Bernard Komba (Did you know?)
Bernard Komba (Did you know?)
  • 284
  • 70 946

Відео

WAFANYAKAZI WALIOUMIA KAZINI WALALAMIKA FIDIA NDOGO WCF.
Переглядів 129 годин тому
Ben Komba
WAFANYAKAZI WALIOUMIA KAZINI WALALAMIKA FIDIA NDOGO WCF
Переглядів 419 годин тому
Ben Komba
CCM WAPORA SHINA LA ACT WAZALENDO KIBABE MJINI KIBAHA
Переглядів 3421 годину тому
CCM WAPORA SHINA LA ACT WAZALENDO KIBABE MJINI KIBAHA
APATIKANA BAADA YA KUPOTEA KTK MAZINGIRA TATA KIBAHA
Переглядів 186Місяць тому
Ben Komba
WAKATOLIKI WAANDAMANA MAADHIMISHO JUBILEI 2025, ST PETER MPAKA ST.JOSEPH
Переглядів 39Місяць тому
Ben Komba
ABUNDANT BIBLE WORD COLLEGE YAMTUNUKU RC SENDIGA UDAKTARI WA HESHIMA
Переглядів 100Місяць тому
Ben Komba
SERIKALI KUBORESHA MIUNDOMBINU YA UWEKEZAJI PWANI ―NYONGO
Переглядів 27Місяць тому
Ben Komba
MAONESHO YA UWEKEZAJI NA BIASHARA PWANI RASMI YA KITAIFA ―WAZIRI JAFO
Переглядів 40Місяць тому
Ben Komba
MAONESHO YA BIASHARA NA UWEKEZAJI PWANI 2024
Переглядів 84Місяць тому
Ben Komba
CHADEMA YATOA MAWAKALA WAKE UCHAGUZI TAMISEMI KUFUATIA SINTOFAHAMU KIBAHA MJINI
Переглядів 3352 місяці тому
CHADEMA YATOA MAWAKALA WAKE UCHAGUZI TAMISEMI KUFUATIA SINTOFAHAMU KIBAHA MJINI
RC PWANI APIGA KURA UCHAGUZI TAMISEMI 2024
Переглядів 2082 місяці тому
RC PWANI APIGA KURA UCHAGUZI TAMISEMI 2024
CHADEMA KANDA YA PWANI YAZINDIKA UCHAGUZI TAMISEMI ATAKAYEVURUGA KUKIONA
Переглядів 3,7 тис.2 місяці тому
CHADEMA KANDA YA PWANI YAZINDIKA UCHAGUZI TAMISEMI ATAKAYEVURUGA KUKIONA
ACT WAZALENDO WALALAMIKA CHAGUZI KUVURUGWA KWA MAKUSUDI KIBAHA MJINI
Переглядів 712 місяці тому
ACT WAZALENDO WALALAMIKA CHAGUZI KUVURUGWA KWA MAKUSUDI KIBAHA MJINI
CHADEMA JIMBO KIBAHA WAPATA MASHAKA KADA WA CCM KUWEPO KTK KAMATI YA UCHENJUAJI TAMISEMI
Переглядів 5462 місяці тому
CHADEMA JIMBO KIBAHA WAPATA MASHAKA KADA WA CCM KUWEPO KTK KAMATI YA UCHENJUAJI TAMISEMI
CCK WAHIMIZA WANAWAKE WAJITOKEZE PWANI
Переглядів 692 місяці тому
CCK WAHIMIZA WANAWAKE WAJITOKEZE PWANI
KILIO UPANUZI BARABARA BAGAMOYO MLANDIZI KISARAWE
Переглядів 4552 місяці тому
KILIO UPANUZI BARABARA BAGAMOYO MLANDIZI KISARAWE
AMSHAMBULIA DADA YAKE KWA MADAI ANAMLOGA MAMA YAO KIBAHA
Переглядів 7393 місяці тому
AMSHAMBULIA DADA YAKE KWA MADAI ANAMLOGA MAMA YAO KIBAHA
CHAMA CHA MAENDELEO YA KIJAMII CCK KIBAHA YAJIPANGA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
Переглядів 663 місяці тому
CHAMA CHA MAENDELEO YA KIJAMII CCK KIBAHA YAJIPANGA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
WANANCHI WAITAKA SERIKALI KUWALIPA FIDIA WALIOPITIWA NA MRADI BARABARA KIBAHA
Переглядів 583 місяці тому
WANANCHI WAITAKA SERIKALI KUWALIPA FIDIA WALIOPITIWA NA MRADI BARABARA KIBAHA
WAZEE WAPATIWA ELIMU YA AFYA KATIKA UMRI MKUBWA NA BURUDANI KATA YA MKUZA, MJINI KIBAHA
Переглядів 553 місяці тому
WAZEE WAPATIWA ELIMU YA AFYA KATIKA UMRI MKUBWA NA BURUDANI KATA YA MKUZA, MJINI KIBAHA
KAZOLE MKURANGA WAPINGA KURA ZA MAONI WAANDAMANA MPK CCM MKOA PWANI
Переглядів 10 тис.3 місяці тому
KAZOLE MKURANGA WAPINGA KURA ZA MAONI WAANDAMANA MPK CCM MKOA PWANI
MADAWATI 4000 YAKABIDHIWA KWA SHULE NA MH. KOKA, KIBAHA MJINI
Переглядів 473 місяці тому
MADAWATI 4000 YAKABIDHIWA KWA SHULE NA MH. KOKA, KIBAHA MJINI
UPASUAJI WA BARABARA KUTALETA SURA YA MJI WA KIBAHA
Переглядів 973 місяці тому
UPASUAJI WA BARABARA KUTALETA SURA YA MJI WA KIBAHA
MAMBO YALIYOJIRI URUDISHAJI WA FOMU CCM SERIKALI ZA MITAA MJINI KIBAHA 2024
Переглядів 1963 місяці тому
MAMBO YALIYOJIRI URUDISHAJI WA FOMU CCM SERIKALI ZA MITAA MJINI KIBAHA 2024
MWENYEKITI MTAA WA MKOANI A AELEZEA MAFANIKIO ALIYOPATA YA KIPINDI ANACHOMALIZA MUDA WAKE
Переглядів 313 місяці тому
MWENYEKITI MTAA WA MKOANI A AELEZEA MAFANIKIO ALIYOPATA YA KIPINDI ANACHOMALIZA MUDA WAKE
RC PWANI AONGOZA JOGGING KUHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI SERIKALI ZA MITAA
Переглядів 603 місяці тому
RC PWANI AONGOZA JOGGING KUHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI SERIKALI ZA MITAA

