KELVIN KIJILI SIKU YA KWANZA BAADA YA KUFIKA KAMBINI TAZAMA ALIVYOIANZA SIKU YAKE
Вставка
- Опубліковано 11 лип 2024
- SUBSCRIBE NOW:
🌐 Site: simbasc.co.tz/
📱 App Store - apps.apple.com/tz/app/simba-s...
📱 Play Store - play.google.com/store/apps/de...
🔵 Facebook: / simbatanzania
📸 Instagram: / simbasctanzania
𝕏 Twitter: / simbasctanzania
🎶 Tiktok: / simbascofficial
About the Official Simba SC UA-cam Channel:
Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi - Спорт
This is 🦁💪 karibu Msimbazi mchezaji we2 🦁💪
Kas na mbio ndo sifa kubwa ya kajili❤❤❤ wapinzani kwisha
heee kijiri ni mnyama?
namwelewa sana huyu beki,safi sana
Tupe ni updates kuhusu deal la mpanzu bac jamani au wanasimba mnasemaje 😢
Kwan walisema wao wamemsajiri boss
Mpanzu haitawezekana😅😅😅😅
mpaka kesho kitaeleweka leo nasikia Magori ameingia Congo kufatilia deal zaid
Magori yupo Congo kaenda lazimisha aje, mchezaji anataka kuja ila uongozi haupo tayari kumuachia, so hii weekend itakua na majibu mazuri zaidi km dili linaenda au la
Nan kasem aiwezekani@@audaxbizimana8084
Nashukuru club yangu SIMBA SC mmenisikiliza nilicho waambia , pongezi kwa viongozi wote . Nina furaha Sana nilicho waambia mmekifanyia kazi 🙏
one among of the best signing
Simba ndo timu kubwa Tanzania,hizi nyingine zote zinaanzia mabondeni huko,We are big In Africa let's go Simba
Karibu unyamani kijili
Karib san simba😅😢
Nguvu Moja
huyu mwamba nilikuwa natamani xana asaidiane na kapombe mungu asante na viongoz nawapongeza
🔥🔥🔥
mtu wa maana kabisa
Tuletee mpanzu Simba nguvu moja
Kijili baba laoo kwa wapinzai wote chaliii
SIMBA NGUVU MOJA
nani kagundua hicho kibiti ni kanaleta utulivu fulani kanaonesha kuna balaa kubwa pumzi ya moto inaandakiwa
❤❤❤❤❤
🎉🎉
Kevini mtu nanusu karibu Simba kwawakubwa
Mbona kibu simuoni jaman
Bie kabisa❤
Amon 😂😂😂😂kumbe naww umeona makundi
Kalb sana mwamba simba nguvu moja
🦁🦁🦁🦁🦁
Roho yangu nyeupe kumpata Kijili
Hata mm Nina amani ya moyo kumsajiri kijili
Safari imeanza watakimbixwa sana
onna sio mchezaji mabosi kucheza simba
find wachezaji acheni utoto yanga find wachezaji wazuri ss utoto kama nipesa mmsema
Kibu yuko wapi
Karibu unyamani Kalvin ,,tuwapige hao machura wa utopolo goli kibao
KATOKEA Nchi gani
Kibu
Kanifurahisha ka onyesha heshima upendo kwawenzie
Asioneshe upendo wakati kajawenye pesa😂😂😂
Asioneshe upendo wakati kajawenye pesa😂😂😂
Wapendane, hakika kwa uweza wa mung tutafika mbali
Kibu yupo wapi
Kijili pambana timu uliyopo ni timu kubwa xana nadhan mwenyew unajua
Tunamtaka mpanguuuuuu kama pesa haitoshi wanasimba wenye mapenzi ya dhati tuchangeeee
Ongezeni na ubunifu alaf huyo camera man anaerecord Haman k2 anafanya anarecord video utafkilia nmm nikiwa nawashoot washkaj zangu na infinix yan😢
Mimi nauliza wapi kibu d?
😂
Makundi makundi wabongo kivyao wageni kivyao sijapenda😢
Negative thinking
Lugha changamoto😂😂
Lugha boss😂
@@Mpakauseme time will tell
Kibu Denis yuko wap Kwan? Mbona hatuoni camera zikimulika ?
Kibu denis kasusa ,Amesema Simba sio hadhi yake anakula bata Marekani na Messi
Milioni Mia tatu inafanya kazi kwa kibu
Yupo kaangalie vzuri picha za jana slide ya 10
Beki namba 3 wa kupokezana na zimbwe vp tayr?
Tayari yuko Ismailia Valentine Nouma
Ok
Mpanzuuu
Beki ya mpira
Anakimbia Kama Hana akili vizuri na anauwezo was kucheza Kama wing back•
Vp kuhusu kramo niambie mashabiki wenzangu
Vp kuhusu mpanzuuu
Tunamtaka Mpazu z xx