Peninah Jezebel's Daughter - Steven Kanumba & Jenifer Raymond (Official Bongo Movie)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 вер 2024
  • Peninah Jezebel's Daughter (Steven Kanumba, Jenifer Raymond) Mtitu G Game
    DIRECTOR: Femi Ogedegbe
    Subscribe to Africa Movies on UA-cam here: bit.ly/AfrichaM...
    Bongo Movies, Tanzania Movies, African Movies, Movie, Comedy, Bongo Comedy, comedy, film #AfrichaMovies #AfrichaEntertainment #Game1st

КОМЕНТАРІ • 658

  • @user-dx5li7yr9p
    @user-dx5li7yr9p 6 місяців тому +73

    kama tupo pamoja 2024 gonga like Rest in peace kanumba😥😭

  • @ramahmedy6302
    @ramahmedy6302 5 місяців тому +16

    Kila movie ambayo kanumba alikuwa akitoa ilikuwa na mafundisho kwa mtazamaji ndio maana mpaka Leo movie za Steven kanumba zinaishi REST EASY LEGEND 🙏🙏🙏

  • @saumusulaiman4742
    @saumusulaiman4742 11 місяців тому +23

    2023 bado tunanaangalia move za kanumba gongen like hapa.. rest in peace broo🙏

  • @isaackkipkirui7385
    @isaackkipkirui7385 3 місяці тому +11

    Kama una Amini utafika 2030 ukiwa salama pika like

  • @fridahmiruka2562
    @fridahmiruka2562 3 роки тому +30

    Rip...mr kanumba..niwangapi tunawatch hii move huu mwaka 2021

  • @dalali_unique
    @dalali_unique 5 місяців тому +2

    Still am watching u a movies legend r.i.p kanumba ulitufundisha mengi sana kupitia sanaa kupitia maudhui tofauti tofauti dah I wsh ungekuwepo mambo mengi tunayakosa kwakweli 😢

  • @piscasassa2915
    @piscasassa2915 3 місяці тому +7

    Le /28/05/2024 bado tupo wazee like zenu please wazee.

  • @NeemaStephen-oe4ww
    @NeemaStephen-oe4ww 5 місяців тому +6

    Wenye tumetoka fb 13/4/2024 tujuane priiiiiiz 🤣🤣

  • @AnitaDengwa
    @AnitaDengwa 5 місяців тому +1

    I'm still watching kanumba movies 2024. we missed our legend

  • @pablosaimable6969
    @pablosaimable6969 6 місяців тому +12

    2024 still watching Kanumba's Moves

  • @apollinairenguz4039
    @apollinairenguz4039 Рік тому +6

    Depuis la RDCongo,en effet j'ai beaucoup d'admiration à l'égard de Monsieur KANUMBA c'est un acteur que la cinematographie Tanzanienne ai jamais connu,met un j'aime👍 si ce vrai

  • @jamespeter6880
    @jamespeter6880 Рік тому +2

    Wapi likes za pastor

  • @eliudmaster2175
    @eliudmaster2175 3 роки тому +73

    Kama unaangalia hii na kusoma koment 2021 like hapa

  • @meshackmuema3266
    @meshackmuema3266 Рік тому +4

    Steve .. you deed your part ... we all say thank you ...
    For the legends in the streets and your work has not been delivered to many ... May God grant us favour to give what we have for the community and the whole world as general..watching 2023 from 🇰🇪 kenya

  • @emmanuelshaibu6403
    @emmanuelshaibu6403 Рік тому +4

    He was the LEGENDARY, Kanumba Continue Rest In Paradise

  • @lilimoswambu9934
    @lilimoswambu9934 Рік тому +7

    2023 still watching from 🇸🇦 Saudi Arabia

  • @channellechacha4177
    @channellechacha4177 2 роки тому +14

    Bado naangalia movie zako 2022 R.I.P Kanumba 😭😭

  • @rajabusungi5050
    @rajabusungi5050 5 років тому +95

    Kama ulikuwa unamkubali kanumba gonga like hapo

  • @samueltumaini3396
    @samueltumaini3396 3 роки тому +7

    The Great Kanumba,,, Mbele yako nyuma yetu,,, Mungu azidi kuwa pamoja nawe mahali pemapeponi,,, 2021 I'm still watching..

