DOGO SELE UGALI MKUBWA GAFLA MGENI HUYOOOOOO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 847

  • @cleverboy3812
    @cleverboy3812 3 роки тому +2

    Steve mweusi ongera sana kwa kazi nzuri.. Ila jaribu kuhusisha watu wa sheria pamoja na taasisi husika kwanza kabla ya kutumia jina la taasisi ktk kuigiza. Mfano hapo umetumia jina la kampuni ya TIGO kwa lengo zuri tu la kuburudisha ila sasa sio sahihi kusema "Nishajua mnataka kuniibia" Yaani ukiituhumu kampuni ya tigo ni wezi. Lengo lako ni nzuri kuburudisha ila sasa tambua kila mtu ana uelewa wake ktk kuangalia michezo yenu.. TIGO wanaweza kukushtaki kwa kuwaita wezi na ukapigwa faini ya pesa nyingi sana... Pia sio vizuri sana kutumia jina la kampuni moja kwa moja labda kuwe na makubaliano ambayo ushayafanya na iyo kampuni la sivyo usitumie utakuwa unawatangazia biashara bila wewe kujua na utakosa pesa za matangazo hivi hivi... Nawapenda nawafuatilia sana..

  • @shamsakarimu6276
    @shamsakarimu6276 2 роки тому +8

    Dogo nakupenda bureee kwambali namuona mzee majuto😂😂😂

  • @lizzybahati9833
    @lizzybahati9833 4 роки тому +32

    Steve mweusi mbavu zangu mm dah 😀😀😀Hongera comedy yenu iko vinzur Mungu awape maono zaid na zaid mfike mbali Amen

  • @francisedward2329
    @francisedward2329 4 роки тому +18

    Steve mweusi nawakubali sana na kazi yenu, Mungu awabariki mwendelee kupiga hatua

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 роки тому +18

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤗🤗🤗🤗Steve bn kama linji vile jamani unasaidiwaa unahakikisha unakimalizaa

  • @wisdommnaz3732
    @wisdommnaz3732 2 роки тому +11

    Sema Steve unajua Sana mungu akuongoze kwenye kazi yako

  • @sufanny924
    @sufanny924 4 роки тому +6

    🤣🤣😁😁😁😁😁Jameni Steve sasa nilazima uongee nayulewakwanzakulikokusema shida usahidiwe mbavuzangu huo dada na sele wakalapesa nzulikilahisi 🤦🤣😍❤️

  • @jacklinemwikali5045lina
    @jacklinemwikali5045lina Рік тому +8

    Kazi nzuri sana steve na sele congratulations 😊

  • @salmaelhinai833
    @salmaelhinai833 4 роки тому +9

    We steve ukiambiwa mwehu unakasirika kumbe mwehu kweli sister bora ulipoondosha ugali wako huyo ni kidowezi pia🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @athumanmgissasimbadamu1781
    @athumanmgissasimbadamu1781 4 роки тому +8

    Jaman Huyu Mdada namkubali Sana Siku nikipata Namba Yake Aise nitauza ndizi Zote 😂🏃🏼‍♂️🏃🏼‍♂️🏃🏼‍♂️🏃🏼‍♂️🏃🏼‍♂️🏃🏼‍♂️🏃🏼‍♂️🏃🏼‍♂️

  • @aamyaamy8504
    @aamyaamy8504 4 роки тому +36

    Mmhhh sele ww moto😂😂nakupenda bure kutoka 🇰🇪🇰🇪

  • @nyapolasuleiman3485
    @nyapolasuleiman3485 2 роки тому +10

    Steeeeeveee...Men you are fireee 🤣🤣🤣🤣🤣..napenda sana your skits

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 роки тому +4

    Akaaa 😨😨😨😨😨😨😨😨 sim yauombaa tena unafokea wenye sim?? uliharibu utajua hujui🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣siku Xote usirushie mamba jiwe naihali hujavuka mtu🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ToxicAfricanKing
    @ToxicAfricanKing 3 роки тому +10

