Mazinge kiboko awaleta wamasai ambao hawana dini katika uislamu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024
  • Mazinge ajivunia juu ya kuwasilimisha wamasai alipokwenda katika ziara zake ngorongoro

КОМЕНТАРІ • 116

  • @SharifomarSharif
    @SharifomarSharif Рік тому +3

    Shekhe habibu mazinge hakika mm na kupeng kwa ajil ya mung na allh akupe maisha maref pamoja na ss ishaallh

  • @ummuhafswa8980
    @ummuhafswa8980 Рік тому +3

    Subuhanallah.!! Tumezaliwa ktk uisilamu lakini wengiwet hatujuichochote leo wagen kama hawa wanavyozungumza nyoyo zinashangaa

  • @abidalfadhil2093
    @abidalfadhil2093 2 роки тому +7

    Mashaallah shekh wetu M/Mungu akupe nguvu uzid kusimamia kuitangazia dini ya haki na sio nyengne zaid uislam

  • @saidymparee0135
    @saidymparee0135 2 роки тому +3

    Shekhe mazinge Allah subhana huataallah akupe umri mrefu wenye baraka akujaalie afya njema uendelee kuitangaza dini ya khak Allah akufanyie wepesi vile unavyo pambania dini ya khak Allah akuepushe na watu wabaya wenye kutaka kukupa ugumu kwenye kuitangaza dini ya khak nakuombea kwa Allah akuingize peponi bila hesabu inshallah Amiiiiiin!...🙏

  • @rashidimswagilo8292
    @rashidimswagilo8292 2 роки тому +10

    Mwenyezi mungu akupe maisha marefu ustadh Mazinge

  • @nasibuukashaukasha8788
    @nasibuukashaukasha8788 Рік тому +1

    Mashallah sheikh Allah akupe yote yanayofaa

  • @mkanulamajid500
    @mkanulamajid500 Рік тому +1

    Sheikh Masai uko vizuri Sana ubalkiwe

  • @ufundinetwork8680
    @ufundinetwork8680 2 роки тому +9

    Shekh mazinge unafanya kazi kubwa sana Allah aibariki kaziyako akupe mwisho mwema ktk hio kaziyako na mungu akuridhie pale atakapo kuhitaji, na ukifufuliwa ,ulipwe pepo ya firdaus

  • @khadijaabud6428
    @khadijaabud6428 2 роки тому +3

    subhanallah Allah akulinde sheikh wetu umefanya kazi mzuri,yaraabb msameh dhambi zake yeye na ahli zake🤲🤲🤲

  • @jacobmasoko8491
    @jacobmasoko8491 2 роки тому +5

    Shekhe nimeslimu mwezi wapili nimeipenda hii dini hakika nidini ya ahlaa

    • @nyatya199
      @nyatya199 Рік тому

      Maashaallah karibu sana ila isome kwa undani dini zaidi hakika utafurahi zaidi

    • @istambulahmed6664
      @istambulahmed6664 Рік тому

      Allah akuhifadhi ndugu yetu

  • @abdullahal-mahruqi9610
    @abdullahal-mahruqi9610 2 роки тому +5

    MaShaAllah. Allah awahifadhi na awape mwisho mwema. Juhudi kubwa saana

  • @alisaid5583
    @alisaid5583 2 роки тому +2

    Sheikh mazinge jazaakallahu kheiran ayyadakallahu binasrihil Aziz

  • @MakataWaMakatani
    @MakataWaMakatani 7 місяців тому +1

    ❤ TAKBIIR ALLAH AKBAR!!!

