SHEIKH KISHK ATOA NENO KIFO CHA RAIS MWINYI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 гру 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @firdaus7428
    @firdaus7428 9 місяців тому +5

    Allah amsameh ampe kaul thabit na amjaalie kabri lake liwe katika mabustan ya Peponi Ameen 🤲

  • @salmaalkyumi6030
    @salmaalkyumi6030 9 місяців тому +20

    Allah amsamehe makosa yke na ss Allah atujalie husnul khatima
    Ameen🤲🤲🤲

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 9 місяців тому

      Aaamen!

    • @nafoinvestimento9688
      @nafoinvestimento9688 9 місяців тому

      Amim

    • @FASSALEHALIB
      @FASSALEHALIB 9 місяців тому

      AMEEN YAA RABB.

    • @istambulahmed6664
      @istambulahmed6664 9 місяців тому

      آمين يارب العالمين وصلى الله على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين والحمدلله رب العالمين

    • @NAHIMANAAmina-q1f
      @NAHIMANAAmina-q1f 9 місяців тому

      Aaamina ya rabby 😢😢

  • @faizanassor6336
    @faizanassor6336 9 місяців тому +11

    ALLAH asamehe makosa yake ALLAH amjaliye pepo ya fridaus NA ss ALLAH atushukue aliyakuwa ameturidhia na tupe mwisho mwema THUMMA AMIN

  • @firdaus7428
    @firdaus7428 9 місяців тому +2

    ‏اللهم اجعلنا حسن الخاتمه والتوبة النصوحة قبل الموت

  • @JamdeabacarJamdeabacar
    @JamdeabacarJamdeabacar 9 місяців тому +7

    Alhah akufanhie tahfifu mzee mwinhi na sisi atujalie m,mwema.

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 9 місяців тому +8

    ALLAH Amjalie Pepo la Daraja la kwanza🤲🤲

  • @ustadhisimbula8622
    @ustadhisimbula8622 9 місяців тому +1

    Allah amkutanishe katika pepo moja namtume wetu Muhammad s,a,w

  • @saidimkwinzu9106
    @saidimkwinzu9106 9 місяців тому +5

    ALLAH amuweke katika Pepo ya firdaus

  • @Mohamedtwarif
    @Mohamedtwarif 9 місяців тому +3

    مشاء الله اللھم غفرلھ ورحمھ واسكنه فلجنة آمين

  • @AlmasiMajaliwa
    @AlmasiMajaliwa 9 місяців тому +1

    Allah Amuweke Mzee Mwinyi Katika Pepo Yake

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 9 місяців тому +8

    Moja ya hekima aliyokuwa nayo Mzee Mwinyi ni kujishusha, pamoja na madaraka makubwa aliyokuwa nayo lakini alikuwa akijishusha, nakumbuka nilikuwa form two wakati tuliposali msikitini pale Upanga Dar es Salaam na mzee Mwinyi wakati huo akiwa Rais, Mzee Mwinyi alitusalimia kwa kutupa mikono kwa unyenyekevu mkubwa bila kujali hali zetu, wakati huo nikiwa kijana mdogo sana! Mungu amsamehe Makosa yake na ampe pepo ya firdaus Mzee wetu! Aaamen!

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 9 місяців тому

      Mtoto wake kakaa madarakani kwa kupigwa wengine, wenyewe waliopigwa wanasema hata vifo viliwakuta. Kisa madaraka tu, Sasa huo ni wema nao, mbona hakusikika kuonesha masononeko, huyo Mkapa hakua Muislamu angalau hali ovu alisema na kujuta. Tangu mapinduzi yeye hakusikia hadi anakufa juu ya watu wa Zanzibar na madhila ya chama chake. Au wao si watu kisa wazanzibari? Ni muumini wa Mapinduzi.
      Wema hatuupimi kwa muonekano wa tabasamu. In Sha Allah siku ikifika siri zenu zitakuwa wazi.
      " Yauma tubilasaraairi " Siku siri zitakapo wekwa wazi na mtu alikute dogo na kubwa.
      ###Uchaguzi unakuja.

  • @Newage.designbuild
    @Newage.designbuild 9 місяців тому +6

    Allah amsamehe mapungufu yake yakibinadamu.

