obvious haya mambo ya kisasa lazima yawe na madhara tu kiafya, mungu mwenyewe alitengeneza udongo kwa ajili ya matumizi ya kilimo nk wazungu wanafanya vice veser I wish kuwe kuna utofauti SOKONI wa kuweza kuztofautisha ili kumuwezesha mnunuzi kuchukua ile aipendayo.
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa Maarifa. hivi unajua kuna maeneo ambayo hawana udongo na maji kwaajili yakilimo?? je wafanyeje?? Mungu amekupa akili na utashi. na ndio maana hatuendelei, je ni wapi wameandka kufanya hivyo ni Dhambi???
Hongera sana, Dear mwamvua. Ni somo nzuri na inashawishi kabisa nimependa inavyofanywa na pia uko vizuri hii ni changamoto nyingine nchini. Ningeomba kupata detail zako moja kwa moja please na kujifunza idea mpya kutoka kwako please ningeomba kupata mawasiliano yako direct either kupitia email or telephon. @yongomacawangwe@gmail.cm Regard Owisse Yongo.
Hongera, ila dada israel wanafanya kilimo hiki kwa kuwa hawana ardhi! Sisi mapori tele vipi? Lakini chengine nna mashaka kuna chemical involvement ktk uzalishaji wa mboga hizi.
Wote tungalikuwa kama yeye basi hakuna chakupiganiya ajira. Sasa kama maji hayo yana chumvi nyingi,si shida kwa binadamu anayetumiya maji hayo kwa mana ya pressure? Raisi umuunge mkono mama huyo maana anayo mengi yakutufunza.
Huyu dada ana mamazo mazuri lakini tatizo ni kwamba analima kilimo ambacho sio kizuri kwa afya yetu, zao lolote ambalo siyo natural ni acid na mwili wako unahitaji alkaline based plant...70% ya makonjwa yana sababishwa na vyakula
Akikupa namba una bahati. Mi nilipata namba yake nikaongea nae, nimemuliza aliye m setia nataka nifanye, akasema hawezi niambia mpaka arudishe pesa yake akani ni block,. Sio wote wenye mioyo safi
@@NANCYWARD488 wapo wengi wenye tabia hizo za roho ya kutokuwasaidia wenzao hapo akihojiwa anaonekana mwema lkn private ni tofaut mi nilimtafuta jaamaa mmoja analima strawberry nikaomba anifundishe naye akanijibu hivyo hivyo na mawasiliano yakakata kuanzia hapo
Ongera dd yaan uko vizur m.mungu akupe afya siku zote unaelekeza vizur sana,tatizo mtaji
Mama kasema hawezi sema kila kitu cuz anataka return on investment 😂😂😂😂....Nimewaza saaana mama hataki competition ? 😂
obvious haya mambo ya kisasa lazima yawe na madhara tu kiafya, mungu mwenyewe alitengeneza udongo kwa ajili ya matumizi ya kilimo nk wazungu wanafanya vice veser
I wish kuwe kuna utofauti SOKONI wa kuweza kuztofautisha ili kumuwezesha mnunuzi kuchukua ile aipendayo.
Zaifat Hussein
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa Maarifa. hivi unajua kuna maeneo ambayo hawana udongo na maji kwaajili yakilimo?? je wafanyeje?? Mungu amekupa akili na utashi. na ndio maana hatuendelei, je ni wapi wameandka kufanya hivyo ni Dhambi???
zaifat hata magari tunayotumia pia ni mambo ya sisasa usipande kutakua na madhara
Mwenyezi Mungu kapeana akili pia.
Safi sana Mwamvua
Kazi njema dada yani itawezekana kufundisha kupitiya You tube na kama ndiyo kwa gharama ngapi. Mr Joseph.
Dada mwamvua hongera sana ..naomb no
Hello Jamal Hashim...nimependa icho kilimo cha hydroponics.....je unaweza nipatia contains za wahusika Waweze kutufundisha na sisi
Hongera sana ndugu, vipi mnatoa mafunzo??
Hongera nasisini wakulima tunaomba namba mpendwa
My dream Tanzania mtanielewa!
Hongera sana,
Dear mwamvua.
Ni somo nzuri na inashawishi kabisa nimependa inavyofanywa na pia uko vizuri hii ni changamoto nyingine nchini.
