Matilda Part 2 - Hemed Suleiman & Salma Jabu (Official Bongo Movie)
Вставка
- Опубліковано 11 лют 2025
- Mathias is a kind and gentleman who falls madly in love with Matilda a dancer, whose life is constantly in front of a crowd. At home Mathias is staying with Modesta, a simple girl from a humble background. He leaves Modesta for Matilda and then he discovers all that glitters is not gold.
PRODUCED by Mtitu G Game
SCRIPT by Ali Yakuti
DIRECTED by Mtitu G Game
Subscribe to Africa Movies on UA-cam here: bit.ly/AfrichaM... #AfrichaMovies #AfrichaEntertainment #Game1st
Matias took the wrong turn, leaving his old friend's dinner and hospitality on the table. It was a kind of lightening struck her heart ❤. Pole masikini
Movie ili iwe nzuri lazma iwe na ualisia kwa mana kuna muda anayeitazama ufahamu wake unampelekea kuamini kuwa akionacho ndo ukweli na siyo maigizo na ndo mana kuna movie ukiziangalia mpaka unalia, Hii movie nzuri isipokuwa kuna vipande kuna watu waandaji au waongozaji wa hii movie wanaonekana. Aliyegundua hilo najua hatabisha.
Kweli
Wapo nkweli walionekana
😂😂😂😂😂😂😂😂Kweli eee
Kweli ,,true
Kweli
Hii movie inataka kufanana na crazy love ya kanumba
Modesta is a best and wife material.
She's humble, full of respect..
Jaman modest umenifurahisha unamacho ya wizi umemvizia hemed mpaka amekuelewa
Movie Kali Sana Bravo's 💪💪
Modester the best ever good acting simple girl...
Feeling it's a something that happens even sometimes you can controlled but it depends in our situation!! According to this movie am learning different things even love,happy,sad & situation about life!!
Grace mapunda Kawa mpole.kwenye hii movie
Napeda hii movi na walembo wote waliomo , kiukweli nai❤wachin flom migori kena
Hii ni lugha gani😂😂
Modesta ndio mke hapo kwa Matilda utalia🤣🤣
Asante sana film zurisana inamafunzu mazuri👌🙏
Nime papenda apo mnapo viziana jamaniiiiii 😅🤣🤣🤣🤣🤣 tarehe ambayo natizama 11/01/2023
Pamoja😂😂😂2023
Waoooh nice movie
Hemed unanifanya na mm nifany mazoez ya movie
Nice ❤❤
Movie nzuri Sanaaa 🙏 hongeren washlki wote kaz nzuri
Nafurahi sana na filamu kali ya bwana suleiman.msani du ciecle
Matilda unamiguu mizuri sana
Napapendaa hapo mnapoviziana hemed na nishaaa🤣🤣😍
Usiku mlefu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
good movie
2021 bado na watch matilda,alafu hicho ki- instrumento waah mbona kiko vizuri na hiyo filamu.
So nice
Ilike this movie
Baba yao wanaume sijui alipotelea wap. Wanaume baba yenu mmoja
Haki huyo Dem ana dance ni mrembo sana, Yani Matilda, ni kalvin from Kenya siaya county
huo wimbo iko juu sana hongera kwa walio igiza
Amazing My brother
Matilda anajua kurembua kweli kweli nice
Naangalia siku ya kuzaliwa ya mtoto ya sengo 💕💕
😂😂😂😂✋
Mm kupenda namtu asokupenda pia kazi
Nakubar cn uigizaji wa hemed sureman
Filamu bab kubwa lenye mafundisho Adhim. Sasa hii tulip I watch ndio part 2? Na mwatuambia tusikose ku watch part 2 iko wapi? Mbona mwatuzungua? Mumetutolea kipande cha nyama mdomoni. Fanyeni malo malo mutupe hiyo part ya mwisho yakuimalizia filamu hii. 1&2 zote tushazitazama. Hongereni sana kwa filamu za kuelemisha na zenye busara na zina mafunzo halisi ukilinganisha na maisha ya siku hizi. Shukran.
