Fatima deuji mbona hivyo vinywaji havija sambaa nchi Zima kwa mfani dodoma baazi ya sehemu haijafika Kama huku kondoa na vijij vingine au. Hili kinywaji Ni Cha mjini tuu
Kwa Constantine ni furaha na imepandisha morality yao kwa hivo Mnyama apandishe mngurumo wake umtishe na umkoroge wapinzani wasielewe nini wanafanya na Mungu Inshalla yupo nasi
Ndo madhara ya kuwatukana walimu wa maths haya (47,141,024)million 47 laki 1 na 41'elfu na 24 semaji umeniangusha mwalimu wako wa maths eti million arobain na saba,elfu kumi na NNE na elfu moja 24 kweli?
Simba italindima hapo,safi sana Simba NGUVU mojà
Tumeelewa simba nguvu moja tutashinda kwa nguvu ya Allah
Ndio njia inyopitia dhahabu Bora kombe lazima tulipate na historia itaandikwa inshaalah
Simba nguvu mojaaaaaàaaaaaaaaaaaaaàaAa
Ubaya ubwelaa Kila rakher mungu awalinde wachezaji wetu 🙏
Nguvu moja Wana simba ningependa kuwatakiya hel ya mchezo tuta shida kwakishindo
Ubaya ubwelaaaa 🦁😅✌️
Hata kama hatuingii uwanjani lakini ubaya ubwela utausika hautowaacha salama waarabu Simba nguvumoja ❤
Simba❤❤❤ ushindi tu
Simba nguvu 1 Na semaji uko poa Sana kutuelewesha mashabiki ❤❤❤ Simba ye2. Tunaipenda daima
Semaji makini
Maneno makini 🎉🎉
Ubayaaa ubwelaaa❤❤
Iyo ndo maana ya ubaya ubwela❤❤
Umasikin mbaya jamani niko huku mbinga nakosa haya mambo ila kila laheri Simba yangu 🙏🙏🙏🙏
mbinga sehemu gani
Me nipo mbinga mji huku@@agnesmiroo563
😂😂😂 tupo wote kaka
@@agnesmiroo563Njoo Namtumbo
P
Tuko mozambiqui tunakupata vzuri Simba nguvu mmoja
Simba😍😍😍😍😍
Ishaallah mungu aisimamie simba yetu
ACHIA BOLI ITEMBEE ndo msemo wetu bila mashabiki
Simba nguvu moja ubaya ubwela 🦁🦁🦁
Semaji la kweli
❤❤❤❤❤❤❤❤to simba
Pesa bwana mtoto wa kihindi mzuri anakipiga kiswahili vizuri Sauti safii haina mikwaruzo sura kicheko uzuri wa kuzaliwa
Simba ni klabu bora afrika anaeibeza simba msimu huu ataona album tuppence simba yetu
Simba nguvu Moja
Kiukweli inaumiza ila tutafanyaje! Nawaomba Wana Simba wenzangu tutii ili agizo hili maisha yaendelee
UKIWA HUNA PESA FATUMA
UKIWA KAFUPI NA HAUNA PESA FATU
UKIWA TAJILI MSOMI UNAITWA FATEMA😂😊
Simba nguvu Moja ubaya ubwela
Mimi Simba hata ije timu Gani Imani yangu namini timu yangu inashinda
Tupo pamoja Kila la heri Nikoo mozambique
Hii Simba imekuwa ya familia ya dwj
Wakiingia kimajin wakinaswaa wafungwe tu wao watuachie Simba yetu ili wasifanye fujo simba ikawa na shida wapelekwe jela wafujo ili wakome
WAZO RANGU GARI YA WACHEZAJI IPITE PALE MWEMBE YANGA ISIMAME JAPO DAKIKA 2 KISHA IFIKE UWANJANI KUENDELEA NA MCHEZO HUSIKA
Support
UBAYA UBWELA, WATAJUA HAWAJUI, HATUNA HABARI
Hatuna budi kuheshim nguvu ya adhabu tuliyopewa na wenye mpira,tuheshimu wana simba.
Wachezaji wavae headphone wasikilize kelele kutoka mwembe yanga
Unamaana za Bluetooth? Maximum range in 100 m
@jonamnyone8014 yeah ili wafeel vibe la mashabiki
Nguvu moja
Kaka meter elfu 3 ni km tatu hizo, sema inching 3000
Tukaangalie uwanja wa karume Ilala hii mechi
Sauti
Fatima deuji mbona hivyo vinywaji havija sambaa nchi Zima kwa mfani dodoma baazi ya sehemu haijafika Kama huku kondoa na vijij vingine au. Hili kinywaji Ni Cha mjini tuu
Kwa Constantine ni furaha na imepandisha morality yao kwa hivo Mnyama apandishe mngurumo wake umtishe na umkoroge wapinzani wasielewe nini wanafanya na Mungu Inshalla yupo nasi
Tuvumilie mechi hii tutashangiria kiaina nyengine mwembe Simba itakuwa siku hio sio mwembe yanga ubaya ubwela
Najua inanipasa nichangie ila nitachangia tu mpaka mwishoni
Mimi sins mrngi nipoinyi 3 tu hainaubishi mimi ni toto wsmfalume.nimemalizza
Huyo ni yanga
Ubaya ubwela ndio kauli yet msimu huu
Atakae jaribia uwanjani tunajua huyo ni nyuma mwiko apewe kipigo cha nguvu
ilikombe lashirikisho nilakwetu wanasimb ii ujumbe mtakja kuk mbuk
Huyu boya bwana eti anamuuliza fatma kuwa umeumia eeeheee haaaaaa huyu ni tabu aiseee
😂jina gumu😂😂
Kesh nakuja uk
Unyama
Huku Pwani nimetafuta sijapata onja na ushinde. Au onja na ushinde Iko mikoa mingapi?
Nafikili ni dar tu
Mechi SAA ngapi?
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🦁🇹🇿♥️♥️♥️♥️💪💪💪💪🙏🙏
Vp nikulushue nauri
Jamani account gani kulipia deni la.timu yetu?
Ingia Instagram katika account ya simba utaziona,
Ndo madhara ya kuwatukana walimu wa maths haya (47,141,024)million 47 laki 1 na 41'elfu na 24 semaji umeniangusha mwalimu wako wa maths eti million arobain na saba,elfu kumi na NNE na elfu moja 24 kweli?
Tumeumia vibay mno🙄🙄🙄🙄
ubaya ubwela
Huyo ni yanga