EXCLUSIVE:BINTI WA MIAKA 28 AFANYIWA 'SEND OFF' YA MILL 300 NA BABA MDOGO MOSHI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 бер 2024

КОМЕНТАРІ • 254

  • @alolafanueli8080
    @alolafanueli8080 5 місяців тому +22

    Mungu alie tenda kwenu akatende na kwangu

  • @saraphillipo9082
    @saraphillipo9082 5 місяців тому +13

    Wanaume nao siku hizi, waangalia penye mwaga, hata akisema hana, familia yake haiwezi pata shida! Hongera man kwa kuangalia maokoto

  • @mwalimumstaafu8529
    @mwalimumstaafu8529 5 місяців тому +12

    Wahaya ndani ya Moshi mmetisha sana

  • @user-vx1pw5dq7k
    @user-vx1pw5dq7k 5 місяців тому +12

    Wachaga atupo ivyo na wasukuma tunge mnunulia aseti ikasaidie adi watoto wao 😢

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 5 місяців тому +8

    Wewe ni mzuri sana mpendwa,
    Nimekupenda ulivyo na unavyojieleza, naweza kuona unyenyekevu na upendo kwako, sioni dharau wala majivuno..kama niko sawa❤
    Ukifika huko ukawaheshimu na kuwapenda wakwe zako..
    Na kitu nimependa inaonekana maneno ya watu hayakusumbui❤,

  • @mbonijabut1405
    @mbonijabut1405 5 місяців тому +4

    Kazuri kapole unaongea vizuri ❤i

  • @ThomasMcha-jk5yt
    @ThomasMcha-jk5yt 5 місяців тому +11

    ...on the other side it's a good ADVERTISEMENT Strategy ......
    **Ndoa Yao Idumu VileVile.... ***

  • @honestyerasto
    @honestyerasto 5 місяців тому +6

    Sio kwa ubaya ila huyu mwaandishi uwa ananishangaza na maswali yake. Most of the time hajajipanga kabisa na pia anakosa kujiamini na kazi yake. Mfano unauliza swali kwamba bwana harusi ndio alishauri muanze na send-off halafu ndio ije harusi au? Tangu lini bwana harusi akausika na send-off?

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 5 місяців тому +5

    Ongera kwako unaolewa na miaka 28 uko vizuri utaweza pambana sasa hata kama duniana ni bustani uliyo jaa na mabala.zidi kupambana yanawezekana yote hapa chini ya juwa.mubarikiwe na mufike mbali katika maisha yenu ya ndowa.❤

    • @julianapeason6254
      @julianapeason6254 5 місяців тому +1

      kwamba 28 ni mdogo au? mbona amecelewa tu kuolewa maana kwa binti aliemaliza chuo kikuu at least 24 au 25 awe tayari ameolewa. Pesa za siku hizi zenyewe za majini

    • @infiniteabundance2024
      @infiniteabundance2024 5 місяців тому

      hovyo, kwenda huko@@julianapeason6254

  • @user-le3gg9cw7w
    @user-le3gg9cw7w 4 місяці тому +2

    Alietoa mungu apazidishe alipotoa ❤

  • @Moresa196
    @Moresa196 5 місяців тому +7

    haya sasa wazee wa kupangia watu matumizi yao ya fedha kwenye comment

    • @julianapeason6254
      @julianapeason6254 5 місяців тому +1

      tupo hapa pesa za siku hizi ni wewe mwenyewe ujitoe ufaham, hashtuki mtu hapa

  • @beatricemrisho8431
    @beatricemrisho8431 5 місяців тому +1

    Demu mpambanaji!!! Congrats Alice ❤❤

  • @saraphillipo9082
    @saraphillipo9082 5 місяців тому +10

    Kumbe mhaya( na uongo) upo kidogo, tunapenda sifa sie viumbe🎉

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 5 місяців тому +2

    Hilo komwe tu ndo limeonekana jamani mtu una wivu hadi unasahau uumbaji Wa Munguu Dada uko juu sana

  • @mbwawafillingstation
    @mbwawafillingstation 5 місяців тому +5

    Wana helaaa Duh...

