Mashallahu BaarakaLlahu Sheikh Sayyid l Hassan Wallahi nafarijika sanaa na Maudhui yako Allah akulipe Kheyr na aurefushe Umri wako na Uwe na Kheyr nyingi Shukran sana
Kisa cha MIIRAJI ni dalili tosha,?kwamba aqida sahihi ya ahlusunnat ni aqida aliyofundisha mtume na ndiyo aqida waliokufa nayo maswahaba wake mtume,nayo ni kuamini ALLAH ()MUNGU)yupo juu MBINGU!!na ndiyo sababu ALLAH akamtoa mja wake mtume صلى الله عليه وسلم kutoka MAKKA hadi msikiti mwingine mtukufu masjid Al aqswaa ulippo falestin,kesha ikaletwa ngazi (MIIRAJI)akapandishwa juu mbingu!! Sasa nyie masufi mnakataa aqida hiyo na kuleta aqida yenu isiyo na asili ktk uislam!!eti ALLAH (MINGU)yupo kila mahali!na mara Allah haitaji nafasi yupo tu kama hewa au nuru!! Tunawauliza,je kwa faida gani ALLAH kwanini ALLAH alimpeleka mtume wake MBINGUNI?
Masha ALLAH MOLA AKUPE UMRI NA UZIMA NA AFYA UZIDI KUTUELIMISHAA.
ماشاء الله بارك الله استاذ نا ومعامنا
Mashallahu BaarakaLlahu Sheikh Sayyid l Hassan Wallahi nafarijika sanaa na Maudhui yako Allah akulipe Kheyr na aurefushe Umri wako na Uwe na Kheyr nyingi Shukran sana
mashaAllah
MashaAllah
maashaa Allaah Allaah Akuweke na Akutunze na Akuhifadhi umma uzidi kunufaika nawe shekhe wangu
Aamin ya allha
Mashaallah Allah akuhifadh sheikhuna
ماشاءالله بارك الله لك🎉
Mola akuhifadhi
Aamin ya Allah 😅😅😅
Hakuna tarehe kamili kutokana na Siira ya isra wal miraj
MBONA WAVAA KILEMBA CHA MAKAKASINGA??? SI TUMEKATAZWA KUIGA WENGINE???
Siseme hivo ndugu yangu
@@sohrabtajadin3402 Mwana Haramu alipo popote hafichiki
@@abdallahhalifa5860
Hajui ungemfundisha,umepata Dhabi ya kumtukana,lau ungemueleza,usawa wake ungepata thawabu
Sheikh Naomba ukipata wakati tukamilishie umetounjesha utamu.gafla umetukatizia
😅😅😅😅
Kisa cha MIIRAJI ni dalili tosha,?kwamba aqida sahihi ya ahlusunnat ni aqida aliyofundisha mtume na ndiyo aqida waliokufa nayo maswahaba wake mtume,nayo ni kuamini ALLAH ()MUNGU)yupo juu MBINGU!!na ndiyo sababu ALLAH akamtoa mja wake mtume صلى الله عليه وسلم kutoka MAKKA hadi msikiti mwingine mtukufu masjid Al aqswaa ulippo falestin,kesha ikaletwa ngazi (MIIRAJI)akapandishwa juu mbingu!!
Sasa nyie masufi mnakataa aqida hiyo na kuleta aqida yenu isiyo na asili ktk uislam!!eti ALLAH (MINGU)yupo kila mahali!na mara Allah haitaji nafasi yupo tu kama hewa au nuru!!
Tunawauliza,je kwa faida gani ALLAH kwanini ALLAH alimpeleka mtume wake MBINGUNI?