Hawa pamoja m sijasoma sina elimu ila haya ni bidaa kabiru.mtume wa Allah rehema na amani zimfikie alikua anawausia maswahaba wake rehema za Allah ziwafikie kasema amngelia sana na mkacheka kidogo tu wao wanafanya mchezo tu na uislam pia huwa wanaacha swala mdada ukifika wanaendelea michezo ya bidaa Allah atuongozo na waache upuuzi huu
Masufi walikua wachamungu ispokua hawa wamesha potoshwa na bakwata wao wanapenda uislamu aina hii usiulize haki za waislamu usiulize majumba ya wakfu usiulize viwanja vyawakuf wao wanataka sote tuwe wacheza masuwezi
Hizo ni Ngoma za kienyeji
Wanamuziki hao
Allah awaongoze ndugu zetu hawa , kwahakika huu ni mtihani
Hawa pamoja m sijasoma sina elimu ila haya ni bidaa kabiru.mtume wa Allah rehema na amani zimfikie alikua anawausia maswahaba wake rehema za Allah ziwafikie kasema amngelia sana na mkacheka kidogo tu wao wanafanya mchezo tu na uislam pia huwa wanaacha swala mdada ukifika wanaendelea michezo ya bidaa Allah atuongozo na waache upuuzi huu
Hawa wakata viuno wataznduka lini ? Ama kwa hakika ujinga kitu kibaya.Hapa kuna ibada ya shetani tu ,Allah awaongoze,Aamin.
Allah awaogoze walibu nyie
Madufi mtihani
Mungu awaongozektk haqqi
Waharibifu wa dini ya mtume hawa masufi
Mashallaa
Hapo wanaharibuje sasa
Hii style ya kuku kujikung'uta vumbi taqbirrrrrrrrrrrrtt
Kama waimbaji kutoka kaole! Acheni ujinga someni dini acheni upuuzi
Hapo wamwite diamond awasaidie maana hamna tofauti
Kweli masufi mtihani
Masufi from lushoto waharibifu wa dini ya Allah
Wengi wanaokoka baada ya duwa tuwaobe duwa tena kwauwingi kwa hii nikali sana tuwaombe uongofu kwamungu
Ayo mambo kweli yanafaa jaman ushahid mnao?
Duh kunatokea jahili linatetea uonzu leta ushahidi hapa kwa dalili mtume na maswahaba zake wapi wamefanya uozu huu
Hayo mnayo yafanya mmeyatowa wspi mbona mnachafuwa uislam
Ao ni wachawi ao niwawangaji uko tanzania kwenu kunavitumo kila rangi bs pole burundi hamna wendawazin kama hao
😂😂wasambaa nawapenda sana
Masufi walikua wachamungu ispokua hawa wamesha potoshwa na bakwata wao wanapenda uislamu aina hii usiulize haki za waislamu usiulize majumba ya wakfu usiulize viwanja vyawakuf wao wanataka sote tuwe wacheza masuwezi
Innalillah wainnailaih rajiuu😢😢
Uislamu ni dini ya furaha sio ufungwa kumtaja mtume kwetu nakufuraisha nafsi ❤❤❤❤❤
kwaiyo ivo ndio dni inavo taka achen upumbavu uwo
Mstari wa tatu waliovaa kanzu rangi nyeupe na blue nimewaona peke yangu 😅
HAKIKA HAKUNA JEMA KWA WANADAMU.
Sasa hao na diamond wanautafauti gani
Mue na majibu mazuri ya kumjibu Allah maana huko nikuudhalilisha uislam Tu si vinginevyo
Kwaupeo wako mdogo umeona haya hayafai lakin Yale mabaikoko yanayopigwa na kumuaswi Allah mumeshindwa kukemea fikiria kabla hujaandika chochote
❤❤❤❤❤❤❤ S.W.A
Asiye jua hilo ata sma biadaa il so bidaa
Bangi noma
Ukieshi Dunia utaona mengi ao niwaigizaji was filam zakitanzania su?
Ikiwa kituhukijui bora unyamaze hata kwaya huijui hivi kuna kwaya ambayo anatajwa mtume jichunge wew
Ujinga tuu huu ulookotyeszwa katika dini zinginmkaingiza katika uislamu h
Hata wanafiki wanamtaja mtume....huku kukata kota mauno si dini Bali in upuuzi.
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Amina
Kumfurahia mtume c dhambi
Mbona mm ninaona haya hata kutizama mwanaume kufanya hv huu ni mtihani mkubwa sana
From whwt country this happy feasting?allah ibarek
Mashaaallah❤❤❤❤❤❤
Naona kwaya
Hapo wamuite zuchu wamfwate kwa nyuma
Upuuzi mtupu
Mashaalalh
Ushahid tunaweza kuchukuwa hata kwa baba yako maana yeye anajuwa hakuna ubaya
kama m2 hatak anaruhisiwa kuhama din jaman 2csumbuan
Waacheni watu wanamsifu mtume wetu.wanafurahia na.hamjui kitu mnakurupuka tu kuongea hovyo
Na we ni mjinga kama wao, hivi elim huna hata akili pia huna? Kiakili tu ukiangalia hapo unaona kuna dini hapo? Wanatofauti gani na wakristo hapo?
Amiry lmu-uminiina angewanyuka mikwaju nyie na mashekh zenu kwa ujinga mnaoufanya
Acha wendawazimu wewe, alokwambia wanaharibu Dini nani, Elimu huna mnakurupula tuu, kaeni na umagharibi wenu,
Jameni WAPI tofauti ya HAWA na ALEJO maria na WAkorino wa KENYA
Eeeh!...hii ni kali...
Asslamu alyku mbona hamurushi kitu kwaliti
Kama mtu ajuwi Bora aulize lakn apajaaribik kitu
Mashaallaah
muharibif nww
Mashaallah
Mashallah
Maulida
Upuuzi mtupu