Hivi ndivyo Juma Duni alivyomuachia kijiti Othman Masoud kabla ya uchaguzi wa mwenyekiti mpya

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024
  • Mwenyekiti wa sasa wa ACT Wazalendo Mhe. Juma DUNI Haji akitoa tamko la kuondoa jina lake katika orodha ya wagombea wa nafasi ya mwenyekiti wa taiga wa chama hicho.

КОМЕНТАРІ • 21

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 7 місяців тому

    Huyu mzee talent sana na hawa,, ndio watu wenye akili ,wanazengo wa ccm walishapata neno but imeenda kombo

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 7 місяців тому +2

    Yaani Juma Duni una hekma unajua na unafahamu vyema sanna mazingira ya kisiasa.ww ni zaidi ya mwanasiasa.

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 7 місяців тому +1

    Nilijua siasa nlipenda siasa nikashiriki siasa kwa sababu ya hitba yake ya mwaka 2004 pale welezo jimbo la welezo.Daima ntakupenda hata nje ya siasa na misimamo ulonayo.

  • @salyali7807
    @salyali7807 7 місяців тому +4

    Respect Babu Duni . Uko moyoni mwetu daima

  • @MuhidiniNassor
    @MuhidiniNassor 7 місяців тому

    Siasa bwana sema ameshawazindua watu fulani kuwa mambo ndo yapo hivi mwenye akili ndie atakae fahamu

  • @AllyHassan-e2m
    @AllyHassan-e2m 7 місяців тому +1

    Wewe utabakia kuwa juma duni mwenye heshima kubwa historia iliyotukuka msimamo wako na mchanqo wako katika kupiqania haki vitadumu vizazi na vizazi vyetu munqu akusimamie akulipe malipo mema duniani na akhra twendako babu duni honqera wewe ni simba

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa9936 7 місяців тому +2

    Mbeto upoo jee unaweza ukaongea ujinga mwengine zaidi ule ulioongea mwanzo,? Mbeto wewe mtoto mdogo sana kwenye siasa, kafute maneno mengine ya kumwambia babu Duni tena ujipange kwelikweli na sio uingie kichwakichwa

  • @hajijuma9954
    @hajijuma9954 7 місяців тому

    Nakuomba usikuhame Wala usikiache chama. Endelea kuwa na Subra Allah atakutunuku cheo maalymu kwa ajili yako na WA Zanzibar kwa ujumla.

  • @knight6757
    @knight6757 7 місяців тому +1

    Mashallah....M.Mungu akubariki Babu Duni...Ameen...🤲🤲

  • @EshaHamd-ed9yv
    @EshaHamd-ed9yv 7 місяців тому

    Babu Duni hawezi kabisa kuwa CCM huyu ni Muungwana hataki kunyanyaswa sababu ni mpinzani wacheni uongo ufisadi uuwaji Wewe Mbeto si Fisadi Kaa na Mafisadi wenzio Mjinga Wewe mwenyewe hujielewi

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 7 місяців тому

    Siasa mchezo hautaki hasira maana kwa mizengwe hii hatar

  • @salyali7807
    @salyali7807 7 місяців тому +2

    Excellent Babu Duni

  • @Nabiilkhamis
    @Nabiilkhamis 7 місяців тому +1

    Uwo ndio ugwana japo kuwa inauma Sana kuwachia kiti

  • @lmdos4382
    @lmdos4382 7 місяців тому +1

    Dah Inatia uchungu kwa kweli

  • @masoudsalum
    @masoudsalum 7 місяців тому

    Sababu zote sio za uhiari yake

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 7 місяців тому +2

    Babu vip anaewaonesha ustaarabu mkubwa

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 7 місяців тому +1

    Hahahaha,,,Babu ameng'atuliwa!!!

  • @SalumSaid-j8g
    @SalumSaid-j8g 7 місяців тому +1

    Tokeni wanafki nyie