Assalam alaikum warahma tullah? Alhamdullah nashukuru Allah na nafurahi kufuatilia darsa zako.... Nko na swali moja, je, inafaa mwanamke alieolewa kisheria akawa anafanya kazi na awe anampikia boss wake ambae na yeye pia ni mume wa mtu? Je, hii ni haki hususan kama mke uyu hajaomba ruhsa kwa mumewe?
Asalam alaikum warahamtullahi wabarakatuh ,ningependa kuwapa faida kulingana na chupa ya miniral water pindi unatawadha nayo jaza maji kisha toboa tundu ndogo (sindano,au msumari) mtu mmoja akishikia utawadhie nayo ,utamaliza kutawadha na mwengine pia ataweza kutawadha bila maji kuisha
Sheikh kwmfano mm nimsha oga jnaba vizri Kama invyotkiwa baada ya hpo nikaanda kuosha nguozile nlzo kua nazo kipndi Nina janaba je nitkua nimeshardi ktka hali ileile ama vp
Assalaam aleykum je yafaa kutumia sabuni wakati wa kuoga janaba na je ukiwa unaoga janaba ukajimwagia maji na maji yakagusa chini nayakakurudia mwilini je utakua umetengua kuoga janaba
Assalam aleyka shaikh ninaomba kuuliza ya kwamba nina janaba halafu nimeamka Saa nane nahitaji kuswali sunnah je natakiwa nikaoge janaba au udhu tu unatosha?
Nakupenda kwa ajili ya Allah shekh wangu Allah akupe umri mrefu wenye tija.
nic
Masha allah nimekuelewa shekhe mengine nlikua sijui shicren sana 😘🙏ALLAH akuinge namaovu yote 🙏🙏💞together
Masha Allah shekhe nilkuwasifahamu jinsi ya kukoga janaba asante sana kwa kutuelimisha inshaallah
Ma shaa Allah shukran shehe napenda sn mawaidha yako ni dhahr
Allah Akulipe kheri tegemea ujila kwa Allah nasio kwa binadamu insha Allaah
MASHAALLAH
SAUM RAMADAN NJEMA YAA IKHIWATAL IMAN
Ma sha Allah shukraan jazilaan nilikua siyafaham hayo mengine Lakin alhamdulillah nimejifunza kutoka kwako
Mashallah sheh uzdin mungu akulipe unatufunza vyema
USTAD JANABA, HILO NDILO MWAJUALO.
Hapo hapo umefaham from zanzibar
Masha Allah shukran shekhe nakupenda kwa ajili ya Allah napenda sana kuskiza darsa zako
Mashala munguakuzidishie
I always look forward to his teachings. Inshallah 🙏🏾
Barakallah feek ustadh..
Jazakumullahu kheyr
Assalam alaikum warahma tullah? Alhamdullah nashukuru Allah na nafurahi kufuatilia darsa zako....
Nko na swali moja, je, inafaa mwanamke alieolewa kisheria akawa anafanya kazi na awe anampikia boss wake ambae na yeye pia ni mume wa mtu? Je, hii ni haki hususan kama mke uyu hajaomba ruhsa kwa mumewe?
safi sana shekhe hakika umenielewesha sana
Allah akuhifadhi na akupe afya kwa jitihada zako.... Jazzakallah kheyr
Sheikh uko vizuri Allah akupe umri uzidi tuelimisha
Mashaallah. Nimekuelewa vizur.shekh mungu akulipe jana
yaani shekh maelekezo yako yananifikia uzuri kabisa,SHUKRAN YAARABI.
Sheikh kudos Allah akupe umri mrefu...amin
Mungu akupe maisha marefu shegheeeee
😀😀😀😀shekhe asnt sana
Assalam alaikum je unaweza kuongea janaba baharini
Allah akupe miaka mia ....uko juu
Shukrani sana kwa darasa nimejifunza mengi Allah akulahisichiye
MashaAllah sheikh je kuoga janaba n sawa nkuoga usaf baada y hedhi from +254
Husna beibyy...kukoga hedh na Janaba ni tofaut kidogo maan hedh na nifas lazima ufumue nywele na kuzikosha has a fofaut na Janaba
Allah akupe umri mrefu sheh wangu na mwisho mwema amin
Samia Salum Ameen na ww mola akupe uyatako na uyapendao
napenda.sana.mawaizayako.allha.akupe.umri.mrefu.uzidi.ku2uamaxisha
Na kuoga nifasi wanawake weng hatufahamu tunaomb mtufundishe Insha_ALLAH
Nakupenda sana shekh mawaidha yako mathamu sana
najma gudeh mawaidha yke matamu kama chocolate
Asalam alaikum warahamtullahi wabarakatuh ,ningependa kuwapa faida kulingana na chupa ya miniral water pindi unatawadha nayo jaza maji kisha toboa tundu ndogo (sindano,au msumari) mtu mmoja akishikia utawadhie nayo ,utamaliza kutawadha na mwengine pia ataweza kutawadha bila maji kuisha
Allah akujalie sheikh wangu
Je Janaba tunaoga na sabuni au haifai
