zafa la kumtangaza na kumnadi bwana mtume muhammad (s.a.w)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 170

  • @Abuumuqbil4994
    @Abuumuqbil4994 Рік тому +5

    Pole ni sana watu wa bidaa hivi ndivyo mwamswalia mtume nyinyi na diomond hamna tofautie

  • @abuukaraxmed873
    @abuukaraxmed873 Рік тому +4

    Hii sio kumpenda mtume kama mnapenda mtume amani na rehma iwe juu yake nendeni msikitini mswali na mfunge na uamke usiku wa manene mwoombee mungu

    • @hassaniulende-sp6io
      @hassaniulende-sp6io 11 місяців тому

      Hivi HAWA WANAJIELEWA KWELI ? Hivi watoto WENU mnawafunza UJINGA huu ? Hakika siku ya hukumu kutakuwa na mambo , Alla atunusuru na mtihani huu ,

  • @kahiyemohammed8556
    @kahiyemohammed8556 Рік тому +1

    Subxanallah subxanallah... hii biashara ya mtu , sio diini Ugumbafuu toweni makansu

  • @AjuMiraji
    @AjuMiraji 11 місяців тому

    Mnamtaja Allah,Mtume kwenye kigodoro

  • @maherzain989
    @maherzain989 2 місяці тому

    Hii imezidi sasa khaaaaa!!

  • @hamadyhashimu9784
    @hamadyhashimu9784 9 місяців тому

    hiv hawa ni watanzania au ni kabira gani sisi ktk uisilam wetu hatuna vitu vya hovyo kama hivinuisilaam wetu nikumtukuza mwenyezi mungu na mtume wetu lakn sio kwa njia hii hawa ni vijana wa hovyo

  • @MohammedArif-yz8yj
    @MohammedArif-yz8yj Рік тому +6

    This is cultural event and not required by the religion of Islam. May Allah SWT protect brothers.

  • @ibrahimgonsotube4598
    @ibrahimgonsotube4598 Рік тому +3

    Huu si uislamu subhana Allah

  • @jameschengwali1051
    @jameschengwali1051 Рік тому

    Waislamu wa mombasa kenya wanamchezea Muhammad wao, wanasema amefufuka

  • @SaumuJaffar-v6z
    @SaumuJaffar-v6z 15 днів тому

    Malemale ❤jmn nimemic sn

  • @allysalumu9344
    @allysalumu9344 Рік тому +9

    Alla awaongoze mthibit katika hakk maana mmemkhalifu mtume

  • @aishaayatu8653
    @aishaayatu8653 Рік тому +1

    Subhaanallah my Allah forgive us

  • @MussaHamadi-s5c
    @MussaHamadi-s5c 2 місяці тому +1

    Nyinyi muna chombeza moto acheni Mila zenu na tamaduni mbaya izo mtume hakufundisha hivyoooo

  • @SadickWazili
    @SadickWazili 6 місяців тому

    Hii kazi kweli kawaida zamiaka hii du

  • @saidmohammed2830
    @saidmohammed2830 Рік тому

    Subuhanallah mungu na mtume Muhammad SWS mwawafanya sijui kama nn

  • @omarally6819
    @omarally6819 Рік тому +11

    Sub'haana Allaahi, enyi Waislamu ndugu zetu ankeni na zindukeni jamani, Dini yetu ta Uislamu haitambuwi nawala gaija fundisha ujinga na upumbavu wa namna hii

    • @manilabona
      @manilabona Рік тому

      Dunia imebadilika bila kufanya hivo kufanana na kizazi hiki, walengwa wanaweza wasihamasike kuelewa ujumbe uliokusudiwa. Hakika yataendelea kuona mengi maana utandawazi umepenyeza hadi kwa watoto wadogo

