MKOBA WA MAMA Episode | 4 |
Вставка
- Опубліковано 29 сер 2024
- kitu kikubwa ni kutunza UTAMADUNI watu wengi wanashindwa kurithi utamaduni wao kwasababu ya tamaa za kidunia fuatilia hadithi hii utajifunza kitu kikubwa sana kwenye jamii inayokuzunguka
Tanu plus+ Clam Vevo Mwakatobe Kipara Vevo kipara Brand Swahili Movie Bongo Movies Bongo Movies bongo Movies Kipara Comedy Tanzania Movies Tanzania Movies Tanzania Movies Tanzania Movies Tanzania Movies Kicheche family Kicheche Comedy Clam Vevo Movie Mwakatobe Movie Clam Vevo Comedy Mwakatobe Comedy Big Boss Full Movie Kicheche Comedy 2024 Clam Vevo comedy 2023 Clam Vevo comedy 2024 Bongo Movie Mpya 2023 Bongo Movie Mpya 2024 Bongo Movie Mpya 2023 Bongo Movie Mpya 2023 Watakufa Saa 6 Episode 1 Watakufa Saa 6 Full Movie Swahili Movies Full Tanzania Bongo Movie 2024 Full Movie Bongo Movie 2024 Full Movie Bongo Movie 2024 Full Movie Big Boss Full Movie Season 2 Boss Mchawi Shangazi Kaja Kobe LA Mchana KIBURI Full movie Mistake Full Movie Snake boy Season 2 Maiti Yangu Full Movie Snake Boy Season TwoSwahili MoVies 2023 Swahili MoVies 2023 African MoVies Based on True Story Full African MoVies African Full MoVies Ting Arg MoVies Ting Arg MoVies Kenyan Comedy Somali Comedy Bongo MoVies 2023 Full MoVie Ting MoVies Ting MoVies 2024 Swahili Recap Swahili Recap Swahili MoVies Full Tanzania Kenyan Comedians Videos Mapenzi Tanzania MoVies Zambian Comedy Videos Tanzania MoVies 2023 Mapenzi LIVE UA-cam Tanzanian Comedians Kenya Short Film Kenyan Comedians Ugandan MoVies 2024 Comedy Uganda Latest Tanzania Comedy 2024 Nigerian Episode MoVies Ugandan Comedy Videos Nigerian MoVies Full MoVies African MoVies African MoVies Nollywood MoVies Full MoVies Nigerian MoVies From UA-cam Kenyan MoVies Kenyan MoVies African MoVies Nigerian MoVies New African MoVies on UA-cam Nigerian MoVies Nigerian MoVies Recently Watched African MoVies South African MoVies Full MoVies Recently Watched Nigerian MoVies Nigerian MoVies Latest Full MoVies Ghanaian MoVies 2024 Full MoVies Nigerian African MoVies on UA-cam African MoVies 2021 Nigerian MoVies African MoVies 2022 Nigerian MoVies African MoVies 2023 Nigerian MoVies African MoVies 2024 Nigerian MoVies Ghana MoVies 2022 Latest Full MoVies Ghana MoVies 2023 Latest Full MoVies Ghana MoVies 2024 Latest Full MoVies African MoVies 2023 Latest Full MoVies Latest Nigerian Nollywood MoVies 2023 Kenyan MoVies 2023 Latest Full MoVies Kenyan MoVies 2024 Latest Full MoVies Nigerian MoVies 2023 Latest Full MoVies Nigerian MoVies 2024 Latest Full MoVies Nigerian MoVies 2022 Latest Full MoVies Nigerian MoVies 2024 Latest Full MoVies Burundian MoVie Burundian MoVies 2024 Nigerian MoVies 2023 Nigerian MoVies 2024 South African MoVies 2024 Latest Full MoVies South African MoVies 2023 Latest Full MoVies Swahili Comedy Rwanda Swahili Comedy 2024 Kenyan MoVies Swahili Kenyan MoVies Swahili Kenyan MoVies Kenyan MoVies Kenyan MoVies Swahili Comedy Burundi Swahili Comedy Burundi African Nollywood MoVies Latest Nigerian MoVies Kenyan Comedy Kenyan Comedy Kenyan Comedy Swahili Comedy Tanzania Swahili Comedy Tanzania NEW MOVIE AFRICA WORLD WIDE
