“Hata kama upo Katika kingo za mwisho”UJUMBE MZITO SANA HUU😢😢😢 Mimi na wewe hatuna tofauti na Yule mwizi pale msalabani , aliiona fursa na akaitumia vyema , haijalishi ni dakika ngapi umepata, TUSEME NA YESU KWA DHATI, na kwamwe hatotuacha Kama tulivyo. Asante sana SALASALA CHOIR 🙏🏿🙏🏿🇹🇿
Naitwa Paul Malyosi , Nyie watu Mungu aendelee kuwatunza tu maana mnabariki walio wengi na tukumbuke tukipata nafasi tuongee na Mungu maana ni nyakati za mwisho sasa
MWALIMU HAKIKA ROHO MTAKATIFU ANAKUTUMIA SAWA SAWA ,,HATUNA CHA KUSEMA ZAIDI ...UNAJUA ...WIMBO MZURI SANA KASAHUNGA TUMEONA,,WAIMBAJI NAO NI HODARI ,,BWANA AWABARIKI SANA .
God doesn't call the Qualified for his mission spread but he makes them Qualified for his mission work,for sure God is great and this is such a powerful song,Ama kwa kweli ukipata nafasi ni muhimu sana kuchukua muda wako na kuwasiliana naye .God bless you all for his righteousness is great.🙏🙏🙏🫶🫶
“Hata kama upo Katika kingo za mwisho”UJUMBE MZITO
SANA HUU😢😢😢
Mimi na wewe hatuna tofauti na Yule mwizi pale msalabani , aliiona fursa na akaitumia vyema , haijalishi ni dakika ngapi umepata, TUSEME NA YESU KWA DHATI, na kwamwe hatotuacha Kama tulivyo.
Asante sana SALASALA CHOIR 🙏🏿🙏🏿🇹🇿
Barikiwa
Am an Anglican but I love you songs.always throughly blessed by your songs guys.Mungu awabariki
Barikiwa
You are welcome
Wow amen be blessed guys wonderful song ❤❤
Mnanibariki sana. Hiyo dada mwenye mwanya awe anasimama mbele siku zote. Mungu awabariki
Waaaaaoooooo wimbo n mzri sana nawapenda sana salasala kwaya yangu pendwa
Barikiwa
Nawapenda mpaka nawapenda tenahhhh!!!!! Bwana awabariki na kuwatunza salasalaaa
Kuna ujumbe mtamu sana kwenye huu wimbo,
Barikiweni sana kwa kutupa nyimbo tamu na zenye ujumbe mzuri.
Amina.Ukipata nafasi ongea na Yesu hakika hautabaki kama ulivyokua
This is a wonderful sermon.
Salasala Mungu awabariki sana.
Amen. Be blessed
Mbali kiwe sana ndugu zetu, love from Burundi
Amen Amen
Naitwa Paul Malyosi , Nyie watu Mungu aendelee kuwatunza tu maana mnabariki walio wengi na tukumbuke tukipata nafasi tuongee na Mungu maana ni nyakati za mwisho sasa
Barikiwa
God bless this choir I love the message in this song
Amen! Great song,with words of hope
Amen.. Salasala to the world
Amen
Barikiweni kwa hiyo confidence, ujumbe ktk wimbo, mpangilio wa sauti na mavazi vyote vinamtukuza Mungu wetu!
AMEN
Amin
Favourite choir in Town
May God bless you for the wonderful message ❤️❤️❤️
praise the the Lord
God bless you salasala choir for the good work
Amen
Salasala 🔥🔥🔥
Watching from USA great work ❤❤
Amen be blessed
Any time I listen to SALASALA Choir, I get inspired as SDA member in Ghana
Be blessed❤️
Amen!🙏 A new favourite❤. God bless your ministry.