    "Sipandagi mtu ananisaidia kwa masimangu." 😂😂😂

  • @milamila5594
    @milamila5594 4 роки тому +7

    Aki nmecheka Hadi nimejikojolea😂😂😂Aki Steve Nawapenda Sana mungu awaonekanie

    • @mwanalikhamis9875
      @mwanalikhamis9875 3 роки тому

      Siuseme tu shida yako we vipi

    • @milamila5594
      @milamila5594 3 роки тому

      @@mwanalikhamis9875 Mimi hata Sina shida, infact raha najipa mwenyewe nausiniletee za ovio😠

  • @abdullahbarwani8306
    @abdullahbarwani8306 4 роки тому +9

    😂😂😂Steve &sele mko vizuri

  • @francisedward2329
    @francisedward2329 4 роки тому +4

    Steve Dogo sele anakuzidi akili hahaha swaga zako nazikubali balaa

  • @omaar5693
    @omaar5693 3 роки тому +3

    Steve ndio kwanza leo nikuhurumie,
    Ila la opereta hata mimi limenikuta,
    Ushaongea shida yote anakuja mwengine uanze mwanzoni

  • @sittakibishi5019
    @sittakibishi5019 4 роки тому +22

    Mbona ww mnyonge mnyonge hvyo🤣🤣🤣🤣

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 роки тому +8

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Steve bn wajielezeaaa wazungukaaaa mara juu maraa chinii🤣🤣🤣🤣🤣mbona vocha nb nyingi mno🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🤣🤣

  • @frederickhatungimana7088
    @frederickhatungimana7088 4 роки тому +8

    Nime chelewa kweli mimi, nzuri sana

  • @jumamuya741
    @jumamuya741 4 роки тому +5

    Unamwambia Nan mwehu unamsaidia mtu kwa masimango masimango 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @abdulraufmohammedsalum6806
    @abdulraufmohammedsalum6806 4 роки тому +17

    Km upo Deutschland gonga like 💪

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 3 роки тому +2

    Hahaha yaani huyu Steve amesumbua watu mpaka wameenda kununua vocha ili wakusaidie una matatizo yako kumbe unataka kumsalimia baba Mdogo wako tu🤔duuu 🤗🤗

  • @lucasarajiga6438
    @lucasarajiga6438 3 роки тому +3

    Safi sana vjana 🙏😆😆💪🏻🤙dogo sele&steveeee

  • @funakoshtadash6163
    @funakoshtadash6163 2 роки тому +2

    Mamaee! Bwana atakubariki Steve wonder

  • @sajidafaham1075
    @sajidafaham1075 2 роки тому +1

    Nakupenda sana nacheka sana navyo angalia daaaaah

  • @amindaudi8212
    @amindaudi8212 4 роки тому +46

    Haki ya nani brother stive na dogo na huyo Sister mnajua lazima ifike wakati tuseme ukweli nimewafuatilia kwa muda mref leo nimeona ni comment kabisa Mungu afkishe ata subscription nyingi mpate pesa zaidii all the way from Moshi Tanzania

  • @abdoulkarimnibigira8643
    @abdoulkarimnibigira8643 4 роки тому +5

    Steve nakupenda Wallah.....🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @Jolie-j2l
    @Jolie-j2l Рік тому +1

    Heee steve napenda skits zako ❤❤❤❤❤

  • @asiakinia9344
    @asiakinia9344 4 роки тому +1

    Steve bn 😀😀mm nilijua unashida ya Maana kumbe mawenge tuu😂😂😂😂penda Sana dogo sele

