jinsi ya kujifunza kupiga guitar ndani ya mwezi mmoja tu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 жов 2024
  • Ndani ya fundisho hili nakufundisha Chord 4 muhimu za kujifundisha kwanza kama unataka kujua kupiga guitar kwa uharaka ambazo ni Em, C, G na D hata kama huna mda chukua dakika 30 au ishirini kwa siku zinatosha na subscribe na bonyeza kengele ili uwe wa kwanza kupokea kila funzo jipya ntakalo kuletea. Much Love.

КОМЕНТАРІ • 349

  • @Sintya-o8j
    @Sintya-o8j 11 місяців тому +3

    Ubarikiweee mnooo mkakaa kusema kwelii wewe ndoumefanya najua iki kdg nlichopata saivi naimna ntakuwa mpigaji mzuri 🎉

  • @gadysimwanza4774
    @gadysimwanza4774 2 роки тому +3

    natamani kujua kupiga gitaa lakini sasa changamoto ipo kwenye upande wa gitaa lenyewe kufuatana na hali asante sana bro kwa dalasa zur

    • @Eli_Music
      @Eli_Music  2 роки тому

      Unamaanisha huna gitaa

  • @gaudigaudi1129
    @gaudigaudi1129 Рік тому +2

    Asante kwa somo kaka. Nataka kununua gitaa naomba unishauri ni gitaa gani zuri.

  • @denniskitongamutie5332
    @denniskitongamutie5332 9 місяців тому +1

    Mwalimu mzuri sana....we unaelewa wanafunzi wanataka nini...naomba uwe unatuza pia na nyimbo zinaweza kuingia kwa chords unazotufunza...asante.....utupeleke na uo utaratibu tu

  • @benardbarnaba1971
    @benardbarnaba1971 3 місяці тому +1

    Heshima yako.
    Duuuh! Mda mlefu nikitamaani kujifunza chombo hicho.
    Ahsanteni sana

  • @ravyannyphone3274
    @ravyannyphone3274 2 роки тому +1

    nimekubali mafunzo yako mwalim rakin nilikuwa naomba kuuliza geta inauzwaje

    • @Eli_Music
      @Eli_Music  2 роки тому

      Asante ndugu,, ila sijaelewa vizuri swali lako

  • @edfordshilla5727
    @edfordshilla5727 Рік тому +1

    Mungu akubarki sana mtumishi naulza gitaa inauzwa sh ngap

  • @BenjaminHenry
    @BenjaminHenry Рік тому +2

    Wewe nikikufatilia taliweza kabisa. Unajua kufundisha mkuu🙏

  • @mosekkenya8521
    @mosekkenya8521 2 роки тому +3

    Asante kaka Mwenyezi mungu akubariki na akujalie.

  • @hassansanaa495
    @hassansanaa495 2 місяці тому +1

    wow thanks bro nilinunua gita juzi nashukuru nitakufatilia nijue niko england kwa sasa

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 Рік тому +3

    Aisee napenda kujua kupiga vyombo sana

  • @geofreymwakasenga7054
    @geofreymwakasenga7054 3 роки тому +3

    Uko vizuri sana Mwalimu, mm ndio nimeingia leo (27/07/2021) darasani. Nitaendelea kukufuatilia.