  • @annettemalechela7543
    @annettemalechela7543 5 місяців тому +6

    You poor people outside there your million bucks is our Lord and Saviour Jesus .
    Glory be to God Almighty

  • @paulnkwabi7352
    @paulnkwabi7352 5 місяців тому +3

    Congratulations Alice

  • @TaarabChannel
    @TaarabChannel 5 місяців тому +1

    Muje na kwangu wapenzi...❤

  • @queenlinda255
    @queenlinda255 5 місяців тому +2

    You’re lucky girl

  • @nyabwekebabere113
    @nyabwekebabere113 5 місяців тому +1

    She is humble...hadi raha

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 5 місяців тому +3

    Kikubwa usisahau kuwasaidia wahitaji, hii ni sadaka inayonena.

  • @user-mz6lq3gr9l
    @user-mz6lq3gr9l 5 місяців тому +1

    Mzur mashallah

  • @adamapollo9859
    @adamapollo9859 5 місяців тому +4

    Amerukiya hlo neno kuwa eti mtu alikomenti kuwa unakomwe hata hujaulizwa nawona hiyo komente ilikukera😂😂😂😂😂😂😂

  • @rosemuba2532
    @rosemuba2532 5 місяців тому +2

    MWANDISHI FROM MY HOME CITY UNANIANGUSHAAA SANA

  • @MyMercy84
    @MyMercy84 5 місяців тому +2

    Dada upo vizuri na big up kwa familia yako, wamekufurahia vilivyo! Mungu aibariki ndoa yenu🎉

  • @kingnelly8087
    @kingnelly8087 5 місяців тому +5

    Tuseme ukweli wahaya n watu maridadi mno bg up...

  • @user-yn3kg8ip2h
    @user-yn3kg8ip2h 5 місяців тому +3

    Ata mimi nikipata mwanamke ana baba Anavibunda flesh natulia kama maji ya mtungi

  • @user-ky4rb2lg3h
    @user-ky4rb2lg3h 5 місяців тому +40

    Nikimuona mtu anakomwe kama Mimi Huwa nafarijika sana

  • @mbwawafillingstation
    @mbwawafillingstation 5 місяців тому +6

    Naombeni hata 3m basi wandugu

  • @user-rf9vn7lz1n
    @user-rf9vn7lz1n 5 місяців тому +4

    Honger dada bahat

  • @jerrywilliamz1795
    @jerrywilliamz1795 5 місяців тому +1

    Kwa sura na komwe hiyo sendoff milion 300 ni matumizi mabaya ya hela af unakuta hawakupewa nyumba wala gari

  • @mazulacelestine3038
    @mazulacelestine3038 5 місяців тому +7

    Ni sawa,pesa ni za kwenu, lakini Mungu hapendi hii ni kufuru, uharibifu wa mali,tena Muombeni sana Mungu awape neema muweze kumjua Mungu, lakini mlivyofanya ni hatari,,ingawa ni pesa zenu,ila ni bora hiyo pesa mngetoa sadaka hata kwa wahitaji,kuna watu hawana mitaji,kuna watu ni yatima,kuna watu ni wajane, kweli!! Mnakula m300 kula bata!!?? Dah Mungu awafungulie,, lakini kuweni watu wa kusaidia wenye uhitaji kuliko starehe

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 5 місяців тому

      hahaha haunazo ndiyo maana

    • @mazulacelestine3038
      @mazulacelestine3038 5 місяців тому

      @@trophywilson7211 ni sawa sina, pesa bila hekima ya Mungu ni ubatili

    • @frankkessy1260
      @frankkessy1260 5 місяців тому

      tafuta hela

    • @charlottempangala3881
      @charlottempangala3881 5 місяців тому

      Watu hatuna hata hela ya sukari, then baba anafanya sherehe ya kumkufuru mungu, hizo pesa mngewapa wahitaji hasa kipindi hiki Cha kwaresma. Wahaya mna sifa but sifa na utukufu ni kwa mungu baba