Nimeanza kuiyelewe hii movie nakubali cn tanu
Naomba mupost nyimbo ya background (funga funga tuondoke, mchawi hana huruma)
Naipenda sana hio❤❤❤❤
Nime kuelewa ntaipost usijal
Sawa nashkuru
😂😂😂😂😂kamchukua mwanangu kabakisha mifupa
Na mm naikubali sana❤❤❤
Kazi nzuri sana tanu nimefurahi pia kumuona kaka mbwela❤🎉
Kazi nzul sana 😂😂😂😂❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Akili ni nywele ila hizi za tanu nianyoe tu juu hazimsaidii chochote 😂😂😂😂😂😂😂😂
Mapenzi etiii😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂
Dah hatar sana
Piga kazi Mungu atakusmamia❤❤❤
ahahaha kwahiyo wanaume wenye ndevu hatuna akiliii😅😅😅😅cjapendaaa
😂😂😂😂
Akili zimekimbilia kwenye ndevu
@@SadaMohamed-xl9rc kwahiyo ww unaunga mkono
mbayaa hiyooo🙄🙄😅😅😅
Utapenda tu niukweli kabisaaa 😂😂😂😂😂😂😂
Ongela sana kk
Yaaaahn hum kuna watu 2 wanatakiwa wapate maombi Butwaaa na Tanu wanamatatzo makubwa ya kutokujitambua
Pingeni kazi mkovizuri sana
Nimewahi leo 😊
Mwakatobe sijamuona apo au so michongo yake kashaachaga😅😅😅
Mkoba wa mama uko pow tujitaidi kutoa vipande kwa hala jamaa yang mwaka Tobe sijamuona
Safi sana🎉🎉🎉🎉
Hili ni funzo kwetu sisi wanaume, tunaona butua yuataka kuuza mashamba ya urithi ili amridhishe bibi hadi bb amshawishi amuue kakake,Tanu nae kaacha mama yuafarik bt yuko tayar kuokoa mwanamke mwenye hta hampendi #tusiache hisia zitutawale
Tano mwanamke ambae hakupendi amefanya umpoteze Mama yako kweli wewe huna akili
Jamni ongezeni sauti ni ndogo sana
We dada hauna akili hata kidogo kwahiyo nyie wanawake ndio mnaakili bas sawa ndiomaana tunawakula na ndevu zetu mnazishikashika😅😅😅😅
Utachambwa😂😂😂Huyo kisirani sana
😂😂😂
kazi safi Tanu naomba usimalize haraka jaribu iwe refu
Pow ipo sana hii
Nawapenda sana basi mnyoe hizo devu au muwe mnazichana basi 😂😂😂
Nakwambia ka chicha vile😮
Kwann kila movie Bi migomba unatoka mapema.....unabdiii ujitahidi umalize movie yote
Atakuwa na Kaz nying
Mwenye amesem wanaume wenye ndevu Hawana akili,,,
Nimefubioia sana hyiii
Ila tanu leo nimeona huna akili ya unaacha kumtibu mama yako unafata mwanamke halafu hakupendi ndo nimeamini mapenzi upofu
Hii nifunzo 2 Ili wanaoangalia wajifunze
Tanu anapenda mwenye anapenda mwingine alafu anamlenga ampendae this earth has no balance
Hii ni move broo
Jamn n movie maana umeongea deep sana 😂🙌
Asingemdharau chizi yasingetokea
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤ Tanu plus
Utafika mbali Unakitu broo ukifa uozi
Kazi nzur sana kaka Tanu team mbwela mko wp 😂😂❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Tupoo❤🎉
Huyo ni tete mrebo hivo I love you tete💓
Wa3 leo jmn
Kwahivo?