  • @rashididdy4927
    @rashididdy4927 9 місяців тому +1

    Allahumma aameen thumma aameen 🤲🏾🤲🏾🤲🏾🤲🏾🥺🥺🥺🥺🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @AmissaMuhamed-ds8re
    @AmissaMuhamed-ds8re 9 місяців тому +1

    Assalamu aleikumu warahamatulahi wabarakatu shukuran sana sheikhe wetu
    Shukuran sana
    Ni mejifunza mengi Allah akupe uhai murefu tuji funze zaidi na zaidi kweli kifo ni mawaidha kwa kila binadamu
    Ila mwenyi akili huelewa
    Dunia tuna pita tu

  • @ubahamisi431
    @ubahamisi431 9 місяців тому +1

    Allah qmjaalie nuru kaburini

  • @istambulahmed6664
    @istambulahmed6664 9 місяців тому +1

    اللهم اغفر له وارحمه واسكنه في الجنة واجعل قبره روضة من رياض الجنة ولا تجعل قبره حفرة من حفر النار يارب العالمين وصلى الله على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين والحمدلله رب العالمين

  • @SakinaKimbulu-m4y
    @SakinaKimbulu-m4y 9 місяців тому +1

    Innalilah Wainnailahi Raajiuni 😢❤

  • @stamilimakurunge9305
    @stamilimakurunge9305 9 місяців тому +3

    Masha Allah, Allah amjaalie kauli thabit

  • @Aminedanisman76799
    @Aminedanisman76799 9 місяців тому +3

    Allah amjalie jannah kuwa makazi yake

  • @SeifAli-b9b
    @SeifAli-b9b 9 місяців тому +1

    Amiin yarrabbi

  • @aminaamina3972
    @aminaamina3972 9 місяців тому +4

    Amin yarabi 🤲🏻

  • @vinanimwinyi3163
    @vinanimwinyi3163 9 місяців тому +2

    Allah amjalie kauli thabit

  • @mwanaherimatata8571
    @mwanaherimatata8571 9 місяців тому +2

    Allah atawalipa mashekh zetu

  • @Nailaty564
    @Nailaty564 9 місяців тому +2

    Ameacha hadithi njema Allah amlipe Pepo ya juu

  • @KhamisHaji-pw4jo
    @KhamisHaji-pw4jo 9 місяців тому +1

    Allahu-akbar

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 9 місяців тому +2

    INNALILLAHI WAINNAILLAHI RAJIUN 😢

  • @neemapaschal1372
    @neemapaschal1372 9 місяців тому +1

    Allah amsamehe makosa yake ampe pepo ya firdaus

  • @rizikibakari3598
    @rizikibakari3598 9 місяців тому +1

    Amin 🤲

  • @mwaminianasi
    @mwaminianasi 9 місяців тому +1

    ❤❤❤❤❤

  • @salimrukago6910
    @salimrukago6910 9 місяців тому +1

    Allah amurehem

  • @omanmct135
    @omanmct135 9 місяців тому +1

    Amin yarab

  • @jazeerajuma5014
    @jazeerajuma5014 9 місяців тому +1

    Amin❤

  • @omanmct135
    @omanmct135 9 місяців тому +1

    Mashalllah

  • @aziziwailu7531
    @aziziwailu7531 9 місяців тому +1

    Aminii

  • @bibahhadith
    @bibahhadith 9 місяців тому +1

    Allahuma amiyn

  • @MusaAdam-z5s
    @MusaAdam-z5s 9 місяців тому +1

    Masha allah

  • @ghulamhaji7856
    @ghulamhaji7856 9 місяців тому +1

    Ameen

  • @Zowazowa-xu1gk
    @Zowazowa-xu1gk 9 місяців тому

    Allah ampe kauli thabiti 😢

  • @AeshaSaid-pe3tn
    @AeshaSaid-pe3tn 9 місяців тому +1

    Aaamiiin

  • @ShidiKahale
    @ShidiKahale 9 місяців тому

    Allah amjaalie pepo ya FIRDAUS

  • @akhuumpweche.7935
    @akhuumpweche.7935 9 місяців тому

    AAMIIN RABILL ALLAMIIN🤲

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 9 місяців тому

    Amiin

  • @omanmct135
    @omanmct135 9 місяців тому

    Aaalllah amrehemu

  • @shifaaal-baity4503
    @shifaaal-baity4503 9 місяців тому

    Allah amrehemu

  • @rahmasalim1989
    @rahmasalim1989 9 місяців тому +1

    Hajafikisha miaka mia, alikaribia kufikisha miaka hiyo mia. Na wala siyo zaidi ya miaka mia.

