Mmefanya vzr kama mashabiki ilaniyangu kwenu kama mashabiki muwe walinzi wa kila shabiki atakaye kuwa kiwanjani maaana muda mwingine kuna watu wanakuja kama mamluki mkimuona yoyote yule anafanya uharibifu kwenye mechi ya simba au yoyote yule mkamateni mpelekeni sehem husika
Hiloooo li utopolo linaona wivu mashabik tuna pesa Mob Dew anapesa nyie ndio masikin hata wachezaji wenu utopolo heana mshahara mnadaiwa na tff.🤣🤣🤣 Ubaya ubwela

Ubaya Ubwela.mana yake iga ufe.hawawezi hata kidogo Utopolo.
TUNACHANGIA NA TUNALIMALIZA WENYEWE MASHABIKI. #SIMBANGUVUMOJA #UBAYAUBWELA 🦁🦁🦁
Iyo ndosimba sasa jmn afu tumejitolea sana aisei kama kuna mbwa anae weza mwenye jez yakijan wafanye ivo tuwaonewao maana wanapenda kuomba ela mtaani
Jamn mashabiki wenzangu wa simba tushalipa ila tusirudie tena kuvunja viti jmn
Tunachangia wote simba nguvu moja .
Tunalipa ilawalinzi wahizimali nicc wenyewe ili icjirudietena👏👏👏
God is good
Simba tupo pamoja Nguvu Mojaaa
GB 64 kunasiku ulimuonyesha Binti yako ukasema ni UTOPOLO leo unasema watoto wako wote Simba hapo sijakuelewa
ww unae simba omba omba kambali
mbona jamaa anakondatuu 😅😅😅😅😅bado hamjasema nawachezaji washaagomaokoduuuh kweli hiitimu ya wasela
Simb❤ yet tunaichangia
Tutimize lengo mnyamaaa
😅😅Daah huyu jamaa mpuuz kwel yaan unyingwe kisa timu
Naomba namba tuweke
Namimi nokotiari nichange Kwa fei toto gamashida pesa
Namba ya kuweka pesa itumwe humu
Kaka nipe namba
🎉🎉🎉❤❤🦁🦁🦁💪
nitumie namba za M. pesa niweze kutoka hata kidogo
Thank you
Bnamba Iko wapi
Bw. GB Aisha ni yanga bwanaaa au ameshahama?
utoporo hii hawawezi kuchangia ni simba peke yake ndio inaweza kufanya hivyo
Utopolo watu wa supu za bure
Akili za maskini hizo pesa yenyewe ya ngama si mumwambie Mudi atoe kama anajifanya yupo njema 😂
Ilo sio la boss tumeamua mashabiki 😂😂😂😂😂😂
Alipe mudi kwani ye ndo karusha viti
Mbwa wee kwani mo ndo alivunja vipi
Main point,64GB u 'r talking is very important to know, " mshabiki uliyekaa naye pembeni ni mwana Simba mnyama 👹,au "kujuana ni muhimu 😅😆🤣👍🇴🇲🇹🇿
Namba iko wapi?
Group la Simba au fc Simba SC utaziona
Nenda kwenye simba appu namba ya kutuma pesa utaiona .
Acha kuwaongopea madunduka kiufupi mmekwama omba omba FC
Kwani inakuuma
Yaani jamaa wa Uto akili hawanaga watu wanachangia team yao wee kuku unasema omba omba kwani hapa kaombwa baba ako au mama ako!?Kuma kweli wee
Haha😅😅😅 humo humo waache xhobo
Mambumbumbu ndio kama wew,huelew kitu alafu unaropoka tu
Hiloooo li utopolo linaona wivu mashabik tuna pesa Mob Dew anapesa nyie ndio masikin hata wachezaji wenu utopolo heana mshahara mnadaiwa na tff.🤣🤣🤣 Ubaya ubwela