SOMO: UFAFANUZI KUHUSU NDOTO ⭐️⭐️⭐️⭐️⭐️ - GeorDavie TV

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!

КОМЕНТАРІ • 28

  • @GeorDavieTV
    @GeorDavieTV  5 років тому +30

    WhatsApp/Piga namba: +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu. Kwa iPhone au Android Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com

  • @ritasospeterkati3427
    @ritasospeterkati3427 5 років тому +4

    Nimependa somo la safari ya kutembelea lsirael tungependa twende na wewe na group letu la piga injili ya Yesu. Tutafute mtumishi wa mungu GeorDavie

  • @eliamwakabenga1953
    @eliamwakabenga1953 5 років тому +1

    Nimependa na kuguswa na huduma yako nabii Yesu anisaidie nifike kwenye madhabahu yako nakupokea baraka

  • @samueladen7032
    @samueladen7032 5 років тому +2

    I love u prophet of god

  • @esterfredrickdadi3762
    @esterfredrickdadi3762 5 років тому +2

    Amen

  • @ritasospeterkati3427
    @ritasospeterkati3427 5 років тому +1

    Utukufu mtumishi wa mungu! Sisi tunakundi letu la piga injili liko UA-cam , tuna kuitaji tunaomba ututafute.

  • @zxcvzxcv1034
    @zxcvzxcv1034 5 років тому +2

    Hapo umesema wakristo wanabinga wanabii Sana hawataki kuwambio ukweli asante sana nabii wa mungu naomba mungu tukutane siku moja unifungue nikitoka Saudi Arabia uninikumbuke na maombi

  • @drkachele5467
    @drkachele5467 5 років тому

    Mtumishi mungu azidi kukubariki na he naweza kukupigia simu uniombee na kwa mda gani

  • @janethsempiga970
    @janethsempiga970 5 років тому +1

    Thanks Lord...👏👏👏👏🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥💃💃💃💃

  • @juliethjilala9144
    @juliethjilala9144 5 років тому

    Amina mchungaji

  • @adammsema6418
    @adammsema6418 5 років тому

    Baba maneno yako yana nguvu sana tena sana endelea kuelimisha.pia nina omba kwako baba.naomba niwe mwanao wa kiroho.mimi ni mtumishi nina linda kanisa la kristo hapa.nipo mkoa wa pwani

  • @marypascal6225
    @marypascal6225 5 років тому

    Bwana yesu asifiwe,
    Nabii mimi nasumbuliwa kweli na kitu kwenye koo, muda mwengine nashindwa hata kupumua, na kitu kama kinanikaba kooni, nilikuwa naomba no yako ili niweze kuwasiliana na wewe ili unisaidie

  • @paulinekababa524
    @paulinekababa524 5 років тому

    Thanks Nabii

  • @paulethntakije7438
    @paulethntakije7438 5 років тому

    amina mtumishi wa mungu

  • @wilsontemba7252
    @wilsontemba7252 5 років тому

    Amen,nimejifunza Bwana Yesu akubariki

  • @maliethnyoni2847
    @maliethnyoni2847 5 років тому

    Pamoja mtumishi

  • @paulmbilu4004
    @paulmbilu4004 5 років тому

    Nakukubari Nabii mkuu Mungu akubariki sana

  • @stephanoaugastino3009
    @stephanoaugastino3009 5 років тому +2

    NABARIKIWA NA HUDUMA UNAYAUNAYO TOA NA OMBA UNIOMBEE MWANANGU ANAUMWA NA DEGEDEGE NIMWEZI WA 8 NASASA TUMELAZWA MHIMBIRI.JINA LAKE MWANANGU ANAITWA ESTA STEPHANO. TUOMBEE NABII MKUU

  • @fauzal5257
    @fauzal5257 5 років тому

    Mm niriota unaniumbeya

  • @paschaltsaxara2474
    @paschaltsaxara2474 5 років тому

    poweful

    • @hebronwella3922
      @hebronwella3922 5 років тому

      Mtumishi nabarikiwa sana nahitaji kukuona namba yangu 0767623121 naomba nisaidie namba yako.

    • @rosejustine1400
      @rosejustine1400 5 років тому

      Mtumishi nahitaji msaada wako namba zangu ni 0743345075 nipo Mwanza

  • @hadijahmwajombe9588
    @hadijahmwajombe9588 5 років тому +5

    nabiii mbona uweki namba ya simu niko oman naitaji huduma yako baba

  • @edithakamando833
    @edithakamando833 5 років тому

    MCHUNGAJI mm. Nasumbuliwa. Na. Ndoto. Naomba. Uniombee. Naomba. Na no. Yako

  • @lucasharison9782
    @lucasharison9782 5 років тому +1

    Amen

  • @officialcarolyne2985
    @officialcarolyne2985 5 років тому

    Amen

  • @inezalilian4868
    @inezalilian4868 5 років тому

    Amen

  • @aidanongole9341
    @aidanongole9341 5 років тому

    amen.