Othman Maalim- Baina Ya Khofu Na Matarajio Maishani

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 62

  • @ashrafgeorge9384
    @ashrafgeorge9384 4 роки тому +1

    Umenifanya niupende uislamu zaid na zaid. Mwenyez Mungu akupe maisha marefu ili na wengine waendelee kuingiwa na Iman zaid🙏

  • @kashambanange6843
    @kashambanange6843 5 років тому +21

    Wallah shekh Othman umenifanya niwe mpole Na mnyenyekevu sana .Allah akupe maisha kwa kadr alivokuandikia inshaallah

  • @bintykhana924
    @bintykhana924 5 років тому +3

    SubhanaAllah Yarab Allah atupe mwisho mwema na atufufue na waja wake wema 😭🙏

  • @hdhdhdhdhdhd6933
    @hdhdhdhdhdhd6933 5 років тому +3

    😥😥😥😥🤲Inshallah Mw/mungu atakualia kila jema Inshallah

  • @mimamkassy6563
    @mimamkassy6563 4 роки тому

    Khusnul khatma yaa Rabbi, mwenyezi MUNGU atujalie mazingatio.

  • @maulidmlette1953
    @maulidmlette1953 4 роки тому

    ALLAH akulipe yaloyakheri kutokamana na ukumbusho ulobora ewe mbora ktk waja. Na tunamuomba ALLAH atujaalie mwisho mwema.

  • @ummirashid8151
    @ummirashid8151 3 роки тому

    Mashallah. Allah akupe umbri mrefu na afya uzidi kutuelimisha.

  • @aisharamadhan4778
    @aisharamadhan4778 3 роки тому

    Allah,, akuweke shekhee wetu utumemema ya kufataa katika dunia... Allah,, akujalie mema na kizazi chako na jamaazako akuzidishie umbri wamema.... Amiin Amiin ya rabbi Allaah Amiin

  • @rhiophiri6857
    @rhiophiri6857 Рік тому

    Othman Maalim the best teacher

  • @sumaiyalukuman3652
    @sumaiyalukuman3652 5 років тому +11

    Eee Mwenyezi Mungu tujaalie Mwisho Mwema

  • @mamoulovecherry5121
    @mamoulovecherry5121 4 роки тому

    Ya ALLAH tujalie mwisho mwema utusame makosa ye tu Mola wetu mlezi utuwekeye hofu ndani ya nyoyo zetu ya Rabby twakuomba hr 👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 2 роки тому

    Subhanallah, Allah atuwezeshe ktk kufanya ibada, na atupe khusni lkhatima, jazakallah kheri shekh wetu.

  • @mody-guyngido2792
    @mody-guyngido2792 5 років тому +3

    Allah Akupe Afya na Umri Ulio na Baraka.

  • @hussenomary9577
    @hussenomary9577 4 роки тому

    Jazak llaah.Sheikh.wetu.Othman.maalim.mwenyezimungu.Akuzidishie.barkanyingi.Shekh Nahakika.wewenibahaari.kubwasana

  • @zubaidamasudi7173
    @zubaidamasudi7173 5 років тому +2

    Mashaa Allah Allah Guide and give you long life

  • @ukhtysakinaa7664
    @ukhtysakinaa7664 5 років тому +8

    SUBHANNALLAH, Yaa Allah twaomba salama yaa Rabbi, tujaalie khusnul khatima waja wako ya Rabbi

  • @aisharamadhan4778
    @aisharamadhan4778 3 роки тому

    Allah,, atuongoze wepesi wa kila jambo jema na mema filli dhunia walliy Akhera.. Allah,, atujalie mwisho mwema na vizazi vyetu ya rabbi Allaah Amiin Amiin

  • @biushinaaman3768
    @biushinaaman3768 5 років тому +3

    Allah atujaliye tuwe miongoni mwa waja wema.Allah akuhifadhi akukinge na husda

  • @nadiasuleman8569
    @nadiasuleman8569 2 роки тому

    Allah akulipe kheri

  • @zulufkhan1949
    @zulufkhan1949 5 років тому +2

    Shukran ustadh tunaongoka sana kwa mawaidha yako.

