Yaani sijui hata nifanyeje maana kwa gear hii ni kama nitahamia TZ 1. Elia Mwatondo shikamoo, 2. Music Director hii nayo Moto fire. 3. Drumist n basist congratulations are in order. 4. Maestro and the entire team nimewavulia kofia, tai, soksi...mbarikiwe sana YOTE KWA UTUKUFU WA MUNGU.
Najisikia baraka sana kumtumikia MUNGU pamoja nanyi. Ninyi watu mna mafuta ya kipekee sana na Neema ya aina yake linapokuja suala la KUMSIFU NA KUCHEZA MBELE ZA MUNGU. Ahsanteni kwa kunishirikisha nami.🙏🏾
Mwaka jana mzima Nilikuwa na lile dude letu la amejibu maombi. Mwaka huu niko na Huu wimbo 🙌🏿 …. Kipindi unatoka 2023 siku wahi kuuelewa wala kuupenda nikaendelea na jingle langu la Amejibu Maombi. 2024 nikawa na play zangu huku nafanya zangu kazi… Aah naona mbona message kubwa sana 😂…. Niseme ndio limekuwa jingle langu 2024. Upendo kutoka St.Petersburg , Duniani ❤
watching from Nigeria...that Leadist ... u got my thumbs up bro...u swept me off my feet...la la soh soh mi la la soh soh fah...that line i kept listening to it over an over ...i love that line...the basist...my brother in arms...i can't forget you baseline...drummer...excelent
This is a very nice song, and the energy is unmatched; the sound is out of this world; who knew praising God could be this fun. I approve from Zimbabwe.
Agape nyimbo zote ni kama mmenitungia mimi ndo maana huwa ninaonekana kuchanganyikiwa nikiwa kwenye Ibada zenu na ninamshukuru Mungu filimbi zangu zote zimeingia kwenye nyimbo
Everything is on point . Big up to 1. Dresscode designer . 2. Hug drummer on my behalf 3. Publicity guys 4. Bassist 5. Duet is on another level . Much blessing from kenya , I love this ,#Skng of the year 🎉❤❤❤, just on repeat mode , we need another for the new year
Jamani hivi kweli kabisa mbele ya yote...huu wimbo unastahili more than 10M views!! Music director amefanya nimefurahi hadi nikatoa machozi..hivi mnajua utamu ulio kwenye hizi arrangements nyi watu? Hans drummer na JP Bass mumetisha zaidi ya moto wa umeme na petroli. Where have your guys been cause this team feels like it comes from another planet!! ❤️
Kazi nzur SN lkn ongezen guitar la pili kama Rhizim itakupendeza Sana kwenye live zenu mziki upwaya coz solo yupo peke yake,kinanda kibaki kufukia mashimo Tu kwenye madaraja
bozali koya awa na kenya mokolo nini? Nazali kozela na esengo koyemba pe kobina elongo na bino ba ndeko. Ozali kaka lipamboli mpo na ngai. Planifier enregistrement en direct ya sika awa na Kenya ba ndeko na ngai. Bozala na lipamboli
From Kenya, these songs have been ministering to me Al throughout the past few months❤. Mungu awabariki sana @Agapegospelband #Narukakamatai #Waambienimebarikiwa
I love the band so much,may God continue lifting you up,you are the best gospel band all round,we need you in Kenya,Victor maestro and JP the director you are driving me crazy with the power you guys are demostrating waaah be blessed
C’est en swahili et c’est aussi une langue congolaise comme c’est aussi parlé au Congo c’est la langue la plus parler en nombre au Congo et le Lingala est la langue la plus connue du Congo. Mais c’est vrai que au Congo c’est le Kiswahili donc y’a de très petites différences même niveau prononciation
Yaani sijui hata nifanyeje maana kwa gear hii ni kama nitahamia TZ
1. Elia Mwatondo shikamoo,
2. Music Director hii nayo Moto fire.
3. Drumist n basist congratulations are in order.
4. Maestro and the entire team nimewavulia kofia, tai, soksi...mbarikiwe sana
YOTE KWA UTUKUFU WA MUNGU.
