WAKAZI KIDIMU KUISHTAKI HALMASHAURI MJI I KIBAHA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лют 2025
  • Ben Komba

КОМЕНТАРІ • 6

  • @JoseMngaho
    @JoseMngaho 8 місяців тому

    Daaa poleni saaana

  • @chayogasperi9783
    @chayogasperi9783 5 місяців тому

    Viwanja vilivyopimwa , vina HATI , vipo Mlandizi , karibuni mpate makazi ya kudumu .

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh Рік тому +1

    Kibali million 2 kwa miaka mingapi wacheni kunyanyasa wanyonge wanaitowa wapi pesa hiyo munataka kutajirika kwa migongo ya wenzenu munawatia watu hasira m/mungu hatowaacha salama

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh Рік тому +1

    Hivi vitu vinavyofanywa ndio munapelekea wananchi kukichukia chama na viongozi wake kuweni makini na munachokifanya si mungewadai tu hizo garama za kibali kuliko kuwatia umasikini hali ngumu hii wanakwenda wapi na watt wao ,halmashauri ni serikali pia mama awatumbue wahusika wote

  • @AbbyChao-ic8gq
    @AbbyChao-ic8gq 3 місяці тому

    Tunaomba uje na kwetu Kaka sisi tumevunjiwa na almashauri alafu viwanja sasahivi wanauzia watu wengine