Ningeomba kupata detail zako moja kwa moja please na kujifunza idea mpya kutoka kwako please ningeomba kupata mawasiliano yako direct either kupitia email or telephon.
@yongomacawangwe@gmail.cm
Regard
Owisse Yongo.
Mwamvua nitakupataje ni jifunze hicho kilimo pls
YANI NAJIFUNZA KILA SIKU KITU KIMYA , HONGERA SAMA DADA MWAMVUA VYA KUWEZA KUJIAJIRI MWENYEWE.
What if i need to be trained in that farming system is it possible? Can i get e-mail adress
Hicho kilimo kinahitaji mtaji. watanzania weng wana maisha ya kawaida.hata huyo Dada mwenyew anakuambia amewekeza hela nyingi.
hongera kwa hatua ulioifanya iwe
Mpo wapi? Kelvin mnapokea wanafunzi?
Hongera, ila dada israel wanafanya kilimo hiki kwa kuwa hawana ardhi! Sisi mapori tele vipi? Lakini chengine nna mashaka kuna chemical involvement ktk uzalishaji wa mboga hizi.
Kilimo cha kwenye mitandao wengi wai awasemi ukweli bali wanapotosha tuu nishawafatilia sana
Mboga ya mwendo kasi kama wale wale.kuku wa kizungu tuuu
Dada hongera sana kwa u juzi wako
Dada tunaomba number za simu
DA HONGERA DADA MWANVUA NAOMBA NO ZAKO
nitampata wapi
nazipendaga
Mtangazaji mtu akiwa anaonyesha mbegu za siku 3 na zasiku 15 tuzione basi usimfiche
Wote tungalikuwa kama yeye basi hakuna chakupiganiya ajira.
Sasa kama maji hayo yana chumvi nyingi,si shida kwa binadamu anayetumiya maji hayo kwa mana ya pressure?
Raisi umuunge mkono mama huyo maana anayo mengi yakutufunza.
Cameraman unaoneshwa hapa hata huelekezi kamera umemng'ang'ania mwongeaji usoni
Hongera mnoooo nahitaji nijifunze Namba Yangu 0655408252
moja bei gani unauza
no yako ya WhatsApp nipate mawilivmatatu kwako 0783404754 iyo yang
Udongo lazima utumike,huo ni udongo wakiulaya
makumbi ya nazi ni udongo wa ulaya ?
Nipo arusha nahitaji kujifunza,weka tution fee
Udongo unatumika kupata seedling(ule mmea mdogo baada ya mbegu kuota) siku 15 tu AF ndo unahamishwa ili ukue pasipo maji
naomba namba zako Dada jamaan
@@prosperdeogratius4888
Elimu hii inapatikana wapi Jamani mi napenda Kilimo
DD nimependa Sana nitajifunzaje kwako Apo Nipo Mozambique watsap yangu ni ii +258842282948
Huyu dada ana mamazo mazuri lakini tatizo ni kwamba analima kilimo ambacho sio kizuri kwa afya yetu, zao lolote ambalo siyo natural ni acid na mwili wako unahitaji alkaline based plant...70% ya makonjwa yana sababishwa na vyakula
Sasa hapo acid gani imetumika kwani wakati ni maji yenye virutubisho (hydroponic farming ) maji yana changanywa na mbolea skiliza vizuri
Onngerasana mma naomba nitafute kwa namba +262639075969
Hongera sana Kwa kujiajiri ninaomba no yako yangu ni 0744169894 Na 0712733961 asante
Akikupa namba una bahati. Mi nilipata namba yake nikaongea nae, nimemuliza aliye m setia nataka nifanye, akasema hawezi niambia mpaka arudishe pesa yake akani ni block,. Sio wote wenye mioyo safi
@@NANCYWARD488 sasa kwa nini ana roho hiyo?
Florentine Senya is this from Kenya?
@@NANCYWARD488 wapo wengi wenye tabia hizo za roho ya kutokuwasaidia wenzao hapo akihojiwa anaonekana mwema lkn private ni tofaut mi nilimtafuta jaamaa mmoja analima strawberry nikaomba anifundishe naye akanijibu hivyo hivyo na mawasiliano yakakata kuanzia hapo
@@maryammaram2612 unalima wapi ??