  • @frankcostantine306
    @frankcostantine306 Рік тому +3

    Kanumba 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 mungu akuondolee adhabu ya kaburi kaka yang kanumba brother 😢😢😢😢

    • @RehemaIsrael
      @RehemaIsrael 5 місяців тому

      😀😄😀😄😀😆😆😀

  • @sirkomba
    @sirkomba 6 місяців тому +1

    Favorite pastor actor

  • @boniphacemachage406
    @boniphacemachage406 4 роки тому +15

    Nakumbuka mbali sana nikiangalia movie za kanumba niwangap tunaiangalia kipindi hii cha janga la corona naomba ugonge like

  • @douglasetyang5023
    @douglasetyang5023 Рік тому +4

    2023 I'm watching,this man was fully blessing

  • @edwinogutu9499
    @edwinogutu9499 4 роки тому +15

    Rip kanumba you are the best bongo actor

  • @user-cg3yr7fs3w
    @user-cg3yr7fs3w Рік тому +2

    Rip kanumba tulikupenda sana 😢

  • @ladymunahmunah5153
    @ladymunahmunah5153 2 роки тому +3

    Nimecheka sana mwishoni duuh bonge la movie tamu hatar🥳
    R.I.P Mfalme wa maigizo tz , we love you forever 😍♥❤ TUNAKUKUMBUKA.
    16.12.2021

  • @qambayt
    @qambayt 5 років тому +19

    Ooh! Kanumba ww mbele yetu ss nyuma yako tulikupenda sana pa1 na filum zakoo

  • @ibkasofficiel438
    @ibkasofficiel438 Рік тому +1

    Rip Kanumba, niko hapa 2023

  • @annastaziamarco5952
    @annastaziamarco5952 3 роки тому +36

    Jama tujuane anae angalia 2021 .30..👍👍👍. Like hapo juu

  • @bonfacenyongesa4848
    @bonfacenyongesa4848 Рік тому +1

    You deeds You best will be remembered

  • @jescamundo7794
    @jescamundo7794 5 років тому +13

    Mic u sana kanumba huwa sichoki kuangaliya mov zako jmn pumzika salama

  • @gracemalisa1403
    @gracemalisa1403 3 роки тому +6

    2021

    • @Anna31736
      @Anna31736 3 роки тому

      Tupo 🙌🏾🙌🏾

  • @amosnnko7792
    @amosnnko7792 3 роки тому +4

    Nakumc mnoo kanumbaa daaah😭😭😭😭😭😭😭

  • @shanizkanini1693
    @shanizkanini1693 3 роки тому +3

    Nakupenda sanaa pastor Emanuel myamba 💖💖 kanumba pumzika kwa Aman🥺🥺mungu akupe mwanga wa milele🙏🙏🙏🙏

  • @ernestialexander2640
    @ernestialexander2640 5 років тому +10

    Hakuna kama Kanumba bongo move tz haina radha kabisa rip brother Kanumba the great amen

  • @YusuphMartin-ve5py
    @YusuphMartin-ve5py 9 місяців тому

    Bado tunazipenda muvu za kanumba mungu amuweke mahari pema peponi AMINA

  • @evansmurunga9483
    @evansmurunga9483 2 роки тому +1

    Pastor right MUNGU akubariki Kwa hekima ulionayo katika filamu hii

  • @faithimani2329
    @faithimani2329 4 роки тому +5

    Nampenda sana Pastor Right he always act like a pastor in the most movies..hakika ni mucha Mungu..he has good advise and i have learnt more verses from him God bless him🙏 Kanumba may your soul continue resting in peace..you did a great job..you didn't die but resited

  • @samwelirobert2576
    @samwelirobert2576 3 роки тому +15

    Rest in Peace Steve Kanumba

  • @daudmwaipasi5672
    @daudmwaipasi5672 3 роки тому +19

    Jamani hii movie ndo naangalia mwaka huu toka itoke like zenu jaman 2021

  • @ryansawee3952
    @ryansawee3952 Місяць тому +2

    Leo tarehe 19/07/2024 Nakulaaaa chuma hapaaaaaa like kwa pamoja

  • @edinahogeti7548
    @edinahogeti7548 2 роки тому +9

    We can't find another legend like you kanumba RIP until we meet again

  • @macmuuo3737
    @macmuuo3737 Рік тому +3

    I loved him so much

  • @yohanamorisi9027
    @yohanamorisi9027 Рік тому +1

    Hakika Kanumba alikua anajua sana

  • @amanimichael2047
    @amanimichael2047 4 роки тому +7

    Mchungaji umejua kuunganisha maana hapo kama si neema na hekima ya mtumishi penina basi alikua hana chake pongezi nyingi kwa #KANUMBA maana alikuwa na kipaji haswa

  • @juhudikihongosi3904
    @juhudikihongosi3904 4 роки тому +3

    Kanumba ulikuwa jabali la film nchini hakuna wa kufananishwa nae miaka 1000

  • @ferouzmasoud4870
    @ferouzmasoud4870 2 роки тому +5

    Daaah ktambo Sanaaa bongo movie ilkuwa zamani bhn
    R.i.p kanumba umeondoka na bongo movie yote

  • @RomwardWM
    @RomwardWM 5 років тому +9

    😥😥😥😥Lala mahala unapostahili Kanumba wetu daima hatutokusahau ,na Mungu akusamehe dhambi zako