  • @husseinmwedi7125
    @husseinmwedi7125 Рік тому +1

    Mashaallah shehk mungu akujalie maisha malef

  • @nourismail4114
    @nourismail4114 2 роки тому +3

    Taqibir ,Ma sha Allah wape Dawa mungu awabarik

  • @FatimaFatima-wz2qt
    @FatimaFatima-wz2qt Рік тому +2

    Shekhe mazinge Alla akulipe kilalahjer naakufishe ndani yasijda kwauloyafanya nchini tanzania nanje

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 7 місяців тому +1

    Masai pokea mauwa yako 🌹💐🌹💐🌹

  • @andiqueantonio3377
    @andiqueantonio3377 Рік тому +1

    Amen

  • @ruu6592
    @ruu6592 2 роки тому +2

    Mashallah masai

  • @aishaayoub305
    @aishaayoub305 2 роки тому +1

    Shekhe mazinge Allah akujalie mwisho mwema walah unafanya kazi ya Allah kidhat nakupenda kwaajili ya Allah

  • @EffortEffort-c7r
    @EffortEffort-c7r 9 місяців тому +1

    Allah Akbar

  • @mohamedabubakar9852
    @mohamedabubakar9852 2 роки тому +3

    Mashallah Tabarakallah

  • @jumambweze2526
    @jumambweze2526 Рік тому +2

    Subhanallah

  • @isack6099
    @isack6099 2 роки тому +2

    Masha Allah, hapo ni kweli bila shaka dini ya haki ni uislamu...jazzakallahu kheir our brothers

  • @اللهأكبر-ذ7ث3س
    @اللهأكبر-ذ7ث3س 2 роки тому +11

    Katika watu ninaowapenda kuliko nafsi yangu ni watu waliosilimu

  • @zulficarbacarsuale6877
    @zulficarbacarsuale6877 2 роки тому +1

    MashaAllah

  • @irankundasaidi3929
    @irankundasaidi3929 2 роки тому +1

    Asalamu alaykum warahamatullah wabarakatuh tunashukuru sana kwa mawaidha mazuri

  • @abdulazizmohamed2805
    @abdulazizmohamed2805 2 роки тому +1

    Mazinge kafanya kazi ngumu Sana,

  • @اللهأكبر-ذ7ث3س
    @اللهأكبر-ذ7ث3س 2 роки тому +3

    In Sha Allah

  • @issahrashid6319
    @issahrashid6319 2 роки тому +1

    MaaShaaAllah Allah awape nguvu ktk Uislam

  • @FatmaFatma-xt7ui
    @FatmaFatma-xt7ui 2 роки тому +2

    Mashaallah

  • @fatmasaleh2707
    @fatmasaleh2707 2 роки тому +4

    mashaallah...masai kamitoa machozi

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 2 роки тому +3

    Masha Allah!!

  • @bonifacenyangori9770
    @bonifacenyangori9770 2 роки тому +1

    Takbir

  • @kaiali2872
    @kaiali2872 2 роки тому +2

    MASHAALLAH

  • @iddy7599
    @iddy7599 2 роки тому +1

    mzinge asipoend pepon mm herizang namuomba mungu achukue yy?

  • @mosiamri1274
    @mosiamri1274 2 роки тому +1

    Masha Allah

  • @saidommy998
    @saidommy998 2 роки тому +2

    Allah akbar

  • @Laizer3
    @Laizer3 5 місяців тому

    Maasai

  • @اللهأكبر-ذ7ث3س
    @اللهأكبر-ذ7ث3س 2 роки тому +2

    Subhanalla

  • @rashidimswagilo8292
    @rashidimswagilo8292 2 роки тому +2

    Naomba no ya Ustadh Mazinge

  • @maulidihamisi7349
    @maulidihamisi7349 2 роки тому +2

    Naomba namb ya mazingei inshallah

  • @rehemamgongwe300
    @rehemamgongwe300 2 роки тому +1

    Amina

  • @aishaomari944
    @aishaomari944 2 роки тому +1

    Subhanallah 😫😫😫😫😫😫😫

  • @kitoiartworks3876
    @kitoiartworks3876 2 роки тому +1

    Si unaona jinsi mazinge alivyo muongo mwanzo amemuita mchungaji lakini yeye anasema Hana dini, lakini pia analazimisha kuwafuatilia lugha lakini bado inamshinda
    Kweli sehemu ya waongo wote kwenye lile ziwa liwakalo moto na kiberiti, hakuna mmasai anaongea ivi poleni sana na mazinge wenu

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 2 роки тому +1

    Mazinge muongo sana, kasema huyu ni mkriso, kumbe alikua hana dini, ila siku moja mazinge atakua mkristo kwa jina la Yesu namuombea uhai tu.

