HERI YAKO WEWE- BY SIFAELI MWABUKA SKIZA CODE 5708286 TO 811
Вставка
- Опубліковано 1 чер 2020
- #calloffice255625444704#254799200738
SIFAELI MWABUKA-mwabuka media& Digital
Stream/download:SIFAELI MWABUKA-mwabuka media& Digital
Stream/ / sifaelimwabukaofficial...
Digital Distribution & Marketing by MKONONI LTD
Subscribe for more official content from Sifaeli:
/ sifaelimwabukaofficial...
Follow Sifaeli Mwabuka
Instagram: sifaeli mwabuka
Twitter:
Facebook: sifaeli mwabuka
Tiktok: sifaeli mwabuka
Listen to Sifaeli mwabuka
UA-cam: / sifaelimwabukaofficial...
Audiomack: sifaeli mwabuka
Apple Music: sifaeli mwabuka
Spotify: sifaeli mwabuka
Boomplay: sifaeli mwabuka
The official youtube channel of Sifaeli Mwabuka.Subscribe for the latest music videos, performance,and more
For booking & more
Email.mwabukamedia@gmail.com
contact:+255625444704 Tanzania
Digital Distribution & Marketing by MKONONI LTD
Subscribe for more official content from Sifaeli:
/ sifaelimwabukaofficial...
Follow Sifaeli Mwabuka
Instagram: sifaeli mwabuka
Twitter:
Facebook: sifaeli mwabuka
Tiktok: sifaeli mwabuka
Listen to Sifaeli mwabuka
UA-cam: / sifaelimwabukaofficial...
Audiomack: sifaeli mwabuka
Apple Music: sifaeli mwabuka
Spotify: sifaeli mwabuka
Boomplay: sifaeli mwabuka
The official youtube channel of Sifaeli Mwabuka.Subscribe for the latest music videos, performance,and more
For booking & more
Email.mwabukamedia@gmail.com
contact:+255625444704 call
+255719482223 Whatsapp
Heri yako wewe uliyemwamini Yesu na kutubu dhambi zako
Heri kumwamini Yesu...
wow wow wow....i love everything about you from your sweet voice...be blessed
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu mungu akubariki sana kwa ujumbe mnzuri
Barikiwe Sana Mtumishi wa Mungu. Mungu azdi kuinua kipaji chako cha uimbaji.
hongera mtumishi
Barikiwa mtumishi kwa wimbo mzuri
Amen barikiwe sana
Hogera sana mtumish wa mungu,,bwana akubariki na akuogezee kibali
Iime
Bonge la message yenye upako
Heri tumwamini yesu
Amina 👏👏👏kaka sifaeli mungu awe nawe kila wimbo unaoutowa akuongoze yeye tunaye mwamini mungu mkuu
Amen Asante sana nakushukuru
Kazi Swafi sana napenda nyumba zako na za msaada kwangu
Amen Asante sana nakushukuru
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL karibu ndugu
Barikiwa sanaaaaaa Mungu akubariki sanaaaaaa tunapenda nyembozako us
Amen Asante sana nakushukuru
Kama wangesema ugombanie tuzo ungekuwa wa kwanza kupata tuzo ya mwimbaji Bora tanzania
Heri yangu mimi nilie mwamini yese 🙏🙏🙏🙏asanta sana
Sio Yese Ni Yesu Huyo Yese ni Mwizi Sugu Huku Mtaani kwetu😂
Heri yako ww unaye mwamini Yesu bariwa sana mtumishi kwa ujumbe
Amen Asante sana nakushukuru
Amen
My brother sifael mwabuka Mungu akuinue viwango vingine
Amen Asante sana nakushukuru share na wengine watumie vile uwezavyo ujumbe wa nyimbo hii uwafikie🙏🙏🙏🙏God bless you
Kheri yangu mimi nilie mwamin Yesu
Kabisa good job 👏
Heri wenye moyo safi Maana hao watamuona Mungu .Heri Yangu niliyemwamini Yesu nimechagua njia njema
Amen Asante sana nakushukuru
Heri yako wewe uliyemwamini Yesu hakika
Barikiwa mtumishi wa Mungu Asante kwa ujumbe huu mkubwa mno
Umejua kuanifurahisha
Hahahahaah asante
Amen Asante sana nakushukuru share na wengine watumie vile uwezavyo ujumbe wa nyimbo hii uwafikie🙏🙏🙏🙏God bless you
Amazing 👌
Umetisha baba kamanda Wa jeova barikiwaaa sana
Amen Asante sana nakushukuru
Barikiwa mtumishi HERI YAKO WEWE unayemtumikia Mungu
Amina, nakualika roho mtakatifu rohoni mwangu unitawale na kuniongoza. Nimebarikiwa sana nikiwa kenya
Amen Asante sana nakushukuru
Hakika umebarikiwa mtumishi nyimbo nzuri video ndio usiseme nzuri mno
Wimbo wenye upako mwafaka.ubarikiwe
🤍
Nimebarikiwa😭
Amen Asante sana nakushukuru
Heri kweli 'sermon on the mountain' mtumishi Mungu akubariki 'baba tunakuombea'wimbo wetu waja pia
Amen Asante sana nakushukuru
Barikiwa mtumish Nyimbo nzur
Amen Asante sana nakushukuru
Heri yako wewe uliyemwamini Yesu
Halleluyah Mtumishi wa Mungu endelea hivyo na upako wa Yesu.Amen
Amen Asante sana nakushukuru
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL Barikiwa sana pia wewe Mtume wa Yesu kupitia nyimbo.