    • @myibu
      @myibu Рік тому

      alikufundisha kutumia mitandao ya kijamii

    • @omarally6819
      @omarally6819 Рік тому

      Dah

  • @harithsaid1834
    @harithsaid1834 Рік тому +3

    Acheni uzushi kuna siku mtaulizwa mtakua na majibu gani mbele ya rasulillah

  • @hawahamisi223
    @hawahamisi223 Рік тому

    Hongereni sana mashekhe wakubwa sawa

  • @Abdul-oc1ul
    @Abdul-oc1ul 2 місяці тому

    Kumamamazenu

  • @alouisejohn7752
    @alouisejohn7752 Рік тому

    Mungu wangu dunia imekwisha kabisa

  • @husseinhamza4819
    @husseinhamza4819 Рік тому +3

    Mimi sikubali hii mnatuaibisha Sana ki ukweli

    • @naamajid
      @naamajid Рік тому

      Innaa lillah wa innaa ilyh rajiun

  • @issahassan8361
    @issahassan8361 Рік тому

    Inawezekana hawajui wanachokifanya kwaza waelekezeni ndio muwatie motoni Allah atuongoze katika njia ilionyooka .
    وإنما الأعمال بالخواتيم.

  • @muktar1474
    @muktar1474 Рік тому +1

    Nyinyi mmepotea mbali kabisa

  • @almasimrisho3394
    @almasimrisho3394 Рік тому +6

    INNALILLAH wainnalillah rajuun

  • @ChapowK.E
    @ChapowK.E Рік тому

    Kwani, ndivyo kunaenda.

  • @Alakhyasirabuammar
    @Alakhyasirabuammar Рік тому +1

    mihemko ya pilau duh. ahlulpilau wa birr

  • @salmanjaveed8830
    @salmanjaveed8830 Рік тому +6

    Astagfirullah astagfirullah astagfirullah inna lillah

  • @hassanowgennogenno5740
    @hassanowgennogenno5740 Місяць тому +1

    Mnapatia mawahabi nafasi ya kututukana.maulidi ni taratibu jamani si densi!

  • @abdillahidayah4886
    @abdillahidayah4886 Рік тому +1

    Subhana allah
    bidci bidci

  • @sofiaabdalla7590
    @sofiaabdalla7590 Рік тому

    Sawa wacheza kwaya.

  • @abdallakidim1662
    @abdallakidim1662 Рік тому +2

    Innalillahi wainna ilayhi raajiun
    Allah atuongoze katika njia iliyonyooka.
    Iwe Maswahaba ndio wamefanya hivi?? haiwezekani kabisa hii ni laghawi na haikubaliki katka dini ya Haqqih.

    • @manilabona
      @manilabona Рік тому

      Kila nafsi itahukumiwa kutokana na matendo yake, tusichoke kukumbushana kwani kila mtu atabeba mzigo wake

  • @faisaloaljabry6400
    @faisaloaljabry6400 Рік тому +7

    Msiifananishe hii na dini hii ni ngoma ndiyo maana wako kwenye viwanja wanaruka majoka.

  • @adanisakoibrahim
    @adanisakoibrahim Рік тому +1

    Mujriminti

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib223 Рік тому

    Kweli usufi ni upumbavu

  • @mamawamoya3344
    @mamawamoya3344 Рік тому +1

    Jamani lo nyinyi ni wa
    Karne gani mko tu katika mambo hayana maana

  • @Abdul-oc1ul
    @Abdul-oc1ul 2 місяці тому

    Mtume hawasifiwi ngoma

  • @adammkambi5139
    @adammkambi5139 Рік тому +2

    huu ni ukafiri dhahiri

  • @aminahamza5386
    @aminahamza5386 Місяць тому

    Hao wanasherekea masufuria ya wali mtume answaliwa hivo

  • @Grataaaaa
    @Grataaaaa 2 місяці тому

    Mtume hanadiwi ivo eti migoma 😂😂😂😂😂😂😂 apo msikiti haujulikani migoma na ubwabwa tuu

  • @saidamursal7085
    @saidamursal7085 Рік тому

    Subxaanallaah 🙄

  • @habibaramadhani-xv2ed
    @habibaramadhani-xv2ed Рік тому

    Alhamndulillah

  • @ah3069
    @ah3069 Рік тому +1

    Subhana Allah ati hii ndio dining!!??