Jamani mm nlislim na kutawadha kwangu natawadha Mara 3 Tatu hadi kichwa na maskio cjui kama niko sahihi au nakosea ummah muslimin naomba jawabu
mashaalh sheh leo nimepata kitu
Mashaallah nimejifunza kwaajili ya Allah wangu
Mashallah
Mashallh umenigusa shekhe
MashaAllah shukran sana shekhe mafunzo yako mazur
Allah akuongoze
mashallah sijui unapatkana WAP sheikh nataka unifundisha kutayammam
Shukuran sana
Ujumbe mzuri innshallah tunazd kuelimika kiiman zad
Asante kwa darsaaa shekh
Darsa zuri sana
Shukran, Allah akujaalie kila lenye kheri
Shukran sheikh
Mashaalah mungu akubark
Allah akuongoze inshaallah
Sheikh kwmfano mm nimsha oga jnaba vizri Kama invyotkiwa baada ya hpo nikaanda kuosha nguozile nlzo kua nazo kipndi Nina janaba je nitkua nimeshardi ktka hali ileile ama vp
shukrn kwawaidh mazury allh akuzidishie elimuuu
Masha Allah
Mung akuepushiye mitihani kati kamaisha yako yote
Mi nakuelewa sana shekhe
Asalam alaikum vipi hukmu ya dereva anae wasafirisha wasafiri nayeye ataacha kufunga ama ata fungu maana ndio kazi yake kusafiri mwaka nenda rudi
haswa uyasemayo nikwer ositazi mwenyezi mungu hakuzidishe hushi miaka mia moja
MashaAllah 🙌🏽👏🏼👌🏽👍🏽
Hhhhh shee nimependa saana mada zako
mashaallah nimeelewa Shukran sana mungu akuzidishie kheri
Mashkura Kwa darsa Shekhe
Sheee bhna darsa zako raha sana hapo mwembe tayari🤣🤣🤣🤣 .... sipendi kukaa karibu na wewe waeza niuliza swali nikashinndwa kujibu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
MashaAllah
Mashallah
Nakupenda kwa ajili ya Allah
ma shaa Allah
Mashekhe jitahidini kutoa darsa kuhusu kukoga janaba
Aamiin inshaAllah
Nilikua nataka kuuliza same question
Samahan sheikh swali hili lipo nje ya mada ninahitaji kufaham hukmu ya kioo ndani ya nyumba kama kina hukmu zake
Sheh nakupenda natamani uwe mume wangu❤❤❤❤❤❤❤
Gshd Hshhshs inshalaah muombe mola atakujaalia
ha ha ha ha ha ngoja nikuunganishie
Gshd Hshhshs tia niya inshaAllah itakuwa kheri na uwe mkweli kwa moyo wako
Shekhe kama hajakubali mimi nipo dada natafute mke ..
somo zuri, jazakkallah khair
Ok ln shaa Allah
Assalaam aleykum je yafaa kutumia sabuni wakati wa kuoga janaba na je ukiwa unaoga janaba ukajimwagia maji na maji yakagusa chini nayakakurudia mwilini je utakua umetengua kuoga janaba
Masha Allah .....
Ummukulthum Daffi sorry ushaolewa dada
Mm Anna nimesilimu naomba kujua kusali nisaidie
+Anna Rojoo Mnyari hapahapa UA-cam tafuta jinsi ya kuswali utafaidika mashaalah
masha allah
Nikweli majibu
Masha Allah
shukran kwa taarifa
Asc sofia
Allah akuzidishie kheir
Nauliza janaba husome lolote
Thanks
Maashallah
Sheikh shukran
Shukran nmeelewa
inshallah sheh tutayafanyia kazi
Mashaallah darsa zur
In shall allah
Allah akulipe pepo
mashaAllah sheikh
Masha Allah
Allah akulipe kheri
Mashaallah nin shda na nb yko shekhe
MASHA ALLAH ALEIK
Asante sheh uko vizuri,
jsaid316 jsaid316 shukuran
jsaid316 jsaid316
Mashaallah
Vp nyie mnao mkashifu Gshd,Hajasema Hwa ubaya itakuwa amependezewa zaid na mawaidha ya sheikh,Je angemsifia msanii ndo mngesemaje"Mh! Waja bhana!!!
Napend. Sana. Kuxikirza. Mawaiza
Assalam aleyka shaikh ninaomba kuuliza ya kwamba nina janaba halafu nimeamka Saa nane nahitaji kuswali sunnah je natakiwa nikaoge janaba au udhu tu unatosha?
Allah akuzidishie
Naomba kuuliza ivi unaweza ukachanganya josho al janaba na la la hedhi au nifasi nikakoga vyote kwa nia moja ya kuondoa hadath kubwa? Naomba jibu plz
mashallah
Shukran sana
Na kama kuna baridi na umevaa socks je waweza pangusa maji kwa juu
Asalaam aleykum sheikh, naomba kuuliza je yafaa kuongeza umee?natumaini utanijibu in shaa Allah.
Ulipata majibu kamili??
Shukran shekh
👏👏
Je kuthawadha na mchanga kama hauna maji kwa mfano inawezekana?
Inawezekana
Mashaallaaaahhhhhhhhhhhhhhhhhhh
masha Allah sh
Kheri Ishaallah
Hahaha ataowa wangapi
maashaaallah
Mashaalh
mashaallah