КОМЕНТАРІ

  • @ShariffahHamidu
    @ShariffahHamidu Місяць тому

    Asanteni sana uongozi wa mkoa wa Pwani kwa kuandaa maonyesho haya.

  • @altaf.ibrahim
    @altaf.ibrahim 2 місяці тому

    Mtaa wa pemba/lumumba kuna chemba ya maji machafu imefurika .muhusika tafadhali taarifa ikufikie

  • @MNGINDO
    @MNGINDO 2 місяці тому

    Safi sana

  • @rodenwapalila7875
    @rodenwapalila7875 2 місяці тому

    Hayo maombi ni ya mtoza ushuru. Huwezi kumpangia Mungu afanye unachotaka wewe.

    • @BERNARDKOMBA
      @BERNARDKOMBA 2 місяці тому

      x.com/BERNARDKOMBA/status/1861043487778410726?t=ORugMNGHXSUCOktfaVhIIA&s=19

  • @usembiphonedar5632
    @usembiphonedar5632 2 місяці тому

    Mungu tunaomba usimame na wenye haki wote katika Taifa letu la Tanzania, watakaovuruga uchaguzi huu walaaniwe milele wao na vizazi vyao milele, Ameni.

  • @allyshaban406
    @allyshaban406 2 місяці тому

    Hapo ndipo mnapokosea, mama, mama,!!! Watu wazima hovyooo!!!

  • @HappynessMpangala
    @HappynessMpangala 2 місяці тому

    ❤ 6:19

  • @HappynessMpangala
    @HappynessMpangala 2 місяці тому

    Jaman mbona mnatutia haibu

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 2 місяці тому

    Kwa hiyo zile tathmini tulizofanyiwa na kupigwa picha na karatasia tukashikia kifuani zipo au hazipo? Je, tathmini inapofanyika na pesa hailipwi kwa wakati thamani ya pesa inabaki pale pale? Hela inashuka thamani kila siku

    • @BERNARDKOMBA
      @BERNARDKOMBA 2 місяці тому

      ua-cam.com/video/IgLZwVT7rEs/v-deo.html

  • @yudachelango6824
    @yudachelango6824 2 місяці тому

    Na yenyewe yanaibiana?

  • @ReginaWilliammsuya
    @ReginaWilliammsuya 3 місяці тому

    Sitaki niingizwe kwenye ugovi na jina langu ctk Regina nimeongea nni mmezidi ebu niacheni jamn na hat kama nikiongea nae ctakuongelea wwe wal mjomba na meshituka sana me kuoji na kama ulikuutaki watu wa comment uliweka hadharani ya nni...?