  • @janethstephano8485
    @janethstephano8485 Рік тому

    😅😅😅Aaahh Steve we umenifanya nicheke kwa saut, kweny kuongea na muhudum wa tigo

  • @dadakashindi2147
    @dadakashindi2147 4 роки тому +17

    Leo nime jianda kabisa USA 🇺🇸 tujuwane🥰🥰🤞

  • @AngelMvumu
    @AngelMvumu 3 дні тому

    Haswa stivu Yuko vizuri kwel

  • @2brainideology403
    @2brainideology403 4 роки тому +11

    Hahahaha Leo idea ilikua nzuri mungu awaongezee ujuzi

  • @wasafiwasafi734
    @wasafiwasafi734 4 роки тому +7

    Wewe Steve uko na ujinga sana

    • @praxedaandrewkato7472
      @praxedaandrewkato7472 3 роки тому

      Ati wataka kumwibia and that is phone company why Steve can't figure out that is service steve is funny. At wewe nae uyo nimumeo your planning to still for me too. Anthen after finishing using the there phone say is bad and come back want to know about he is money🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @shaneshane4175
    @shaneshane4175 2 роки тому

    Ugari upo sawa2 wale wachoyo ndio wanajilishaga viugari vidogo nawanakua vidodido👌afya mgogolo kula ushibe ukibaki badae unakulatena ndio zetu bwana kula kujigalagaza🤣🤣ukinywa na maji miguu juu pamkeka nikujamba2

  • @mwanaafricauk
    @mwanaafricauk 2 роки тому +18

    Great work. Great show. Great entertainment. Kazi nzuri sanaaa ! 🌟🌟🌟🌟🌟 #PamojaSana

  • @rukiaomar3369
    @rukiaomar3369 3 роки тому

    Mko vzr nampenda sele mjomba wake wako vzr

  • @ngagishow2614
    @ngagishow2614 2 роки тому +1

    Hahaha kubwahilo bwege kbsa

  • @neemayauislamutv8547
    @neemayauislamutv8547 3 роки тому +10

    Stev staili yako ya unyonge nzuri sana inakupendeza sana

  • @omarymkumbi4265
    @omarymkumbi4265 4 роки тому +9

    Big up sana stive ,nakukubali kinoma noma.

  • @salmasaeed9357
    @salmasaeed9357 4 роки тому +11

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nakupenda steve ukiongea na hio sauti ya kilio

  • @KizandaMupendwa-qx9zo
    @KizandaMupendwa-qx9zo Рік тому

    Dogo nakupenda sana na lundi lako lote Ila mimi ni mgeni kwako .

  • @johngodwin8281
    @johngodwin8281 4 роки тому +40

    I wish siku moja muwe kama mark Angel comedy mungu awasaidie

    • @kingnoody3824
      @kingnoody3824 3 роки тому

      Nani amekudanganya bro ssi ni waswahili si akina nigeria😂😂😂 pole snaa wao ni wao na hao hao na usitofutishe na wao umesikia john😂

  • @KorinezaBethy
    @KorinezaBethy Рік тому +3

    Namupenda sele❤❤

  • @moddlizersaidsalu2868
    @moddlizersaidsalu2868 4 роки тому +3

    Dah mnajua saan mungu asaidie mfike mbal

  • @zamdasaid9982
    @zamdasaid9982 3 роки тому +1

    Kapewa lift kapiga na honi🤣🤣🤣🤣🤣

  • @shamimshamim998
    @shamimshamim998 3 роки тому +4

    Nakupenda sana sele komendi yako yote ina ni furahisha 💪💪💪

  • @SamsungasalamaleykmVipihaliwan
    @SamsungasalamaleykmVipihaliwan 4 роки тому +10

    From oman . Mbavu zangu mie Steven

  • @edmundsalimu
    @edmundsalimu 4 роки тому +3

    Mwehu ni nani. Nani mwehu. Haha

  • @michellumumiandre5229
    @michellumumiandre5229 3 роки тому

    Stive na Dogo ni wa bingwa namikubali tokeya Congo kinshasa

  • @lydiacherotich306
    @lydiacherotich306 4 роки тому +5

    Aky watu kaa hawa wa kuomba simu walimaliza 9 months kweli anyway dogo siele nakupenda bure

