Waoooooo my favourite CHOIR.....nmebarikiwa sana wimbo unatia moyo hakika wamtegemeao Bwana katikati ya giza la changamoto yy ndiyo tumaini hawatatikisika kamwe am so blessed 🙌🙏
Hakika mwokozi pekee Ndiye tumaini katikati ya changamoto za maisha tunayopitia katika dunia hii Hatuna budi kuelekeza macho yetu kwake. 🙏🏿❤…safi sana my all time favorite choir 🙏🏿
Naitwa Paul j Malyosi .. kiukwel huwa sichoki kuwasikiliza Jaman nyimbo zenu zinabariki siku zote na ujumbe wa kuinua matumain Katika kristo ❤ one love salasala sda choir
This is the best song I have ever heard
AMEN🙏
AMEN 🙌🙌🙌
Wakati wa giza kama sasa, eeh Mungu nifunze kukutegemea na kukutumainia zaidi🙏🙏🙏🙏
Waoo be blessed salasala choir the song is very touching our hearts.
Amina nimeguswa sana🙏
Waoooooo my favourite CHOIR.....nmebarikiwa sana wimbo unatia moyo hakika wamtegemeao Bwana katikati ya giza la changamoto yy ndiyo tumaini hawatatikisika kamwe am so blessed 🙌🙏
Nomaa sana❤....Caro na linah mko juu🥰❤️🔥...Solo wewe sijui nikuambie nini kaka...such a nice song with a beautiful video ❤
Barikiweni sana
Amina na amina Tena.Mbarikiwe watumishi wa Mungu.
Salasala mpo juu mawinguni,
Barikiwa na uzidi kutuombea
Katikati ya Giza na Changamoto za maisha mtazame Mwokozi,
Lolote likikupata mtafute Bwana
Amen Amen Amen nimesogea zaid kutazama msalaba Amen.
Blessings.
Barikiwa
Amina
So blessed,wimbo wa kipekee.frm Kenya -nkr
Amen, Amen and Amen.
Amen...Kwa kumtazama Mwokozi hatutatikisika, Bwana hutulinda mwenyewe🙌.
God bless the choir.
Hakika mwokozi pekee Ndiye tumaini katikati ya changamoto za maisha tunayopitia katika dunia hii
Hatuna budi kuelekeza macho yetu kwake. 🙏🏿❤…safi sana my all time favorite choir 🙏🏿
Naitwa Paul j Malyosi .. kiukwel huwa sichoki kuwasikiliza Jaman nyimbo zenu zinabariki siku zote na ujumbe wa kuinua matumain Katika kristo ❤ one love salasala sda choir
Barikiwa
Mungu azidi kuwabariki👏
🙏🏽
Asante kwa hakikisho Lako Bwana u nasi kwa kila hali za maisha Amina salasala barikiwa
Inspirational song. Heart touching. Keep up.
Amina sana nimejikuta nalia eti hakika tumain letu ni Yesu tu🙏
Amina, barikiwa
Mubarikiwe sana wapendwa wa Mungu wetu. Nawafata toka Congo DR,jimboni Maniema,mutaa wa Kindu.
Salasala kwakweli the best choir in Tz mbarikiwe sanaaa.
Amen🔥❤️
Mi nawapenda hadi sio powa,,hongereni sana
Amen!! Salasala, this 💯 % touches my heart.
Amina, barikiwa
Very Healing song! May God bless you all
Amen nabarikiwa❤ Caroline na Linah Mungu awainue sanaaa 🎉🎉❤
`Nawaelewa saana!
Mbarikiwe!
Ni Yesu pekee atosha hata katika magumu tunayoyapitia ( tumaini kuu ni Yesu)
Amina, barikiwa
Praise God 🙏 our Elder brother Jesus Christ will never disappoint us in any way Amen 🙏 from Kenya
Ameeeeen,wimbo unanitia nguvu nikiwa kwenye matatizoo,mbarikiwee Sanaa,Nawapenda sana Salasala
Mbarikiwe sana wana mfalme
Amina for the good piece
Amen I'm blessed with ur nice songs.its one of my favorite
Amen.
Salasala mnanikosha sana. Mungu aendelee kuwatumia
Barikiwa
Hakika kwenye changamoto za maisha tumtazame Bwana❤
Amen amen amen🙏
Amen hallelujah ❤❤❤🎉🎉🎉
Umekua wimbo wa pekee sana maishani mwangu hakika
The video is top-notch kudos to the team 🎉🎉
Barikiwa
Maua yenu kwakweli❤🎉
Amina, barikiwa
Amen
Mungu atukuzwe.
GOD bless you
❤❤
My Caroline❤
Amina, barikiwa
Aaamen
Good item
Amen
Amen.
Amen
Amen