    • @infiniteabundance2024
      @infiniteabundance2024 5 місяців тому

      hela ya bundle kanunue sukari@@charlottempangala3881

  • @ummukhawlah8433
    @ummukhawlah8433 5 місяців тому +7

    Sema sina tusiseme hatuna!!mil 300send off tu

  • @upgo6112
    @upgo6112 5 місяців тому +1

    Afu anaenda kuishi miezi 6 anarudishwa

  • @godonetz4949
    @godonetz4949 5 місяців тому +1

    🎉

  • @vero57
    @vero57 5 місяців тому +3

    Lugha gapi mbona unanichaganya,

  • @user-bq5vb6ux6g
    @user-bq5vb6ux6g 4 місяці тому

    Nimelipenda bure Alice unamajivuno.❤❤❤

  • @sarahgaula2220
    @sarahgaula2220 5 місяців тому +2

    Hongera Sana unaonekana mstaarabu

    • @AmidaTweve-jf4sx
      @AmidaTweve-jf4sx 5 місяців тому

      Jidanganye ananata balaa ukifka dukan kwao anakuangalia kama hakuon

    • @saraphillipo9082
      @saraphillipo9082 5 місяців тому

      Tena ana majibu ya nyodo huyu, anakuangalia km hakuoni, wafanyakazi wake Sasa anavyoongea nao, Duh!

  • @zuwenaabdallah7748
    @zuwenaabdallah7748 5 місяців тому +2

    Halafu ana komwe😊😊

  • @emmanuelsunday8325
    @emmanuelsunday8325 5 місяців тому +5

    Hiyo pesa mngeipeleka kanisan mnge barikiwa

  • @mirenijr.deussons5c285
    @mirenijr.deussons5c285 5 місяців тому +2

    Send off million 300 . Duka analouza may be million 80.😢
    Hapo ndo tunapofeli.

  • @constantinesane9076
    @constantinesane9076 5 місяців тому +2

    Jamani sio kweli hata kidogo angekua kwenye one of matajiri bongo tunaowajua

    • @cavoo4get649
      @cavoo4get649 5 місяців тому +1

      Siyo kweli kitu gani?

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 5 місяців тому +3

      hee Mdogo wangu Alitumia Milion 60 Na Wala Mshahara hata milion 5 haifiki Marafiki tu walichanga,Unashangaa kitu gani ndugu??

    • @infiniteabundance2024
      @infiniteabundance2024 5 місяців тому

      wewe kama nani?

    • @raphiaomary-ri3hc
      @raphiaomary-ri3hc 4 місяці тому

      Weeee watu wengine wanahela na hawajisemi wala kujioneshi

  • @floraflora5717
    @floraflora5717 5 місяців тому +3

    Nitakutolea icho komo inakukera sana mtani afu upunguze uongo kidogo 😂

  • @susanjoseph1270
    @susanjoseph1270 5 місяців тому +1

    Gara B walimsahau

  • @NdekejaKamuli-sh5pe
    @NdekejaKamuli-sh5pe 5 місяців тому +6

    Wadada wenye komwe mna kiti chenuu kwa sir God.

  • @godywalex1336
    @godywalex1336 5 місяців тому +1

    Ila asee wahaya wanasifa sana.

  • @KingGeoffreyMoviesReview
    @KingGeoffreyMoviesReview 5 місяців тому

    Damn let's find money ❤

  • @assengacosmetics2335
    @assengacosmetics2335 5 місяців тому +1

    Osy Grand hoyeeeeeeee

  • @material_liv4674
    @material_liv4674 5 місяців тому +3

    That absurd nearly 105,000 UK pound for send off alone?😅😂😂

  • @happytaiko2094
    @happytaiko2094 5 місяців тому +6

    Inaonekana hawez kujielezea kiswahili ila ingekua kingereza angetiririka mana ad anasema baba alikua muhaya alaf tena ni muhaya

  • @domymerinyo8165
    @domymerinyo8165 5 місяців тому +9

    Huwezi ukawa kwenye kamati halafu hujui gharama ya bajeti.msomi wa bongo eti hela nyingi sana. Ujinga ni kuwa mjinga kwenye mambo ambayo unayajua sifaaaa

    • @ZabibuKinoni-tj4jt
      @ZabibuKinoni-tj4jt 5 місяців тому

      Hahahahaha

    • @user-eo4pv8zy2o
      @user-eo4pv8zy2o 5 місяців тому +1

      We ni mpuuzi na Mpumbavu
      Kaolewe na wewe tuone
      Midomo tu kama kuma la ng'ombe

