- 228
- 361 196
Eli Phaz
Приєднався 19 гру 2017
Music Tips and Success
Gitaa jinsi ya kupiga key ya D na kodi zake/ How to play 12 Keys on guitar and their Chords
Huu ni mfululizo wa key zote 12 an kodi zake fwalitilia ,,if you wanna how to play 12 keys on guitar and their chords then this is for you,,
Переглядів: 457
Відео
Gitaa Kama mgumu kuhamisha vidole au vinauma Angalia hii / how to move quickly with Chords
Переглядів 4363 місяці тому
Learn how to move quickly when u play chords Jifunze kuhama kwa haraka ukiwa unapiga kodi
Gitaa / Key ya C# part 2 Jinsi ya kipiga key zote 12 / How to play 12 keys on Guitar
Переглядів 2433 місяці тому
Ni aje ndugu kwenye somo hili nafunza key ya C# tukiwa kataika mfululizo wa kujzijua key zote 12 ,,Hi in this episode of learning all 12 keys on Guitar this lesson is only teaching how to play guitar the basic chords in the key of C# Subscribe ,click the bell notification and if u can support my Chanel by sending me thanks gifts
Very beautiful Gospel Chords /best Gospel Progression
Переглядів 2478 місяців тому
Very beautiful Gospel Chords /best Gospel Progression
Jinsi ya kupata chord ukitaka kutengeza nyimbo yako /How to find open chords
Переглядів 2 тис.10 місяців тому
Jinsi ya kupata chord ukitaka kutengeza nyimbo yako /How to find open chords
Jifunze Key Zote 12 na Chord Zake zote ( part 1 key ya C na chord zake)
Переглядів 95010 місяців тому
Jifunze Key Zote 12 na Chord Zake zote ( part 1 key ya C na chord zake)
Jinsi Ya kushika na Kutumia Pectrums/Picks Kwenye upigaji wa Gitaa /How to use a Pick (plectrums
Переглядів 37110 місяців тому
Jinsi Ya kushika na Kutumia Pectrums/Picks Kwenye upigaji wa Gitaa /How to use a Pick (plectrums
True Colors /Phil Collins/ Cool version ever ( Eli and Zane )
Переглядів 366Рік тому
True Colors /Phil Collins/ Cool version ever ( Eli and Zane )
GOD s Promises are Yes And Amen - LiveStream @FaithHillChurch Second Service
Переглядів 156Рік тому
GOD s Promises are Yes And Amen - LiveStream @FaithHillChurch Second Service
Yes and Amen - Live at @FaithHillChurch Second Service!
Переглядів 89Рік тому
Yes and Amen - Live at @FaithHillChurch Second Service!
Praise The Lord guitar Solo Cover/tutorial #shortvideo #praisethelord
Переглядів 801Рік тому
Praise The Lord guitar Solo Cover/tutorial #shortvideo #praisethelord
Jinsi ya Kujua Shingo la Guitar na Note zake zote / How to Master the Guitar fretboard
Переглядів 1,6 тис.Рік тому
Jinsi ya Kujua Shingo la Guitar na Note zake zote / How to Master the Guitar fretboard
Best Sowetan Jazz Band Killing it at Nikki's / Best solos ever
Переглядів 165Рік тому
Best Sowetan Jazz Band Killing it at Nikki's / Best solos ever
This Band goes Crazy at Saison Sunday with Gemma Fassie -No Drama Song
Переглядів 182Рік тому
This Band goes Crazy at Saison Sunday with Gemma Fassie -No Drama Song
Gitaa Tumia Vionjo Hivi 3 Na Badisha Upigaji wako / How to Play Guitar
Переглядів 3,9 тис.Рік тому
Gitaa Tumia Vionjo Hivi 3 Na Badisha Upigaji wako / How to Play Guitar
Fingerpicking Ya Wanao Anza Piga Gitaa / Fingerpicking Lesson for beginners
Переглядів 605Рік тому
Fingerpicking Ya Wanao Anza Piga Gitaa / Fingerpicking Lesson for beginners
Jinsi ya Kupiga Minor Scale /How to Play D Minor Scale
Переглядів 619Рік тому
Jinsi ya Kupiga Minor Scale /How to Play D Minor Scale
Whether therefore ye eat or drink, or whatsoever ye do, do all to the glory of God.
Переглядів 139Рік тому
Whether therefore ye eat or drink, or whatsoever ye do, do all to the glory of God.
