VIDEO : HAJI MANARA , NANDY NA DOTTO MAGARI WAKIWA STUDIO WAKITENGENEZA NYIMBO YA ZAIYLISSA WA BUGA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024
  • TAZAMA MWANZO MWISHO HAJI MANARA , NANDY NA DOTTO MAGARI WAKIWA STUDIO WAKITENGENEZA NYIMBO YA ZAIYLISSA WA BUGA ITAKAYOCHEZWA TAREHE 18 MWEZI HUU
    #manaratv #hajimanara #zaiylissa #nandy #dottomagari #babalevo
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 207

  • @AgnatarAmad
    @AgnatarAmad 8 місяців тому +7

    Nandy hiinyimbo kwakweli umeweza dadangu🎉🎉❤

  • @Wigoz_puppy
    @Wigoz_puppy 8 місяців тому +7

    NANDY KAPIGA ELA APA KIULANII. NANDY MCHAGAAA KWEL.....❤❤❤❤.... YUKO JOBU ANAVOMPA SIFA SASA ❤❤❤

  • @glorianikiza3940
    @glorianikiza3940 8 місяців тому +7

    Nandy nampendaga anapiga kazi kwa kweli ❤

  • @frankmsaki62
    @frankmsaki62 8 місяців тому +11

    Kwenye mambo ya COPY RIGHT ni kwamba MANARA ameshiriki moja kwa moja kwenye kuandaa wimbo,kwa maana hiyo atafaidika na mapato ya wimbo husika😊

  • @SwabraHabibuOmar
    @SwabraHabibuOmar 8 місяців тому +10

    Nice nandy the African princess❤

  • @MwanaidKimaro-yl2dr
    @MwanaidKimaro-yl2dr 8 місяців тому +13

    Hii ndo nyimbo tamu zaid yazote kwakweli❤❤❤

    • @rerisamba
      @rerisamba 8 місяців тому

      Angemuita Mboso tu

    • @HadijaRashid-jo8qt
      @HadijaRashid-jo8qt 8 місяців тому +1

      Haahahah wakiachn bugatti hachelew kusem alikuw hampend alikuw anamuumiz mtu😅

  • @onesmomwakasege5215
    @onesmomwakasege5215 8 місяців тому +5

    Dah hiyo nyimbo tamu Sana but apo future angekuwepo Mr blue ingetisha kinomma Sana

  • @nappekiliakiliasalimu346
    @nappekiliakiliasalimu346 8 місяців тому +5

    😅😅😅Hiii nchii ukihama umejitakia mwenyewe

  • @ImaniMethod-en7re
    @ImaniMethod-en7re 8 місяців тому +4

    Very indeed brother manara coz you know how to care and handling your beloved angel 😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MohdNassib-wr3ky
    @MohdNassib-wr3ky 8 місяців тому +5

    Mandy uko vizuli sana unasaut aseee❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🇹🇿

  • @user-hi5pf2lq3m
    @user-hi5pf2lq3m 8 місяців тому +9

    Wanani tumerudiliya mara 10 hier vidéo mpaka nasisimka jamaniiiii❤

  • @fatumaamiri9404
    @fatumaamiri9404 8 місяців тому +46

    Sisi maskini hizi raha tunaishia kuona insta na bando lenyewe la mawazo😢😢

    • @josephguerino7416
      @josephguerino7416 8 місяців тому +11

      Mungu akubariki uweze kufanikiwa na kuwa na mafanikio makubwa ktk hii dunia, ukapate kuwasaidia wazazi na familia yako. Nakuombea Fatuma ❤

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 8 місяців тому +6

      Tulia Labda Haujaujua Raha Khaswa Huo Ni Upuuzi Namapito Yakipuuzi Usio mpwnzi wakupenda Upuuzi. Ukamilifu niwa Mola.

    • @rashidisaidi8535
      @rashidisaidi8535 8 місяців тому

      Unajuaje km wanapitia raha km kunaraha mbona huyo bugat wanaachana na wanawake ote hiyo ni. Zinaa km wanajiamini waoane uone

    • @tungarazalaurent2602
      @tungarazalaurent2602 8 місяців тому

      Ipo siku dada angu Mola atakujalia kuwa na subra

    • @emmanuelmpete6363
      @emmanuelmpete6363 8 місяців тому

      binti njoo kwangu apo hamna kitu apo❤❤

  • @user-dk6tl2pg7n
    @user-dk6tl2pg7n 8 місяців тому +5

    Nandy nakubali, daah! Good & better song ❤

  • @KibweOnlineTv
    @KibweOnlineTv 8 місяців тому +1

    Daaah, Ngoja niendelee Kutafuta Pesa Kwa Nguvu Baadae nimchukuwe nandy hata Akiwa mzee nitambeba hivyo hivyo tu 😢😢😅😅❤❤❤ manara anaenjoy mno uzeeni sasa

