unaviita vyama mbadala? ...labda jina "upinzani" unaviathiri.

    • @feiz3180
      @feiz3180 5 років тому

      @@edmondthomas3321 kiswahili lugha nyepesi sana. KINZANI maaana yake nini???.. Chama hiki ni chama cha kiimla. Cha ambacho kinafuata sera za kikomunisti ya uchina. Chama kisicho wafiki jitihada za watu binafsi wanaoleta maendeleo kwa wenziwao. Mimi kama mzanzibari siwezi kuthamini chama na viongozi wake kwa udhalalishaji waliotufanyia .. Zanzibar hamna CCM. Walioko ni wasaka tonge na KURA 2015 CCM walipigwa kama mbwa koko. Hata Sefu Ali Iddi alikosa jimbo ndio Kikwete akaleta jeshi na Magufuli akatimiza uchafuzi uliotokea kwetu. Unafikiri sisi tunataka muungano???. Sisi tumechoka kutawaliwa ,,,,,,

    • @edmondthomas3321
      @edmondthomas3321 5 років тому

      @@feiz3180 ....Duh.... Basi sawa!

  • @pastorm.e.mwakalonge7020
    @pastorm.e.mwakalonge7020 5 років тому +1

    duh million kumi ok sawa tunaendelea kubana matuzi na tunauunga mkono

    • @petromasolwa6666
      @petromasolwa6666 5 років тому

      Hongera Mr President

    • @salmadalaquimane5303
      @salmadalaquimane5303 5 років тому

      Ongera mjomba magu

    • @man.lule.585
      @man.lule.585 5 років тому

      Rais ana posho nyingi za kuweza kugawa hadi milioni 100. Mbona Lowasa alitoa bilioni 3. ukawa amezitoaga wapi?

  • @davidkaguru9511
    @davidkaguru9511 5 років тому +4

    mshahara wa raisi ni milioni tisa.kwa mwezi huu tu keshatoa milioni 40 hizi pesa anazipata wapi?

    • @yonamahigu4655
      @yonamahigu4655 5 років тому +4

      Ufikri wako umeishia hapo tu kwan miez yote huwa anatoa hizo pesa na unahisi rais hana mfuko ofic yake?

    • @salmadalaquimane5303
      @salmadalaquimane5303 5 років тому +2

      Fala wwe

    • @eliyakapaya5858
      @eliyakapaya5858 5 років тому +3

      Kwahiyo unatakaje

    • @mariammpapa9017
      @mariammpapa9017 5 років тому

      jalb matumiz mkuu mbona unagawa vijicent hovyohovyo

    • @mainepraygod3142
      @mainepraygod3142 5 років тому +2

      Rais ana mandate na pesa yote ya serikali...so usiulize sana kaitoa wapi

  • @ayubnsajigwa1037
    @ayubnsajigwa1037 5 років тому +3

    Alichofanya sio uzalendo ni uharifu kama uharifu mwingine shirika likivunjika zina taratibu zake za kugawana mali sio kufanya kihuni kama Alichofanya huyu Mzee alivunja sheria kama wengine wanaochukua mali za umma

    • @edmondthomas3321
      @edmondthomas3321 5 років тому +4

      Ayub Nsajigwa inaelekea HUJUI kilichotokea wakati EAC inavunjika! Unajua kikichotokea? Unajua mchezo ulivyochezwa? Ni heri utafute kujua historia ya kilichotokea, kabla ya kuja na theories hapa!
      Si hekima kujaribu kutumia nadharia (theory) kwenye mazingira ambayo uhalisia HAURUHUSU utekelezaji wa nadharia hiyo!
      Alichofanya Captain Mapunda kwenye mazingira yale, kilikuwa kitendo cha kishujaa!

    • @chescomnyangali8601
      @chescomnyangali8601 5 років тому +3

      @@edmondthomas3321 NI KWELI KABISA HUYU JAMAA HAJUI TULICHOFANYIWA KIPINDI HICHO

    • @salmadalaquimane5303
      @salmadalaquimane5303 5 років тому +2

      Una lopoka 2 ata ujui unacho kiongea fala wwe

    • @mrgwahula5026
      @mrgwahula5026 5 років тому

      Ndege zilizobaki ziligawanywaje?