  • @ChimamyMohamed
    @ChimamyMohamed 3 місяці тому

    Kabla ya kumuoji huyo anaye daiwa ni mtuumiwa anaonekana alikuwa amelewa so anaweza kuongea chochote akiwa na hari hiyo kuhusu huyo alaf huyo dada anayedai kapigwa na kaka yake kwanza ni muongo sanaa Kwann msituletee maojiano na ya huyo binti yake maana huy maria anaye mtaja amekuwa akimtaja siku zote za maisha yake na ni dada yake ambaye yeye ndio anajitoa kumlea na kumuudumia mam yao huyo estar kwanza ingekuwa huyo mama yake ampend angemlea mpaka leo maana hata hapo anapo kaa ni kwa mam yake na pia hao watoto anayedai kuwa awezi kuwaandaa wanalipiwa ada na mama yake yan ndugu zang wasoma comment hii nyie mnaona ni sawa mtu kuongelea family yake kwenye mitandao Tena ukilinganisha ni anachokiongea yeye kusisha imani ya kishilikina laiti family ikiamua iongee kuhusu yeye atajisikiaje Anamuongea ni dada yake ambaye amemlea na mam yake aliye mzaaa mungu atusaidie na namuombea sanaaa huyo mama yang mdogo estar abadilike na amrudie mungu………kumpa dada yako shutuma zito ya mauwaji sio vizur…

  • @tuityeaster530
    @tuityeaster530 3 місяці тому

    Ben Tv kila atakaeitaji kujieleza juu ya hili usisite maana kwa hili swala la uchawi naushahid nalo pia ata huyo rejina huyo mzee ni mjomba wake we kutananae tu msikilize

  • @aishandayishimiye5127
    @aishandayishimiye5127 3 місяці тому

    Subhanallah muogopeni mwenye ezi mungu tuache kuamibi uchawi 😢

  • @ReginaWilliammsuya
    @ReginaWilliammsuya 3 місяці тому

    Ngugu muandishi mbona hana majeraha makubwa ya kupigwa na sululu

    • @BERNARDKOMBA
      @BERNARDKOMBA 3 місяці тому

      Kama unavyomsikia alipambana ikiwa pamoja na kumpopoa na mawe mpk akakimbia

    • @ReginaWilliammsuya
      @ReginaWilliammsuya 3 місяці тому

      @BERNARDKOMBA lakini anasema mkono umevunjika mbn ni siku kama tano alf aujafungwa piopio na anaweza kunyanyua ndugu muandishi nataman kumsikia ukimuhoji MARIA ambae ametajwa kuwa anashikiana na mzee wambura na MAMA mzazi wa Estar tungependa kuckia eye anasema nni....?

    • @ReginaWilliammsuya
      @ReginaWilliammsuya 3 місяці тому

      Naomba unisaidie hata me napata changamoto kubwa san Mr benard nitakupataje ili unitembelee ujue changqmoto zangu plz ninashida sana

    • @BERNARDKOMBA
      @BERNARDKOMBA 3 місяці тому

      @ReginaWilliammsuya weka namba tuangalie tutafanyaje mpendwa

    • @BERNARDKOMBA
      @BERNARDKOMBA 3 місяці тому

      Nimezingatia ushauri wako, nitatekeleza mdau

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 3 місяці тому

    WOTE NI MISUKULE TU NA HAYAJIELEWI😂😂😂

  • @JosfatiMwamengo
    @JosfatiMwamengo 3 місяці тому

    Ccm wamezoea wizi sasa wanaibiana

  • @AkramIbrahim-m6x
    @AkramIbrahim-m6x 3 місяці тому

    Wee Ali Unaushahidi Gani Kama Magufuli Ameuwawa Na Ccm Ukiulizwa Una Unaushahidi Wa Kina

  • @HassanKibwana-h3w
    @HassanKibwana-h3w 3 місяці тому

    Ccm inafika mwisho Tubadilike

  • @BERNARDKOMBA
    @BERNARDKOMBA 3 місяці тому

    ua-cam.com/video/8r8WXTARELE/v-deo.html

  • @AbbyChao-ic8gq
    @AbbyChao-ic8gq 3 місяці тому

    Tunaomba uje na kwetu Kaka sisi tumevunjiwa na almashauri alafu viwanja sasahivi wanauzia watu wengine