  • @minkeymohaa6098
    @minkeymohaa6098 Рік тому +1

    wambie hao

  • @isayapaskal6496
    @isayapaskal6496 2 роки тому +1

    Mimi isaya paskali lohay dini ya kislaam naielewa sana

  • @jumasaid8721
    @jumasaid8721 2 роки тому +2

    Mazinge njoo katavi ,wilaya ya mpanda kata ya katumba

  • @harunashemsa1459
    @harunashemsa1459 2 роки тому +1

    Wallah aibu kwa cc waislam

  • @atwowa6380
    @atwowa6380 2 роки тому +1

    Amin

  • @lazaromollel2913
    @lazaromollel2913 Рік тому +1

    Masinge huyo sio Mmasai huyo ni msomali anazaliwa engaruka ni jirani yangu ni muislam hajawahi kua mchungaji jina lake abd na mdogo wake anaitwa bashiri 🤣🤣🤣🤣🤣ati Mmasai

  • @mohamedabdallah9918
    @mohamedabdallah9918 2 роки тому +1

    Mashaallah.

  • @officialkamdudu
    @officialkamdudu 2 роки тому +1

    subhanallah

  • @osiagpro6402
    @osiagpro6402 2 роки тому +1

    Mashaall

  • @faustinesamani6359
    @faustinesamani6359 2 роки тому +1

    Huyo siyo mmasai namfahamu ni msomali njaa kali hana lolote na mzinga wake.

  • @pandungozi1072
    @pandungozi1072 2 роки тому +1

    Takbiiirr

  • @mariamali1887
    @mariamali1887 2 роки тому +1

    SubuhanAllah 😭😭😭😭

  • @boscomaige4882
    @boscomaige4882 2 роки тому +1

    Koroan inathibitisha kua isa bin mariam atauhukumu ulimwengu afu unamkataa huyo unathan atahukumu vip ww kipofo unae ungoza vipofu muangalie ostaz amri alivyo badilishwa na yesu alikua zaid yako

  • @mathayopapiasi8872
    @mathayopapiasi8872 Рік тому +1

    Wewe ni muongo 100 miamoja eti rwanda kuna bibilia ya kihutu na ya kitusi

  • @kalingasinjore6443
    @kalingasinjore6443 Рік тому +1

    Acha ujinga wenu

  • @abdillahmbarak7418
    @abdillahmbarak7418 2 роки тому +2

    Mtu yeyote akizaliwa uwa ni muislam

  • @hassancharo1496
    @hassancharo1496 2 роки тому +1

    Hii ndo dawa walo ifanya MANABIII wA Allah

  • @lawijosephezekieli1078
    @lawijosephezekieli1078 2 роки тому +2

    Watu tunaitaji mafundi tumujuwe MUNGU dini bila upendo kz bule

  • @maulidihamisi7349
    @maulidihamisi7349 2 роки тому +2

    Naomba namba ya shekh mazinge tafathar

  • @ahmadbadawi9664
    @ahmadbadawi9664 2 роки тому +2

    Halafu Leo anajitokeza MTU mwingine kuiponda kazi ya kinamazinge,piga kazi shekh wengine wamekalia kuponda madh habu ya wenzao tu badala ya kuingiza watu ktk uislamu.

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 2 роки тому +1

      Wanaomponda ni wale wanafiki Tu na chuki binafsi!!