    • @makameabdalla8928
      @makameabdalla8928 5 років тому +1

      Hasidi huwa hana sababu.
      Kuna hasidi mmoja alikuwa na jirani yake alikuwa hampendi. Yule hasidi akapata bahati ya kutakiwa kuchagua lolote atakalopenda afanye ila kwa sharti kwamba kwa kile atakachofanyiwa jirani yake atapatiwa mara mbili zaidi mfano hasidi akitaka apewe shilingi milioni 20 yule hasidi apewe milioni 40. Hasidi alikubali hilo sharti. Akaambiwa atamke kile anachopenda kufanyiwa hasidi yule akasema atolewe jicho moja akijuwa kuwa jirani yake atatolewa macho mawili. Inaonekana miongoni mwetu watanzania tumo wenye moyo wa huyu hasidi. Mazuri yote haya anayoyasimamia mpendwa Rais Magufuli wapo hawaridhishwi nayo na kuyatafutia sababu ya kuyatia kasoro eti anatumia pesa atakavyo bila kupata kibali cha bunge kama ni chombo cha kuidhinisha matumizi yote ya serikali. Wakulima wa korosho wanaotaka kupunjwa na wafanyabiashara wasiojali nguvu za wakulima na Rais alipoliamuru JWTZ kuratibu ununuzi wanasiasa wamefyatuka eti anatumia jeshi vibaya. Kumbe kisa ni kuzibiwa mirija yao ya kuwanyonya wakulima. Magufuli amebana watendaji wasio waadilifu na waaminifu waliokuwa wakila mamilioni ya shilingi kwa wafanyakazi hewa. Wamebanwa imekuwa noma. Wafanyakazi waliokuwa wakipata stahiki wasizostahili kwa vyeti bandia wamefanyiwa uhakiki imekuwa nongwa. Magufuli amerejesha kwa kiasi kikubwa nidhamu katika utumishi wa Umma akipiga vita rushwa ubadhirifu wizi na uzembe tunamnunia. Hivi sisi watanzania tukoje hasa tunataka nini. Awamu zilizopita wapinzani waliyapigia kelele sana mambo hayo. Leo yanatetekelezwa kwa vitendo wanakuja juu eti CCM imekopi na kuiba sera zao. Nilidhani watampongeza badala ya kumlaumu na kumbughudhi. Upinzani huu wa kinafiki hautatufikisha mahali pazuri na unaweza kuviza na kudumaza maendeleo yetu. Napenda sana upinzani lkn wenye kuleta tija. Magufuli ni binaadamu na si malaika wala Mtume na sifa ya ubinadamu hakuna mkamilifu. Sikatai ana mapungufu yake ya ki ubinadamu ambayo kila mmoja wetu anayo. Lakini katika suala la uongozi wa nchi tangu ameingia madarakani miaka mitatu sasa yuko vizuri. Tuungane kumuunga mkono na kwa pale anapokosea tumshauri na kukosoa kwa hekima busara na si kwa lugha safihi na matusi. Tukumbuke kuwa ufalme wa duniani anayetoa ni mfalme wa viumbe vyote yaani Mwenyezi Mungu yeye akitaka uwe utakuwa na asipotaka huwi utamaliza waganga na waganguzi na kuchanjwa chale za kila aina hadi za matakoni lkn katu huwi madhali Allah hajataka uwe.
      Hongera Rais Magufuli kwa yote mazuri uyafanyayo kwetu watanzania ukikumbuka Zanzibar ni sehemu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mamlaka ulionao ubuni na ufikirie miradi mikubwa itakayoiwezesha Zbar nayo kunufaika na Muungano huu ambao wapinzani wanatumia changamoto zilizopo kutaka kuuvunja Muungano huu kama unavyowaona na kuwasikia viongozi walionufaika na Muungano huu lkn leo miaka 55 eti hakuna lolote lillofanyika maneno hayo yanakuja leo wakiwa hawana madaraka serikalini.
      Mungu tuepushe na majanga na maafa pamoja na shari za za mahasidi mafatanii na waovu wanaoitazamaTanzania yetu kwa jicho la husuda.
      Mungu Ibariki Tanzania na watu wake

  • @emmanuelmgana6906
    @emmanuelmgana6906 5 років тому

    Hongera sana mkuu wangu na yupo shujaa kama huyo wakati wa vita vya uganda

  • @domitilazakaria7171
    @domitilazakaria7171 5 років тому

    Nampenda sana rais wangu Jpm

  • @johnrimoy370
    @johnrimoy370 5 років тому

    angekuwa mwenyekiti wa board ya wakuregenzi wa NEW ATCL