    • @Zubaiba
      @Zubaiba 5 місяців тому +1

      Tobaaa

    • @cavoo4get649
      @cavoo4get649 5 місяців тому +1

      Acha wivu na roho mbaya wewe kideri cha kuku, na ni ngumu kufanikiwa kwa kuchukia vya wenzako wewe garagosi 🤔🤔

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 5 місяців тому

      unaweza maana alihudhuria Mwanzo na mwisho

  • @user-fp8ml9rb5v
    @user-fp8ml9rb5v 5 місяців тому +1

    Mbona ni gharama ya kawaida sana uku moshi yan amna mshtukoo wwte

  • @user-pg6db8jl2y
    @user-pg6db8jl2y 5 місяців тому +2

    😂😂watu wenye maish magum achen wivu ndio maan amfanikwiiiiiiiii

  • @marymwaya9685
    @marymwaya9685 5 місяців тому +3

    Ambadilishie na biashara basi hizo pesa!!!???

  • @user-wd2bc7bf5x
    @user-wd2bc7bf5x 5 місяців тому +1

    Mmh

  • @catherinekanono4298
    @catherinekanono4298 5 місяців тому

    Waah what is send off waah watanzania nao??

  • @user-fi9gm2et5r
    @user-fi9gm2et5r 5 місяців тому +3

    Watu wamekula na washasahau kama walihudhuria send of ya million 300 hyo pesa sidhan kama imefikia thaman ya duka lako 😂😂😂

    • @AmidaTweve-jf4sx
      @AmidaTweve-jf4sx 5 місяців тому +2

      Haijafikia alafu hilo duka lenyewe ni la familia lipo hapo soko la kati

    • @user-fi9gm2et5r
      @user-fi9gm2et5r 5 місяців тому

      @@AmidaTweve-jf4sx 😂😂😂si bora wangeongeza mtaj

    • @princesmaile5561
      @princesmaile5561 5 місяців тому

      ​@@user-fi9gm2et5r😅😅 syo kosa lao ni kabila

  • @user-ie5iv9cw2j
    @user-ie5iv9cw2j 4 місяці тому

    Nimemaliza kusoma comment nalala mie

  • @blandinapeter7004
    @blandinapeter7004 4 місяці тому

    Kuna familia zinahela alafu zipo cool

  • @samwesupa6906
    @samwesupa6906 5 місяців тому +1

    Milioni mia tatu ukumbi mlikodisha sh ngap? Na hayo mapambo ni ya shingap bhana acheni kuongea ujinga

  • @KRIPHMWAKILOVOKO-rd7wy
    @KRIPHMWAKILOVOKO-rd7wy 5 місяців тому +3

    Mmmmmh Hela wanazitoa wp?? Selikali chunguzeni AWA binadam bn

  • @Onlyforfun1992tube
    @Onlyforfun1992tube 5 місяців тому +3

    Ebana Hela yote hio unatupa ndani ya siku mojq

  • @amanmaleko3085
    @amanmaleko3085 5 місяців тому +3

    Milioni mia 300 somchezo

  • @user-xe4gt4en7x
    @user-xe4gt4en7x 5 місяців тому

    Watu wanakula nchi kiulaini. Kodi tamm

  • @lorrainelolo8405
    @lorrainelolo8405 5 місяців тому +3

    Alice sio Agripina🙄

    • @AmidaTweve-jf4sx
      @AmidaTweve-jf4sx 5 місяців тому

      Ndio na shangaa mimi mwenyewe namfaham kwa jina la agripina😅😅😅

    • @sheilanampenya1833
      @sheilanampenya1833 5 місяців тому

      Mwenzangu ndio nashangaa lorraine

    • @cbegram6161
      @cbegram6161 4 місяці тому

      Mumemfahamia wapi?

  • @Mundi-oz7os
    @Mundi-oz7os 5 місяців тому +2

    Mtu hajui hata mji anapofanyia biashara anaitwa mji wa Kilimanjaro wa nini bhana

  • @user-rj8us3cx9k
    @user-rj8us3cx9k 5 місяців тому

    Nywele nywele nywele siii wangekupa uanzie kwa kichwa chako wigi lenyewe kuukuuu 😂😂😂

  • @vero57
    @vero57 5 місяців тому +1

    Baba yako alikua muhaya??