  • @user-xw9wl4gy7x
    @user-xw9wl4gy7x 8 місяців тому +5

    Huyu Mzee Bado anawapenda walio muacha Ndo Maana anavituko ivi

    • @laylatabdallah2796
      @laylatabdallah2796 8 місяців тому

      Ana mambo km ya kike tena wale wasichana wadogo kuanzia 18yrs-28 mana ukipindukia 30 na kuendelea hunaga muda wa kufanya mambo ya kijinga km hyo

  • @FlorenceAssumani
    @FlorenceAssumani 8 місяців тому +3

    Waouh félicitations my Nandy ❤❤❤

  • @rashidisaidi8535
    @rashidisaidi8535 8 місяців тому +6

    Zinaa inanguvu kuliko ndoa daah ao ote wazinifu ndoa zao zimewashinda wanasherehekea uzinifu eemungu nipe mwisho mwema

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 8 місяців тому +2

    Sis Maskini Hizi Raha Tunahishiy Kuona Kwa Insta Tu Na Bando Lenyew La Jelo😅😅

  • @ZubeirAbdallah
    @ZubeirAbdallah 8 місяців тому +1

    ❤❤nandy haloo my love 💕 💕 💕

  • @87izack
    @87izack 8 місяців тому +4

    Nandy on 🔥

  • @najmqhamisi5637
    @najmqhamisi5637 8 місяців тому +4

    Nandy tupe kitu ❤❤❤❤ nakupunda tu

  • @kassimukipingu7917
    @kassimukipingu7917 8 місяців тому +2

    Wimbo ni mzuri ila sasa nahisi umeingia mwenye uzalilishaji wanawake na iyo zai SIKU sii nyingi utamuacha na hio misifa yako

  • @MaAm-c6n
    @MaAm-c6n 8 місяців тому +3

    Zailisa ujapendeza umekua kama kahaba wa vingunguti😲😲😲

  • @FirdausAlly-ls8fw
    @FirdausAlly-ls8fw 8 місяців тому +1

    Nandy ❤❤❤🎉 Tarehe 18 mbali jomonyiii 😊

  • @user-xc3rk7zw6r
    @user-xc3rk7zw6r 8 місяців тому

    Aki nandy umetish san my princess ❤❤ nakpnd pak bas

  • @carlyboytz
    @carlyboytz 8 місяців тому +3

    Ndandandinda ndanda😂😂😂 mamaee

  • @user-hi5pf2lq3m
    @user-hi5pf2lq3m 8 місяців тому +3

    Ila dotto nampendaga mimi 😊

  • @user-mn3pw5xr1m
    @user-mn3pw5xr1m 8 місяців тому +2

    Tunaosubiria tukio tuko wapi

  • @mbogoidentity
    @mbogoidentity 8 місяців тому +2

    wiki kwenye kaburi lenu 😂😂😂 dotto magari

  • @UrsulaBayyo-x9z
    @UrsulaBayyo-x9z 8 місяців тому +1

    upo vizuri sana

  • @user-mz6lq3gr9l
    @user-mz6lq3gr9l 8 місяців тому +3

    Had raha jaman wanaoponda sio vzr haj pia binadamu kiufup komeni

  • @remyriziki5620
    @remyriziki5620 8 місяців тому

    ❤❤❤❤❤ nandy my god bless you 🤲🤲♥️ mashallah 👌🎉

  • @nurdinmfamau3493
    @nurdinmfamau3493 8 місяців тому +6

    Dunia Namambo Yake. Hakika Inadanganya.

  • @user-nn3hj5no7d
    @user-nn3hj5no7d 8 місяців тому

    Jamani

  • @winniegesy982
    @winniegesy982 8 місяців тому

    Dah Dotto😁😂😂😂😂😂🙌 !!