  • @MichaelMwalongo-v1d
    @MichaelMwalongo-v1d Рік тому +1

    Napenda sana bro kujifunza ila isina uwezo wa kununua gitaa

  • @marygoreth8295
    @marygoreth8295 Рік тому +2

    Asante sana kaka.uko vizuri ubarikiwe sana

  • @propheticRazor
    @propheticRazor Рік тому +2

    Mungu akubariki sana. I just landed here today ❤️

    • @Eli_Music
      @Eli_Music  7 місяців тому +1

      Sorry I v benn offline ila nimerudi kwenye UA-cam

    • @propheticRazor
      @propheticRazor 7 місяців тому +1

      @@Eli_Music tuko pamoja. Kesho naichukuwa guitar yangu

    • @Eli_Music
      @Eli_Music  7 місяців тому

      Amani

    • @Eli_Music
      @Eli_Music  7 місяців тому

      Sawa

  • @JuniorBruce-g3m
    @JuniorBruce-g3m 2 місяці тому +1

    Nimelearn alot,,, thanks 🙏

  • @shadrackngonga3413
    @shadrackngonga3413 8 днів тому

    Nashukuru. Sasa Nina Imani nitajua kucheza guitar

  • @ByaombeIsaiah
    @ByaombeIsaiah 10 місяців тому +1

    Tunamshukuru sana kabisa kumpata mwali tuomba vidole visiwe haraka haraka ndugu

  • @AyoubMhanga
    @AyoubMhanga 5 місяців тому +1

    Yes nina shukuru nimesha jua kushika hizo kodi 4 naomba unifundishe kwa kuzitumia kuimba wimbo tafadhari

  • @Anithasinga
    @Anithasinga 7 місяців тому +1

    Anafundisha vizuri saaana.wallah ntawapa mrejesho🎉

  • @erastonelsonpanja4586
    @erastonelsonpanja4586 Рік тому +1

    Naitaji kujifunza Gita baada ya wiki Nita nunua Gita na ntaendelea kupata maelekezo kutoka kwako .nashukulu sa ma kwaaelekezo nimekuelewa sana kwa maelekezo

  • @victoriousignass9362
    @victoriousignass9362 2 роки тому +1

    asante kaka nimeona video yako Leo nataka kujifunza

    • @Eli_Music
      @Eli_Music  2 роки тому

      Nijulishe ukitaka msaada

  • @edomsilla9700
    @edomsilla9700 3 роки тому +1

    Yesuasifiwe ubarikiwe Sana mtumishi naitwa kyando Niko dodoma naish chinangali nafasi yang j2 mchana sa7naomba nikusumbue gita nalo

    • @Eli_Music
      @Eli_Music  2 роки тому

      Samahani ndugu kwa kujibu nimechelewa tafafhali nitumir namaba yako ya whatsapp

  • @westonmpangala2289
    @westonmpangala2289 2 роки тому +1

    Nimefurahi sana brother ... kukutana kitu kama hiki.. napenda kujua guitar... nashukuru kwa mwongozo mzuri... usiishie hapo..

  • @isackmachiyanshoka6754
    @isackmachiyanshoka6754 Рік тому +1

    Good teacher.

  • @robertmgeni1004
    @robertmgeni1004 2 роки тому +1

    ahsante kwa darasa zuri mwalimu ,, mimi natumia left sijui kama itawezekana

  • @gitaumwati730
    @gitaumwati730 2 роки тому +1

    Nataka kuelewa guitar kabisa natamani sana David

  • @shillahshadrack3322
    @shillahshadrack3322 2 роки тому +2

    Nataman sana kujua kupga gitaa

    • @Eli_Music
      @Eli_Music  2 роки тому

      Inawezekana,, anza ss hivi kujifunza

    • @shillahshadrack3322
      @shillahshadrack3322 2 роки тому

      Sasa me natumia mkono was kushoto he itawezekana kwely

  • @DativaVedasto
    @DativaVedasto 2 місяці тому +1

    Wewe ni Mwl mzuri

  • @Susan-Namu
    @Susan-Namu 2 роки тому +2

    thank you for this your the best teacher

    • @Eli_Music
      @Eli_Music  2 роки тому

      I really appreciate

    • @EzekieliKitange
      @EzekieliKitange 9 місяців тому

      Umenisaidia . Nasubiri SoMo litakalofuata

    • @eduowino
      @eduowino 8 місяців тому

      A very nice tutorial,..like it..

  • @karisgaitho1972
    @karisgaitho1972 10 місяців тому +1

    Great video,asante bruh.