  • @abdallakilesho6254
    @abdallakilesho6254 Рік тому +4

    Maulid ni Ngoma kama Ngoma zingine SI dini

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 Рік тому +2

    Inalillahi wainailahi rajuun. Mtume ndiyo alifanya hivi kweri. Badilikeni. Kidukutu mafifaida

    • @Abdulkarim_1991
      @Abdulkarim_1991 Рік тому

      من اين لك أن تدعي ان الرسول صلى الله عليه وسلم رقص مثل ما ترقصون. راجع تاريخ السنة النبوية، لم يكن فيها رقص أفريقي.

    • @shifaaal-baity4503
      @shifaaal-baity4503 26 днів тому

      ​@@Abdulkarim_1991ما فهمت قصده ..هو ضد هذا الرقص

  • @habibaramadhani-xv2ed
    @habibaramadhani-xv2ed Рік тому

    Amiina

  • @خديجهبرندو
    @خديجهبرندو Рік тому +4

    Innalilah wa inalilah

    • @kadeyihawa7873
      @kadeyihawa7873 Рік тому

      Innalillah wa inailah rajiun haina tafaut n'a daimond

  • @odaamirsaab9185
    @odaamirsaab9185 Рік тому +6

    Kweli njaa ni tabu

  • @emjey284
    @emjey284 Рік тому

    Malaika na majini wa kishetani wanadance ivi Tu kuzimu😜

  • @saynabmohammed6263
    @saynabmohammed6263 Рік тому +1

    Allah awahid

  • @abdimwinjuma3281
    @abdimwinjuma3281 Рік тому

    Huu ni puuzi,

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 4 місяці тому

    Masufi hawo katika dance sijui uislamu wa wapi huuu!! Hapo hata uumpe Aya wala hadithi akuelewi wakaidi hawa

  • @kasozimatovu5810
    @kasozimatovu5810 Рік тому

    Islam is about the observing the 5 pillars of islam 1 TAWHEED 2 FIVE SWALAH 3 FASTING HOLLY MONTH 4 PAYING ZAKAH 5 IF ABLE PERFORM HIJJA , that is all, so other acts are your wishful thinking or act

  • @Hussayn21
    @Hussayn21 Рік тому +4

    HII DINI SIO YA MADUFU
    ILA YA DA’WAH

  • @abuasya2595
    @abuasya2595 Рік тому +2

    Hapo lazima wakatishe viuno, maana ubavuni naona kwa fuka moshi

  • @hamisimwagarashi9501
    @hamisimwagarashi9501 Рік тому

    Mbona mwazisha ndipo?

  • @enssaceesay712
    @enssaceesay712 Рік тому

    Sub haan Allaahi😭😭😭😭😭😭😭😭🤭🤭🤭🤭

  • @Hussayn21
    @Hussayn21 Рік тому +1

    Tatizo Njaa Hapa sio dini bali Njaa

  • @hamadefaye1937
    @hamadefaye1937 Рік тому +2

    What country is it?

  • @allymziray5179
    @allymziray5179 Рік тому +2

    Hawa vijana

  • @MohammedRaza-ru8bk
    @MohammedRaza-ru8bk 9 місяців тому

    Whats this?

  • @adeyemikebeidris6622
    @adeyemikebeidris6622 Рік тому

    Sollaallau aleyhin wasalsm

  • @evacekasaija3912
    @evacekasaija3912 Рік тому

    Barakalau fiku

  • @AnwarAli-vs9mp
    @AnwarAli-vs9mp Рік тому +1

    Lahaulah

  • @salimnazir6000
    @salimnazir6000 Рік тому

    Sisi ni waislamu sio galatiya mna katika kiuno wallahi sio nzuri hivyo someni maulidi sifia mtume sio namna hii

  • @hamadefaye1937
    @hamadefaye1937 Рік тому +1

    C'est dans quel pays ça ?

