ASANTE ADUI ZANGU - NEEMA BONIFACE FT ELSHAMA WASHIRA ( OFFICIAL 4K VIDEO)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 203

  • @phaustineokitwi7043
    @phaustineokitwi7043 4 місяці тому +9

    Wakenya wapi likes za Binti yangu mrembo 💓💓💓all Kenyans let's gather here 🇰🇪 please

    • @madamneema7626
      @madamneema7626  4 місяці тому

      @@phaustineokitwi7043 Barikiwa sana Mami wangu mzurii,❤️❤️❤️

  • @Irenee-sn1du
    @Irenee-sn1du 2 дні тому +1

    Amen wimbo huu umenitia moyo na nguvu mpya ,zidi kubarikiwa sana

  • @SaraphinaSaraphina-b9c
    @SaraphinaSaraphina-b9c 25 днів тому +1

    MUNGU akutumiye kwa viwango vya juu zaidi nimebarikiwa sana

    • @madamneema7626
      @madamneema7626  24 дні тому +1

      @@SaraphinaSaraphina-b9c EMEEN ZIDI KUSITAWI

  • @BlèssîngJùmà-c8g
    @BlèssîngJùmà-c8g 2 місяці тому +2

    Waooooh kasauti katamu Hadi Raha utafikili mdogo wake jeniph mgendi I like it 😘😘❤

    • @madamneema7626
      @madamneema7626  2 місяці тому

      @@BlèssîngJùmà-c8g Asante ubarikiwe Sana 😘

  • @madamneema7626
    @madamneema7626  4 місяці тому +22

    KARIBU UBARIKIWE NA WIMBO WANGU WA ASANTE ADUI ZANGU ❤SUBSCRIBE LIKE COMMENT PLEASE ILI KAZI YA MUNGU IENDELEEE,MBARIKIWE SANA 🙏🙏🙏 +255786096699

  • @SadickStephano
    @SadickStephano 4 місяці тому +3

    Ubarikiwe sana wimbo wa viwango vya juu huu Adui ni njia hapa duniani

  • @eunicemusyoka4448
    @eunicemusyoka4448 Місяць тому +2

    Kweli wimbo niwangu nabarikiwa ; God bless you

    • @madamneema7626
      @madamneema7626  Місяць тому

      @@eunicemusyoka4448 EMEEN zidi kusitawi 👏🏽😍

  • @JanethShadrack
    @JanethShadrack 2 місяці тому +2

    Dah dada mungu akupandishe viwango ulijuaje napitia haya ❤❤❤🎉

    • @madamneema7626
      @madamneema7626  2 місяці тому +1

      @@JanethShadrack Ameen zidi kusitawi👏🏽😍

  • @KelvinWanjala-j1c
    @KelvinWanjala-j1c 26 днів тому +1

    Nimebarikiwa mrembo mungu akusidishie,

  • @PaulMusembi-s9i
    @PaulMusembi-s9i 4 дні тому +1

    Kazi kuntu kabisa madam keep up ❤❤❤❤

    • @madamneema7626
      @madamneema7626  4 дні тому

      @@PaulMusembi-s9i Ameen ubarikiwe Sana Mpendwa

  • @MaureenMalusha
    @MaureenMalusha 4 місяці тому +3

    Mungu akubariki sana Neema Boniface huu wimbo umenibariki sana mpendwa

  • @JustinaMambo-jb4uj
    @JustinaMambo-jb4uj 4 дні тому +1

    Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah groly to God love from Zambia

    • @madamneema7626
      @madamneema7626  4 дні тому +1

      @@JustinaMambo-jb4uj Ameen Ubarikiwe Sana mtu wa Mungu 👏🔥

  • @laoiyadi1176
    @laoiyadi1176 4 місяці тому +2

    Mdogo wangu Neema MUNGU Akuinue zaidi 🎉 Nawakilisha wana kb na tz yote tokea hapa Nairobi ❤nimetoka TikTok mpaka hapa 🎉🎉