  • @mavokotrendingband.
    @mavokotrendingband. 2 роки тому +1

    Thanks bro sai Niko poa

  • @mosesmbwau535
    @mosesmbwau535 4 місяці тому +1

    Great bro

  • @vicentmsanii9213
    @vicentmsanii9213 Рік тому +2

    Asante nauliza hivi gita shingap brother nataman san niwenayo home🙏 please

    • @Eli_Music
      @Eli_Music  8 місяців тому

      Inategemeana na bei yako ila kuanzia laki mbili unapata

  • @laidahmaris.l.m6259
    @laidahmaris.l.m6259 5 місяців тому +1

    ahsante kk

  • @officialtgeniusmusic2452
    @officialtgeniusmusic2452 Рік тому +1

    Nimekuelewa teacher

  • @mwast142
    @mwast142 Рік тому +1

    Mafunzo mema shukran

  • @manasefredrick6888
    @manasefredrick6888 2 роки тому +4

    Tunashukulu kwa kushare na sisi ila Apo kwa izo corode ulitufunda nyimbo gan yawez kuingia Apo Alf nilikuwa naomba mshiko wa corde F

  • @lawrencendathianjeri7358
    @lawrencendathianjeri7358 Рік тому +1

    Kazi mzuri bro

  • @nellygatwiri6481
    @nellygatwiri6481 3 роки тому +3

    It's an awesome training 😋

    • @Eli_Music
      @Eli_Music  3 роки тому +1

      Thanks,, any thing would you like me to cover?

    • @isaacasumani8267
      @isaacasumani8267 2 роки тому +1

      naitaji kujuwa jinsi ya kupiga warship and praise songs

    • @Eli_Music
      @Eli_Music  2 роки тому

      Nitumie link ya nyimbo ungependa kujifunza

  • @saimonisichimata8559
    @saimonisichimata8559 3 роки тому +1

    Uko vizuri

  • @vincentbakari7803
    @vincentbakari7803 Рік тому +2

    Nimepiga lesson 1 nko allitle poa strumming bado vzur lkn vipi hiyo lesson 2

  • @isaacasumani1781
    @isaacasumani1781 2 роки тому +1

    Nmependezwa na unavo fundisha. Nmambo nlilikuwa naitaji kwa sana.

    • @Eli_Music
      @Eli_Music  2 роки тому

      Asante ndugu,, somo gani ungependa nifundishe

    • @isaacasumani8267
      @isaacasumani8267 2 роки тому +2

      @@Eli_Music sasa ndugu yangu. kama nlivo kuomba hapo juu, naitaji kujifunza ginsi ya kupiga waship na praise songs. na naitaji hii iwe special class. bado tafuta links za nyimbo amabazo nitaanza nazo.

    • @Chamwinoonline
      @Chamwinoonline 2 роки тому +1

      Kaka nimependezwa na matundisho yako yamenihamasisha Sana kujifunza Ninaomba kupata namba yako ya WhatsApp

    • @Eli_Music
      @Eli_Music  2 роки тому

      @@Chamwinoonline +27658918501

    • @Eli_Music
      @Eli_Music  2 роки тому

      @@isaacasumani8267 tafadhali tafuta hizo nyimbo na nitumie

  • @mgayadicky3334
    @mgayadicky3334 4 роки тому +1

    Hongera brother upo vizur...,vp muendelezo wa masomo mengine

    • @Eli_Music
      @Eli_Music  4 роки тому

      Asante ndugu we ungependelea nitoe somo gani?

    • @mgayadicky3334
      @mgayadicky3334 4 роки тому

      Mie nimeona hilo somo moja tu na ndilo limenisaidia angalau nimekua na mwanga lakn cjajua kama kuna mwendelezo wake mwingine sababu nahitaji kujifunza zaidi na unafundisha vzur mnoo kiasi kwamba unaeleweka kwa haraka

  • @JumaMazuge-hn5xz
    @JumaMazuge-hn5xz Місяць тому +1

    Nataka kujua kupiga kupiga gitaa la bes

  • @mthinangimgutwa8386
    @mthinangimgutwa8386 2 роки тому +1

    Mwalim pamoja sana

  • @christiancommunity2669
    @christiancommunity2669 2 роки тому +2

    Sounds awesome

  • @omanamchome8056
    @omanamchome8056 3 роки тому +2

    Napenda sana bro mm ninalogitaa ,

    • @Eli_Music
      @Eli_Music  3 роки тому +1

      Amani tuanze ss mazoezi

  • @YusuphDuttu
    @YusuphDuttu 6 місяців тому +1

    kaka naomba upige nyimbo ya Sina chakukurudishia ee Bwana By Zoravo🙏

  • @celisalukindo
    @celisalukindo Рік тому +1

    Iko poa ila camera unayo rekodia ingekua juu ili nione mahari vidole vimekaa
    Asante 🎉😊

  • @hildernelson821
    @hildernelson821 3 місяці тому +1

    Unajua kufundisha saana

  • @melesianageorge2012
    @melesianageorge2012 3 роки тому +1

    Unafundisha vizuri nimeanza kukufatilia,Ila nauliza Kwan gitaa linauzwa bei kuanzia shingapi ?

