W msalam dear.. I have never tried it with milk powder... but you can try. You will need to mix it with warm water to get a 1/2 cup of milk.. and do let me know how it goes please 😉.. thanks.
Asalaam alaykum mm nina maswali kwanza nikipika keki haiwi na rangi nyeupe hivyo ndani inakuwa kma njano sometime mpaka inakuwa na uchungu hivi pili hizo karatasi zaitwaje na zauzwa wapi
W msalam dear hiyo ni keki ya mafuta ndio iko nyeupe, inayofanya keki iwe manjano ni siagi na jitahidi isiungue hata kidogo chini, ikiungua chini inafanya rangi na ndani
Usipendelee kutumia gazeti kupikia au kuweka chakula cha moto, wino wake sio mzuri ki afya. Unaweza pakaza mafuta pekee kama huna karatasi ya kuchomea (baking paper) asante sana
Nauliza waeza kuchoma kwa oven pia? Na itatumia moto kiasi gani? Shukran
Ndio unaweza kuchoma na oven, moto 180°C dakika 35 mpaka 40 au mpaka iwive (inategemea na oven lako) asante sana
naomba unitumie ukitaka kuchanganya na blender whatsap 0762401458
@@ShunasKitchen
Ksfbuw
Hey. Good job
Mashallah mashallah napenda mapishiyako
Shuna una recipes nzuri na rahisi kuelewa. Blessed🙏🏾
Asante sana
THANKS FOR SHARING THIS RECIPE AUNTY SHUNA, CAN U HELP ME WITH THE WEIGH IN GRAMS INSTEAD OF CUPS? THANK YOU
Asant pia mamy nimeipenda sana video, na inshallah nitaijaribu na mimi kuipik cake hii
MashaAllah. Nzuri. Shukran 🤗👌🏽👍🏼🙌🏽
Afwan ..shukran pia nawe
Asante sana dada
MashaAllah inaonekana very soft... unga ni wa Ngano Chapati ama Selfraising?
nzuri sana maashaallah MUNGU akubarik habibty
Ameen shukran sana
Ma Shaa Allah,shkran
Afwan:)
Super recipe Shukran
Shukrani
Shukran Sana
Mashalla shuna thanks kwa mapishi mazuri na rahisi😙
Karibu Zahra :) asante pia kwa kuangalia
Asante mpenzi . Jaribu na kutuonuesha kusagia kwenye blenda
Video ya kusagia na blender hii hapa ua-cam.com/video/p8aXsqoTeaU/v-deo.html Karibu tena :)
Unaweza kutumia oven😋
ndio unaweza
Ma shaa Allah
Ahsante sana kwa mapisshi mazuri nitajaribu
Karibu tena na asante pia
Shukran dear,nimependa
Shukran
Yum yum...... looks sweet☺
Thank you Eunice :)
Asante jazakallah khayran
Shukran sana:)
Keki mzuri mashallah
Asante sana Sunnah :)
Tamu sana my dear,thanks
Maashaallaah
MashaAllah nzr Sanaa👌
Asante Um Lee:)
Mashallah
Masha allah am somali
Nice nimeipenda
Mashallah hasbiyallah nitajarb
lovely dear..
Nice
New subscriber, I like the recipe:)👍
Thank you Shiru I appreciate your support :)
Ni rahisi sana
Yan mm nakushukur sana yang nimepika keki I metoka poa sana
Nice but iyo mashine unayotumia kusaga au kuchanganyia mahitaj inagharim shilling ngap?
sana nimeipenda
nimependa
Asante :)
Nzuri kw ajili ya my
Nice one
Asante Mwanaisha :)
Naenda keki ambayo inakuwa Kama inapukika ya yaani imechambuka Sana naomba unipelekee ya robo na vipimo vyake
jamn hongera
Nimependa sana
Asante sana
Assalam Alaykum Shuna, If you have milk powder how can you incorporate kwenye cake baking? Unaweza weka yalivyo au unafanya vipi?🥴
I have the same question tbh
W msalam dear.. I have never tried it with milk powder... but you can try. You will need to mix it with warm water to get a 1/2 cup of milk.. and do let me know how it goes please 😉.. thanks.