    • @rajabukipara3008
      @rajabukipara3008 9 місяців тому

      Asa Shda Iko wap😂

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 9 місяців тому

      We unajuaje una cheti chake cha kuzaliwa😂😂😂 ebu muache sheikh

    • @rahmasalim1989
      @rahmasalim1989 9 місяців тому

      @@hanifa9153 family yake inasema vingine, sheikh wako anasema vingine kama kitu ajui asiseme. Ni bora anyamaze. Kwa kua sheikh ndiyo asiambiwe. Anapotosha umma.

    • @taurehassan7399
      @taurehassan7399 9 місяців тому

      Hasidi Hana Alana na Hana 7bu hata kw lisilo la maana atatoa kidole ahusudu

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 9 місяців тому

      @@taurehassan7399 ebu rekebisha huo msemo hasidi hana nin alama ama alana haijaeleweka iweke vizr plzz

  • @Nabiilkhamis
    @Nabiilkhamis 9 місяців тому +1

    Yan mm nimeckilza mpaka wapizan hakuna alie mbeza Mzee mwinyi

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 9 місяців тому +1

      huwezi kuyapata kwa siku ya leo mtandaoni

    • @ShaymaaMlanza
      @ShaymaaMlanza 9 місяців тому

      Dalili tosha ya mja mwema siku ya kiama awe kwenye kundi la watu wasio na hebabu kuingia peponi amin

    • @Nabiilkhamis
      @Nabiilkhamis 9 місяців тому

      @@Sheba4651 hutegemea kama ulikuwa katka uwongoz wako ulikuwa unauwa watu badae utegeemee wakuseme Kwa wema iyo hamna

  • @issahajjiira5411
    @issahajjiira5411 9 місяців тому

    Siku ya hesebu ndio kila mtu atajijuwa

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 9 місяців тому

    Amyn yarabilaamyn

  • @abuufarha6562
    @abuufarha6562 9 місяців тому

    Sufi unazidi kudhirisha USUFI

    • @swalehemrombo9301
      @swalehemrombo9301 9 місяців тому

      Kwani we unatakajee.!! Kasome wewe acha ushabiki.!!

  • @mdathirhassan2187
    @mdathirhassan2187 9 місяців тому

    Nawauliza mashekhe bendi mazishini na sanduku ni vipi

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 9 місяців тому

      Ati bendi 😢

  • @saumsaid1966
    @saumsaid1966 9 місяців тому

    Kuwa hadithi njemaa kwa watakaohadithiwa

  • @issahajjiira5411
    @issahajjiira5411 9 місяців тому

    Acheni unafiki ww una maji ya kinafiki banaa wwee

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 9 місяців тому +2

    Sheikh kishki ni mjukuu wa mtume ?????

  • @issahajjiira5411
    @issahajjiira5411 9 місяців тому

    Mselem ,Bachu na baadhi ya mashekhe ndio vigezo vyetu sio nyinyi , jipendekeza kwa hao vibaraka wa uislam

    • @yohana1242
      @yohana1242 9 місяців тому

      Acha chuki ndugu zisizo na sababu y msingi

    • @swalehemrombo9301
      @swalehemrombo9301 9 місяців тому

      Sasa chuki zitakusaidia Nini brother huo sio uislaam broo wa kupenda chuki tuu.!

  • @ChademaKandayaUnguja
    @ChademaKandayaUnguja 9 місяців тому +4

    Mifano yote ambayo mumeitoa sio ya kusaidia imma wa kiislamu na waislamu ni mambo yenu binafsi

  • @rahmahty7026
    @rahmahty7026 9 місяців тому +1

    Amiin