  • @kassimukuambiana3724
    @kassimukuambiana3724 5 років тому +1

    Nakupenda kwaajili ya Allah

  • @rosemarysebea8522
    @rosemarysebea8522 5 років тому +1

    La illaha illah llah.m mungu atuongoze ktk njia zilizo nyooka.ina Laila la taskhuruna

  • @sumaiyalukuman3652
    @sumaiyalukuman3652 5 років тому +4

    Hakika cku hiyo niyenye kutisha saaaanaaa

    • @aminamwende4176
      @aminamwende4176 5 років тому

      Sumaiya Lukuman ni siku isiyoelezeka tumwombe Allah akujaalie mwisho mwema

    • @aminamwende4176
      @aminamwende4176 5 років тому +1

      Sumaiya Lukuman samahani atujaalie mwisho mwema sote

  • @rahmasalum7107
    @rahmasalum7107 5 років тому

    Mashallah Allah shekh wetu mwenyez mungu akupe zako kwa kutupa mawaidha

  • @binbaya923
    @binbaya923 2 роки тому

    Maa shaa Allah

  • @saidaabdallaali5587
    @saidaabdallaali5587 5 років тому +1

    Allah akupe kheri

  • @jamilanassoro8408
    @jamilanassoro8408 4 роки тому

    InshaAllah Allah akujaze kheri Sheikh wetu🤲

  • @aishaabaad5297
    @aishaabaad5297 5 років тому

    Allah atujaalie wenye kusikia na kuongoka ili nawe shekhe uzidishiwe ktka mizani zako za hapa na kesho akher may Allah bless your blessed

  • @sulemanabbas9955
    @sulemanabbas9955 5 років тому +2

    masha Allah

  • @naamohamed9964
    @naamohamed9964 4 роки тому

    Jazakar allahu kher

  • @khadijaahmad4613
    @khadijaahmad4613 4 роки тому

    Maashallah

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 5 років тому

    Mashallah shukuran

  • @salmamusa9085
    @salmamusa9085 4 роки тому

    Mashaallah

  • @rajaburamadhani8911
    @rajaburamadhani8911 5 років тому

    Ya rabbi nakuomba mpe shekh Othman mwisho mwema kwa huruma zako

  • @fatmaalzidy1170
    @fatmaalzidy1170 3 роки тому

    Asalama Akeyekumu mngekuwa mnatuandika hizi Aya anazozisoma shukraani

  • @swabirswaleh7334
    @swabirswaleh7334 5 років тому

    in shaa Allah atujaliyeni wajaa wema na wenye neema.Tuwe katika wajaa waaskiifuu na Wenye TWAA,

  • @saidkhamistalib1984
    @saidkhamistalib1984 3 роки тому

    assalam alaikum

  • @fatumaramadhanmashaallahal9966
    @fatumaramadhanmashaallahal9966 5 років тому

    Shukran wajazaka llahu heri

  • @abdulrahmanmussa4479
    @abdulrahmanmussa4479 5 років тому

    Shukran sheikh Othman siku hizi watoto wana lelewa ki maghrib hawapigwi wazazi wanaogopa watoto hata wengine wana wahonga kujipendekeza kwa watoto

  • @faulatafahmi7733
    @faulatafahmi7733 5 років тому

    Allahu Akbar

  • @abdallahhussein8441
    @abdallahhussein8441 5 років тому

    Mashallaah

  • @rkenea4262
    @rkenea4262 5 років тому +1

    AMIIN AMIIN AMIIN

  • @salehhussein8428
    @salehhussein8428 5 років тому +1

    Asalaam alaykum asante Sheih

  • @issamohammednassor8688
    @issamohammednassor8688 3 роки тому

    Allahu Akbar