Nahitaji kutumia blenda kutengeneza mchanganiko nifundishe please dear
Mimi na binti yangu tunapenda mapishi yako
Nzuri sana, lakin je km hauko na mix machine unaezachanganya kwa mikono??
Unaweza kama uko na mchapo wa kuchanganyia pia unaweza kuchanganya na blender
Vikombe vya aina gani unatumia?
In oven?
Mashaallah
Maziwa ni lazima?
Asalaam alaykum mm nina maswali kwanza nikipika keki haiwi na rangi nyeupe hivyo ndani inakuwa kma njano sometime mpaka inakuwa na uchungu hivi pili hizo karatasi zaitwaje na zauzwa wapi
W msalam dear hiyo ni keki ya mafuta ndio iko nyeupe, inayofanya keki iwe manjano ni siagi na jitahidi isiungue hata kidogo chini, ikiungua chini inafanya rangi na ndani
napenda sauti yako
Mm Sina hivyo vikombe naweza kutumia nn
gazet imafaa
Usipendelee kutumia gazeti kupikia au kuweka chakula cha moto, wino wake sio mzuri ki afya. Unaweza pakaza mafuta pekee kama huna karatasi ya kuchomea (baking paper) asante sana
Blueband si lazima eeh
Hapana, kwenye hii recipe si lazima
Dada ntauliza naweza tumia mkaa?na nkutumie mkaa moto mwingi uwe juu au chni nijibu pls
Unaweza, moto juu wa kiasi usiwe mdogo sana wala mwingi sana.. chini weka mdogo mdogo sana, ukipungua engeza
@@ShunasKitchen
Thanks
nimejifunza nami nitajaribu
Asante sana, please usisahau kunionesha ukipika :)
Mamy jee unawez kutumia kikombe cha chai kwa kupimia vipimo na vinakuaje pls mamy
Ndio unaweza
@@ShunasKitchen kwaiyo inakua maziwa nus kikombe na sukr na mafuta na unga jee na jee mayai hayatokuw meng au
naomba kujua mapishi mengi zaidi
Shuna mimi nina cup 250 naweza kupimia unga
Aa mbona hutumii kwa kilo
nauliza mbona nkitumia maziwa kwenye cake inafanya maji maji. Au ni maziwa yepi ya kutumia. I usually use fresh cows milk
Hi dear, umetumia hii recipe?
Kama hauna mashine ya kusagia au blenda. Unatumia nini
Tumia mchapo
Nilijaribu kupika kwa gas wee iliungua ila iliwiva 😂😂😂Aki nataka kununua ovena nishajua kupika cake tatizo gas inazingua
Moto unaweka kulingana na ukubwa wa sufuria ya nje, kama haina nafasi sana na moto usiweke mkubwa
@@ShunasKitchen ok Next Nitafanya ivo maana My Bff alipenda sana Nitapika tena
Kwani lazima kutumia karatasi
si lazima, pakaza mafuta na unga tu kwenye sufuria
Nimepika leo subili mrejesho chif
Imetoka keki tamu na mzuri asante
Km icho cha kuwekea pan ya mkate cna nitumie nn
Weka hata kibakuli cha bati kirefu au cha udongo kigumu
Ama tengeneza figa kwa mawe madogo ama kokoto ama weka mchanga
Unaweza kuchonga kitu chochote ilmradi kiwe juu
Ooh sorry nimeiona
Mashaallaah
Nice
Shukrani
Afwan :)
@@ShunasKitchen Shukraan Maa ukija unipikie Biidhinillah
Shukran sana
Afwan Zam:)
hio sufuria so itapata moto na kuungua bila kitu iwe jikoni tyu
Naweza kutumia kikombe chochote kupimia lkn ingekuwa better km utanisaidia kwa kutumia mezani kwan nimejaribu bt nimeshindwa shukran