    • @madamneema7626
      @madamneema7626  4 місяці тому +2

      @@laoiyadi1176 Wawooo ubarikiwe Sana 😍😍 my love

  • @HappyJoel-o6f
    @HappyJoel-o6f Місяць тому +1

    Blessing song congratulation God bless you and your family

  • @AntônioDonizette-f2h
    @AntônioDonizette-f2h 29 днів тому +1

    Deus abençoe você moça com esses louvores é muito maravilhoso gostei muito fico feliz em ver e ouvir só Jesus abe

  • @mrnickmusician7139
    @mrnickmusician7139 4 місяці тому +3

    Nice song nimebarikiwa sana mtumishi keep it up karibu Kenya mtumishi 🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @madamneema7626
      @madamneema7626  4 місяці тому +3

      @@mrnickmusician7139 Ameen Asante sana one day yes Mungu atupe uzima

  • @christinemuoki-f4g
    @christinemuoki-f4g 2 місяці тому +1

    Wimbo mazuri sana,,,,,,,endelee ivyo

  • @DeborahAchieng-cl3wd
    @DeborahAchieng-cl3wd 2 місяці тому +2

    Asante dada mungi akutie ngufu nimebarikiwa sana

    • @madamneema7626
      @madamneema7626  2 місяці тому

      @@DeborahAchieng-cl3wd EMEEN ZIDI KUSITAWI

  • @sarahadam4812
    @sarahadam4812 3 місяці тому +1

    MUNGU akubariki sana ndugu yangu mdogo wangu Hatua kubwa sana MUNGU azidi kukuinua na adui zako warudi nyuma kwa jina YESU.

  • @AntônioDonizette-f2h
    @AntônioDonizette-f2h Місяць тому +1

    Amém Jesus aleluia esses louvores só trás alegria pra nossas vida sinto muito feliz por esses louvores esperado por Deus

  • @Mc_daktari
    @Mc_daktari 4 місяці тому +3

    Woow this is big Mungu wa mbinguni azidi kukuinua🔥🔥

  • @SamuelRay1
    @SamuelRay1 4 місяці тому +1

    Mungu aongeze mipaka ya uduma yako we loves you from USA 🇺🇸 karibu kwetu 🇺🇸 🇺🇸 USA🎉 one day tutaimba

    • @madamneema7626
      @madamneema7626  4 місяці тому +1

      EMEEN UBARIKIWE SANA MTU WA MUNGU. +255786096699

  • @MUSSAJOHN-xv2zb
    @MUSSAJOHN-xv2zb 4 місяці тому +4

    Wimbo mzuri sana dada

  • @amosthomas9897
    @amosthomas9897 4 місяці тому +2

    Barikiwa sana mtumishi nakutakia mafanikio mema

  • @obiya66
    @obiya66 4 місяці тому +1

    Woow nami pia naomba mungu aninue

  • @christianchavala8785
    @christianchavala8785 4 місяці тому +2

    Waogh it's a blessing.....tunabarikiwa hakika 🙏

  • @EliviaMlowe
    @EliviaMlowe 4 місяці тому +1

    Jamani nimebarikiwa na hii nyimbo karibu tena kanisani kwetu ulikuja na komando WA yesu

    • @madamneema7626
      @madamneema7626  4 місяці тому

      @@EliviaMlowe Ooh Asante sana Ubarikiwe sana 👏👏👏👏🏽

  • @ministerprincej7033
    @ministerprincej7033 4 місяці тому +1

    Mungu akuneemeshe mpendwa zidi kung'aa🎉🎉🎉🎉🎉Wimbo nzuri ya shukrani Kwa maadui zangu.❤