  • @andreanicholaus1696
    @andreanicholaus1696 2 роки тому +1

    Masai umepelekwa katika dini ya mtu sio ya Mungu kumbe umekutana na mazinge kaliakoo huyo mazinge nimuongo anapindisha maandiko ya biblia tunamjua anawasilimisha kwauwongo watu wasio soma anawapeleka katika sinagogi la shetani ufunuo tazama nakupa hao wasinagogi lashetani kwahiyo ndugu yangu Masai ludi kanisani mwamini yesu ndie njia yakweri na uzima

    • @fhyubhhh2881
      @fhyubhhh2881 2 роки тому

      Pole sana!! kabla haujatukana dini zingine kasome dini yko kwanza ukishaijua hlf utakua na heshima hautajisemea ovyo!!

    • @andreanicholaus1696
      @andreanicholaus1696 2 роки тому

      @@fhyubhhh2881 umepagawa ndugu naukafiri ni some dini gani

    • @zubedarichard2311
      @zubedarichard2311 Рік тому

      Yesu wenu alitahiriwa Jmn sasa mungu ganii.

  • @emmanuelkipkemoi1985
    @emmanuelkipkemoi1985 2 роки тому +3

    Mashekhe wafuge ndefu jamani

    • @donedaddy4561
      @donedaddy4561 2 роки тому

      C farafhi mzee ni sunna kwahiyo kaa kwa kutulia Kwan yesu alioa mbona ninyi mwaoana tu ni mafunzo ya nani mwafuata

    • @ahmadbadawi9664
      @ahmadbadawi9664 2 роки тому

      @@donedaddy4561 kuna khilafu shekh,wengine wanasema ni lazima kufuga ndevu na ukinyoa ni ktk madhambi makubwa.

  • @abdillahmbarak7418
    @abdillahmbarak7418 2 роки тому +2

    Masai unaongea makosa hakuna mtu alie zaliwa nje ya uislam ila uwa mwapotea kisha ndo mnarudi

    • @ahmadbadawi9664
      @ahmadbadawi9664 2 роки тому

      Bado yupo darasani shekh,ndo maana ameslimu,ataelewa pole pole

    • @harunashemsa1459
      @harunashemsa1459 2 роки тому +1

      Dini haitaki jazba kuna kabila lilisilim wakati wa mtume haliyakua wanavaa ngozi tena nusu uchi mtume hakuwakemea bali walitaftiwa mwalim jitahid muwe na semina za kulingania hekima ni kila kitu katika daa3wa

  • @nathanichemelako7983
    @nathanichemelako7983 2 роки тому +1

    Kuleni sadaka za watu lakini hamna lolote si mashehe si wachungaji ninyi mnaacha kukemea watu waache Zambi nyie mmengangania dini dini dini ya haki ni kutenda mema

    • @sudaissaid8428
      @sudaissaid8428 2 роки тому

      huelewi kitu wewe tulia..waongea pumba2

  • @nalingarowl7048
    @nalingarowl7048 2 роки тому +1

    Kaibomoe Vatican.wamasai hawana historia katika Imani za dini.Kiyama atakaerudi ni Yesu.
    Mwili ni WA kidunia.ya Dunia Yana nguvu kuliko ya imani.imani ni kitu Cha kufikirika.acha watu wapende soka.

  • @mahmoudjuma3825
    @mahmoudjuma3825 2 роки тому +5

    MashaAllah

  • @amirymsabaha5452
    @amirymsabaha5452 2 роки тому +3

    Mashallaah

  • @amoury1481
    @amoury1481 2 роки тому +1

    Mashallah

  • @اللهأكبر-ذ7ث3س
    @اللهأكبر-ذ7ث3س 2 роки тому +1

    Mashallah

  • @mariamsudi2209
    @mariamsudi2209 2 роки тому +1

    Mashallah

  • @adammanyendi7577
    @adammanyendi7577 2 роки тому +1

    Mashaallah

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 2 роки тому +1

    Mashaallah

  • @mbarakaliyonjo6665
    @mbarakaliyonjo6665 2 роки тому +1

    Mashallah