  • @mkovzrmuscat7110
    @mkovzrmuscat7110 4 роки тому +8

    Mwenyezi Mungu akulaze Mahal pema peponi jaman mungu angekuwa anaweza kukurudisha ungerudi lkn kila nafisi itaonja mauti mbele yetu nyuma yako pumzika kwa aman .Ameen

  • @imnickflavour2548
    @imnickflavour2548 3 роки тому +2

    waah peninah sure umekosea mungu sana kwl Aah ata umeniboo sana

  • @nananana4885
    @nananana4885 5 років тому +9

    Ooooh Kanumba i miss you

  • @nintunzeloic9990
    @nintunzeloic9990 5 років тому +40

    OMG!!!I can't believe this guy is gone forever!!!very young he left the world and the nation of Tanzania especially bongo movies lovers within me!!RIP bro Kanumba

  • @user-gj8ym6eo3q
    @user-gj8ym6eo3q 5 місяців тому

    Femii nina hamu mwenzio ila kanumba haya bhana ulijua kutukonga nyoyo zetu ww🎉🎉❤

  • @adolphyamin1245
    @adolphyamin1245 2 роки тому +1

    Unaposali "baba yangu na mungu wangu yesu kristo mwana wa Mungu unamaanisha nin pastor "

  • @festoangolile5363
    @festoangolile5363 5 років тому +17

    Tumekumiss xna big brother utadum daima mioyon mwetu tunakupenda Sanaa,,mwenyez mungu akusamehe upumzike kw Aman r.i.p Kaka yet😥😥😢😢

  • @philipsimon1089
    @philipsimon1089 2 роки тому +4

    Wangapi tuko hapa 2022

  • @gladysnyaboke462
    @gladysnyaboke462 Рік тому +1

    I like your movies

  • @aminamfaume8992
    @aminamfaume8992 2 роки тому +4

    Rest in peace Kanumba tulikupenda sanaa

  • @jasmineedamu6089
    @jasmineedamu6089 3 роки тому +4

    Pumzka kwa Amani legend mungu akupunguzie adhabu ya kaburi inshaallah 2021✌️

  • @berthabahati7329
    @berthabahati7329 2 роки тому +1

    Waooooo mchungaj mungu akubarik sn kuirudisha ndoa

  • @valmocandy6818
    @valmocandy6818 4 роки тому +11

    Mtaka yote hukosa vyote😂😂😂😂

  • @viacaleb9542
    @viacaleb9542 6 років тому +24

    Always love you my Kanumba the great 👍🏿

    • @josphinejebichii6882
      @josphinejebichii6882 3 роки тому +1

      Hizo beats za filamu za kanumba zinanibamba sana...zanifanya nimemumiss kanumba zaidi

  • @hamicmayai852
    @hamicmayai852 2 роки тому +5

    2021 Still watching this🙏🙏

  • @MagidoMustafa
    @MagidoMustafa 2 дні тому

    Always I watch kanumba movies ❤

  • @mwajumaathumaniAlly-kd3qw
    @mwajumaathumaniAlly-kd3qw Рік тому +1

    Nmkubli sana knumba

  • @zawadimwaikuju
    @zawadimwaikuju 2 місяці тому

    Kanumba kacha pengo kubwa sana kwenye bongo moves R, I p mwamba

  • @Helen-zs5ti
    @Helen-zs5ti 3 роки тому +29

    2021 2juane hapa

  • @psmarty8719
    @psmarty8719 3 роки тому +12

    2020....💥 gonga like 💥🌍R.I.P kanumba

  • @wilberforceosore3182
    @wilberforceosore3182 5 місяців тому

    Kanumba Mungu mwenye huruma na upendo apende kukueka pamoja na watakatifu wake. Amen

  • @user-el6ev9dt5k
    @user-el6ev9dt5k 4 місяці тому

    2024 tuna angalia move za kanumba ,

  • @AlamnyakMosari
    @AlamnyakMosari 5 місяців тому

    U never forget Kanumba in my life Mungu akutangulie mbele

  • @lydiahboyani2275
    @lydiahboyani2275 2 місяці тому +1

    Movie ya 2007 lkn mmh nawatch 2024 July 😂😊😊😊😊..... continue rip kanumba 🙏🙏

  • @christinawillson8368
    @christinawillson8368 4 роки тому +9

    Kanumba siamin kila napotazama muvi zako kama kweli umetutoka naumia kiukweli mpka leo

    • @abasissa7577
      @abasissa7577 4 роки тому +2

      Nikweli

    • @lukasmabula3494
      @lukasmabula3494 4 роки тому +1

      kanumba Hakika umefanyakazi kumbwa sana duniani mungu akusimamie popote uripo god bless you