  • @priscapetro2999
    @priscapetro2999 4 місяці тому +2

    Hongera sana mtumishi nyimbo imenigusa sana huu ujumbe

  • @officialdiana_nkumbi7998
    @officialdiana_nkumbi7998 4 місяці тому +2

    Unarikiwe mrembo wangu Mungu azidi kukuinua

  • @LAVENDERMIGUNDE
    @LAVENDERMIGUNDE 4 місяці тому

    Hongeraaa watumishi wapakwa mafuta ...Mungu azidi kuwatumia kwa ajili ya kazi yake...hakika mnaenda mbali sana ..Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪tunabarikiwa mno mno wapenzi wa Sisi hapa 🙏🙏🙏🙏🙏💃💃💃💃

    • @madamneema7626
      @madamneema7626  4 місяці тому

      @@LAVENDERMIGUNDE AMEEEN AND AMEEN UBARIKIWE SANA LAVENDER WANGU ❤️❤️❤️

  • @DeborahMutono
    @DeborahMutono 4 місяці тому +1

    Ubarikiwe na Mungu akuongezeye maono

  • @nkwayamasanja1998
    @nkwayamasanja1998 4 місяці тому

    Chaaaaa mpaka nimetokwa na machozi kwa wimbo mzuri na story inagusa sana. HONGERENI ADUI ZANGU MMEKUWA NJIA YA MIMI KUWA HAPA LEO... Hongereni sana watumishi mbariikiwe sana wimbo mkubwa sana huu mfike mbali

    • @madamneema7626
      @madamneema7626  4 місяці тому

      EMEEN UBARIKIWE SANA MTUMISHI WA MUNGU ❤️🙏

  • @rev.mariamarthachazkailemb609
    @rev.mariamarthachazkailemb609 4 місяці тому

    Hongera sana binti yangu mzuri kazi ni nzuri sana..Mungu akufikishe mbali zaidi.❤❤

    • @madamneema7626
      @madamneema7626  4 місяці тому +1

      @@rev.mariamarthachazkailemb609 AMEEN ASANTE SANA MAMA YANGU MZURII

  • @magrethevarist4378
    @magrethevarist4378 4 місяці тому

    Hongera mno mtumishi wa MUNGU Kwa kazi njema yaan video imekuwa nzuri na ujumbe ulioko ndani yake ni mzuri. MUNGU Azidi kukuinua sana yaan uende viwango unavyotamani Kwa Utukufu wa MUNGU ❤❤

  • @phaustineokitwi7043
    @phaustineokitwi7043 4 місяці тому +3

    Wow wimbo mkumbwa

  • @sedekiakiza
    @sedekiakiza 3 місяці тому

    kazi nzuri sana mtumishi wa MUNGU

  • @rehemamatembo
    @rehemamatembo 4 місяці тому

    Hongera sana mdogo wangu Hakika adui wamekuwa ndio daraja la sisi kuvuka

  • @MeshackMachiya
    @MeshackMachiya 4 місяці тому

    Barikiwa sana mtumishi kw Kazi nzuri nabarikiw sana Nakajima zako❤❤🎉🎉

  • @johnmshan4017
    @johnmshan4017 4 місяці тому

    Ubalikiwe sana 🎉🎉🎉🎉

  • @francismwantui7794
    @francismwantui7794 4 місяці тому +1

    Congratulations sister u made my evening wonderful

  • @wandiafaith778
    @wandiafaith778 3 місяці тому +1

    Woow 🥰 Mungu akubariki sana...

