Mambo ya chemka kuhushu maandiko haya maswali yaletwa kama mvua ukweli hufichiki leo ni leo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 45

  • @bahsansheikh6042
    @bahsansheikh6042 Місяць тому +6

    Mungu Ampe shifaa na afya, Sheikh Hassan

  • @suleymanali431
    @suleymanali431 Місяць тому +3

    Mashaalah mungu awazidishiye, hiyo jiwe hiko kwa alkaaba zaidi inatumika tu na alama ya hesabu ukizunguka mara saba una hesabu mara saba kila ukipita kwa jiwe ni kama tu hesabu, wengine hubusu kwa maana mtume alibusu lakini sio lazima kuibusu haisadi chochote ila ni jiwe ilitoka peponi na ikabakia kwa hile jiwe la nguzo ya al kaaba aliye itumia nabii ibrahim alipo amrishwa na mwenyezi mungu,(02 Suratul Al baqara cahpter 127. Na kumbukeni Ibrahim na Ismail walipo inyanyua misingi ya ile Nyumba wakaomba: Ewe Mola Mlezi wetu! Tutakabalie! Hakika Wewe ndiye Msikizi Mjuzi)

  • @isahbarasa
    @isahbarasa Місяць тому +3

    Namiss walimu wetu sana sana Ali MSomaji wetu mzuri

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Місяць тому +1

      Inn shaa Allah Ali yupo shuguli za ki family

  • @loner_wolf
    @loner_wolf Місяць тому +4

    First today. Thumb up👍👍👍

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Місяць тому

      Masha Allah tunakupenda kwa ajili ya Allah

  • @josemu870
    @josemu870 Місяць тому +3

    Allahamdhulla kwa neema ya uislamu barikiweni sana sana kwa mafundisho bora

  • @iddyjuma8036
    @iddyjuma8036 Місяць тому +3

    Sauti imekaa vizur mashallah

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 Місяць тому +4

    Maasha Allah...Tabaraka Rahman

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 Місяць тому +2

    MashaAllah tabarkallah.

  • @YaktiMasagula-e3k
    @YaktiMasagula-e3k Місяць тому +3

    Mungu atafanyia wepesi maana maradhi ibada

  • @MuhammedKapombe
    @MuhammedKapombe 23 дні тому +1

    Allah awazidishie umri na awahifadhi kutokana na kila aina yashari na pia awajaze na Ari io io ya kuelimisha umma

  • @asalamofficial.9893
    @asalamofficial.9893 Місяць тому +2

    Msh Allah.❤

  • @SaidMgeni
    @SaidMgeni Місяць тому +2

    مشأ الله تبارك الرحمن

  • @mamasiham9287
    @mamasiham9287 Місяць тому +2

    Allhamdullilah ❤

  • @mahmudmugarura2175
    @mahmudmugarura2175 Місяць тому +2

    Walaikum salam warhmatillah wabarakat

  • @AlhajiSaidi-uo8zl
    @AlhajiSaidi-uo8zl Місяць тому +2

    mashaallah

  • @HamzaAkilimali
    @HamzaAkilimali Місяць тому +2

    Baadhi ya Wakristo, huwa hawapendi kuelimika ktk kitabu chao cha Biblia. Hata wakisomewa yaliyomo wao hubishi tu. Na kukasirika. *Kweli ujinga ni mzigo wa kubebwa na Treni ya mizigo, Meli haiwezi😂😂😂😂*

  • @sulimankarusi8345
    @sulimankarusi8345 Місяць тому +2

    Wachristo mwambiye huyo anafanya ashame.

    • @HamzaAkilimali
      @HamzaAkilimali Місяць тому

      Kaisome Biblia yako kwa makini, kila aelezayo yatoa ktk kitabu chenu. Ukweli utabaki kuwa ukweli tu.

  • @MwangiMuhammad
    @MwangiMuhammad Місяць тому +1

    Assalam Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuhu.. mazbut Allah awahifadhi nawapenda sana tena awalipe Jannatul Firdaus

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Місяць тому

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aameen ameen ameen tunakupenda sana kwa ajili ya Allah

  • @user-ev3pw5me1w
    @user-ev3pw5me1w Місяць тому +1

    Alikaba ndio katikati ya dunia

  • @abdallasuleiman8785
    @abdallasuleiman8785 Місяць тому +1

    Mkristo akitia neno lakini ujue ashaelewa ila kukiri ndio anaona ngumu.

  • @EmilyTembo-pg6tg
    @EmilyTembo-pg6tg Місяць тому

    Wwa

  • @loner_wolf
    @loner_wolf Місяць тому +1

    Isaya 50:1 talaka.
    Yeremia 3:8 talaka

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 29 днів тому +1

    Wasomaji warudi shule , wapo slow kufikia maandiko.

  • @bashirmahero7021
    @bashirmahero7021 Місяць тому +2

    😅😅watatu walai

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Місяць тому

      Masha Allah tunakupenda kwa ajili ya Allah

  • @sulimankarusi8345
    @sulimankarusi8345 Місяць тому +1

    Wachristo nitihani hata Bible ekisoma hakubali. Basi walete Bible nyengine.

  • @loner_wolf
    @loner_wolf Місяць тому +3

    Huyo jamaa anaongea pumba nyingi sana . Anaforce eti muhammad ndio kaleta uislam ..... Muhammad alileta quran tu ambayo inamaelezo kuhusu uislam kama vitabu vilivyotangulia kueleza kuhusu uislam kama torati na injili .

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p Місяць тому +1

    Watu wasome Quran wajua ukweli .Quran ni maneno kutoka muumba mwenyezi Mungu akuna mwanadamu mwenye elimu hiyo y science biology n geography ilivo kw Quran

  • @abdallasuleiman8785
    @abdallasuleiman8785 Місяць тому +1

    Huyu Mike pia ni time waster. Jaribu kumpa limit pia.

  • @YaktiMasagula-e3k
    @YaktiMasagula-e3k Місяць тому +1

    Shekhe Hassan anaendeleaje na hali