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 Рік тому +1

    الله مستعان

  • @kumbashitv2275
    @kumbashitv2275 Рік тому +1

    من مات في هذه الطريق دخل النار

  • @Wastara001
    @Wastara001 Рік тому

    Je, iwapo Khalifa Abubakar, Umar, Uthman na Ali wangefanya upumbavu huu, dini ingetufikia??

  • @sahibuturab7279
    @sahibuturab7279 Рік тому +2

    Wa pumbavu.
    Muwache kutaja jina ya Allah na Mtume wake hali Muna fanya na kinyume cha maagizo ya Allah

  • @UmmuJauzan
    @UmmuJauzan 11 місяців тому

    Mtume anatangazwa kwa matendo sio kwa ushenzi na ufirauni huo

  • @chellamnarayanan4929
    @chellamnarayanan4929 Рік тому

    I could not understand the language but very good voice and dance. May Allah bless u all.

  • @musiliulawal
    @musiliulawal Рік тому +1

    Lovely ❤ 😍, ....

  • @rashidhamadi5806
    @rashidhamadi5806 Рік тому

    Wapuuzi Nyi ivo ndo mnautangazia umma km uislam wetu upo ivo kwel!!???
    Kumbukeni km mtaulizwa juu ya uislam mlojitengnezea kwa matakwa ya nafs zenu kinyume na alokuja nao Mtume saw

  • @aminoabadir6886
    @aminoabadir6886 Рік тому +1

    Subhanallaah, what kind of actions came to in islam?

  • @Jamila-cz5ge
    @Jamila-cz5ge Рік тому +1

    Mwisho wa dunia mumeitoa wapi hi bidaa

  • @makhanguwakhutu2408
    @makhanguwakhutu2408 Рік тому +1

    Na BAKWATA wanaona huu upuuzi na bado wamekimia

  • @libetztanzania-kiswahilina2845

    Ha ha ha KWAYA IMEUPIGA MWINGI

  • @abdallahbrek1698
    @abdallahbrek1698 Рік тому

    Wanastahiki Grammy award

    • @saleibanmohamoud2664
      @saleibanmohamoud2664 Рік тому

      The companion of messenger of God Muhammad sallallahu alaihe wasallam and His companion they never did it this is Bida'!!!!

    • @saleibanmohamoud2664
      @saleibanmohamoud2664 Рік тому

      Hey brothers this is not right because the messenger of Allah never did it or companion of messenger they never did it such think like this asking forgiveness Allah

    • @abdallahbrek1698
      @abdallahbrek1698 Рік тому

      @@saleibanmohamoud2664 neither did they have smart phones, televisions, laptops, auto mobiles, aeroplanes, space explorations, we have things they nor any one living 200 years ago could ever think and who knows, in another 50 years they may have things we could never imagine and that's called mans' creativity and technology but that's not why I commented. My comment was an irony you, however couldn't grasp it.

  • @zaidouharouna7788
    @zaidouharouna7788 Рік тому +2

    😭😭😭👈☝️

  • @neemafatu471
    @neemafatu471 Рік тому

    Hatari kubwa ni ni kwamba mnaona kuwa huo nidio uislamu au hayo ni ktk uislamu..
    Naamini watu wakiacha mambo ya msingi lzm watafanya upuuzi tu

  • @hazalioinvester3362
    @hazalioinvester3362 Рік тому +1

    Upuzi nothing like this in our religion.

  • @MADRASATISWADAQALLAHUNYARUGUSU

    Safi sana

  • @dulaabdallah6127
    @dulaabdallah6127 Рік тому +1

    Abubakr,Umar,Ali na uthman,laiti wangeliusambaza uislamu na kumnadi mtume hivi tungelikuwa Bado tupo katika ujahiliyya.Barzanji imejaa shirk.Tizama Shirk katika maulid ya Sheikh Aboud Rogo,na Sheikh Muhammad Bachu ndio utanielewa

    • @amunikibiriti
      @amunikibiriti Рік тому

      Acha ujinga kasome

    • @dulaabdallah6127
      @dulaabdallah6127 Рік тому

      @@amunikibiriti the way you react to comments it's a clear prove that you are illiterate