  • @elishageorge492
    @elishageorge492 4 місяці тому

    Hongera sana Sana Kwa Baraka Hii❤❤

  • @anethdaud2456
    @anethdaud2456 4 місяці тому

    Hongera kipenz changu kwa kazi nzur

  • @Migapogospel678
    @Migapogospel678 Місяць тому

    Usifiwe bwana mungu🎉

  • @elcamarco7171
    @elcamarco7171 4 місяці тому

    Ooh asante Adui zangu… wimbo wa baraka kabisa ubarikiwe mpedwa🎉

  • @justinegabrielofficial3210
    @justinegabrielofficial3210 4 місяці тому

    Waoooh wimbo mzuri unatia moyo

  • @GoodMusic-hn4nu
    @GoodMusic-hn4nu 4 місяці тому

    Hongara SANA Kwa huduma njema MUNGU akutunze zaid mtumshi wa MUNGU ❤❤

  • @fredricksikukuu2743
    @fredricksikukuu2743 4 місяці тому

    Waaaau amazing glory to God wimbo mzuri sana 🙏🙏

  • @mcrayhagaya4476
    @mcrayhagaya4476 4 місяці тому

    Ubarikiwe Sanaa neema kwa wimbo mzurii

  • @dennistissoh2764
    @dennistissoh2764 4 місяці тому

    So powerful 💪 and encouraging...more grace bro elshama and Grace ❤

  • @afandebrighttz2887
    @afandebrighttz2887 4 місяці тому

    Hongera sana wimbo mzuriiii

  • @johnsonpyuza0404
    @johnsonpyuza0404 3 місяці тому

    Wow, this is great Ney

  • @GiftZawadi-x8t
    @GiftZawadi-x8t 4 місяці тому

    Barikiwa dadangu mungu akuinue kiwango sana❣️

  • @RizikiOmari-gq7qt
    @RizikiOmari-gq7qt 28 днів тому

    Iyowimbo umenifundishasana😊😊😊😊😊😊

  • @fredmacam2210
    @fredmacam2210 4 місяці тому

    Wimbo Huu ina mafunzo mingi Sana🙏🙏🙏🙏Ubarikiwe dadangu

  • @boazrhithik2697
    @boazrhithik2697 4 місяці тому

    Barikiwa mno dada 🔥 ni zaidi ya fire 🔥🔥

  • @RemmyMangare
    @RemmyMangare 4 місяці тому

    Ubarikiwe sanaaa mungu akupeleke viwango vingine

  • @emmabjstar8663
    @emmabjstar8663 4 місяці тому

    Nice song kubwa hii mmetisha sanaa keep up

  • @daudjames8999
    @daudjames8999 4 місяці тому

    Waooooo nice song My sister neema be blessed

  • @BasaboseJosué-o7t
    @BasaboseJosué-o7t 4 місяці тому

    Hongera sana mungu akupe bguvu

  • @ReaganGT-ww4vu
    @ReaganGT-ww4vu 4 місяці тому

    Hongera saaana 🥰🥰

  • @MaureenZawadi-jh8qj
    @MaureenZawadi-jh8qj 2 місяці тому +1

    Ubarikiwe dadaangu

  • @benardkilonzitv.6663
    @benardkilonzitv.6663 13 днів тому

    God bless you so much. This has touched me

  • @RehemaKisongaOfficial
    @RehemaKisongaOfficial 4 місяці тому

    Amen my sister balikiwa mnoooo

  • @JustinKituyamaana-og3bg
    @JustinKituyamaana-og3bg 4 місяці тому

    Wimbo nzuri Sana kbs mubar

  • @abednegosungo7300
    @abednegosungo7300 4 місяці тому

    Waoooow nice song,, barikiwa Sana🤝🙌

  • @psthermanmshana2909
    @psthermanmshana2909 4 місяці тому

    Nzuri sana ubarikiwe na wimbo huu ueenee kila mahali.

