MUHADHARA : Sote Tupo katka Twariqah ila upo Kundi Lipi ???

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 19

  • @MohammediAlibinde
    @MohammediAlibinde 4 дні тому

    Alla akubaarik shekh wetu tupo pamoja nawe

  • @AdamChogo
    @AdamChogo 4 дні тому +1

    Hv nywele nazo n sabb somen qur an bnadam tumetofautiana ktk nywele kuna wenye ndefu na fupi

  • @MAIMUNAABDALA-m4u
    @MAIMUNAABDALA-m4u 27 днів тому +1

    ❤❤

  • @SaidiMohamed-bj2wg
    @SaidiMohamed-bj2wg 8 днів тому +1

    Nywele kaisome sera yamtumi

  • @RashidMussajuma
    @RashidMussajuma 9 днів тому

    Tizama hizi nywele kajiweka kihuni

    • @raahilonlineTv
      @raahilonlineTv  9 днів тому

      Ondoka na Faida wacha kutaft aibu za mtu...

  • @ImranMrisho-f9u
    @ImranMrisho-f9u 6 днів тому

    Bweqe wewe tushawachoka ningekuwa naweza kukufungia usionekane ningekufungia maana unatukela mtandaon

    • @abuuzahran9649
      @abuuzahran9649 6 днів тому +1

      Sasa kama wakerekwa siujiuwe

    • @AdamChogo
      @AdamChogo 4 дні тому

      Maana anawafundisha

    • @AllySalim-ov3jn
      @AllySalim-ov3jn 4 дні тому +1

      Bwege ni wewe mbwa we unamwitaje ustadh said ubwege unaelimu ya kumshinda said

    • @AdamChogo
      @AdamChogo 4 дні тому

      @@AllySalim-ov3jn jamaa n mjinga wanaona wivu shkh Said anayo elimu amesoma dini na Allah kambark

  • @hashirukitumbi6245
    @hashirukitumbi6245 26 днів тому

    Nipo kwenye kundi la waisalam

    • @SaidBilal-e6x
      @SaidBilal-e6x 14 днів тому

      Sote ni waisalm walillah alhamdu lakin ndan yake Kuna kund ambalo mtume (saw) amesem ndilo tushikane nalo ....

    • @saidimatezo6273
      @saidimatezo6273 9 днів тому

      Hata kama hakuna sababu ya kupotea....sasa wapotea kwa nini....thwariqa unesema ni njia iliyokuja na Jibril lwa mtume....mbona sasa hizi zenu ni nyingi...?....Haya baki na thwarika zako .siju naqshabandia/halawiyya nk.....sisi ni watu wanaofuatwa ahlu sunna.....hatuwi isipokuwa kama walivyokuwa salafu swaalih....Mumepokea wapi Maulidi Khitma...sisi tumeishi na nyinyi twawajua nje ndani...sasa hamtatudanganya na dini iliyo nyooka.......

    • @saidimatezo6273
      @saidimatezo6273 9 днів тому

      Hatufuati mtu....twamfuata mtume na.maswahaba....mtu akipinda twamuacha......kama nyinyi....

    • @saidimatezo6273
      @saidimatezo6273 9 днів тому

      Nyinyi mna mambo.mengi mumeyazua...... kwenye makaburi....hauli...maziara ya ajabuajabu😅😅

    • @raahilonlineTv
      @raahilonlineTv  7 днів тому

      Kaa chiin usom waulz Dalil zao za KUFANYA hvyoo...