UFUGAJI WA KUKU, MABORESHO UFUGAJI WA NGO'OMBE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Ushauri wa kitaalamu kutoka kwa Dr.Massawe

КОМЕНТАРІ • 22

  • @aishaomar4318
    @aishaomar4318 6 років тому +6

    Huyu mzee hatupi kitu 😁😁😁mpaka kinyesi anatengeza gesi yakupikia. Sijui manyoya yakuku anatengezea nini. Safi sana

    • @abdullahsayid5280
      @abdullahsayid5280 4 роки тому

      Mto wa kulalia

    • @mactongathe179
      @mactongathe179 3 роки тому

      manyoyaaaa anaweza tengenezaaa Plastic akapataa Vtuu flaniii baaada ya kuyayeyushaa na kuweka shape

  • @mimosapudica1894
    @mimosapudica1894 3 роки тому

    Naomba kupata mawasiliano ya Dr Massawe ningependa kumtembelea kujifunza zaidi!!Shukran

  • @luckysoodys9515
    @luckysoodys9515 3 роки тому

    Shukran Sana Dr Massawe kwa Darasa la Ufugaji

  • @stephengalinoma8590
    @stephengalinoma8590 6 років тому +2

    Mzee nimemkubali Sana.

  • @superkingkong1034
    @superkingkong1034 7 років тому +3

    napenda hii chanel

  • @johnmerryinnocent1953
    @johnmerryinnocent1953 3 роки тому

    Napataje hiyo mbegu

  • @issamkali4162
    @issamkali4162 7 років тому +1

    Channel nzuri mnatupa faida nyingi,tuelekezeni na masoko yanapatikana wapi?

  • @samaalexmaleto2509
    @samaalexmaleto2509 7 років тому +1

    Natanguliza shukrani zang kwa mtayarishaji WA kipindi hiki,na mtaalam Dr.Efraimu kwa elimu nzuri.
    Mimi Niko mbion kuanza kufuga kuku wa nyama (Broiler). Naomba kufaham juu ya aina ya chakula BORA kinachofaa kutumika kwa kuku aina hiyo,ili kupata uhakika wa uzito wa kuku ...(uwe zaid ya 1.8 kg au 2kg baada ya week)?

    • @samaalexmaleto2509
      @samaalexmaleto2509 7 років тому

      Marekebisho:BAADA YA WEEK5

    • @aishaomar4318
      @aishaomar4318 6 років тому

      Umeshaanza kufuga ao kuku??? Mana na mm naipenda io kazi lkn nataka ao kroela

    • @aishaomar4318
      @aishaomar4318 6 років тому

      Kweli kabiaa mana namm apo kwenye market ndo mpango

  • @godsonchacha9445
    @godsonchacha9445 7 років тому +4

    Naomba kupata mtaji wa ng'ombe wa maziwa naona hapo upo wa kuku

    • @kilimobiashara9361
      @kilimobiashara9361  7 років тому

      angalia star tv saa tatu usiku jumapili tarehe 25-06-2017 patakua na hizo taarifa ama subscribe baada ya muda zitakua hapa

    • @kilimobiashara9361
      @kilimobiashara9361  7 років тому +1

      Tayari tumesha upload hicho kipindi pitia vipindi vyetu utaona

  • @amalahmad6590
    @amalahmad6590 5 років тому

    kipindi kizuri sana lakini sisi wafugaji wakuku wanyama soko jamani mtusaidia tupate soko lauhakika

  • @fabianlyimo7186
    @fabianlyimo7186 7 років тому +1

    Hao bata wanaokuwa haraka na wa kisasa wanapatikana wapi?

  • @bobwhite9252
    @bobwhite9252 5 років тому

    Hahah,uko vzur....okay. kuna mchanganuo nmeuona hapo wa kufuga kuku wa nyama kwamba mtaj 1.4m na faida ni 700k,.nauliza hao kuku unafugia wap?mbona gharama za banda hakuna

  • @mohamedsalum9465
    @mohamedsalum9465 7 років тому

    Hiyo hesa ya faina ni kuku ina gani?