When Worship voice meets Worship Guitar
Переглядів 138Рік тому
When Worship voice meets Worship Guitar
The Most beautiful and Soulful Gospel Chords, I walk in JESUS
Переглядів 350Рік тому
The Most beautiful and Soulful Gospel Chords, I walk in JESUS
How to Get Better at Lead Guitar // Techniques
Переглядів 321Рік тому
How to Get Better at Lead Guitar // Techniques
Today's Heavy Windy Rain and Hail Johannesburg,, it s on Now,,
Переглядів 1782 роки тому
Today's Heavy Windy Rain and Hail Johannesburg,, it s on Now,,
The Most Soulful Gospel Guitar Solo - Faithful Father #WhoIsTheBOSS Gt100 Distortion
Переглядів 3382 роки тому
The Most Soulful Gospel Guitar Solo - Faithful Father #WhoIsTheBOSS Gt100 Distortion
Wake me Up (Avicii) | Trio Performance
Переглядів 2232 роки тому
Wake me Up (Avicii) | Trio Performance
Gifted Fingers Best duo - Beautiful in White (Eli Phaz & Zane G)
Переглядів 2932 роки тому
Gifted Fingers Best duo - Beautiful in White (Eli Phaz & Zane G)
Tears in Heaven Acoustic version (Zane G & Eli) #duo
Переглядів 1902 роки тому
Tears in Heaven Acoustic version (Zane G & Eli) #duo
Nina kufuatilia Sana bro Good lesson
Msaada wa Namba bro please
Kaka ni nashukuru Sana bro. Naona nafunguka Sasa kumbe nilikuwa sifuati scale, flate nilikuwa sijui, namna yakuesabu nyuzi, kuhesabu vidole na namna ya kushika petramu pamoja na upigaji.
mbona Mimi unanichanganya yani ulipotaja numbers ndo nimepotea kabisa
Bos somo zuri lakini na download zinakataa
Bei ya gitaa shingapi
kaka vidole hatuoni nyuzi vizuri
Hey brother chenye nataka utufunze barcode njo zenye zineshakua ngufu kwangu asante
Vip man, aisee naomba ufundishe namna ya kuchambua rhythm
Upo wap
Kaka namna gani naweza kupata contact zako??mm nko dar es salaam
Natafuta mwalimu wa gitaaa Niko Dar es salaam
Brother
Brother we hatari
Mimi naitaji wakati unatoa somo uwe unaelekeza na jinsi ya kupiga kulia kanuni zake
asante sana bro 🙏🏿
🔥
Nasama kitu ya kwanza asata
🔥🔥
🔥🔥🙌🏿
🔥🔥🙏🏿
Kaka ndo nimeanza leo kukufuatilia naitwa Daniel ,
Nice one
Channel yako ili tukufate kihuraisi
Ubalikiw xan
Mimi ninalo sasa ndo mana nimeanza mwanzo twende na wewe
Bro this is super, thanks
Mkuu unapatikana wapi nataka nione namna ya kujifunza
asante sana
Every PRAISE is to our God!!!💯❤️❤️💯💯
Tunaomba utoe somo linalo fuata ili kukamilisha maumbo mengine prease
Ubarikiwe mwamba
Elimu yako inanipa matumaini ya jua kupiga guitar
Mwalimu ulisema kwamba utatufundisha cord nne zingine ahuja toa?
Iyo gitaa inauzwaje
Kaka nakubali sana kazi yako naomba nielekeze jinsi ya kugusa chord step by step kwenye key C
Gitaa kama hilo shingap?
Tafadhali kaka punguza mwendo juu unaenda haraka sana
Kaka umetisha sana mm ndo naanza ila nakuelewa sana naomba hatua ya kwanza kabisa
Asanta Kwa mimi
I love the tutorial, this is one of my favorite songs from Doc, Respect from +254
Oh wow glad to hear that ,,,how is music in Kenya treating u
hatujui kuseti gitaa
Unamaanisha nini?
asante sana mwalimu , naomba uwe unatutolea mafunzo mawili kwa wiki mwalimu
Ntajitahidi ndugu ni majukumu tu yananibana ila ntafanya bidii
Ninahamu SANA ya kulijua mwanzo mwisho
Utajua tu ndugu zidi kufanya mazoezi
Mimi nataka unifundishe live
Nini hata unataka kujua kuhusu live
Me natak nifundishe tachndio shida
Touch huwa inakuja taratibu kadri unavyozidi kujifunza nyimbo nyingi na kuwasikiliza wapigaji wengine
Teacher mfumo mzima wa scales niliukosa nimeishia umbo la nne tu
Poa ntauleta
Kazi yako niyakufana sana
Asante ndugu
4:11