Kuna part 2A na part 2B
Modestera is the best wife❤❤
Kama Kuna mtu ameinuka apo tujaane tulio muona😂
🤣🤣🤣
Araf kasema yuko peke ake😂
Matlida unajua kichezea hadi raha yani nakupenda tu! Ila saivi umekuwa bonge sana
nice movie
nice move
Modesta this best wife❤
MashaAllah matida ww mrembo kinoma
Mtoto kaumbwa na Mungu vizuri
@@mathildemwangaza109 tena mungu kaumba mama kazaa MashaAllah
Kawa bonge sasa hv hatar akiongea anahema hema hovyo
Ndio nitakubali🙈
nzuri kweli nimeipenda
movie nzuri sana
movie nzuri sana
Amos Geleshi nimeipenda sanaa hongeren jaman kwa mov nzur
Hemed angemwambia modesta ukweli kama amepata mke atakaeowa baadala yakunyamaza na kumuficha modesta
Hemed na Matilda yenyewe munaendaka kweli
Matilida mtoto mzuri atari kama mm vile
Wew nimzur et hutouonja umauti mmm hongera
Hahahhaha
Movie kali sana Hongereni
Roy wa huba😃
Yapendeza kweli😅😅
Umeweza sana
Mbona haikumaliziaa vizurii
Kam umemuona MTU kule kweny cochi wakat mam anaongea na modesta gonga like hapa
Nimeona baba
Daaa nimeona baba noma sana upomakini baba
Nimemuona
Haha haha haha nimeona
@@charlesmussa2569 bongo muvie yupo mwenyw🤣🤣🤣
kupenda kazi yani unaempenda hakupendi
Big up Mr Hemed
Nice mov
Hemedi love u
Hemed suleiman pt4
Grace ati yule mwanamke ni mucheza show ahaaaa
Modest umenifurahish broo unadanganyik unaacha mdada mwenye busar unashika mtu mweny tamaa
Ipo powa
Hemedi umejitahidi bongo mvi kwa ujumla
Saf hemed
Grace mama Matthias bado hajapenda huyo make wa Matthias
Etiiii utakula jeuri yako 😆😆😆😆
Hongera hemed
Hemed anawagombanisha sasa
Siku zote mtu unaempenda unamtuatilia naye anakuwa anakusumbua unachukua jukumu la kutafuta mwingine au anajitokeza mnakuwa na love sasa hapo wa mwanzo ndio anakuja kuharibu kama matrida alivyo muharibia modesta daaah
Hatareeeeeeeeh
Safi move
Huyu Matilda Kaabiwa na nani kama yeye mzury kuliko wote hapo Khaa ovyo na huyo aunty yake nae kiumbe 🤣🤣 kampa maneno yamoto kuliko hio chai
Kaigize wewe xaxa
😂😂😂aki wew maneno y moto kama hiyo chai😂😂😂😂
Great movie thanks guys pls next part
Jessica is beautiful
Mathias na huyo modesta jamani mwanichekesha mie mnatoleana zamu ya kuangaika 🤣🤣🤣
Matilda kalinga Sana Hadi kaichafua move
Modesta pekeyako nyuma Kuna mbaba kakaa
Hongereni xanaaaa
Lovely one.
Matridaa iyoo shepuu dah
mimi huwa natazama coment kwanza kwa mantiki hii movie iko xawa ngojea niitazame
Poa2
Yani wewe uko Kama mimi comment kwaza
Wewe km mm duuh
Hongerrni kwa kutufu nza
yani hii movie nimeitafuta mda mlefu daaahhh thank you guys
Saga zto
Atimae impatians
Ipo vzr
❤
Good
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mwanamke unatakiwa ukatae kwenda nyumba za wageni
Jike vivu ilo
Nakukubali sana kk
nisha mzuri ayo macho basi👌❤
Mariyamu Mohamedi
❤❤❤❤❤❤❤❤
Matilida
Yani ndo movie ya kwanza naona uyu mama ameigiza anaroho nzuri
😂😂😂nkwel icee tesa n kboko
Agnes lwila hata Mimi nimeshangaa
Ahaaaa
Zipo nying tu anazoigiza naroho nzur
Ahaaaaa
Matilda maringo nayo eeeee
San hemed napenda mv zko mbk sioo poaaa
Ni atari saaan mie nimekubal ihi movie
❤❤
Moves
Move nzuri sana
Matilda mashauziiiii ila mzuri,Modesta kasura kamejaliwa.i like hemed's movies
where is part 2??
Kweli mjini shule usipokua kucheza karata utaishia kuliwa tu.yaani faster aunt ushaomba namba.
Nakuxapoti
I love this film,,great content
Modesta is a good wife but alishindwa ku control feelings
Mmmmmh Matilda kichwa hcho mwishowe kitakukimbia ety
mnajitahidi na kazi mzuri ila kitu kimoja Matilda punguza hayo manjonjo ya kujitikisa tikisa kichwa kila movie nakuona na hiya staili ya kujitikisa
Esta Mpesi kweli we umenena kweli anaboa sn matrida kwenye kujitikisa na kunyonga midomo af ujue hapendezi Kwa uzur mzur lkn hajapitiliza ni wawastani tu manjonjo mengi yanaalibu picture yani kifupi hapendezi kuwa vile
Esta Mpesi mm
Yani umesema kweli ni kila movie yupo hvyohvyo
Nature ya mtu jamani msiwe watu wa kulaumu sana cha muhimu ni kujifunzeni tu