Nishawahi kufanya kazi na watu km hao na mpk kunidharau,nikipatwa na madhaifu kwao ni furaha na mpk mwisho kunitilia fitna kwa engineer but kubwa nilieka mungu mbele na kumuomba yy tu kwani yy ndie kila kitu.mwishoe wao walishindwa na kazi na wakaacha kazi .
Kaka joel asnt sana , kwakunifafanulia Mungu akuzidishie baraka kiukweli mm nko kwenye utumwa na mambo yote uliyotaja hapo yote na pitia kwakweli nimefurugiwa maisha , kutenganishwa na ndg cna kazi na tayari na family kilichobaki naomba hdi na mpiga magti lkn bdo .... Ineed you advice my brother
Nimeanza kusikikiza SAA tatu na dakika ishirini Leo 14.4.2023 nikiwa kibaha pwani.nimejifunza njia za kukandamiza 1. Kukushusha hadhi 2. Kukufanya kuwategemezi 3. Kutenga na watu watakao weza kukupa msaada 4. Kukutangazia mmadhaifu yako AAU kukumbusha madhaifu yako
Ahsante neno lako ni tiba ndani ya maisha yetu utumwa uwezi kuisha katka maisha yetu kikubwa ni kumjua yule anaetaka akuone Kama ni mtumwa kwake then utajua jinsi gani unaishi nae na kujiamini unaweza🇹🇿🙏.
Brother hauna hata kauri ambayo sio funzo kwangu!! Binafsi naijiona kabisa nimebadilika kupitia mafunzo yako, sijawahi nunua kitabu chako ila sina clip yako niliyoikosa au kuitizama na nisijifinze kitu! Mungu akubariki saaaana! Nitanunua vtabu vyako vitatu(3) kama mchango na kuthamini kazi yako... Maana wewe ni mwalimu nzuri kwangu.. See you at the top!
Upoutumwa tusipojichugha,kwawapezi tunaowapendha,kwakazi ,tunaofanyanao kazi,walewenyewako na pesa huwatumia sana wenyehawana ilikujifaidi waowenyewe.tujiombee sana kufahamu tusijikute kwenyeutumwa ukionaunatumika basijifunze kuhepuka sa nakwaharaka
Kaka Joel aise,,mm nimeajiliwa lakini rohoo yangu imeichoka Sana hyo kazi pia naona Kama naibaka hyo kazi level ya kimaisha yangu,Elimu yangu haviendani kabisa,Sasa natokaje hapa Kaka naomba msaada
Je Kuna watu wanastahili kuwa watumwa sababu wengine wkijitawala wanaharibu japo umejalibu kuwafundisha namna ya kujitawala Sana Sana mke inaonyesha wasipoishi bila kuwa kutawaliliwa na kuwa watumwa Huwa na kiburi na kijiamulia mwisho wa siku ndoa hakuna.
Habari mwalim mimi izo aina za utumwa ulizo zizungumzia ni tabia ambazo anazo baba mzazi kupenda kuniambia maneno ya kunimatosha tamaa kunivunja moyo nilikua naomba mbinu za kukabiliana na aina iyo ya utumwa
Kaka Joel Mimi binafsi nipo kwenye utumwa wa kazi.asante kwa kunifumbua hapo ninafanya kazi ambayo silipwi mshahara na ninaambiwa nitafunguliwa duka Ila mpaka Sasa huu ni mwaka wa nne sioni matumaini ya kufunguliwa duka nifanyaje ili niwese kutoka hapa? maana naumia sana
Mr joel shikamoo Smaan nni naweza fany au ni hatua zipi zilizo sahihi endepo niko na mtu wa namna hy??pasipo kuwepo tofaut kati yetu yan kutatua tatizo hilo hususani kwa yule aliye chini mfano muajiliwa..
Je tufanye nn tukikutana na hawa watu coz binafsi nishakutana nae japo njia pekee najitahidi kujiepukana nae na akiongea sijibu hio inafanya anione kuna mtu namtegemea yupo nyuma yangu na nna kiburi,je nitakua nakosea kuwa hivi?
Yah..it makes Sense
Nishawahi kufanya kazi na watu km hao na mpk kunidharau,nikipatwa na madhaifu kwao ni furaha na mpk mwisho kunitilia fitna kwa engineer but kubwa nilieka mungu mbele na kumuomba yy tu kwani yy ndie kila kitu.mwishoe wao walishindwa na kazi na wakaacha kazi .