  • @anajohn8132
    @anajohn8132 8 місяців тому

    hahahah tumempata aliyetuharibia verse ya pili.... manaraaaa

  • @user-jq9rj4dm5u
    @user-jq9rj4dm5u 8 місяців тому +3

    Bugatti the Don

  • @SophiaAyma
    @SophiaAyma 8 місяців тому +1

    Mambo ni fireeeeeh❤❤❤❤❤

  • @oyay2821
    @oyay2821 8 місяців тому +1

    Hapo Dotto amejua kusherehesha hii nyimbo

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 8 місяців тому +1

    Hongera Dotoo karibu timu Bugati

  • @abrahmanifarouckissa5662
    @abrahmanifarouckissa5662 8 місяців тому +2

    Manara muogope mungu Hayo sio maadili yako

  • @hemedchuma9-cq4nh
    @hemedchuma9-cq4nh 8 місяців тому

    Bonge song daaah NANDY umetsha hongera BUGAT uyo dem atake nn ss wallahi

  • @hellendaniel3809
    @hellendaniel3809 8 місяців тому +2

    Nandy ni mama kija safiii

  • @rehemasiad3696
    @rehemasiad3696 8 місяців тому +2

    Kizuri hustiriwa zaylisa jielewe

    • @rerisamba
      @rerisamba 8 місяців тому

      Sikuhizi nikama kapagawa nahilo penzi yani atembea uchi

  • @HassanJamal-i4z
    @HassanJamal-i4z 8 місяців тому

    Man best of the best unbelievably

  • @Zainabkahonzi
    @Zainabkahonzi 8 місяців тому

    M pia ntapata wangu inshallah ❤❤❤😢😢

  • @herrwin.
    @herrwin. 8 місяців тому +1

    uchawa shida sana,, Mziki umenyamaza, yeye anaendelea kucheza,, acha Mwijaku awakomeshe

  • @user-wd1sw9ou3m
    @user-wd1sw9ou3m 8 місяців тому +2

    Nandy umeuwa vby

  • @mariamkhamisi9761
    @mariamkhamisi9761 8 місяців тому

    Wangapi tumerudia mara mbili mbili mkono juu ✋ nyimbo tsamuu ajab God bless you more dada❤

  • @charlottempangala3881
    @charlottempangala3881 8 місяців тому

    Kwan hii nyimbo katumgiwa spesho zailisa au mi sijaelewa??

  • @salmangunguti5593
    @salmangunguti5593 8 місяців тому

    😂😂😂😂cjui nacheka nn jmn ila huyu dotto😂kucheza wanacheza wao furaha nahic mm nyieee kupendwa rahaaaa😅😅mungu awafanyie wepec kwenye hilo jambo lenu inshallah

  • @aishavogelmann5021
    @aishavogelmann5021 8 місяців тому

    Kwahamu twangoja umeua🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💖

  • @EmanuelMwanyamba
    @EmanuelMwanyamba 8 місяців тому

    Umetish xana Africa princess ❤❤

  • @user-yb6wh1bk9d
    @user-yb6wh1bk9d 8 місяців тому

    Huyo mwanamke anaonekana Hana ht furaha huyo haji manara tu ndo sifa anafuraha peke yk na huyo dotto bc lkn zeylisa ht Hana masham sham kuonyesha furaha km anajilazimisha hv

  • @ireneimbuhira7759
    @ireneimbuhira7759 8 місяців тому

    Nandy ame lipwa pesa ngapi ? This song its nice vile naskia 🔥🔥❤❤

  • @masoudjuma2310
    @masoudjuma2310 8 місяців тому +1

    Vaa viatu vya dula makabila utaona mapenz ni adhabu sometimes

  • @DenisSylvester-jy3sr
    @DenisSylvester-jy3sr 8 місяців тому

    Show sana

  • @elizabetharon6334
    @elizabetharon6334 8 місяців тому +2

    Zai kanenepaa jamanii adi rahaa

  • @ndezyafrica_1330
    @ndezyafrica_1330 8 місяців тому

    The guy got a vibes chawa😂😂❤

  • @Marjeby
    @Marjeby 8 місяців тому

    Daaah aiseee wallah huyu zeruzeru ana matatizo ukimuliza atakwambia nilimba kaswida Abasiah.
    Mirungi sigara na pombe kali ni vitu vinavyotakiwa kuendelea kupigwa vita maisha yote hasa kwa vijana wetu tusije tukapata wazee wa hovyo

  • @mbarakkhalid117
    @mbarakkhalid117 8 місяців тому

    African princess

  • @josephfrank4446
    @josephfrank4446 8 місяців тому +2

    Doto 😂😂😂❤

  • @familylove5417
    @familylove5417 8 місяців тому +2

    Nandy hana mashara kwenye helaa

  • @user-rw2mm1jk6o
    @user-rw2mm1jk6o 8 місяців тому +4

    Manara ushakua mtu mzima mambo hayo waachie watoto jaman😂😂😂😂

    • @Mundi-oz7os
      @Mundi-oz7os 8 місяців тому +1

      Inabidi uwe na akili nyingi sana kumuelewa Manara. Hapa anazidi kujiongezea umaarufu na atakuwa midomoni na mawazoni mwa watu kwa muda mrefu. We zubaa tu mwenzio anajiongezea nafasi ya kuwa relevant hata uzeeni. Hapo hatujaongelea uwezekano wa kupiga hela kibao.😊🎉

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 8 місяців тому +2

    hakika wakaombe pesa zao kwa muganga

  • @deogratiusyudatadei5658
    @deogratiusyudatadei5658 8 місяців тому

    Ila jamani tutafute hela ase siyo kwa rahaa hizooo

  • @HamzahMooh
    @HamzahMooh 8 місяців тому

    Jina la wimbo plz

  • @ASALABOY
    @ASALABOY 8 місяців тому +7

    Yan ni utoto utoto wabongo bwana

  • @salimramadhani5237
    @salimramadhani5237 8 місяців тому

    zai mzuri eee

  • @nurdinmfamau3493
    @nurdinmfamau3493 8 місяців тому

    Inasikitisha Kuona Mtu Wamjini Anakuwa Kama Mbwinde. MOLA Atuhifadhi Ushantumbwi Kama Huu Kwakweli.