  • @mageuziseverine3325
    @mageuziseverine3325 5 місяців тому

    Bill Mulokozi mchango wake ulikua m ngapi?

  • @saayaneno9159
    @saayaneno9159 5 місяців тому

    alafu unasikia ndoa imevunjika

  • @atuganilekitego8616
    @atuganilekitego8616 5 місяців тому

    Nilikuwa tu uhaya mwingi, wachaga hawapo hivo

  • @fakihdarusi4385
    @fakihdarusi4385 5 місяців тому

    UMEISHA .. THEN SHIDA ZIKO PALE PALE 😂😂

  • @vincentmushi1247
    @vincentmushi1247 5 місяців тому +4

    Ingependeza zaidi kama nusu ya pesa angempa au amnunulie viwanja au asset yoyote na nusu afanyie hiyo send off...ukute baada ya hii show binti atarudi kuombaomba...😢

    • @SilaMinanda
      @SilaMinanda 5 місяців тому +4

      Hakuna familia yenye uwezo wa kufanya send-off ya 300 mtoto akarud kuomba

    • @estergordian-vv9jx
      @estergordian-vv9jx 5 місяців тому +2

      Pia usipende zawad za viwanja ukwen

    • @vincentmushi1247
      @vincentmushi1247 5 місяців тому +1

      @@SilaMinanda maisha ni mlima
      Kuna kupanda na kushuka ndugu...penye mwanga pana giza pia

    • @SilaMinanda
      @SilaMinanda 5 місяців тому +1

      @@vincentmushi1247 Mwenzangu na mimi kutoka familia duni ndio una amini juu ya kupanda na kushuka ila wenzio wamezaliwa wamishapanda, so habari za kushuka kina diamond ndio wana weza lijuwa hilo. Maana wametokea from nothing to something.

    • @vincentmushi1247
      @vincentmushi1247 5 місяців тому +1

      @@SilaMinanda 😄 🤣 😂 😆 umenifurahisha sana na habari yako...kupanda na kushuka kuna factors nyingi sana dada...kuwa mkweli katika maisha yako ulishawahi kuona au kusikia kuwa fulani alikuwa tajiri na amefilisika...mm nina wajua wengi lkn sitaki nikuchochoshe...hata hao matajiri unao waamini walitoka kwenye umasikini..

  • @mamamushimushi6100
    @mamamushimushi6100 5 місяців тому

    Uliza yupo Mr and Mrs Wilfred Tarimo yule ndiye zaidi ya hiyo yako hiyo may be ni robo yake Acha kushoboka.

    • @Josephineexsuper
      @Josephineexsuper 5 місяців тому +1

      Ameshoboka na nini Sasa? Mtu jifunze.kuoenda chako.. ya Willy ilikuwa ya gharama but not organised

    • @cbegram6161
      @cbegram6161 4 місяці тому

      @@Josephineexsuperulihudhuria?

    • @cbegram6161
      @cbegram6161 4 місяці тому

      Hiyo ilikuwaje

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 5 місяців тому +2

    Nmecheka kwerikweri

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 5 місяців тому +1

      Kweli kweli siyo kweri kweri

    • @Mundi-oz7os
      @Mundi-oz7os 5 місяців тому

      ​@@miltonjohn9779waambie wapuuzi hawa sijui wanatoka pori gani

  • @nasibujustin6827
    @nasibujustin6827 5 місяців тому

    Nimesoma nimemalza na nauza duka la reja reja daah hii dunia bhana inapoelekea

  • @matronmkenda3510
    @matronmkenda3510 5 місяців тому

    Sasa ana komwe nacho ni kitu cha ajabu mbona hata mimi nnalo nabembea nalo hata sijui kama lipo

  • @chikusangalala7759
    @chikusangalala7759 5 місяців тому +9

    Kesho anaachika bora wangemuekea bank

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 5 місяців тому

      Chiku harusi kama hiyo pamoja ni ndoa ya kanisani watatengana tu wamechezea bure hela hapo wangekuwa na nyumba 3 za kupangiaha maana ya kulala wanayo

