Naskliza verse ya Cannibal hapa Brooklyn New York, October 2021. Wakati hii ngoma inatoka nilikuwa just Miaka 10 hivi. Dahhh D knob alitisha sana Enzi zake
Where is him, nataman aimbe tena! Ofcours napenda style yake ya rap Amaizing Nimemiss sana. Namckiliz yeye2 kwa mda mwingi sana n nyimbo zke2, come on brah😔😔😔😔
Moja kat ya nyimbo ambayo naielewa na nilitaman kuichorea location on redirecting bureeee jamaa airudie ili video yake iendane na jiwe alilolitupa humo ndan... Big up D.knob
Yaani hii ni 2024..na bado kuja hapa❤😂. D knob is on my speakers
I used to vibe to this song without knowing D nob is from Kwanza Unit. All love for our home Cannibal
Pamoja man
Pamoja
D KNOB one of the MC with unique voice and style..Salute to him 💯👊
"Wenzio wananiogopa ka' ukwimwi, kabla hawajakushauri usepe nakushauri mimi"
Nani mwingine yuko anakumbushia bongoflava za kitambo?
Mimi hapa
nakumbuka nikiwa nakua kua enzi zile
Wazee wenzangu hawa jamaa wako WAPIIII!!
This is by far the most underrated song in bongo flava
Naskliza verse ya Cannibal hapa Brooklyn New York, October 2021. Wakati hii ngoma inatoka nilikuwa just Miaka 10 hivi. Dahhh D knob alitisha sana Enzi zake
Me form 1
@@rosebadi5842 pamoja sana
salute g
Kutoka cincinnati, Ohio
Where is him, nataman aimbe tena!
Ofcours napenda style yake ya rap Amaizing Nimemiss sana. Namckiliz yeye2 kwa mda mwingi sana n nyimbo zke2, come on brah😔😔😔😔
Amekuwa mlokole sasa. He is a good guy!
Stay away from me 🔥🔥🔥
Cannibal!!! Mombasa Kenya in the House Bad man! Mjukuu wa Mmaasai!
Legends are playing this in 2024
This song never gets old
Yoh Cannibal Rudi Mombasa kitaa chako Cha Magongo
Am A Bad Man...tuchome Coloradooo 🍁🔥🌬️
mitaan most wanted album
Uyu jamaa saiv ni mchungaji
2023 we dea dede.legendary hits
2023 banging with old skul
muziki unaishi hizi flow unaweza sema ngoma ya juzi
Flow hii hata watoto wa leo bado saaaanaaaaa, full package
best song ever!
Wewe Lil wayne wa east africa nomaaaaaaaaa
Na Dknob michano fasta kinomaaaaaaaaaaaa ha ha ha...kazi fresh
Mtaani most wanted!
When music was music
watched it once....loved it to death...creativity is exceptional....
Siku hizi hata sijui wanaimba nini🔥🔥🔥
at the end of2021 m here watchng this ngoma qaliiii...one love from bahrain 🇧🇭
"Kama ni mimi nisingekuwa mshkaji na mimi" 🙌🏽❤
Bless up bro 🙏🏼
Producer alifanya kazi safi
Sick jam
Kama ningekuwa mimi, nisingekuwa mshkaji na mimi...bad man
Moja kat ya nyimbo ambayo naielewa na nilitaman kuichorea location on redirecting bureeee jamaa airudie ili video yake iendane na jiwe alilolitupa humo ndan... Big up D.knob
watoto wadogo hawawez jua ngoma hizi
Wacha kuongea na nguvu
Inocent cornel sahani apewe heshima zake kwenye bongo bits
2020 still rocking. Bad Man.
Any one 2021🤸🤸🤸🤸
Legends😎
d knob ni anaflow ile kinyama.
''ki vipi nihitaji ngozi am already chui''iyo kali.
Mpaka kesho mi nitabaki kuwa shabiki wa d knob
Cannibal shutter outta 001 kaboooom nmetafuta Sana hii ngoma aisee
Unishindi mm
Never seen style ya Dknob , hafanani , the guy is Killing 🔥🔥🔥🔥
Uu aaahh 🙏🙏🙏🙏
Were the hell is this guy... U aaa!! Incredible Wenzio wananiogopa ka ukimwii!!! Aaaaaah am a bad man!!!!
Hili ngoma n moto sana naomba walifanyiwe remix itoke kipnd hiki itahit sana... I can say this song was released before its time"
Nikomoto huwezi nishika 🔥🔥🔥🔥
Nakumbuka shule ya msingi nili itwa d knob kwa msimamo wangu 2006
Cannibal 🔥
good song
2021 August
Still hot song
HQ sanaa🔥
my favourite song,nomare
Still on 🔥🔥🔥
Smash one....bad man
hi ngoma iko juu. .. .cannibal goin solo was the best thing u eva did
daa nakumbuka redio kwizera top 20 miaka hio kipindi naishi tanzania
Kiwalani moja iyo nmezoom😎😎
Yes
Wapenz Wa old school nipen likes nyng
Huaaaaaah 2020
🎉🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥
Ktk Cm yng ii ngoma aikosagi inanipa mzuka nikiwa mazoez froo na beat Znanifanya nicchoke
Good music.....
Kuna kitu kinanikumbushaa Nyuma Hadi natamani mungu angerudisha siku nyumaa
Bad man..10 years ago
Im a bird man.....😵💫
🔥🔥beat
noma sanaaaaaaa!!!
Ni moto🔥🔥🔥
cannibal ailitisha sana kwa chorus
I'm ma Bad man 💣
Dah now Mwamba D Knob umeokoka 😢😢
Kar sana bado tuna icheki 2019 December
Kuna ngoma yupo D KNOB FT MEZ B
Ipo itafute
🔥🔥🔥 hatar
Nani mwingine amekuja huku baada ya kuona jamaa ameokoka😆
EATV back in the days. 😊
🔥 🔥 🔥
Niko live niko liveeee today na bwana mchungajiiii
Bonge la Ngoma 2023 twende kazi
Huyu jamaa yuko wapo 2022 naomba wbo wake
🎉🎉
Chips hailiwi na kijiko...
JAMA kashaokoka anatoa pepo TU chezea mungu ww
D knob 2023
Old school ya laana
Waqilisha Fyaaaaammmmmmmmmmmmmmm
Uko wapi? We m2?..2022 hapa..
Ngoma bado kali 2023
Huaaah2022
2024🎶🎵🎧
Chips hailiwi na kijiko.
Cheza mbali mi ndio simba mkali,hatari sana.
Mitaani most wanted kipara kichwani sio rasta
Hatali ngoma hii
2022 bado wazee tunakubali hii ngoma
Wangapi tuko 2023
Jiwe la miaka yooote
Hapa ni miaka15 iliyopita
Wachache ndo tunazijua hizi
2022 🙌
Kwel mwamba aminia sana nakukumbuka
2023
Unyama sana
cheza mbali mbali mi ndio simba mkali
Noma sana mamake
Dar es Salaam na Mombasani🔥