PENZI LA FUNDI VIATU EP 2 💞 Love Story | DONTA TV

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2025
  • #twizytv #dontatv #love #mapenzi #bongomovie #dadawakazi #lovestory #housegirl #fundiviatu

КОМЕНТАРІ • 62

  • @AdrianoDamásioChawaka
    @AdrianoDamásioChawaka 27 днів тому +1

    Twizy unajuwa sana kwigiza Kaká na sisi huku Mozambique 🇲🇿 tuko full smart na ku fuatiliya

  • @SaluBrown
    @SaluBrown 16 днів тому +1

    munajua kuigiza atali

  • @Husna-h1m
    @Husna-h1m 15 днів тому +1

    Remy kama kawaida na unafik wake ila nawapend cn

  • @PLUSTV735
    @PLUSTV735 4 місяці тому +3

    Kazi nzurry❤❤

  • @AmisseNsaluba
    @AmisseNsaluba 4 місяці тому +8

    Kazi zenu mujitaidi sana ili tuzipende sisi wa Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿tunapenda sana

    • @twizydadytv
      @twizydadytv  4 місяці тому +1

      Sawa amisse ngoja tukaze✊✊

    • @SaluBrown
      @SaluBrown 16 днів тому

      munajua xana​@@twizydadytv

  • @Mrwhitetz
    @Mrwhitetz 4 місяці тому +1

    Big up mr lemy

  • @JosephineMomanyi-jp8tv
    @JosephineMomanyi-jp8tv 4 місяці тому +6

    Dady umejiuza mwenyewe. Lakini niseme umasikini c kitu kizuri

    • @twizydadytv
      @twizydadytv  4 місяці тому +2

      Maisha Kuna muda yanafanya unakosa maamuzi sahihi Josephine😭😭

    • @JosephineMomanyi-jp8tv
      @JosephineMomanyi-jp8tv 4 місяці тому +1

      Mai kula pesa kataa ao watu kwani akuna wanawake saidiyako

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 4 місяці тому +1

      Shenziiiii wew Remyiiii kwann una mgeuka Mwenzio unashindwa kusema ni mke wa Yule kaka una mzunguka mwenzio kisa Hela

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 4 місяці тому +1

      Remyiiiiiiiii Wew Umenikera Sana,, yaan Naona kama Mimi Tuuuu,, unanifanyia ubaya Kweli kikulacho ki nguoni Mwako
      pesa mwana haramu kitawakuta tuu mnao zunguka

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 4 місяці тому +1

      ​@@twizydadytvPolee kaka Nakupenda Bure,, Napenda ukicheza mchezo na mai nawapenda sana Allah awasimamie Iwe kheir kwenu ❤❤❤

  • @StevenMakanja
    @StevenMakanja 4 місяці тому +1

    Kazi zenu nzuri sana Sema Mpo slow sana Mnachelewesha sana kutoa Mwendelezo

  • @ChancelineCatherine-bj6jd
    @ChancelineCatherine-bj6jd 4 місяці тому +1

    Good job 👏👏👏

  • @EliusMugisha
    @EliusMugisha 4 місяці тому +1

    Mbn Kaz zenu amzimaliz

  • @Clintez254
    @Clintez254 4 місяці тому +1

    Elimu Bora bro wa kwanza kutoka kenya🎉🎉

  • @christinagodfrey7637
    @christinagodfrey7637 4 місяці тому +5

    Twizy utapitia wakt mgum xan na mkeo mai😭😭😭😭

  • @ZAMUTV60
    @ZAMUTV60 4 місяці тому

    Kazi kali Sana kaka remmy unajua kikubwa dua 🎉🎉

  • @FatmaMbwiga
    @FatmaMbwiga Місяць тому

    Jamani nilikua naomba msituchelewechee binti masking muuza ndiz

  • @christinagodfrey7637
    @christinagodfrey7637 4 місяці тому +1

    Safi remy

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 4 місяці тому +2

    Heeeee,,,,kumbe inaendelea,,nilijua imeisha

  • @EmmyLove-k6u
    @EmmyLove-k6u Місяць тому

    Duuh we mablichi hiko kishingo vip au ndo pesa hizoooo

  • @TumainSamwel-oy2gy
    @TumainSamwel-oy2gy 4 місяці тому +1

    Kaka mkubwaa mmetishaa sanaaa big up ❤

  • @MwanakitiAlly
    @MwanakitiAlly Місяць тому

    bora ukae na impendae bwana

  • @OliverPaul-y3e
    @OliverPaul-y3e Місяць тому

    Umasikini sikitu jamanii unamuweka MTU kwenye nyakati ngumu sana twizy maamuzi yako yanakupeleka pabaya😢😢😢

