Matilda Part 2B - Hemed Suleiman & Salma Jabu (Official Bongo Movie)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @0sengoshikondi.junior451
    @0sengoshikondi.junior451 4 роки тому +7

    This movie made me almost shed tears...great job bongo movie

  • @hassnakhamis3489
    @hassnakhamis3489 Рік тому +4

    Zamu yake nisha jiandae kuishi maisha ya furah ❤❤❤❤❤

  • @sherimukolwe
    @sherimukolwe Рік тому +5

    No perfect in this world especially God ...watching from kenya 😢😢😭😭😭😭😭😭😭inauzunisha san

  • @UwajenezaNadia-w3v
    @UwajenezaNadia-w3v 2 місяці тому +2

    Wooooow ,So perfect ❤❤🎉😊😊😊❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊❤🎉❤🎉❤🎉🎉❤🎉🎉🎉🎉🎉❤❤

  • @Professo2
    @Professo2 Рік тому +1

    Sema huyu ambae ametumia jina la modesta abadili mfumo wa kulia yani huwa analia hadi anakela sio kutia huruma hapana kingine huyo mantlde sis namkubali sna aiseeee so blessed my sis one day i will be together 🙏

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 3 роки тому +6

    Watching it from Congo. Tunawapenda sana wana Tz

  • @WilsonShiraku
    @WilsonShiraku 6 місяців тому

    Hii inaumiza moyo Sana tena sana.watching from Kenya.Wazazi,tafadhali tuajibike,waliopatwa na matatizo tusife Moyo na kuchukua maamuzi kama ya Matilda😢😢😢😢😢😢

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 3 роки тому +3

    Matilda hiyo ndio dunia. Ukiwa na shida huwezi pata msaada mahali hata marafiki watakukimbia

  • @beverlykadenge2095
    @beverlykadenge2095 4 роки тому +6

    Wasichana wengi huwaga tunaona urembo ndio kila kitu katika maisha, tunasahau kila kitu Ina mwisho wake....

    • @irenemhoya7120
      @irenemhoya7120 4 роки тому

      Umeona ee inabid tuwe tunajikaboz kwa mngu kwanza

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 3 роки тому +4

    Life style yawenzake imebadilika eeee matatizo matilda utajua hujui

  • @betttsebalucian6729
    @betttsebalucian6729 5 років тому +3

    amakwel dunia duaraa milima haikutani ila watuu tunakitanaa maltilida modextaa niceee💝

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 4 роки тому +3

    Eeee hemed aki ona jinsi amesukuma Matilda aki hii ni serious kabisa

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 3 роки тому +3

    True no one is perfect in this world

  • @alainarakaza5389
    @alainarakaza5389 Рік тому

    IS New movié bongo Tanzanie , respect ✌️ modesta and Matilda, mathias

  • @elvistaller6469
    @elvistaller6469 6 місяців тому

    Watching from Kenya ... Tanzania movies huwa na somo mwishowe..movie nzuri

  • @careenpaul2328
    @careenpaul2328 4 роки тому +2

    Katika hii movie nimejifunza ki2 kikubwa sana kwamba ukiwa na tatizo wanakutenga ndugu na marafk pia daaah inauma iyoo

  • @Professo2
    @Professo2 Рік тому +2

    Shida nikwamba movie zetu za kibongo mbele unajua nn kinatokea mfano pale hemedi amemsaidia modesta tulijua tu kama watakuwa wapenz ndio maana mpaka leo hakuna mtu anayeaamini kuwa mwanaume na mwanamke ambao si ndugu hanaweza kuishi pamoja for me i like our movie but we need to be change in our life unitl movies God bless modesta and mantilda hemed so blessed bro you work is Good sema movie zako nying mapenz umeweka mbele 🤣🤣🤣

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 3 роки тому

    Matilda kimbelembele iliisha kabisa . Sasa umetembea bila maringo. That is life

  • @adamjustine4713
    @adamjustine4713 5 років тому +5

    Broh PHD,, z inspiration movies broh## big up mzee

  • @WinnieNimwaka-tu3dd
    @WinnieNimwaka-tu3dd 10 місяців тому

    Nice one hemmed bonge la movie mara ya ishirini naangalia

  • @gilbertwilliam1292
    @gilbertwilliam1292 10 місяців тому

    One of the best story

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 3 роки тому

    Hemed we love your work

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 3 роки тому +1

    Mama yoyo anapata matatizo. Matilda ee so nice movie

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 4 роки тому +4

    Keep it up guys nice movie

  • @radjimamy4830
    @radjimamy4830 2 місяці тому +1

    Mungu mkubwa zamuya modesta imefika

  • @glorymlawa7078
    @glorymlawa7078 10 місяців тому

    Dah!good work❤❤

  • @HussinMartin
    @HussinMartin 10 місяців тому

    The power of love

  • @matagemalembo1648
    @matagemalembo1648 4 роки тому +7

    Kweli rafiki wa jana ndo adui mkubwa kesho

  • @0sengoshikondi.junior451
    @0sengoshikondi.junior451 4 роки тому +1

    Ahsanteni kwa ubunifu mzuri tu..