  • @jasperhq01
    @jasperhq01 Місяць тому +1

    Nice

  • @jyoeemaswet828
    @jyoeemaswet828 3 місяці тому +1

    asante sana

  • @issakilimo3221
    @issakilimo3221 2 роки тому +1

    napenda sana piga gitaa uncle ila tatizo mitaa ya kwetu hakuna hata mwenye gitaa la mafunzo naweza pata gitaa la kununua na lina uzwa shilingi ngapi mm nimsanii ila bado naona ndoto zangu hazija timia bila gitaaa nisaidie kwahilo uncle

  • @gordondavid6063
    @gordondavid6063 2 роки тому +1

    asante sana kaka

  • @HusseinNehemia
    @HusseinNehemia 7 місяців тому +1

    Vzr sana

  • @waytvtz2549
    @waytvtz2549 2 роки тому +1

    Nataman Sana kuja South Africa but Sina mwenyeji ukiweza nisaidie gharama za kuja ni zangu na mahali pakulala ni wewe tu kuwa mwenyeji wangu

    • @Eli_Music
      @Eli_Music  2 роки тому

      Tutalizungumzia private swala

    • @waytvtz2549
      @waytvtz2549 2 роки тому +1

      @@Eli_Music naomba namba zako za cm kiongozi

    • @Eli_Music
      @Eli_Music  2 роки тому

      @@waytvtz2549 +27658918501 izo hapo

  • @abelmbilinyi7401
    @abelmbilinyi7401 4 роки тому +2

    Nimekupata vizuri sana mtaalamu wa gitaa mimi napenda sana kujifunza kupiga solo je unanisaidiaje kupitia ukurasa wako huu au kwa njia yoyote nyingine?

    • @Eli_Music
      @Eli_Music  4 роки тому +1

      vyote vinawezekana ntaweka video za kupig solo mda si mrefu pia ukitaka one on one funzo +27658918501 whatspp tunaweza vilevile tumia zoom app

    • @abelmbilinyi7401
      @abelmbilinyi7401 4 роки тому

      @@Eli_Music Nashukuru mwalimu,Mimi nina magitaa na baadhi ya vyombo lakini sijapata mwalimu was kunifundisha funguo japo kuwa napiga piga gitataa kidogo

  • @petroelifazi7003
    @petroelifazi7003 3 роки тому +1

    Samahan kaka naomba kuuliaza kwa kawaida waga zina bei gani gitaa napenda sana kupiga gitaa na ninataman kujua

    • @Eli_Music
      @Eli_Music  3 роки тому +1

      Sina uhakika kwa bongo maana kwa ss naishi south africa ila huku unapata kuanzia R3500 dukani,, ukinunua kwa mtu labda R2000

  • @flavourtv6847
    @flavourtv6847 4 роки тому +1

    I like it ngoja nianze na hii

    • @Eli_Music
      @Eli_Music  4 роки тому +1

      Safi sana we ungependa nitoe somo la aina gani tena? Na plz subcribe and bonyeza kengele ntashukuru sana,, n if will subscribe on urs to

  • @masungajames1884
    @masungajames1884 Рік тому +1

    Asanteee

  • @aloisesongolo658
    @aloisesongolo658 2 роки тому +1

    Okay 👌

  • @jumaamussa8163
    @jumaamussa8163 3 роки тому +1

    Vizur brother nampango wa kununua gitaa naimani nikikufatia vizrur nitajua2

  • @jacksonmbonea7411
    @jacksonmbonea7411 2 роки тому +2

    Your a good teacher,God bless you!

