PILI PILI HOHO NYEKUNDU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • fahamu zaidi kuhusu zao la pilipili hoho nyekundu

КОМЕНТАРІ • 12

  • @brianmathias3312
    @brianmathias3312 3 місяці тому

    Uko vizuri sana dada

  • @gabrielsanga5313
    @gabrielsanga5313 4 роки тому +1

    Mbegu gan ni bora zaidi

  • @jerominipatrice3560
    @jerominipatrice3560 8 місяців тому

    Greenhouse zinatengezezwaje mnaeza tusaidia namba?

  • @upendomgeta3758
    @upendomgeta3758 6 років тому +3

    Naomba muoneshe na namna kilimo cha hoho bila kutumia green house.
    Sio wote tunaweza kuafford gharama ya greenhouse.

    • @kilimobiashara9361
      @kilimobiashara9361  6 років тому +2

      Tunatafuta hizi taarifa kwa gharama isiyochangiwa na mtu yeyote mpaka sasa, jambo jema ni kwenda kwa Afisa ugani aliyekaribu yako atakusaidia

  • @jerominipatrice3560
    @jerominipatrice3560 8 місяців тому

    Mbegu za njano na nyekundu wapi napata asee na zinaitwaje au kampuni gani?

  • @freddymello3227
    @freddymello3227 4 роки тому

    zinafaa kulima wakati wa mvua nyingi?

  • @mukra44
    @mukra44 7 років тому

    kipindi cha ufugaji wa kuku wa mayai please tunaomba mkipost humu it's Two week sasa inakaribia

    • @kilimobiashara9361
      @kilimobiashara9361  7 років тому +1

      tuvumilie kidogo kuna taratibu za hakimiliki kufuatwa baada ya muda tutakiweka

    • @mukra44
      @mukra44 7 років тому +1

      Thanks i understand.

    • @racheltesha193
      @racheltesha193 6 років тому

      Naweza pata mawasiliano na Pamela lyamuya

  • @eliakimsando2919
    @eliakimsando2919 4 роки тому

    Eti taha ina ofisi dar?