Najisikia baraka sana kumtumikia MUNGU pamoja nanyi. Ninyi watu mna mafuta ya kipekee sana na Neema ya aina yake linapokuja suala la KUMSIFU NA KUCHEZA MBELE ZA MUNGU.
Ahsanteni kwa kunishirikisha nami.🙏🏾
❤aaah eliya mafuta yako ooh iko juu Mungu akuzidishie
Kadance kaSulu
So blessing, I loved your part mostly.
Amen Jina la Bwana litukuzwee❤❤,nimebarikiwa na Bwanaaaaaa😂😂😂
Mwaka jana mzima Nilikuwa na lile dude letu la amejibu maombi. Mwaka huu niko na Huu wimbo 🙌🏿 …. Kipindi unatoka 2023 siku wahi kuuelewa wala kuupenda nikaendelea na jingle langu la Amejibu Maombi. 2024 nikawa na play zangu huku nafanya zangu kazi… Aah naona mbona message kubwa sana 😂…. Niseme ndio limekuwa jingle langu 2024. Upendo kutoka St.Petersburg , Duniani ❤
watching from Nigeria...that Leadist ... u got my thumbs up bro...u swept me off my feet...la la soh soh mi la la soh soh fah...that line i kept listening to it over an over ...i love that line...the basist...my brother in arms...i can't forget you baseline...drummer...excelent
why no one it talking about the front row dancers be blessed guys 🙏🙏
This is my favourite African band so far😂😂😂 that pause,more great years of ministry ,huduma yenu inagusa
SEBEN OF THE YEAR 2023 -2024 . IS AGAPE BAND . Samia suluhu do something to this band . Much love from kenya
Drummer Drummer Drummer kuna vikiki kazichapa ni outstanding
Deus seja louvado! 🇧🇷🇧🇷🇧🇷
Na this drummer will play in heaven guy is too professional ❤❤❤❤
This is a very nice song, and the energy is unmatched; the sound is out of this world; who knew praising God could be this fun. I approve from Zimbabwe.
Vanogona
@@ReyKatta its amazing, i just wish one day they will have a show in zimbabwe.
@@audreymaringa8641 taura hako
These guys are 🔥🔥🔥🙌, Tanzania is blessed to have you Watumishi wa Mungu. Keep the gospel alive to the world
Amen brother in Christ
Ahaha. 😂🤪😜🙈🙈 the wizard drummer does it again; gosh I’m blessed to have subscribed on this channel
Boss that drummer go play for heaven praises band
Naruka kama tai ayi this songs hits different inside me.🇿🇼🇿🇼🇿🇼 love you guys from the republic of Zimbabwe 🙏
Tochimhanya ne Shona here?
Mimi ni SDA, vile napenda nyimbo zenu imevuka mpaka kabisa. Nabarikiwa nikidance😂
😅😅😅
Watching from Botswana 🇧🇼 ,my husband is a base guitarist. I find myself praising with you guys wow..
Am copying your dance steps slowly slowly am in love with your music, much love from Uganda 🇺🇬 may God bless you
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Listening from 🇬🇧🇬🇧
l love the drummer, Matthews watching from Zambia
Is so Genius 🎉
Agape nyimbo zote ni kama mmenitungia mimi ndo maana huwa ninaonekana kuchanganyikiwa nikiwa kwenye Ibada zenu na ninamshukuru Mungu filimbi zangu zote zimeingia kwenye nyimbo
Mimi hukuona Kenya video zote na filimbi yako ndugu wewe unibariki na Vile wewe kucheza nakutafuta Kenya video zote za agape mungu akubariki
😅😅😅😅😅😅
Me nikajua labda wew ni kiongozi kwenye hiyo bendi 🤔🤔
😮😮
@@IreneHongoa
I might not understand this language but man this is fire😂❤❤❤❤❤from Zambia
From Kenya, dancing and being blessed. Umenifanya mbarikiwa Yesu... Amen 🙌🇰🇪🇰🇪
The bassist and the drummer yho.. guys chill, the 🔥 is too much... Much love from 🇿🇲..