Naam, hii ni fursa tuinue sauti ya toba #Praise #Bwanaunikumbuke
Waiting man
Mbarikiwe Aminaaaa❤🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuri kweli ndugu sosteni na kikundi kizima❤
Barikiwa na Bwana
The programming for me❤
Great work of ours
Mungu aendelee kuwabariki team❤
Bwana awabariki sana watoto wa Mungu! Hakika nyinyi ni viombo vinanyosikika
Amina barikiwa
Amen, MUNGU awatunze
Amen nawe pia
Amina amina Bwana apewe sifa ujumbe mzuri sana
Enjoying just right now
Amina
Amen ame happy happy Sabbath lovely be blessed
Mimi ni mkatoliki lakni nawakubali sana Salasala mnajua sana Mungu azidi kuwainua mumtukuze ktk viwango vya juu zaidi
Barikiwa
Kazi nzuri 🔥🔥
Safi sana my good people
Barikiwa
Mwizi mwizi mwizi
Pure bliss 😊
Kwa kweli napenda sana nyimbo zenu zina nibarki hasa nikimuona dada rinah mbarikiwe
Huu nao umeweza ujumbe umefika barikiwa saana,
Amen
Salasala waooiii
❤❤Amen.
Natoka kazi mapema ju ya huu wimbo
Amini nakwambia leo utakua nami peponi🔥🔥
Best song is out now🔥🔥🎧
Kwekweli ujumbe umefika mahali pake
Aminaaaaa
Amen, wimbo wa kuinua mioyo. Mungu Azidi kuwabariki
Amen barikiwa sana
Amina Mungu awainue
🔥🔥🔥🔥 mkumbuke kujiandaa na kambia Nyamongo central Sda Tunawasubilia ohooooo😂😂😂
Kwaya yangu ya siku zote
Barikiweni sana kwa kazi nzuri sana
Wewe ni mdau,,, ubarikiwe
@@salasalasdachurchchoir4346 amen
Amen 🙏 glory be to God,indeed have been nourished through your music, it blesses me alot. 🙏
Amen, God gives you guys strength to praise God ❤❤❤
The song is ablessing to me and my family 🎉🎉🎉
I love you salasala Clinton from Kenya Kenya-re sda kisumu
We love you too. Be blessed
amen glory be to our almighty
Ninavyo penda huu wimbo Mungu tu ndio ajuaye..🥰🥰. asanteni sana Wana salasala Mwenyezi Mungu awabariki Kwa kazi safi🙏🙏
Amen. Barikiwa pia
👏👏
Barikiwen sana,hamjawah niangusha,Nawapenda saana,nataman niimbe nanyiee
Karibu sana tueneze injili kwa njia ya nyimbo
MWALIMU HAKIKA ROHO MTAKATIFU ANAKUTUMIA SAWA SAWA ,,HATUNA CHA KUSEMA ZAIDI ...UNAJUA ...WIMBO MZURI SANA KASAHUNGA TUMEONA,,WAIMBAJI NAO NI HODARI ,,BWANA AWABARIKI SANA .
Ameen
TUNAISUBILIA😊
Amen wanasalasala Kwa ujumbe huu wa kweli
Amen ubarikiwe
You are always my favourite ❤. God bless you
Ameeeen mbarikiwe salasala 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
❤❤🎉 sooo blessing😊
You always bless me . Mungu awabariki saana
Amina. ubarikiwe pia
Wimbo wa maana sana dah!
Mbarikiwe sana wana mfalme
Mungu awabariki sana
May the Lord be with you always
Aminaa
Sauti zimepangiliwa vyema barikiweni.
Amina. barikiwa pia
Amina nimebarikiwa
❤kweli nabarikiwa na nyimbozenu🎉🎉Mungu atukuzwe
Amen, mbarikiwe sana.
Amina. Barikiwa
Amina nikumbuke krsto
Sauti ya tatu🎉🎉🎉
Amin asante sana
Good song
❤❤❤❤❤
🙏🙏🙏
Peponi ni wapi jameni...
God doesn't call the Qualified for his mission spread but he makes them Qualified for his mission work,for sure God is great and this is such a powerful song,Ama kwa kweli ukipata nafasi ni muhimu sana kuchukua muda wako na kuwasiliana naye .God bless you all for his righteousness is great.🙏🙏🙏🫶🫶
Amina
Amen
Kuna kijana kaonekana mara moja tu akapotea😂
Amen