Kaka joel asnt sana , kwakunifafanulia Mungu akuzidishie baraka kiukweli mm nko kwenye utumwa na mambo yote uliyotaja hapo yote na pitia kwakweli nimefurugiwa maisha , kutenganishwa na ndg cna kazi na tayari na family kilichobaki naomba hdi na mpiga magti lkn bdo .... Ineed you advice my brother
Yatakuwa sawa kaka Mimi nilipitia huko Nanauka is my best menter medicine wamufawote.
I say ni ukwel Mtupu teacher.... Asante Kwa kutupa muongozo wa MAISHA
Hili somo zuri sana barikiwa
Nimeanza kusikikiza SAA tatu na dakika ishirini Leo 14.4.2023 nikiwa kibaha pwani.nimejifunza njia za kukandamiza
1. Kukushusha hadhi
2. Kukufanya kuwategemezi
3. Kutenga na watu watakao weza kukupa msaada
4. Kukutangazia mmadhaifu yako AAU kukumbusha madhaifu yako
Jinga Moja hivi lilikua limenigeuza msukule hai wooooii nimepona Kwa neno lako
Mie ndio yalionikuta nlifikia hali hiyo kupoteza hali ya kujiamini lakini kwa kukufatilia wewe brother jooel umenisaidia sana. Mungu akubarik.
Ndugu zangu kabisaaa wa wa damu wana mambo haya, na hawaniwezi kwa jina la Yesu
Ahsante neno lako ni tiba ndani ya maisha yetu utumwa uwezi kuisha katka maisha yetu kikubwa ni kumjua yule anaetaka akuone Kama ni mtumwa kwake then utajua jinsi gani unaishi nae na kujiamini unaweza🇹🇿🙏.
#SeeYouAtTheTop
Leo umeniongelea mimi kabisa Ahsante saaana ...yaaani Hadi nimepiga Makofi utadhani waniona ..Mungu akutunze Sana kaka joel ...see you at the top
Somo zuri la kujitambua
Wapo sana ila ni maalifa TU yananifanya niwe huru kwenye maisha yangu
Mimi nilishakutana na kukandamizwa baada ya kumwambia mtu siri yangu,sitakubali tena kuwa mtumwa,Ee Mungu nisaidie.
Brother hauna hata kauri ambayo sio funzo kwangu!! Binafsi naijiona kabisa nimebadilika kupitia mafunzo yako, sijawahi nunua kitabu chako ila sina clip yako niliyoikosa au kuitizama na nisijifinze kitu! Mungu akubariki saaaana! Nitanunua vtabu vyako vitatu(3) kama mchango na kuthamini kazi yako... Maana wewe ni mwalimu nzuri kwangu.. See you at the top!
Shukrani mshauri.
Nakupenda bure.Nataka niwe makini kama unavyofundisha
Yaani kaka Joel wewe ni kichwa aisee ni mulemule jamaa yangu
ASANTE SANA KAKA JOEL, MUNGU AKUBARIKI SANA KWA MAFUNDISHO YAKO, TANGU NILIPOANZA KUKUFUATILIA UMENI BADILISHA SANA NASHUKURU SANA.
Huyu ni mimi kabisa lakn nimegundua mapema.
Kwamaneno anayopenda kuniambia mimi ndio hayo yote ulieyazungumza mr joel😢😢
Upoutumwa tusipojichugha,kwawapezi tunaowapendha,kwakazi ,tunaofanyanao kazi,walewenyewako na pesa huwatumia sana wenyehawana ilikujifaidi waowenyewe.tujiombee sana kufahamu tusijikute kwenyeutumwa ukionaunatumika basijifunze kuhepuka sa nakwaharaka
Hallo .mimi niliptiya. Hayo yote. But roho mtakatifu. Akanifunguliya..hukweli..sasa. niko sawa..i m doing good. Na niko happy sana
Kaka Mungu anakutumia sana hata kwangu nakuombea sana
Kaka Joel aise,,mm nimeajiliwa lakini rohoo yangu imeichoka Sana hyo kazi pia naona Kama naibaka hyo kazi level ya kimaisha yangu,Elimu yangu haviendani kabisa,Sasa natokaje hapa Kaka naomba msaada
Mungu aendelee kukutunza
Kka Joel thx vry much niliwai kuushi na watu wanamna hizo isingekuwa vedeo zako ningeumwaga mental health kiukweli Mungu akuzidishie umri wa maisha
Amen
Ni kweli mi imenitokea mtu kusema mabaya yangu baada ya kuona nataka kujitegemea nimwache.
