MASHALAH MAWAIDHA MAZITO ALLAH AMSAMEHE MAKOSA YAKE YOTE MAREHEMU ALI HASSAN MWINYI ALIJAALIYE KABURI LAKE LIWE BUSTANI MIONGONI MWA MABUSTANI YA PEPONI AMIN AMIN AMIN
Mash Allah tabarak Allah kheri shekhe, Jazzak Allah kheri, namuona hayati Raisi wetu wa awamu ya pili mola amridhie na amsamehe makosa yake na afanye kaburilake liwe moja ya viwanja vya Pepo inshaallah.
Ma sha allah Sheikh shukran kwa ukumbusho kweli hii darsa ya zamani hapo sheikh anaonekana bado mdg Namwuona hapo marehemu mzee alliy hassan mwinyi enzi ya uhai waje kweli hii ilikuwa mda Allah amrehemu mzee wetu Allah hassan mwinyi
Mwenyezi mungu yarabi tupe mwisho mwema na walio tangulia mbele ya Haki ya Allah uwafanyie wepesi wa kabri na uwape nuru na uwapanulie kabri zao nasi siku yetu ikifika inshaalla utufanyie wepesi wa umauti Amina Amin
Tunaomba iwe hivyo lakini Allah ndo anajua zaidi, wewe huwezi kujua kwasababu hujui siri zilizomo kwenye mioyo ya wanadamu. Pepo si mas- hara. Tunachotakiwa tuwaombee dua ndugu zetu wa kiislamu waliohai na waliokufa ili wasalimike na adhabu za Allah SW
MASHALAH MAWAIDHA MAZITO
ALLAH AMSAMEHE MAKOSA YAKE YOTE MAREHEMU ALI HASSAN MWINYI ALIJAALIYE KABURI LAKE LIWE BUSTANI MIONGONI MWA MABUSTANI YA PEPONI AMIN AMIN AMIN
hii ni mongoni mwa DArsa kali sana ya Sheikh Othman Maalim
ماشاء الله تبارك الرحمن
Napenda akisoma ustadh othman maalim wallahi unatamani asimalize tunampenda kwa ajili ya Allah from uk
Mash Allah tabarak Allah kheri shekhe, Jazzak Allah kheri, namuona hayati Raisi wetu wa awamu ya pili mola amridhie na amsamehe makosa yake na afanye kaburilake liwe moja ya viwanja vya Pepo inshaallah.
amiina 🤲
Amiin 🤲
Amiin ya rabbi l alamiin
Mar hum Mzee Ali Hassan Mwinyi na Mar hum Ali Juma Shamhuna. Inna llilahi wainna ilayhi rajiuun
Ma sha allah
Sheikh shukran kwa ukumbusho kweli hii darsa ya zamani hapo sheikh anaonekana bado mdg
Namwuona hapo marehemu mzee alliy hassan mwinyi enzi ya uhai waje kweli hii ilikuwa mda
Allah amrehemu mzee wetu Allah hassan mwinyi
Allah atufanyie wepesi inshallah siku hiyooo
Allah ampe kauli thabiti mzee mwinyi
Allahu akbar
Mwenyezi mungu yarabi tupe mwisho mwema na walio tangulia mbele ya Haki ya Allah uwafanyie wepesi wa kabri na uwape nuru na uwapanulie kabri zao nasi siku yetu ikifika inshaalla utufanyie wepesi wa umauti Amina Amin
Allah atuzidue mawaitha mazito allah asamehe mzee Mwinyi akuzidishe umri afya hekima nakupenda kwa ajili yaa allah
ماشاءاللہ
Mungu akupe heshima duniani na Akhera shekhe Athumani.mawaidha haya mzee mwinyi yalimuongezea uchamungu upole busara uvumilivu na Tabia njema
سبحانه الله
Yaa Allah tujaaliye mwisho mwema
Na awe na RADHI na sisi ya Rabbil alamina
Ameen
Nampenda huyu shekhe,mkweli sana ataenda peponi,hapo alikuwa KIJANA Na mwinyi pia Yuko peponi
Tunaomba iwe hivyo lakini Allah ndo anajua zaidi, wewe huwezi kujua kwasababu hujui siri zilizomo kwenye mioyo ya wanadamu. Pepo si mas- hara.
Tunachotakiwa tuwaombee dua ndugu zetu wa kiislamu waliohai na waliokufa ili wasalimike na adhabu za Allah SW
😭😭😭😭😭😭😭subhaanaلله .
mashallah
Allha ampe kaulitthaabit
Jazaka llwau kheiri
Masha'Allah🙏 Subhanallah😭😭
Mashallah
YAA RABBİ TUNAKUOMBA HURUMA ZAKO NA UKARIMU WAKO! Sisi ni viumbe dhaifu
Tabarakallahu Kheir🤲🙏
Mwaka gani huo
Mwaka 2000
Allahu man
Hapa shehe ulikuwa kijana mdogo