  • @user-mm5tf7yn6p
    @user-mm5tf7yn6p 3 роки тому +2

    Asanteni saana 👏👏👏🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @nkeshelias4272
    @nkeshelias4272 4 роки тому +7

    Sijawahi kuchoka kuangalia movie za kanumba hata siku moja maana zilikuwa na mafunzo na kujifunza yaliyomengi

  • @AnneBonareri
    @AnneBonareri Рік тому +2

    Rest in peace kanumba we miss you

  • @juhudikihongosi3904
    @juhudikihongosi3904 4 роки тому +9

    Baba mchungaji u mwingi wa hekima MUNGU akubariki sana 🙏

  • @beatricemkinga3351
    @beatricemkinga3351 4 роки тому +96

    Who watch in April 2020 tujuane

  • @juhudikihongosi3904
    @juhudikihongosi3904 4 роки тому +4

    Hujapata mbadala mpaka leo kanumba r.i.p

  • @leahmax4908
    @leahmax4908 5 років тому +6

    Kanumba. Tutakukumbuka saina I wish ungekuwa Hai bongo movie tamu Sana Enzi hizo

    • @josphinejebichii6882
      @josphinejebichii6882 3 роки тому

      Kanumba angekuwa uhai bongo movies ingekuwa katika hatua nyingi e mbali sana

  • @johnsonchonja4032
    @johnsonchonja4032 Рік тому +3

    Penina ajengewe sanamu lake pale basata🤣🤣🤣

    • @Munayya-g2p
      @Munayya-g2p 2 місяці тому

      😂😂😂🎉Ikulu itapendeza zaidi 😂😂

  • @hamicmayai852
    @hamicmayai852 2 роки тому +1

    Endelea kupumzika kwa Aman kanumba the greatest of all time in Tanzania 😭😭😭😭

  • @greklauryn6277
    @greklauryn6277 5 років тому +17

    Jamani Wastara alikuwa mdogo na alikuwa bado hajapata ajali enzi hizo kweli hii movie ina a lot of memories

  • @jonathankitili6904
    @jonathankitili6904 6 років тому +11

    Shujaa kweli napenda movie zake tu sana zina mawaidha mazuri, R.I.P dear brother kanumba

    • @arafahafid7684
      @arafahafid7684 3 роки тому +1

      Heee mashalla umetisha sana kanumba pumzika kwa amni kanumba

  • @stephenjulius984
    @stephenjulius984 4 роки тому +4

    Umesababisha wengine hatuangalii tena bongo movi

  • @thiithurea5666
    @thiithurea5666 4 роки тому +45

    *Wangapi Wamemuona Wastara Amevalia Pink Tugonge Like*

  • @imanimallogo7163
    @imanimallogo7163 4 роки тому +6

    Tutakukumbka daima my brother Kana kwamba uko hai
    R.I.P Kanumba

  • @edgarmbilinyi5399
    @edgarmbilinyi5399 2 роки тому +1

    Beat zuri yani

  • @edesjackson2183
    @edesjackson2183 3 роки тому +6

    2021/02/28. 02 :25. Tujuane hapa

    • @jimmyjames9381
      @jimmyjames9381 3 роки тому

      Kunakusababishiwa kosa,ukakosea zaidi haikutosha kuzini,kutoa mimba,akaamua kufunga ndoa kisiri Siri,mwisho wasiku alitegemea Nini?inafunzo kubwa kanumba Rudi,tumekumbuka Sanaa.

  • @dilludillu2747
    @dilludillu2747 2 роки тому +2

    2022 feb

  • @sir.dejemantatz6261
    @sir.dejemantatz6261 4 роки тому +14

    Rest in power kanumba, Amen🙏

  • @veronicawambua2391
    @veronicawambua2391 5 років тому +9

    Nitakukumba kanumba tuu xana filamu zako zatufunza mengi.rip our bro wee mixx u,god willing we shall mit again.

  • @citizenlive3468
    @citizenlive3468 4 роки тому +6

    R i p bro ulitesa xana nakuvulia kofia

  • @salimmohamed694
    @salimmohamed694 4 роки тому +22

    Legend has gone. Nani anaangalia mwaka huu

  • @frankcostantine306
    @frankcostantine306 Рік тому +2

    Kunumba😢😢

  • @chivumbebongo4960
    @chivumbebongo4960 Рік тому +1

    wow

  • @abigaelmochama4048
    @abigaelmochama4048 Рік тому +1

    2023 bado movie iko lit

  • @joelmuhindotaylor8465
    @joelmuhindotaylor8465 4 роки тому +3

    Mungu aku laze pahali pema🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @kelvinlakwan2748
    @kelvinlakwan2748 2 місяці тому

    Genius of all time in Tanzania

  • @harunakayega5531
    @harunakayega5531 5 років тому +10

    Jamaa alikua na story nzuri sana aisee