    • @user-lp4vj9xr4j
      @user-lp4vj9xr4j 5 місяців тому +2

      pelekeni roho za kimaskini huko😂😂mfyuuu

    • @user-lp4vj9xr4j
      @user-lp4vj9xr4j 5 місяців тому +1

      et watatengana..nyie ni Mungu😂😂ujuaji mwingi na umaskini juu

    • @user-eo4pv8zy2o
      @user-eo4pv8zy2o 5 місяців тому +1

      Kama ulivyo achika wewe

    • @chikusangalala7759
      @chikusangalala7759 5 місяців тому

      @@user-lp4vj9xr4j wewe ungejuwa unae ungea nae nani ungefunga domo ,
      Kwani uwongo pesa yote hiyo si engemuekea bank atanuwe wigo wake wa kibiashala yeye na kizazi chake cha badee

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 5 місяців тому

    Mchezo wapesa

  • @sheilanampenya1833
    @sheilanampenya1833 5 місяців тому

    Anaitwa Agripina amesoma neema trust

  • @mariachuri7123
    @mariachuri7123 5 місяців тому +1

    🤐🥲

  • @harithkinamfinanga4086
    @harithkinamfinanga4086 5 місяців тому +1

    Ni kwel hata kunawatu walichangia nanihela nyingi sana wengine walitoa milioni kumi na tano

  • @enocksilungwepondajr9707
    @enocksilungwepondajr9707 5 місяців тому

    Nakafahamu tulikuwa nako Bunazi / kyaka

  • @ramadhanishabani807
    @ramadhanishabani807 5 місяців тому +1

    Ila baba mdogo alikugonga

  • @user-cp2do9pd5k
    @user-cp2do9pd5k 5 місяців тому +4

    Kwanini mchezee hela kiasi hicho pumbavu kabisa

    • @ramadhanishabani807
      @ramadhanishabani807 5 місяців тому +1

      Kuchezea pesa nikutumia pesa ambayo ni nyng kuliko ulizonazo ss kuna watu wana ma tirion ya hela kutumia izo hela kwao nikama wewe umetumia laki unavyoumia

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 5 місяців тому

      acha Wivu

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 5 місяців тому

      ​@ramadhanishabani807 Watu wana wivu saana

    • @frankkessy1260
      @frankkessy1260 5 місяців тому

      hayo ndio matumizi sahihi ya hela kwenye wenye nazo,tafuta hela

  • @mcback4384
    @mcback4384 5 місяців тому +5

    Umesoma chuo ulaya kuja kuwa muuza duka?

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 5 місяців тому +2

      Acha madharau, kuuza duka ni fursa katika maisha..

    • @irenemacha5661
      @irenemacha5661 5 місяців тому +5

      Ulitaka adange au

    • @Mundi-oz7os
      @Mundi-oz7os 5 місяців тому +2

      Halafu hata mji wake haujui anakuita mji wa Kilimanjaro 😊

    • @gilbertshirima2684
      @gilbertshirima2684 5 місяців тому +1

      Acha akili mgando wewe. Ulitaka akafanyeje labda?

    • @hellendaniel3809
      @hellendaniel3809 5 місяців тому +1

      ​@@Mundi-oz7osSio mchaga huyu

  • @GraceanaKivuyo
    @GraceanaKivuyo 5 місяців тому +1

    Naataachika tu

    • @Zubaiba
      @Zubaiba 5 місяців тому

      Mmmmh

    • @frankkessy1260
      @frankkessy1260 5 місяців тому

      acha wivu

    • @GraceanaKivuyo
      @GraceanaKivuyo 5 місяців тому

      @@frankkessy1260 Wala sio wivuu ndoa za gharama izoo ni sifaa Alf ni mbwembwe tu

  • @user-eo5dt1tm1n
    @user-eo5dt1tm1n 5 місяців тому

    Mlipendz xan et

  • @frankkimaro1354
    @frankkimaro1354 5 місяців тому +2

    Iyo ela mngenda kutoa sadaka kwa watoto yatima au kuxadia wagonjwa

    • @elizag.edmond7637
      @elizag.edmond7637 5 місяців тому +2

      Kwani unajuaje kama hawasaidii , palipo na utajiri kila kitu kinawezekana, hiyo ni yeye kufurahi wakati wake umefika, hayo mengine unajuaje au unamwonyeshaje, Kwani ye hajui hayo

  • @JohnsonVicent-dl2dl
    @JohnsonVicent-dl2dl 5 місяців тому

    Hiyo hela mngesaidia watt yatima acheni kufuru jamani!!