Wimbo konk saana my brother hongera kwa goma kabambeee heri yangu Mimi nilieokokaaa nina heriii
Amen Asante sana nakushukuru
Nmebarikiwa Sana mtumishi was mungu,Asante Sana kwatutia moyo, ubarikiwe pamoja na family yako
Amen mungu akubariki saana 🙏🙏
Amina sana mtumishi wa Mungu
Amen Asante sana nakushukuru
Mungu akujalie mtumishi nazidi kubalikiwa nanyimbo zako🙏🙏🙏🙏🙏
Amen Asante sana nakushukuru
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL Amina kubwa
Mi asia napenda sana nyimbo zako
Ni funzo kubwa kwa kila mmoja kujihoji na kulitii neno la Mungu
Amen kaka ubarikiwe sana kwa wimbo na ujumbe.
Mungu akubariki kazi nzuri
Napenda sana nyimbo zako. God bless you🙏.
Amen Asante sana nakushukuru
Wow i like it. Heri yangu Mimi. Baraka tele brother
Ubarikiwe.kwa kweli nyimbo zako.zinatuongezea imani yetu na kutupa mafundisho juu ya ufalme wa mbinguni.
Sifaeli mwabuka Mungu akubariki Sana mtumishi wa Mungu
NABARIKIWA SANA NA HUDUMA YAKO MUNGU AKUBARIKI SANA NA AKWINUWE KATIKA VIWANGO VYAA JUU SANA.
Amen Asante sana nakushukuru
Injiri pure, hongera sana mtumishi.
Amen Asante sana nakushukuru
Heri yako wewe uliyetupu zambi na kumwamini yesu hallelujah Amen Mungu tusamehe zambi
Kheri yako mungu ujumbe mzuri Sana unabariki Mungu akutie nguvu unapoendelea kubariki watu na nyimbo hizi Amen
Amen Asante sana nakushukuru
Jomon wimbo mzr mungu akutie nguvuu
God bless you bro🙏🙏
Amen Mungu azidi kukubariki wimbo mzuri Sana
Amen Asante sana nakushukuru
Ujumbe umefika Mkuu ahsante
Amen Asante sana nakushukuru
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Heri yako wewe wimbo mzuri sana. Ubarikiwe sana Minister sifaeli mwabuka.🙏🏾💯
Amina nakushukuru mkubwa from America
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL Mtumishi tayari nimeiona whatsap umdnitumia kheri yako wewe uliemwamini yesu !!! Naiman itainua mioyo ya watu iliwaweze kumtumikia yesu🙏🙏
Ikopoa sanaaa
Ikopoa sanaaa
Mungu akubaliki sana mtumishi wa mungu nimebarikiwa sana
Kaz nzur sana🎸🎸
Lit bro
Amina
Wewe ni mwimbaji namba moja Tanzania mwenye uwezo wa juu Sana sauti nzuri,jumbe zako nzuri, mpangilio wa uimbaji ndio usiseme nakupenda Sana Sifaeli mwabuka nakufuatilia Sana pamoja na uislam wangu lakini nimetokea kuguswa na nyimbo zako tu mwenyezi Mungu akubariki Sana
(Video safi)(wimbo safi) (sifael safi sanaaaaa!
Mtumishi Wa Mungu nyimbo zako za fariji nakumpa mtu tumaini
Wow wimbo mzuri Sana na wenye baraka asante Sana mtumishi
Amina
Hongera mtumishi wimbo safi
Heri yako wewe uliye mwamini Yesu🙏🙏
Powerful penda wewe sana endelea kutubarika
Amina nakushukuru sana
hallelujah that's true amen hallelujah amen wonderful song ❤❤❤
Be blessed
Nice song god bless you SIFAELI MWABUKA nice work excellent work.