  • @Bantu12023
    @Bantu12023 Рік тому +1

    Kwani mtu e yupo Mara ngapi? Ama maulidi hii

  • @abdallahniyonzima1600
    @abdallahniyonzima1600 Рік тому +1

    naishi ichin rwanda hawa.nimapumbafu hi mutume alkataza.ni.bida

  • @kenz-ihafiye2456
    @kenz-ihafiye2456 11 місяців тому

    Where is it ? I wanna go there

    • @matendupiterngoge8707
      @matendupiterngoge8707 11 місяців тому

      Niwaislamu wanasema wanamfurahikia mtume wao lakini wanafanya mambo kunyume na mafundisho ya yule wanamsherehekea

    • @kenz-ihafiye2456
      @kenz-ihafiye2456 8 місяців тому

      ​@@matendupiterngoge8707hmm. You meant this way is not correct ?

    • @matendupiterngoge8707
      @matendupiterngoge8707 8 місяців тому

      Shukran nimekufahamu ukht

    • @kenz-ihafiye2456
      @kenz-ihafiye2456 8 місяців тому

      @@matendupiterngoge8707 ooh l wish l can speak african language but l can't ..sorry can you pls write english

    • @kenz-ihafiye2456
      @kenz-ihafiye2456 8 місяців тому

      Oo l see you said şukran

  • @boubacarsamb91
    @boubacarsamb91 Рік тому

    🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣

  • @ismailtarimo3974
    @ismailtarimo3974 Рік тому

    Ivi Hawa watu hawajui kuwa Holi wanalofanya halipo ktk dini yetu, au hawajui wanachokifanya!!? Au ni ubwabwa inawatia uwazimu? Mm nikitoka kwenye ukristo lkn niligundua mapema kuwa maulidi sii sahihi, Hawa mbn wanaharibu dini yetu? Mbn Mtume wetu rehma na Aman zimfikie hakiliacha Jambo Hili? Ndg zangu tumche Allah.

  • @fatmasaleh8910
    @fatmasaleh8910 Рік тому +1

    Kiac mukate mauno kumbe kunasufuria nne hazijapakuliwa endeleeni kuserebuka ila MTUME SW hakufundisha hivo

  • @MADRASATISWADAQALLAHUNYARUGUSU

    Good

  • @libetztanzania-kiswahilina2845
    @libetztanzania-kiswahilina2845 28 днів тому

    HII ni QASWIDA ??? 😂

  • @mewatimedicalhub6769
    @mewatimedicalhub6769 Рік тому

    Brelwi firka yaha bhi pahunch gaya

  • @balublue5793
    @balublue5793 Рік тому +1

    Toruk moruk tribe

  • @gopalsamykannan2964
    @gopalsamykannan2964 Рік тому

    Dance dance
    Y dance?

  • @zainabmusa2006
    @zainabmusa2006 Рік тому

    SI HAKI😭😭😭😭😭😭😭😱

  • @ابوبكرالمدريدي-ز2غ

    هههههههه ههههههههه هههههههه ههههههههه هههههههه ههههههههه هههههههه أهلي بدعة الصوفية

  • @AL_shahada
    @AL_shahada Рік тому

    Shaqada iibadatay maradeyda cadestay boqolshego waa markoda waa markena hada sorawaxdan hori usoqata bug sheko qosaskin halawadagina sheko

  • @omargbabaomar2004
    @omargbabaomar2004 Рік тому

    Bidaa

    • @khaldshabani5862
      @khaldshabani5862 Рік тому

      Bidaaghaa kwako weyeeeeeeh

    • @karimambosanga4290
      @karimambosanga4290 Рік тому

      Akheru zaman.siku za mwisho hizi anaye taka ibada ya kweli afanye,zingine ni ngoma tu

  • @abuukaraxmed873
    @abuukaraxmed873 Рік тому +1

    Hii ni mambo daimond na reveny sio dini wala karibu yake

  • @omarkhan3178
    @omarkhan3178 Рік тому

    😂😂😂😂🤣