Ameeen mtumishi 🙏🙏nitetee is my favorite song nimerudia mara kibaoo MUNGU akubariki mnooo,,, anaeungana nammi kumsaport mtumishi wa MUNGU agonge like nyingi
Kenya, they don't know how much we love them,,,,,let us show our brother likes and sharing his songs,,,, Kenya twapenda nyimbo za washira keep on shining young talented Man ❤
Hakika huyu yesu ni waajabu sana,,,Nashukuru kwa kuwa yeye ndiye mtetezi wetu kila wakati ,,,,Tunakupenda yesu maana wewe ndiye mtetezi wangu 😢😢❤❤❤❤❤❤❤
Mungu akupe nguvu na mamlaka na ujasiri mwingi upite juu ya vichwa vya maadui bila kujali,maana kule mungu anakokupeleka ni bora zaidi kuliko hapo ulipo
Amina nyimbo zako zinabariki mungu akuuinue zaidi mtimixhi hakika mungu ananguvu kuzidi adui zetu mungu wangu naomba nitetee wasiniangamize more love kwako by zilpha mtoro from zanzibar tz
kazi nzuri sanaa love from Tanzania
Ameeen mtumishi 🙏🙏nitetee is my favorite song nimerudia mara kibaoo MUNGU akubariki mnooo,,, anaeungana nammi kumsaport mtumishi wa MUNGU agonge like nyingi
Bigup kaka,nakupenda ivo tu.God is always there
Kenya, they don't know how much we love them,,,,,let us show our brother likes and sharing his songs,,,, Kenya twapenda nyimbo za washira keep on shining young talented Man ❤
Hi his from kenya
Amen he is a Kenyan???❤❤❤ Walai good blessed ministry
Ata sisi tunawapenda
Mungu akuteteee kaka, watainua mitego yao kwako lakini unayemtumikia atakutetea siku zote
Amen ..
Barikiwa mtumishi..nitetee wasiniangamize
Wow that's awesome God bless you brother
Ndio Mungu nitetee wasiniangamize
Amen Karibu Jic MSHOMORONI
Wimbo nzuri sana God bless you 🙏
Huu ujumbe ni Wangu na Namin Mungu atanitetea.
Soo poweeful song. Kweli MUNGU wangu nitetee.
Woow washira Mungu akubariki
Wimbo nzuri kaka Mungu azidi kupa kibali
Jamani waimba vizuri,watunga vizuri,
Mungu yupo siku zote 🙏 nice en powerful song
Hakika huyu yesu ni waajabu sana,,,Nashukuru kwa kuwa yeye ndiye mtetezi wetu kila wakati ,,,,Tunakupenda yesu maana wewe ndiye mtetezi wangu 😢😢❤❤❤❤❤❤❤
mungu ni mwema awezi kukuacha
Mungu aendelee kututetea
Niteee eeeeeeh mungu wang leo na mimi nmechka mateso ya kukosa ajira na masimango eeeeh yesu wa Ibrahim nakuomba leo unitetee na m 😭😭😭😭😭😭😭
Number 214 to watch this amazing video God bless you Washira
❤mungu skutie nguvu nabarikiwa nanyimbo zako
Hoooooh washi wangu kaz nzuri san MUNGU aendeleee kukutia nguvu
Amina Nashukuru sana dadangu
Nitee eh mungu wangu kwa kila jambo 😢
Good job brother washila,keep going
That voice ni kama Martha..i love da song
Powerful message my brother i love your ministry ntakutafuta
From TikTok presenter Kai ...waaaah you are blessed
Nitetee Mungu wangu adui wasinimalize. Barikiwa sana mtumishi washira
Amen🙏🙏🙏🙏😭😭😭🧎🧎this song umeimba juu yangu
Powerful song mtumishi
Good song.kijana mungu andelee kukuinua katika hii huduma
Napenda sana unachofanya brother mungu akutie nguvu
Powerful message broo God bless you
Amen mungu Yuko Kwa walio wake
Ooo Mungu wangu nitetee wasiniangamize 🙏🙏🙏🙏
Washira nyimbo Zinanifariji big up bro♥️
Kazi nzuri sana kakangu nakumbuka enzi hizo tukiwa psalms records siloam na producer abbz,mungu akubariki kwa kazi zako ndugu kipaji unacho
Kazi safii kakangu 🎉
Nakubali mtume....you never disappoint
Mungu nitetee bwana wasiniangamizie barikiwa sana Elishamah nyimbo zako hunibariki sana
DAAAH MY BROTHER😢😢YOU GAT A TALENT BRUH GOD BLESS YOU
Kweli kabisa mungu akutete mtumishi Keep it up nice song
❤❤❤❤❤❤so powerful God in control thanks bro washira🎉