  • @Mwanaharusi
    @Mwanaharusi Рік тому

    Kamauko kenya waangalia 🎉umekubali vichesho😅😅😅😅

  • @faidagombela8582
    @faidagombela8582 3 роки тому

    Daah stev kichaa kwel Yani watu wamenunua vocha ili we usalimiane na bamdogo wako

  • @beathaenos8521
    @beathaenos8521 4 роки тому +10

    Stive unaweka aloo👌

  • @nasraha2603
    @nasraha2603 3 роки тому

    😂😂😂 kuwafinya shingo baada ya kutumia akibayawo Jameni da

  • @vaghoghontweki9827
    @vaghoghontweki9827 3 роки тому +1

    Ndugu zao hao steve wamekula njama😂😂😂😂

  • @godfreygodwin7413
    @godfreygodwin7413 2 роки тому

    Dahh😂😂 steeve nomaa unajua

  • @phylisk9998
    @phylisk9998 3 роки тому +1

    Napenda huyu mtoto kweli me mkenya mwaongea kiswahili safi upande wa kiswahili ikifikia wakenya si huku tunamix kweli wakenya hawajui Swahili kufikia kwa namba kutaja wataanza na one two hadi teni nawapenda kutoka Qatar

    • @salimabdillah9002
      @salimabdillah9002 3 роки тому

      Tafauti ktk lugha ni moja ya neema za Muumba na uwezo wake, be confident, inapendeza pia.

  • @mwajumahamisi2006
    @mwajumahamisi2006 4 роки тому +13

    Jaman nawapenda san huw mnanifulahishaga steve sele anakuzid akili 🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️

  • @hamisimwagarashi9501
    @hamisimwagarashi9501 3 роки тому +1

    mashaAllah.
    Kazi nzurii Sanaa Kaka Steve Na Mwanangu select.

    • @hamisimwagarashi9501
      @hamisimwagarashi9501 3 роки тому

      Mimi Ni Hamisi kutoka Kenya.
      Naomba usubscribe katika channel yangu baada ya Mimi kufanyiwa hivyo kwako shukran.

    • @charleskessy8365
      @charleskessy8365 3 роки тому

      Mambo vip the first place

  • @yakobobukwaya7993
    @yakobobukwaya7993 3 роки тому +6

    Nshajua ni ndugu zenu ahahaha Steve

  • @3venture180
    @3venture180 3 роки тому +4

    Hili li steve lina kipaji sana😂😂

  • @fakiikibakola1300
    @fakiikibakola1300 4 роки тому +14

    tulio kua dubai tunamchk Steve na na dgo sele tujuane hpa

  • @ramdhaniduru6335
    @ramdhaniduru6335 4 роки тому +6

    Dakika Ya 16:12 Customer Care Kazingua..Kasema Mida ya saa Nne na Nusu Mchana..Hv Kweli Yupo Serious na Kazi yake..Ila Big Up Kwa Crew Nzima Maana Mnajua Nini Mnafanya Nawakubali Thanaaaaaa

  • @mercyokari8233
    @mercyokari8233 3 роки тому +22

    Dogo sele talented boy😘😘
    Happy with you guys,keep it burning🔥🔥🔥🔥

  • @AshaJokolowera
    @AshaJokolowera 11 місяців тому

    Namkubali Sana dogo sele.