  • @bahlaoman6467
    @bahlaoman6467 2 роки тому +2

    Imeniliza hii MV 😭😭

  • @barakamusanailon1465
    @barakamusanailon1465 4 роки тому +3

    Hiii ni funzo kwa wadada

  • @marthajoseph3297
    @marthajoseph3297 4 роки тому +3

    Inauzunisha sana jamani matrida hurumaaa

  • @maxynebeiby9467
    @maxynebeiby9467 3 роки тому

    Wooow 😭😭😭😭😭😭😭bongo for life👊🥰🥰🥰🥰

  • @DavisWekesa-cq7xh
    @DavisWekesa-cq7xh 4 місяці тому

    Watching from nairobi inapendesa

  • @anavestasikujua315
    @anavestasikujua315 3 роки тому

    Asiye sikia lamkuu huvunjika guu umejionea mwenyewe jeuli yako Matilda nyodo tupu

  • @maryd1538
    @maryd1538 Рік тому +1

    Part 3 jamen movie nzur san

  • @mwanashasauti7833
    @mwanashasauti7833 2 роки тому +1

    Kumbe Matilda anajuw kutumia mtandio pia

  • @shannyasumanshannyasuman2613
    @shannyasumanshannyasuman2613 3 роки тому +2

    Nimependa iyi movie imenifuzah kitu

  • @masindehM.
    @masindehM. 2 роки тому +2

    Nahitaji part3,,ni tamu weeh

  • @albashirwesonga3752
    @albashirwesonga3752 5 років тому +2

    Wow very nice movie matilda

  • @hassancharles4395
    @hassancharles4395 4 роки тому +2

    Good work

  • @filomenalucas4796
    @filomenalucas4796 5 років тому +8

    Walimtenga bhaana wenyewe ndo maana kajiuwa mtu kama Yule sio wa kukaa nae mbali

    • @joharijj2164
      @joharijj2164 3 роки тому

      Hakutengwa guilty ndio ilikua inamkula

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 3 роки тому

    Finalement matilda anakumbuka kusoma biblia ahaaa mateso ikiwa mingi ndiposa tunakumbuka Mungu

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 3 роки тому +1

    Matilda umenitoa machozi kila nikiangalia movie hii

  • @Aisha-f2g
    @Aisha-f2g 5 місяців тому +2

    Ata sijui kwann nalia

    • @shakila3914
      @shakila3914 4 місяці тому +1

      Mm kipande cha uyo mtt kumrukia jmn 😢😢😢 nimelia

  • @emanuelgeorge5040
    @emanuelgeorge5040 4 роки тому +3

    WIVU mbaya sana 😭😭😭

  • @roseseba4535
    @roseseba4535 5 років тому +2

    Nice movie mmeimaliza vyema kabisa

  • @Beatrice-i6q
    @Beatrice-i6q Рік тому

    Nice one

  • @cabylake2320
    @cabylake2320 Рік тому +2

    Imeniliza iyi movie

  • @jabiristeven
    @jabiristeven 6 місяців тому

    Dah yan hii movie inaskitisha saaana

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 3 роки тому

    Matilda uwiii mulikutana na aunti mijini hata hamujuani oyeee

  • @mashakamagembe1188
    @mashakamagembe1188 3 роки тому +1

    inahuzunisha inaumiza wakati mwingine wivu sio mzuri

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 3 роки тому

    Glass pia hapana ? Eeee matilda jionee

  • @araphanassa1561
    @araphanassa1561 3 роки тому +2

    🥰🥰🥰🥰very nice

  • @glorysangawe7686
    @glorysangawe7686 7 місяців тому

    Hii movie inamafunzo mengi san kwanz kwa watu tunaoishi nao na marafiki wa kuchagua hata pale tunapopata matatizo

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 3 роки тому

    Matilda hapa ulikua na mwili mzuri ila kwasasa ulishanenepa sana

  • @fariothetiler9928
    @fariothetiler9928 4 роки тому

    Nice movie lov it's

  • @ConstanceZiro-r3l
    @ConstanceZiro-r3l 5 місяців тому

    Waaa inauma😂😂😂

  • @marwamasele4417
    @marwamasele4417 3 роки тому

    Dah i can not explain, it so emotional,,,

  • @shamismith8083
    @shamismith8083 3 роки тому +3

    Nimelia sana oooh 😭😭😭

  • @nanceaidan6622
    @nanceaidan6622 5 років тому +2

    Mmeitendea haki na move nzuri inafundisha

  • @fatmaissa6681
    @fatmaissa6681 5 років тому

    Matilda ulikuwa mzuri Na kishepu chako, hasa hv umekuwa bonge la mama mpaka unakeraa