    • @Eli_Music
      @Eli_Music  2 роки тому +1

      I appreciate my bro,, same goes for you

  • @hamzahassani3488
    @hamzahassani3488 4 роки тому +2

    Samahani nadhani ungetuwekea na micholo pamoja na alamacod mana ukishika hatuoni vizuri

    • @Eli_Music
      @Eli_Music  4 роки тому +1

      ok ndugu ntalifanyia kazi hilo

    • @jumamaloqo5085
      @jumamaloqo5085 3 роки тому

      Samahan ukishika hatuon vzuli

  • @obwileobadia9123
    @obwileobadia9123 2 роки тому +1

    gitaa sh. ngap

  • @nadoblanko7736
    @nadoblanko7736 Рік тому +1

    i have a few days but with your instruction since i started following you l know all the code you taught but the problem is that l'm having trouble moving from one code another i would like you to help me here my brother please help me

    • @VIVEMUSIC2024
      @VIVEMUSIC2024 4 дні тому +1

      Good job broo actually I have a created video for that welcome

    • @Eli_Music
      @Eli_Music  4 дні тому

      @VIVEMUSIC2024 share the link of yr video plz

    • @VIVEMUSIC2024
      @VIVEMUSIC2024 4 дні тому

      @@Eli_Music ua-cam.com/video/Snl8n8jL9Ys/v-deo.htmlsi=Gy_yivvOuD67w3Yu

  • @freremedardngongo1486
    @freremedardngongo1486 Рік тому +1

    Mwalimu ninatatizo ya kukunja vidole I vigumu kabisa, na magumu nyingine ni namna yakutofautisha zile ma fret

  • @bastartaito7416
    @bastartaito7416 2 роки тому +2

    Nakuja we mzee wa mabonege 😅

  • @EDRAXMusic-fp2vc
    @EDRAXMusic-fp2vc 2 місяці тому +1

    Asante san

  • @officialpangaboymtotowamam8014
    @officialpangaboymtotowamam8014 4 роки тому +2

    Naelewa uko vzr

    • @Eli_Music
      @Eli_Music  4 роки тому +1

      Asante ndugu kama kuna somo lolote ungependa nikuletee plz nambie

  • @m.m.tvmbebamaono
    @m.m.tvmbebamaono 3 роки тому +1

    Broo ni gitaa IPI nzuri ya kuanza kutumia kujifunza kupiga

    • @Eli_Music
      @Eli_Music  3 роки тому

      Lolote lile unaweza anzia ila mara nyingi acoustic wengi wanaliita garaton

  • @neliswathusithusi5853
    @neliswathusithusi5853 3 роки тому +1

    Anko nice job

  • @fredrickmsomba4123
    @fredrickmsomba4123 2 роки тому +1

    Dah hii iko poa sana

  • @timotheomichael1858
    @timotheomichael1858 3 роки тому +1

    Ticha nakukubari sana unafundosha pwa sana naomba ujaribu kutufundsha kuhusu namba za chord kwamfano c namamoja yake ni c yenyewa je 2......7 nizipi

  • @gabfleva2236
    @gabfleva2236 2 роки тому +1

    Vizur

  • @joydevine7800
    @joydevine7800 2 роки тому +2

    helpful

  • @tinosamwel1941
    @tinosamwel1941 3 роки тому

    Safi broo ,mi Nina garaton dogo ya hilo ila nasumbuka kujifunza sana so naimani utatusaidia kwa njia hii

    • @Eli_Music
      @Eli_Music  3 роки тому

      Nafurahi kusikia kwamba umeamua kijufunza popote pale unaweza kuanza, plz angalia videos zangu zingine na kama kuna kitu huelewi basi nitumie msg yako ili nijue ni wapi umekwama