Mungu akubariki sana washira wimbo huu umenigusa sana,niliwasaidia wakati wa shida zao lakini sahi wananipiga vita , eeeee Mungu nitetee😢😢😢😢
Nitetee mungu wangu 🙏😭😭
Barikiwa sana mtumishi wa mungu kwa nyimbo hii yanitia moyo
This song inanibariki Sana naeza iskiza kwa siku mara 3
Nitetee Mungu wangu 😢😢😢
Very powerful mtumishi....keep soaring high
Blessing song mtumishi
# a blessing to have you bro with such a good and melodious voice
Ooh Yesu wangu ee Mungu wangu nitetee. Yesu akutunze washira nyimbo zako zinanitia moyo
Mungu akubariki sana🙏🙏🙏
Very powerful bro 👏👏👏💪💪💪💪
So impressive 👏🏼 ❤️❤️🎈🎈⚘️⚘️
Mimi hadi siangalii mwenye kuimba na sauti.... wimbo huu umebeba UJUMBE MKUBWA KABISA.... Mungu nitetee🙏🙏🙏
Powerful more grace brother
Mungu akupe nguvu na mamlaka na ujasiri mwingi upite juu ya vichwa vya maadui bila kujali,maana kule mungu anakokupeleka ni bora zaidi kuliko hapo ulipo
Wachira nimelia kweli hii song imenigusa. Go far brother
Hallelujah 🙌 so powerful, mtetezi wetu yu hai na kimbilio la karibu wakati wa shida,barikiwa kaka washira kwa huu wimbo
❤❤❤I love your songs my God bless you you really blessed me so much washira
Go go pick that gold bro powerful massage dear hakika mungu akutee kwa kila hatua
Ombi langu kwa Mungu ni ani tetee wasiniangamize 🙏🙏
Ameeeen nitete ewe Mungu wangu wasiniangamize nakuomba Babq barikiwa sana kwa ujumbe mzuri
Nimeguzwa na wimbo wako Bwana Washira acha Mungu akubariki
amen 🙏 ee mungu endelea kunitetea pamoja na familia yangu
Nitetee mungu wangu pamoya na makosa yangu niteteye mungu wangu amen😢😢
Eeeh mungu wangu kupitia Wimbo huu nijibu hoja za moyo wangu na unitetee😢🙏🙏,,mungu akubariki kaka
Ameeen nice song mungu azidi kukuinua kiwago cha juu.
Am here buddy🎉🎉🎉🎉🎉mungu ndiye mtetezi siku zote
Wow what a great song,keep up Minister
Nitetee bwana YESU wasiniangamize maadui wako kila mahali
Nabarikiwa na hii nyimbo sana kakangu kweli mungu Yuko ili kukutetea
Yes servant of God,atatutetea kila wakati.Baraka
Ongera KUBWA ƙwakweli❤
Powerful message... Nitetee very touching song my brother more grace🎉
❤❤much love nice song keep going elshamaah
Uko vizuri nafarijika sana na nyimbo ❤
Wow🥰🥰 nitete MUNGU wangu🔥🔥🙏🙏
Great song and very inspiring# Nitetee Mungu njama zao zikafeli katika jina la Yesu❤❤
Amen barikiwa neema Yako initetee ewe Mungu wangu
Asante Yesu kutapatia waimbaji kama hawa kwa taifa letu la Kenya 🙏🙏
Nitetee leo Mungu wangu nimepitia magumu
Wimbo huu unanibariki sana 😢😢
I just wow, and soo powerful 😍❤️
In every situation we will call our God , hata tusemwee Kila sehemu yesu wewe tu ndio mtetezi🙏
Amina nyimbo zako zinabariki mungu akuuinue zaidi mtimixhi hakika mungu ananguvu kuzidi adui zetu mungu wangu naomba nitetee wasiniangamize more love kwako by zilpha mtoro from zanzibar tz
Powerful one my brother love your songs
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉The voice.... Akutete kweli Mungu
Waaau I wish we were to subscribe 1000times thanks br your songs makes me to be strong blessed also thanks
Blessed my brother
So powerfull shikilia hapo kaka unaenda mbali in jesus name🙏🙏
powerful song am very uplistwd with the song
Powerful message 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Wow, 😘 mungu mtetezi wa Kila mja
Mungu azidi kukuinua nyimbo zako hunibariki sana bro
Amen tutetee Mungu wetu hatuna mwingine
Straight from the TikTok up to here, keep going washira
So powerful my twin 🙏🏻🙏🏻🙏🏻God keep blessing more and more 🙏🏻🙏🏻
Bytha mnafanana
Physically and spiritually twin brother 🙏Lord defend us all in every situations 🙏🙏🙏
God bless you bro.....glory to glory ❤❤
Nyimbo nzuri kweli 🙏🏾