This is exactly what I am talking about... you're absolutely right thank you..🙏🙏
Najifunzaa sana
Je Kuna watu wanastahili kuwa watumwa sababu wengine wkijitawala wanaharibu japo umejalibu kuwafundisha namna ya kujitawala Sana Sana mke inaonyesha wasipoishi bila kuwa kutawaliliwa na kuwa watumwa Huwa na kiburi na kijiamulia mwisho wa siku ndoa hakuna.
Habari mwalim mimi izo aina za utumwa ulizo zizungumzia ni tabia ambazo anazo baba mzazi kupenda kuniambia maneno ya kunimatosha tamaa kunivunja moyo nilikua naomba mbinu za kukabiliana na aina iyo ya utumwa
You rock,bravo.
Kweli Kaka tupo nao Hawa jamaa moja wapo boss wangu
Ahsante brother
Asante kwa somo makini,Barikiwa sana Joel
Ni vigumu sana utumwa kukoma sababu hali duni ndo inayosababisha hivo ni kuwa makini na kuchukua tafadhali Ili kujiondoa kwenye utumwa
Maneno ya faida sana kwanga.Asante Nanauka.
Asantee sana kaka maneno yako ni tiba tosha
Asante brother ndo tunajua utumwa huu! .ubarikiwe.
Ahsante sana najihisi kupata amani
Ubarikie sana kaka yetu
Ahsante kwa Elim hii Ubarikiwe sana 🙏
Asante Sana🙏🙏🙏
Nikweli Kabisahiyo ilishawahi
Kunitoke Katika Maisha Yangu.
Wapo sana tu.
Somo zuri
Balikiwa sana Mtumishi wa MUNGU
Kiongozi hii inanihusu mimi!! Imenikuta mpaka ndigu zangu wako mbali, unawatafuta ...
Na kila unoona tatizo lako ndo hapo unaonekana na matatizo
Nakupenda sana Kaka Mungu akubariki
Thanks Teacher
Kweli Mkuu
Somo la nguvu sana asantee
Ubarikiwe ndugu
#JoelNanauka Jenius By Discovery
Napitia Hiyo Hali kwa Sas utumwa wa mapenzi kupitia hii video naamin haitakua hivo tena 🙏God bless you
Usuruhusu hiyo hali ina madhara sana baadayee kuanzia afya na maendeleo yako.
@@eliamartine4720 Ahsante sana
Doctor wa maisha Yangu 💕
Najifunza
Nimepitia mimi jamani
Wonderful topic🔥🔥🔥🔥
Thanks for watching
Wise man
Asante.
Fact
Utumwa bado upo ila umeboreshwa
Kaka Joel Mimi binafsi nipo kwenye utumwa wa kazi.asante kwa kunifumbua hapo ninafanya kazi ambayo silipwi mshahara na ninaambiwa nitafunguliwa duka Ila mpaka Sasa huu ni mwaka wa nne sioni matumaini ya kufunguliwa duka nifanyaje ili niwese kutoka hapa? maana naumia sana
Kha! Una umri gani! 😳
Waiting
Mr joel shikamoo
Smaan nni naweza fany au ni hatua zipi zilizo sahihi endepo niko na mtu wa namna hy??pasipo kuwepo tofaut kati yetu yan kutatua tatizo hilo hususani kwa yule aliye chini mfano muajiliwa..
Je tufanye nn tukikutana na hawa watu coz binafsi nishakutana nae japo njia pekee najitahidi kujiepukana nae na akiongea sijibu hio inafanya anione kuna mtu namtegemea yupo nyuma yangu na nna kiburi,je nitakua nakosea kuwa hivi?
Asante sana
Shukrani 📚
Good job👍👍👍
Thank you so much
Asante kea somo lako kaka joel najifunza mengi kupitia masomo yako
Kweli kabisa
❤
Mm naomba namba yako nahitaj ushaur wako Zaid please 😢
Sielewi hata niseme nini
Kiukweri umekua mshauri mzuri kila nikfatilia klip zako unanifanya nishaulike na maneno yako
🎉🎉🎉✍️✍️✍️🙏🇨🇩
Tufanyaje ili kujiondoa na hawa watu kaka
🙏📝🔥
Wazee wangu wamenikataza marafiki zangu kuja home na Sasa naona dalili za kupelekeshwa 🥺
😂😂😂😂!!!
Ubarikiwe kaka
Asante sana