  • @immadangote6001
    @immadangote6001 5 місяців тому

    kumbe niwabukoba ndiooo maana ukaropoka milioni 300 shenz kabisa unatudanganya kiboya ww jua, wakudanganywa niwatoto tu

  • @user-sv6zy3hc8o
    @user-sv6zy3hc8o 5 місяців тому +1

    Kwanza huu ni uongo mana wachaga mnapenda sana sifa

    • @RubensaroSaro-ip6by
      @RubensaroSaro-ip6by 5 місяців тому

      Wee tuna sifa lkn hatujawafikia wahaya duuh🙄🙄🙄🙄

    • @evelinemlay5572
      @evelinemlay5572 5 місяців тому +1

      Amesema baba yake ni mhaya hata jina ukoo.la kihaya

  • @julianapeason6254
    @julianapeason6254 5 місяців тому +1

    una miaka 35 acha uongo

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 5 місяців тому +3

    Ujinga na upumbavu wa Ngozi nyeusi kama unaweza kumfanyia send off party ya gharama hivyo si bora mngewekeza hizo hela kwake ili zimsaidie mbeleni maishani ?

    • @cbegram6161
      @cbegram6161 4 місяці тому

      Unaweza kuta kwako nyingi ila kwa mwingine ni hela ya mboga, cha msingi mpige kazi

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 4 місяці тому

      @@cbegram6161 million 300 sio hela ya mboga hata kwa wenye hela

  • @fakihdarusi4385
    @fakihdarusi4385 5 місяців тому

    😂😂SEMA WAHAYA

  • @RubensaroSaro-ip6by
    @RubensaroSaro-ip6by 5 місяців тому +1

    Bora hizo pesa angekuwekea bank , mengne n masifaa tuuh

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 5 місяців тому

    wewe Miladi unatafuta tu viewers

  • @manchalijob9600
    @manchalijob9600 5 місяців тому

    Nenda zako na komwe rako 300 mchezo

    • @user-hj8sc7jv5m
      @user-hj8sc7jv5m 5 місяців тому

      Hiyo hela wangejenga kanisa wapate baraka Magu alikuwa hapendi nmajisifu ya hela namna hiyo

    • @manchalijob9600
      @manchalijob9600 5 місяців тому

      @@user-hj8sc7jv5m wapuuzi hawa wahaya ndio zao masifa ya kijinga

  • @josephinejoseph3622
    @josephinejoseph3622 5 місяців тому

    Jaman Kuna watu wanaumwa huko hawana hata pesa ya matibabu wanahitaji msaada.hebu hyo kamati ya maandaliz ikawasaidie na wale wagonjwa wenye uhitaji.km yule mama aliyepasukiwa na kondo la uzaz anahitaji msada jaman.

  • @augustinob.toke1012
    @augustinob.toke1012 5 місяців тому

    Huyo baba yake mdogo ni zuzu tu hizo hela angepereka kwa yatima na wagonjwa hospital.

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 5 місяців тому +1

      hee Yani yatima ndo zaidi ya mtu aliyeishi naye miaka yake yote??Kafanya Kwa upendo

    • @frankkessy1260
      @frankkessy1260 5 місяців тому +1

      keshapeleka nyingi tu zaidi ya hizo

    • @MyMercy84
      @MyMercy84 5 місяців тому +1

      We unajuaje kama hatoi? Tuache chuki jamani na sie tutoe kwa hao yatima na wagonjwa hizo buku tunazookoteza sio lazima tajiri ndio atoe

    • @MyMercy84
      @MyMercy84 5 місяців тому

      ​@@trophywilson7211ajabu sana jinsi tunavyofikiri....watu wanasahau wa nyumbani kwanza

    • @cbegram6161
      @cbegram6161 4 місяці тому

      @@MyMercy84fact