  • @janethajuaye1029
    @janethajuaye1029 2 роки тому +2

    Jaman hongera mdg wang

  • @frankelias4034
    @frankelias4034 2 роки тому +2

    Talented Fogo sele

  • @mrishomussa5490
    @mrishomussa5490 3 роки тому +1

    Da we noma stvu da

  • @AngelMvumu
    @AngelMvumu 3 дні тому

    Wako vizuri sana

  • @donbam7914
    @donbam7914 4 роки тому +1

    Sijaipemda Umezidisha Sana Man

  • @agripinamkami6753
    @agripinamkami6753 Рік тому +1

    Kaz nzuri sana

  • @nazifanaziri8953
    @nazifanaziri8953 3 роки тому +4

    Dogo sele kama na darasani upo ivo, kweli wewe ni noma

  • @jamelaega2779
    @jamelaega2779 3 роки тому +2

    Steve acha mshenee credoo ya wenyewe hio😃😃😃😃

  • @dudeboy9703
    @dudeboy9703 3 роки тому

    Hapo Stiven umetisha nakusumbua watu niliamini bonge la shida ona sasa ujui imetumwa wap hela

  • @emmasila2054
    @emmasila2054 4 роки тому +1

    Hahaaaaaa steve Hera zako zimepotea hivyo😱😱😱😁😁😁😁😁😁😁😁

  • @paulifrenk9653
    @paulifrenk9653 Рік тому

    Kwakweli mnatisha Sana mko kikaz

  • @chrissjoel7752
    @chrissjoel7752 4 роки тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂 mjinga anaongea kinyonge sana lazima umuhurumie tu harafu anatema pumba 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @YusuphuHassan
    @YusuphuHassan 7 місяців тому

    hongelen San jmn dogo sele aah unatixh san

  • @lizzybahati9833
    @lizzybahati9833 4 роки тому +3

    😃😃😃Ugali kama wa wasukuma

  • @ToxicAfricanKing
    @ToxicAfricanKing 3 роки тому +2

    "Hivi tunaongea na nani? Si wewe?" 😂😂😂

  • @fotbolltvpatrick8634
    @fotbolltvpatrick8634 4 роки тому +4

    Ulituma kweli hahaha

  • @bentaakoth4274
    @bentaakoth4274 2 роки тому +1

    Steve unavituko sana🤣🤣🤣🤣

  • @subiraboi9397
    @subiraboi9397 4 роки тому +4

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣Eeh mungu wangu

  • @BenMtweve4
    @BenMtweve4 3 роки тому

    Dah hapo alipo cheka akiwa ana maliza kuongea na simu na amewa zarau na pesa imetumwa huko🤣🤣🤣🤣🤣

  • @bikinouwisigilbert7558
    @bikinouwisigilbert7558 3 роки тому +1

    From Uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🏖️🏖️🏖️🏖️☑️ we love you guys!!!!!!

  • @fatumaadan5136
    @fatumaadan5136 2 роки тому

    Akuna MTU anweza iba stevi 😂😂😂😂😂

  • @Nahdiya-nr3de
    @Nahdiya-nr3de 10 місяців тому

    Dogo seme wachekesha sana unamaswali 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @JosephMbalamwezi
    @JosephMbalamwezi 4 місяці тому

    Pamoja sana kaka pambana

  • @ayshasinda3132
    @ayshasinda3132 Рік тому +2

    Very good Steve and sele 😃😃

  • @omarsadiq9254
    @omarsadiq9254 3 роки тому +3

    Jamani mtoto ana maneno😃😃😂

  • @mahunorwemajordan6990
    @mahunorwemajordan6990 3 роки тому +1

    Munabijuwaka vraiment shukrani sana.

  • @edwinmgovano3013
    @edwinmgovano3013 4 роки тому +1

    Nakukubali steve zuzu 😀😀😀

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 2 роки тому

    Huyu jamaa fara kweli

  • @saudahamad7481
    @saudahamad7481 3 роки тому +4

    🤣🤣🤣Steve kiboko

  • @dantafai1020
    @dantafai1020 3 роки тому +3

    Aise nimecheka Kama umecheka Kama Mimi gonga laik yako

  • @olivaoliva8134
    @olivaoliva8134 3 роки тому

    Wow nzr hiyo nimeipenda

  • @msms8812
    @msms8812 4 роки тому +1

    Hua nawapendaga sana mpo vizuri sana