  • @EliusMugisha
    @EliusMugisha 4 місяці тому +1

    Saut vp

  • @Muuh...26
    @Muuh...26 4 місяці тому

    Mai unajua ❤

  • @RamaAli-x7h
    @RamaAli-x7h 4 місяці тому +1

    Mbona Haina saut

  • @JullianaEmmanuel-tm5xg
    @JullianaEmmanuel-tm5xg 4 місяці тому

    Daaah pesa jaman mmmmh

  • @WitnessTemu
    @WitnessTemu 4 місяці тому +3

    Duh mmechelewa san Hadi tulishasahau

    • @twizydadytv
      @twizydadytv  4 місяці тому +1

      Sasa hivi Kila ijumaa nne na alhamis mwendelezo Enjoy ❤️❤️

    • @KasimuIddi-y2r
      @KasimuIddi-y2r 4 місяці тому

      Duu vizuri kwa kazi zenu

    • @NosiataDfd-k5g
      @NosiataDfd-k5g 4 місяці тому

      Hii move inamafunzo

  • @AishaMusa-k2y
    @AishaMusa-k2y 2 місяці тому

    pole aki

  • @AnisaRamadhan-m6g
    @AnisaRamadhan-m6g 4 місяці тому +2

    Naombeni like

  • @AlexanderThabit-iq8vn
    @AlexanderThabit-iq8vn 4 місяці тому

    Nawapenda wotee❤❤❤❤❤

  • @GeanaSankey
    @GeanaSankey 3 місяці тому

    Jaman hii mbn hamtoi

  • @AndrewTweve-xw3sl
    @AndrewTweve-xw3sl 3 місяці тому +1

    Acha ujinga twizy unazingua unataka kuhiachia iyo maini yako asee

  • @JullianaEmmanuel-tm5xg
    @JullianaEmmanuel-tm5xg 4 місяці тому +1

    Huyu mabulichi apunguze nyondo, mtoto wa kiume kaza

  • @JanepherBudodi
    @JanepherBudodi 4 місяці тому

    Kwan huyo tajiriiiiii shingo yake ina shija gan kwan nyiee hamuogopii

  • @Muuh...26
    @Muuh...26 4 місяці тому

    Niffer usikubal kumuuza mai wangu

  • @RamadhanJuma-l8z
    @RamadhanJuma-l8z 4 місяці тому

    Vipi penzi na kifo

  • @tommymelodyofficial4844
    @tommymelodyofficial4844 4 місяці тому

    Unyam saan

  • @JanetRiziki-ut2is
    @JanetRiziki-ut2is 4 місяці тому +1

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @Abubakar-d6i8i
    @Abubakar-d6i8i 4 місяці тому

    Mumgu ndio kipawa cha mbele

  • @samjabri2611
    @samjabri2611 2 місяці тому

    Mai msikilize mumeo

  • @KudraEliasa
    @KudraEliasa Місяць тому

    Na ww twizy umekosea san ni heli ungemwambia kwaza kwa sababu hapo mngekula hela tu ss ww unampenda mkeo hafu unamficha mkeo kwel

  • @NubuhoroFrancoise
    @NubuhoroFrancoise 4 місяці тому

    Tunajua kuceza

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 4 місяці тому

    Dady acha ujinga eti,,,kitu gani kinakushunda kusema kuwa yule ni mke wako,,,uko kama poyoyo

  • @GladysKarembo
    @GladysKarembo 4 місяці тому +1

    Sasa huyo Boss hiyo shingo ni maringo kwa kuwa ana Peas ama ni nini?

    • @umikifupa-mi3re
      @umikifupa-mi3re Місяць тому

      Kawaida ya boss wengi huwa wako na ulemavu

  • @ThamimaRajabu-bs2nd
    @ThamimaRajabu-bs2nd 4 місяці тому

    ❤❤❤

  • @StevenMakanja
    @StevenMakanja 4 місяці тому +2

    Kazi zenu nzuri sana Sema Mpo slow sana Mnachelewesha sana kutoa Mwendelezo

  • @JullianaEmmanuel-tm5xg
    @JullianaEmmanuel-tm5xg 4 місяці тому +2

    Daaah pesa jaman mmmmh

  • @fatumasalim3915
    @fatumasalim3915 Місяць тому

    ❤❤❤❤❤