Kwahivo?
Huyu aliyesema hali wala hanywi naomba mnipe mie
🔥
Good job Tanu
Sikuhiz mbona muvi nyingi zinaonyesha wanaume hawajitambui kabisa
Nikweli wanaume hawajitambui kbs
Tanu unaacha kutibu mama Yako mzazi kisa mwanamke 😢😢😢 much ❤❤❤ from🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Sema tanu uko vizur nimekubali
❤❤❤
Tanu unazingua mkoba wa mama mbaka leo kweli
Iko poa sana
Top ten Leo ❤
Una feli sana tanu kukataa
Umewah nn
Ongera sana
Kazi nzuri napenda Sana I'm from 🇧🇮 🇧🇮
Kazi nzuri
Daaah mapenzi bhana unaempenda hakupendi na asie kupenda unampenda daaah mapenzi noma
ayoo ndomapenz mapenzi shikamooo 😅😅😅😅
Tadu vumilia maana binadamu hawana dogo ipo siku Mungu atakulipia usiache mila juu ya mapenzi
Kazi nzur twaiona hku kenya
Kazi nzuri mwakatobe big up sana
Wew dada ,usiwaseme wanaume mwenye ndevu,hao ni majinias
Daaah wanaume ndyo twasemwa wenyee ndevuu
😂😂😂
Eeehh ivoo
😂😂😂
Muv nzr
Sauti sio poa
balance your voice and the sound tracks .............................good job 😎
Tanu chizi mapenzi
🙏🙏🙏❤️❤️🇧🇮🇧🇮
Kaz mzuri
Nawafatilia sana nikiwa Omani ila michezo yenu ukitowa Snake Boy inayofata inaupungufu wa sauti
I'm from Oman too n came coz snake boy 😂❤ at least they trying n yes sound is bad but am thankful to watch great performance ❤❤❤
Mbona sauti ipo simu zenu pengine mbovu
Like kwajili ya tanu
Waaah hii ni 🔥
Kazi iendelee🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Kazi nzuli❤
Tanu Hana akili
❤❤❤❤
Safi sana
Nzur sana ila kuchelewa sasa😢
asa Episode ya 4 mbona haijaanzia ilipoishia au hii ni nyingineee
Mimi naona iliishia kwenye harakat za mazishi ama
anhaa kumbe sawaaa
20 leo
Kaz kaz
Mmetisha❤
Nami nimewahi 😊
Kazi kazi
Sauti iko chini
Nice
ongela
Ata m pia
🎉🎉
🎉
🎉
sijachelewa leo
Nimefulah kumuona Chaupele
Kiukweli pesa ndokilakitu kwaiyo unamuzarau tanu kisa hana hela Sandra nae tama za pesa ndo zinafanya uzalilike pole yako😅
Tanu huna baya kaka..
Jaribuni kuongeza sauti mnaboa
nivizuli xana
Ongezeni sauti bana IPO chini sana
Mbn ipo vzr simu yako mbovu
Tanu mbon unachelewa kutoa vipande
KAZ nzuri ila KAZ hainq saut tuuuu Hadi uwe chumban kimyaaa ndioo usikieee
Wa 5 leo
❤❤❤❤❤❤
Tunu give up
woyoooo
❤❤
Wakwanz jaman namim naomben like😢😢
mpende anae kupenda asie kupenda achana nae una mwacha mama ako unae nda kumtibu mwanamke kweli
Maliza tena alokuwa hana habari na ww
Tano kubali urisi wa maman usijee kujutiya Like hapa wanao itaj tano apokey mkoba🔥🔥
Alafu tanu mbon hunyoi
Wenye ndevu tumesikia lakn
hahahaha mnyoeeee kishaa mfunge kwenye mtiiiii
🎉🎉🎉🎉❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
Kazi nzuri tanu❤❤
Wa 19