  • @w4058
    @w4058 3 місяці тому

    Wapumbavu waacheni CCM wazowea shida

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 3 місяці тому

    Safari ni wizi

  • @TwalibuKimaro-th5mv
    @TwalibuKimaro-th5mv 3 місяці тому

    CCM Ina wenyewe 😭😆😁

  • @SofiaMvungi-zu5tg
    @SofiaMvungi-zu5tg 3 місяці тому

    Kweli ccm ni chama pendwa si kwa maandamano hayo

  • @mapendomeela7166
    @mapendomeela7166 3 місяці тому

    Malipo ni hapa hapa dunianiani usicheze na mungu

  • @FadhiliMwaitete-ls2li
    @FadhiliMwaitete-ls2li 3 місяці тому

    Hiyoo ndiyo ccm ni chama cha kihuni tukiwambia nyiye mazezeta wa ccm amkeni hucho chama ni chama cha ukoo toka utaisi mpaka mashina amsikii mlicho kitaka mmekipata mabwege nyiyee

  • @djfaraji
    @djfaraji 3 місяці тому

    wamepagwa hao kwa kunashutuma za kuchoma bendela ya chma uko muulizeni uyo mwenyekiti amenunua watu sio kula za kweli izo

  • @LemaliMeyasi-r4c
    @LemaliMeyasi-r4c 3 місяці тому

    Mumeligwa na ccm majisi nyee

  • @verombwambo3703
    @verombwambo3703 3 місяці тому

    Mungu simama mwakani uchaguzi mkubwa😢😢😢

  • @abdallasheha4173
    @abdallasheha4173 3 місяці тому

    Hiyo mijizi kila pahala

  • @caashamacalini3887
    @caashamacalini3887 3 місяці тому

    Kwani? Mlikuwa hamjui kama ccm wezi mpaka kwenye kula za uchaguzi chadema si wanalalamika kila siku ndio mjuwe nyie mandondocha msio jielewa kutwa kupiga kelele kumi mingine hawa ccm wajipia wenyewe wafaidike n familia zao kimaslahi hebu nendeni upande wa pili kwanza

  • @FotoBaraza
    @FotoBaraza 3 місяці тому

    Baada ya kuibiana kinachofata maenda kutekana ndani ya chama, tupo hapa.

  • @ramzsule7678
    @ramzsule7678 3 місяці тому

    Nyinyi CCM mtakua hivyo maisha yenu

  • @noahemanuel7015
    @noahemanuel7015 3 місяці тому

    Huyu Rais anakazi kweli

  • @djfaraji
    @djfaraji 3 місяці тому

    angalieni sana selikali wengini waonevu tu j

  • @djfaraji
    @djfaraji 3 місяці тому

    anauza maeneo ao

  • @SarahLusubiro
    @SarahLusubiro 3 місяці тому

    Heee jamani huu wizi kila mahaliii?😂😂😂😂

  • @GambasonLuselegasi
    @GambasonLuselegasi 3 місяці тому

    Njooni chadema

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 3 місяці тому

    Ccm chama cha majizi😂

  • @munuoisaack418
    @munuoisaack418 3 місяці тому

    Wakiiba wasipoiba mambo ni yaleyale mkipiga msipopiga mambo ni yale yale bure kabisa

  • @SaimonMwashinga
    @SaimonMwashinga 3 місяці тому

    Ninyi watu token ndan ya lichama Hilo ni la kishetan

  • @humphreykweka3623
    @humphreykweka3623 3 місяці тому

    Mpaka uchaguzi mkuu kutakuwa na kazi kubwa sana😢.

  • @MNGINDO
    @MNGINDO 3 місяці тому

    Hongera sana

  • @donaldelias2267
    @donaldelias2267 3 місяці тому

    Chama cha majambazi na wazurumati

  • @donaldelias2267
    @donaldelias2267 3 місяці тому

    Mungu acha2 autwe Mungu mnagombana wenyeweeeeee,majambazi wakubwa

  • @MasudSalum-o4o
    @MasudSalum-o4o 3 місяці тому

    Tatizo la wanaccm wanashindwa kujua katiba yao inavyosema

  • @samwelclement8108
    @samwelclement8108 3 місяці тому

    VP mabom. Kwa ccm. Yameisha. Au

  • @samwelclement8108
    @samwelclement8108 3 місяці тому

    Chadema. Wakiandamana ni fujo ccm sio. Fujo

  • @JoshuaSalimu
    @JoshuaSalimu 3 місяці тому

    Pumbavu zenu si mmefunga ndoa na ccm? Ss mnalia nini?