  • @MankaBoniphace
    @MankaBoniphace 8 місяців тому

    Nzur hatar nandi noma san

  • @rehemasiad3696
    @rehemasiad3696 8 місяців тому +2

    Zaylisa jistiri bc hata kidogo mtoto wa kiislam

  • @Mr.shaban_I5
    @Mr.shaban_I5 8 місяців тому

    best TZ female vocalist ,, Bill Nas tuna wivu na wewe

  • @user-wd1sw9ou3m
    @user-wd1sw9ou3m 8 місяців тому

    Noma nandy umewa

  • @awamiabbas222
    @awamiabbas222 8 місяців тому

    Huu ndo wimbo siyo yale makelele ya wengine

  • @darhustler
    @darhustler 8 місяців тому

    Mwijaku na mwenzie hawamuwezi huyu "NA HAPA IPO"

  • @user-zy8hm8ug5y
    @user-zy8hm8ug5y 8 місяців тому +1

    Zaylisa mzuri sana..alafu tall mzuri kwenye fasion

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 8 місяців тому +6

    Manara usikaribie zinaa uislamu unakataza wewe si mtoto tena!

  • @user-xw9wl4gy7x
    @user-xw9wl4gy7x 8 місяців тому

    Bughaa Ma X Wanakuumiza Dadiii Hata Huyo Bado utakuja kuliza Kama Jina Lake tu😂😂😂

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 8 місяців тому

    huyu haji manara upo sawa kweli????😂😂😂

  • @user-kr3sh1ws7t
    @user-kr3sh1ws7t 8 місяців тому

    😊😊

  • @lucyjeremia1381
    @lucyjeremia1381 8 місяців тому

    ❤❤❤

  • @ronaldissack3338
    @ronaldissack3338 8 місяців тому

    Na hapa ipo😅

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 8 місяців тому +4

    mapenzi mazuri kweli manara anajuwa kupenda

  • @Amisyboya7
    @Amisyboya7 8 місяців тому +1

    Doto magari

  • @zakiyaalmas4100
    @zakiyaalmas4100 8 місяців тому

    Jina na wimbo

  • @bongotvonline4883
    @bongotvonline4883 8 місяців тому

    Ila Nandy, napenda sana usikivu wake... the way anakubal8 kupokea ushauri cos sio rahisi kwa mwanamuziki kupokea naelekezo kutoka kwa mtu ambaye si mwanamuziki.

  • @XanTitle10.
    @XanTitle10. 8 місяців тому

    Kumbe ufupi tunajitakia 😂😂😂… ngoja nitafute pesa buaana

  • @shadiwaigwa9230
    @shadiwaigwa9230 8 місяців тому

    Zai jamani

  • @SalimAbdallah-tg1yo
    @SalimAbdallah-tg1yo 8 місяців тому +2

    Mze wetu anakwenda lea mwana Wa ....

  • @aishavogelmann5021
    @aishavogelmann5021 8 місяців тому

    🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @nifatyhamis2398
    @nifatyhamis2398 8 місяців тому

    Chawa unanguvu

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 8 місяців тому +2

    demu mwenyewe sasa kama kuku amenyeshewa na mvua 😢😂

  • @DiabTutty-ke9bs
    @DiabTutty-ke9bs 8 місяців тому

    Zai mbona leo namuona ana kitumbo,nandy❤❤❤❤

  • @pendoisayanaitakiadodomaus1641
    @pendoisayanaitakiadodomaus1641 8 місяців тому

    Jina na nyimbo plzz

  • @ndezyafrica_1330
    @ndezyafrica_1330 8 місяців тому

    Doto got a vibes😂😂😂😂

  • @nonijonathan-mr2rx
    @nonijonathan-mr2rx 8 місяців тому

    Mbn anaeimbiwa kanuna

  • @rehemakimbesa7296
    @rehemakimbesa7296 8 місяців тому

    Nandy weeee

  • @lucyjeremia1381
    @lucyjeremia1381 8 місяців тому

    😂😂😂😂Ila magari

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 8 місяців тому

    demu mwenywe kitumbo ka kwashiorkor 😂😂😂