    • @madamneema7626
      @madamneema7626  4 місяці тому

      @@psthermanmshana2909 EMEEN UBARIKIWE SANA 🙏🙌

  • @Marylimo
    @Marylimo 4 місяці тому

    Hakika tutalipwa na Bwana mbarikiwe watumishi kwaujumbe mzuri

    • @madamneema7626
      @madamneema7626  4 місяці тому

      @@Marylimo HALLELUJAH HALLELUJAH MUNGU ANALIPAA YEYE😍😍😍

  • @Magoma.thequeen
    @Magoma.thequeen 3 місяці тому

    Good job🙏🏻🙏🏻
    From kenyan❤

  • @mamusenior2730
    @mamusenior2730 4 місяці тому +1

    This is me😢🇰🇪🙏

  • @mcmswaki255
    @mcmswaki255 4 місяці тому

    Mungu azid kukuinua katika huduma yako

  • @minzasamweli7163
    @minzasamweli7163 4 місяці тому +1

    Viwangooooooiooii, I love this song

  • @alexmwakikambako4743
    @alexmwakikambako4743 4 місяці тому

    🔥🙏 kazi nzri sana mungu akubariki

  • @athanastairo2144
    @athanastairo2144 4 місяці тому

    Hingera sana mtumish

  • @ShadrackNdorenge
    @ShadrackNdorenge 4 місяці тому +1

    Bila unafiki huu wimbo ni mzuri sana

    • @madamneema7626
      @madamneema7626  4 місяці тому

      @@ShadrackNdorenge EMEEN UBARIKIWE SANA

  • @GospelSupporters
    @GospelSupporters 4 місяці тому

    Kazi Nzuri Mtumishi Wa Mungu💪💪

  • @PatrickBihembo
    @PatrickBihembo 2 місяці тому

    Asante kwa wimbo muzuri

  • @elisantempuqween9408
    @elisantempuqween9408 4 місяці тому

    Ubarikiwe mtumishi

  • @emmanuelimark4141
    @emmanuelimark4141 4 місяці тому

    Barikiwa sana kwa viwango hiv

  • @Jackdeegodson
    @Jackdeegodson 4 місяці тому

    Barikiwa sana dadangu mm shabiki mpya

  • @IconePaul-gh9qk
    @IconePaul-gh9qk 4 місяці тому

    Wimbo mzuri dada

  • @rashtz2785
    @rashtz2785 4 місяці тому

    Wimbo una ujumbe, hongera

  • @thomasmasika7289
    @thomasmasika7289 4 місяці тому

    Hongera dada yangu ni Ruth moon

  • @atolwacedrick4125
    @atolwacedrick4125 4 місяці тому

    Wow...be blessed...a hit

  • @wilsonborwn4166
    @wilsonborwn4166 4 місяці тому

    Nikweli hii song inamanisha really

  • @enockkabika9381
    @enockkabika9381 4 місяці тому

    Ameeeeni Ameeeeeni wimbo mzuri sana hongera sana

  • @PaulinaHole
    @PaulinaHole 4 місяці тому

    Hongera sanaa kipnz

  • @Risper-e2g
    @Risper-e2g 3 місяці тому

    This is a nice song and powerful asanteni maandui

  • @esthaniyokwizera6312
    @esthaniyokwizera6312 4 місяці тому

    Mungu akuinuwe zaidi

  • @InnocentAutumnTrees-ux1jj
    @InnocentAutumnTrees-ux1jj 4 місяці тому

    Mungu atupe uvumilivu na atuvushe salama

  • @MINISTERGLORY-Tanzania
    @MINISTERGLORY-Tanzania 4 місяці тому

    Wimbo wa maisha yangu ubarikiwe my love

  • @desaumwaweza
    @desaumwaweza 4 місяці тому

    Hakika Huyu wimbo umezingumuza ukweli mtupu asante adui zangu

  • @officialjamhurizachariagos2797
    @officialjamhurizachariagos2797 4 місяці тому

    Ubarikiwe sana rafik yangu

  • @RizyGirl
    @RizyGirl 4 місяці тому

    Hongera my sister love u 💕💕💕💕

  • @patriciazephania1195
    @patriciazephania1195 4 місяці тому

    Mungu akuinue sana mdg wangu

  • @SaraPeter-z2u
    @SaraPeter-z2u 20 днів тому

    Hakika ni kuwapa asante maana bila hao maadui hatuwez kufika bari wao ndio daraja la ww kupiga hatua

  • @ayubumwakamisa1979
    @ayubumwakamisa1979 4 місяці тому

    Hongela Sana

  • @VincentBendatee-ld6uu
    @VincentBendatee-ld6uu 3 місяці тому

    More grace 🙏

  • @GodfreySamwelMuwila
    @GodfreySamwelMuwila 4 місяці тому

    Ongera sana wimbo mzuri