  • @bayotz-xy2ju
    @bayotz-xy2ju 7 місяців тому +1

    nimekuelewa

  • @faizikashindi4654
    @faizikashindi4654 3 роки тому

    Vidole vinauma haaaaaa yani kazi ipo

  • @uwezopower7551
    @uwezopower7551 2 роки тому +1

    nakupata rafiki yangu

  • @AndreaIzack
    @AndreaIzack 4 місяці тому

    Asante brother

  • @JeanneAmua
    @JeanneAmua Рік тому +1

    Naita nijifuze

  • @elisamehemdeme4302
    @elisamehemdeme4302 2 роки тому +1

    Naitwa mr mndeme Natamani sana Nijue kupiga solo Nianzeje ?? Ili Nijue

    • @Eli_Music
      @Eli_Music  2 роки тому

      Safi sana ndugu,, ebu ingia kwenye profile yangu na kwenye playlist zangu kuna mfululizo wa video za jinsi ya kupiga solo kuanzia mwanzo adi mwisho

    • @Eli_Music
      @Eli_Music  2 роки тому

      Hii hapa link ya video hizo zifwatilia zote zitasaidia sana

  • @DanielBilombele-pt9jj
    @DanielBilombele-pt9jj Місяць тому +1

    Nataka nijue

    • @Eli_Music
      @Eli_Music  29 днів тому

      Utajua ndugu ni mazoezi tu

  • @samusonisamusoni2390
    @samusonisamusoni2390 2 роки тому +2

    Unafunza.muzuri

  • @AnthonyJacksonmsalenge-b4w
    @AnthonyJacksonmsalenge-b4w 8 місяців тому +1

    Kaka Ninawazo unaonaje ukifungua group la WhatsApp na utuunge vijana wako kisha utufundishe

    • @Eli_Music
      @Eli_Music  8 місяців тому

      Sawa ntalifanyia utaratibu

  • @sammzimba
    @sammzimba 2 роки тому +1

    Asante Sana

  • @guyupanemusique5092
    @guyupanemusique5092 4 роки тому +4

    I have learned so much Kiswahili in this video.😁

    • @Eli_Music
      @Eli_Music  4 роки тому +2

      Hahaha am happy to hear that i would like us to learn more from each other teach you , anything in mind?

    • @zippymwaniki6938
      @zippymwaniki6938 3 роки тому +2

      Asante Sana

  • @Winas.Elias441
    @Winas.Elias441 7 місяців тому +1

    Naomba unafundisha kupiga gutar pleas

    • @Eli_Music
      @Eli_Music  7 місяців тому

      Sawa ss umefikia wapi?

  • @zippymwaniki6938
    @zippymwaniki6938 3 роки тому

    Asante Sana mwalimu

  • @simionbrandy101
    @simionbrandy101 3 роки тому +1

    Mimi nimekuelewa Sana naitwa SIMION BRANDY KATWIGA naomba namba yako

  • @michaelpatrickbwana1296
    @michaelpatrickbwana1296 3 роки тому +1

    nisadiheee namba zako za wasapu mkuuuu naitaji kujifunza zaidiiii iliniwe mpigaji nzury ukiwa kama mwalimu wangu

    • @Eli_Music
      @Eli_Music  2 роки тому

      Safi sana ndugu +27658918501
      +27682912657

  • @samwelmisaso3073
    @samwelmisaso3073 3 роки тому

    nakubali kaka tupo pa1

  • @franswaagodfrey5007
    @franswaagodfrey5007 3 роки тому +1

    I really appreciate you Brother, Sasa nahitaji kununua gitaa je gitaa la aina Gani litanifaa namaanisha lenye ubora.. pia kama una namba ya WhatsApp ingekuwa poa sanaaaaa

    • @Eli_Music
      @Eli_Music  3 роки тому +2

      +27658918501 tuongee kwenye whatsap

  • @khatibismail8145
    @khatibismail8145 3 роки тому

    Nimekusoma mzee shukran

  • @nkwamatz
    @nkwamatz 4 роки тому +1

    Kwel kaka nimekupata

  • @vincentbakari7803
    @vincentbakari7803 Рік тому +1

    Lesson 2 vipi

  • @zuwenahassani9535
    @zuwenahassani9535 2 роки тому +1

    bro mm mahitaji kujua mzk zaid na pia uandish bro ili niwe mwandish mzuri n nm nifanye kabla ua yote bro

    • @Eli_Music
      @Eli_Music  2 роки тому

      Nitumie whatsapp +27658918501