Powerful message be blessed bro every time umekua baraka katika familiar yangu kweli siku inakuja yenye kilio heri walio tubhu dambi maana watafurai na yesu
Amen Asante sana nakushukuru
Amina mtumish Ubarikiwe sana Bwana akuzidishe sana
Amen Asante sana nakushukuru
Ubarikiwe Kazi njema
I always follow your music. Watching you live from Lusaka Zambia
Amen Asante sana nakushukuru
Huwa unanibariki sana na nyimbo zako mdogo wangu. Mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi. Barikiwa
Amen Asante sana nakushukuru
Heri yetu sisi tuliopata neema kumwamini Yesu Asante mtumishi kwa ujumbe mzito kwelikweli
Heri yetu tunaomtegemea MUNGU Mwenyezi,,Neema ya MUNGU iwe pamoja nawe mwana wa MUNGU🇰🇪🇰🇪
Amen Asante sana nakushukuru
hakika nimebarikiwa na nazidi kubarikiwa wimbo mtam mno
Wimbo uko na nguvu ya kipekee injili tosha barikiwa mtumishi wa Mungu Sifaeli mwabuka
God bless
Amen mtumish 🎸🎸🎸🎸❤❤❤
HERI YAKO WEWE uliyemwamini Yesu kristo wimbo umetukuka
Heri yako uliyetupu dhambi let us come together to repeat and God will forgive us
Amen Asante sana nakushukuru
Halleluyaaa Halleluyaaa Halleluyaaa Halleluyaaa..... Heri yangu Mimi nilietubu Dhambi zangu👏👏👏👏👏🙏🙏....Barikiwa sana kakangu KENYA +254 twabarikiwa na nyimbo zako
Amen Asante sana nakushukuru
Wewe ni mwimbaji wa tofauti Sana mtumishi unahitaji pongezi kazi zako zoote ziko na baraka mno
Ubarikiwe mtumishi
Heri wenye Moyo safi maana watamwona Mungu.... Barikiwa Sana Kaka
Ubarikiwe Mtumishi
Amen Asante sana nakushukuru
Heri yako wew ulimwamini Yesu
Amen
Barikiwa Mtumishi wa Mungu Mungu akuinue zaidi
Amen Asante sana nakushukuru
Na barikiwa Sana .Mungu akubariki
Heri yangu mimi 👌👌napenda sana nyimbo zako mtumishi wa mungu keep it up 💪💪
Nilivyokuwa nimetegea wimbo huu, Mungu anasaidia.wimbo huu unaobariki Sana Heri Mimi niliusikiliza kwa maana utanirekebisha.
Ndugu nyimbo Sako hunibariki Sana mungu atusaitie na akufungulie milango, ni Martin wekesa kutoka webuye
Amen Asante sana nakushukuru
nyimbo zako unibariki sana akh,mungu akubariki sana.
Kati ya waimbaji ambao naweza kuwazungumzia kwa ujasili wangu kuwa wako vizuri bila mashaka wewe Ni mwimbaji Bora tanzania na sio tanzania tu Africa kwa utunzi,sauti,pia uwezo wa kufikiri kile unakifanya Mungu akubariki Sana mtumishi Sifaeli mwabuka
Amen Asante sana nakushukuru
Ubarkiwe sana mtumishi wa MUNGU.ni Kwer wenye moyo safi ndio watamuona MUNGU.
Like serious nyimbo za huyu sifaeli hubariki roho yangu😭😭😭😭 yaani siwezi kabisa toka kwa nyumba asubuhi kwenda kibarua kama sijaskiza nyimbo zako😭😭 be blessed man of God, God is using you to encourage many sometimes huskiza hadi nalia tu
Mungu akubariki Sana kwa huduma nzuri ya kumtukuza Mungu na kazi zake
Amen Asante sana nakushukuru
Hakika inanibariki Sana Mtumishi wa Mungu! Natamani na Mimi kumuimbia Mungu Kama wewe kaka yangu
amen wonderful song may God bless you my brother ❤️❤️❤️❤️❤️❤️🙏🙏
Thanks for your support. Be blessed. Don't forget to subscribe, comment and share
Nyimbo zuri Sana mtumishi , Asante.
Amen Asante sana nakushukuru
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL sifael mungu azidi kukuelekeza ur songs has changed my life thanks sana
Asante mutumishi mwambuka , may the almighty God continue use you mutumishi mwambuka, so that the world may know jesus more and more .....
I can be a good back up , heheh
Thax
Amen Asante sana nakushukuru
Nyimbo zako zanifurshisha sana mungu akubariki sana nami natamani niwe muybaji kama wewe mutumishi be blessed
Ahsante sana sana sifael kwa nyimbo zko mungu azidi kukuelekeza tunakuoenda sana
Wauuu I love your songs sana,huniinua kiroho
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
This song is on fire
Amen Asante sana nakushukuru
really good
Duuu mdogo wangu shikamooo wewe noma sana
Utukufu kwa Mungu
Hi nikwe mungu asaidiye taifalake👍🤝🤝🙏🙏🙏🙏🙏