  • @queenandchill91
    @queenandchill91 3 роки тому +3

    Nimelia 😭😭😭😭

  • @dunnardkobaai8586
    @dunnardkobaai8586 4 роки тому

    powerful. I like it

  • @mutegetsidavid6396
    @mutegetsidavid6396 5 років тому +3

    Waaa movie poa sana

  • @sospeterkalinji736
    @sospeterkalinji736 4 роки тому +1

    Mov nzrs san lkn hemed ulimtenga san huyo mwanake matilida apo mwishn ingaw alisema ubaki na ndgu yake saw alisema lkn moyon haikuwa rahis kukubali alikuwa bdo ankupenda ingaw ndio anakili kuwa ni mkosaji kwel na ndo mana alifnya maamzi maguma kama hayo
    Ishalaa matrd

  • @modectarmusa5611
    @modectarmusa5611 3 роки тому

    Pamoja San wajin modester.nimeikubal hii move kinoma

  • @festokanjako5989
    @festokanjako5989 4 роки тому

    move kar sana mmetisha washiliki wote wa kaz hiii

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 3 роки тому

    Matilda acha dunia ikuonyeshe. Hadi umekua mpole ukiomba pesa yako kwa aunti ahaaa

  • @stitore2388
    @stitore2388 2 роки тому +1

    Nimeli sana😭😭😭😭😭😭😭

  • @Dicksonmontanaa
    @Dicksonmontanaa 6 місяців тому

    Bonge la movie

  • @ShilahOlando
    @ShilahOlando Рік тому

    Nice movie jamani

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 4 роки тому +2

    Hemed aki umemusukuma Matilda vibaya eeee punguza ukali hemed

    • @eashaeasha9776
      @eashaeasha9776 Рік тому

      Ndivyo alivyo pangiwa hiko kipande kufanya hivyo kha

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 3 роки тому

    Watching 2021 tamu

  • @MomadeMudimoz70-cs2ud
    @MomadeMudimoz70-cs2ud 5 місяців тому

    🔥🔥🔥💗💗💗❤💖💖💖😢😢😢😢😢😢 2024

  • @khadijachengo3864
    @khadijachengo3864 9 місяців тому

    Pole sana

  • @mariamreonard9273
    @mariamreonard9273 5 років тому +2

    nmejifunza kitu lafiki zako ndioo watakao kusimangaaa walai nmeamni

  • @devidmwaisumo221
    @devidmwaisumo221 2 роки тому +1

    nice

  • @mariamissa3436
    @mariamissa3436 4 роки тому +2

    Nimeumia sana

  • @pattymwonga2189
    @pattymwonga2189 19 днів тому

    Too emotional 😢

  • @margaretmay5840
    @margaretmay5840 2 роки тому +1

    Nimelia juu ya modesta

  • @nasrimchopa678
    @nasrimchopa678 5 місяців тому

    David yupo makini kusikiliza wazazi wake wanavoongea

  • @eliasmayunga7715
    @eliasmayunga7715 5 років тому +4

    Nimeipenda yule dogo kanitoa machozi alivyomsaidia yule dada

  • @halimasssomar8793
    @halimasssomar8793 5 років тому +4

    Kuwa na tako kubwa alafu ukose akili.seemu za Siri ndio uumia

  • @LehemaLigwanda-ei7fl
    @LehemaLigwanda-ei7fl Рік тому

    Dowlod matidavprt 2b

  • @UpendoAyubu-b5r
    @UpendoAyubu-b5r 5 місяців тому

    Ila ndindi wa jua kali mlinzi masai

  • @zairinaabbas6059
    @zairinaabbas6059 Рік тому

    Alie waabia wabongo mtu akiwa na matatizo anavaa shungi ni nan

  • @sospeterkalinji736
    @sospeterkalinji736 4 роки тому +1

    Daaaaaar

  • @DoreenOnderi
    @DoreenOnderi 7 місяців тому

    ❤lovemur

  • @daudimweta
    @daudimweta Рік тому

    Da samofi

  • @annajosephat7238
    @annajosephat7238 5 років тому +1

    Nice

  • @captainabdul4906
    @captainabdul4906 4 роки тому

    Movie nzuri sana

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 3 роки тому

    Matilda anakumbuka mbali. Zile dance

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 3 роки тому

    Matilda ajua kulia cha ukweli

  • @janetymassawe9688
    @janetymassawe9688 4 роки тому

    Move nzur na inafundisha sna ila imeniliza kinouma

  • @manumunyi3430
    @manumunyi3430 4 роки тому +1

    Imeweza

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 4 роки тому +1

    Matilda ame surrender aki

  • @nellyqueen8216
    @nellyqueen8216 5 років тому +2

    Namiii nimeipenda lakini inasikitisha

  • @omaryhassan7398
    @omaryhassan7398 4 роки тому

    Good

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 3 роки тому

    Eti fikiria safari mapema kabla jua alijaingia