Everything on point,melody, rhymes, Instrument arrangements..fantastic.
Everything is on point .
Big up to
1. Dresscode designer .
2. Hug drummer on my behalf
3. Publicity guys
4. Bassist
5. Duet is on another level .
Much blessing from kenya , I love this ,#Skng of the year 🎉❤❤❤, just on repeat mode , we need another for the new year
Jmn kwan Yesu n raha sana aliesema tuliokoka tunatesek nan?kww mamb kam hay 🔥🔥🔥tunamfurahia Bwana wetu
That bass lick at 10:15 ❤❤🔥🔥🔥
Salute to you JP Bass 🎸🎸🫡🫡
Huyo mwache ni wa essence
Aza Bon ❤
Guys this is heaven on earth ....
Its sooo fire ...
Eliya Tusekege Andendekisye Mwantondo
Shikamoo buda
Wimbo mzuri sana mbarikiwe sana
Mungu amenitoa njombe kwenye baridi ame nileta Dar 😂
Jamani hivi kweli kabisa mbele ya yote...huu wimbo unastahili more than 10M views!!
Music director amefanya nimefurahi hadi nikatoa machozi..hivi mnajua utamu ulio kwenye hizi arrangements nyi watu?
Hans drummer na JP Bass mumetisha zaidi ya moto wa umeme na petroli.
Where have your guys been cause this team feels like it comes from another planet!! ❤️
All the night clubs are going down in Jesus name. Soar like an eagle, Agape band is taking over. God's got your back, twende kazi!
🇿🇼🇿🇼 Zimbabwe approves🇿🇼🇿🇼
Wanakirwaka
Je vous aimes depuis la Rdc🇨🇩🇨🇩
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪in high five ✋✋✋
the guy that plays the whistle 🤝👏👏👏👏
The skin, the arrangement, and the accompaniment, the breaks💥💥💥💥💥💥💥. Sebene Kitoko
Mnanipa nguvu ya kutaka kufika kwa hio level yenu ya uimbaji
Was this song released the same time na ile ya hallo mbinguni
It was recorded the same time
The best in East Africa .much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
From Suède 🇸🇪
Najikuta na anza ku danse kwenye Train full Upako ❤🙏
Somebody please type out all the parts sang by the backing vocals. Just a South African trying to learn Swahili. Thanks.
I enjoy Agape Gospel band from Uganda, the energy, sound and praises are awesome!
Maestroooooooo🎉 Kuna Mungu amekubariki the vocals 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 God bless you AGB
Nice 👍🎉❤❤❤. You are always on point 💕☝️ God bless you all
Bassist baba😂🔥🔥🔥🙌
The drummer aiii🙌🔥🔥🔥🔥
Powerful ministration. Getting the Song fro kakamega Kenya thank you Agape🎉🎉🎉🎉🎉🎉
This is awesome❤❤❤❤ much love from Kenya . May the good Lord fill you again and again with songs of praise 🙏 🙏🙏... Naruka kama tai😊😊
The whisting guy kill me like crazy 😊
This song is on repeat 🔥.Thank you Agape for Blessing us, God awa Bless pia nanyi.much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kazi nzur SN lkn ongezen guitar la pili kama Rhizim itakupendeza Sana kwenye live zenu mziki upwaya coz solo yupo peke yake,kinanda kibaki kufukia mashimo Tu kwenye madaraja
From DRC CONGO aiseee uyu jamaa kwenye drum aaah noma sana ! Uyu si wadunia hii kbs
bozali koya awa na kenya mokolo nini? Nazali kozela na esengo koyemba pe kobina elongo na bino ba ndeko. Ozali kaka lipamboli mpo na ngai. Planifier enregistrement en direct ya sika awa na Kenya ba ndeko na ngai. Bozala na lipamboli
From Kenya, these songs have been ministering to me Al throughout the past few months❤.
Mungu awabariki sana @Agapegospelband
#Narukakamatai
#Waambienimebarikiwa
Ooooh yes naruka asante AGB KEEP UP😁😁
am not going offline till i tap this one
I love the band so much,may God continue lifting you up,you are the best gospel band all round,we need you in Kenya,Victor maestro and JP the director you are driving me crazy with the power you guys are demostrating waaah be blessed
I love your ministry guys, may Jesus lift you more and more.
This is beyond human understanding 🔥😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Bass Bass Bass 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Ayiiiiii nyie watu Mungu awabariki hii asee mmenibarki
🇰🇪 👌👌 love it‼️ your ministration God bless you Abundantly
Watchinh from Zimbabwe haaa you guys are so good ❤❤❤❤
Hii ni Moto sana....barikiweni wapendwa!
Baraka sana 👏🏾🇨🇩
we pray that the spirit of fornication will not locate u,u are a strong team
2:36 nimeshaweka loop, jamani Eliya unatesa kwelikweli
I love this band ❤, congratulations 🎉🎉
are you guys Congolese🇨🇩
Ngoma ni motoooooo🫠🫠🤭.,,
Good work Agape Gospel Band na Eliya.,Mungu azidi kuwabariki.,Lets stay blessed.,,
Mulolooooooo 🗣
Eliya tunamis uwepo wako huku Ars
❤I love this group, congratulations !
Yani nimebarikiwa sana🙌🙌🙌 instrumentalists always understands the assignment
Rythme congolais mais en leurs langues quoi!!!j'aime bien
C’est en swahili et c’est aussi une langue congolaise comme c’est aussi parlé au Congo c’est la langue la plus parler en nombre au Congo et le Lingala est la langue la plus connue du Congo. Mais c’est vrai que au Congo c’est le Kiswahili donc y’a de très petites différences même niveau prononciation
Wow!! 🔥🔥🔥🔥 powerful and excellently executed🙌🏾. God bless you AGB🇰🇪🇹🇿
Huu moto ni mkali sana..! Mungu awabariki sana fam 🔥🔥🔥🔥
Nahisi kama Niko humo ndani ya video nacheza😂😂😂😂❤❤❤❤
Muziki muzuri wa kishindo kabisa. Mubarikiwe sana Agape!!
TANZANIAAAAAA.... The most blessed
Watching from 🇳🇬 love you guys
The guitar man is Dr. Ofwekes brother
This guys 🔥🔥🔥🔥. I love the high praise. I am praying for you
nawapenda sana
Jamaa wa solo gita ni moto sana
Ngoma Iko lit......inagusa hadi mizizi ya moyo.Mbarikiwe na mzidi kuinuliwa.
Drumist nitakutafuta....I need some coaching
Can't stop dancing. Love from NG 🇳🇬
Basist nomaaa balaaa uyu jamaa ni alien kbs si wadunia hii😅
May God keep increasing more knowledge upon you so that you proclaim his goodness to all nations.
Amazing the drums so good ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
You guys are the best. Is the new album out yet?
The genre of praising and worshipping God through Rhumba is 🔥🔥🔥. Uniqueness at best..more grace to you..🇰🇪🇰🇪🇰🇪
CONGO TO THE WORLD 🇨🇩
If you want skomota dance start at 8:15
Naruka kama tai🇰🇪🇰🇪
Naruka kamatai, hallelujah 🇿🇼
Ukunzwa mangoma here
Mi mi si yo yu le wa jana umenifanya wa juu sana💙💙
You guys are amazing Mungu awatumie zaidi na zaidi
I just love your sebene. Top class!
Nahitaji namba ya solo guitar nina zawadi ykee
Mbona imechelewa kuja?
C'est dans quel pays comme ça.
Kuko damu Yaki congomani ndani yenu🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Me jaman nawapenda bureeeee tuuuu Mungu awainue zaid sana