BREAKING: HOFU YATANDA, HATARI YA NYUKLIA VITA YA URUSI NA UKRAINE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Check more here: bit.ly/3yrpH70
    If you find any error in material provided please take a minute to tell us about it. We will resolve it at the earliest.
    COPYRIGHT VIOLATION
    For Copyright Issues: We try our best to verify the ownership of content with the contributor. If you think your material is wrongly used, or if its a violation of copyright.

КОМЕНТАРІ • 54

  • @amanmalima940
    @amanmalima940 24 дні тому +3

    Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).

    • @athumanshaban
      @athumanshaban 24 дні тому +1

      umuamini Yesu wapi walituletea hizo dini ndio washenzi hawamuamini kazi yao kuuwana tu wewe ulioletewa hizo dini kwa njia ya wizi na mateso makali eti ndio mjuaji unajifanya unamjua sana

    • @SokratesStallin
      @SokratesStallin 24 дні тому

      Yesu mwenyewe hajawahi kuwepo hizoni adisiza wakoloni mungu hayupo kama yupo kwanini asi malize vita congo palestina au yye anaona raha kujificha huko mawinguni hayopo

  • @paschalfausitine7108
    @paschalfausitine7108 25 днів тому +1

    Asante. 24. Nakubar. Kiongozi

  • @PHILIPOYusufu-fe9dr
    @PHILIPOYusufu-fe9dr 24 дні тому

    Asante sana

  • @salehkhamiss2449
    @salehkhamiss2449 24 дні тому +1

    Wee tokea unambie urus imeua waukrine wote kursk kumbe uongo,sitokuja kukuamini tenaa...

  • @BilioneaIbrahim-jt1ou
    @BilioneaIbrahim-jt1ou 23 дні тому

    Yeye sio mungu mafuta dhahabu ziko sehemu nyingi duniani

  • @kafwimbimilambo8556
    @kafwimbimilambo8556 24 дні тому

    Kweli kabisa uyu nimtangazaji born

  • @RosemaryMwaipopo-qd4vw
    @RosemaryMwaipopo-qd4vw 25 днів тому +1

    Ila ndugu mtangazaji wa habari 24 unajua kutoka talifa kaka unachambua na upendelei upande inabid nikuletee jogoo

  • @HamzaMbasha-xs2ky
    @HamzaMbasha-xs2ky 25 днів тому +5

    Ni vita vya
    NATO na RUSIA
    Sio vita vya ukraine na Rusia

    • @user-rq8zq1mf7u
      @user-rq8zq1mf7u 25 днів тому

      Intelejens yako umesomea wapi

    • @HamzaMbasha-xs2ky
      @HamzaMbasha-xs2ky 25 днів тому

      @@user-rq8zq1mf7u hta mtoto mdogo si anajua hilo mzee misaada yote ya ukraine inatoka NATO

  • @iddyramathan4507
    @iddyramathan4507 24 дні тому

    Urusi rushedni nuclear Ili mtengeneze silaha mgundue kitu kipya

  • @user-yp9el7xp8g
    @user-yp9el7xp8g 25 днів тому +2

    Nimesabcribe ju uchelewi kutupea habari

  • @BilioneaIbrahim-jt1ou
    @BilioneaIbrahim-jt1ou 23 дні тому

    Mwacheni atumie nyuklia huyo mzee wenu putin kachanganyikiwa

  • @user-qb3kn6iw1m
    @user-qb3kn6iw1m 25 днів тому +1

    Nyinyi wajinga hakuna vita vya Ukraine,ni vita vya NATO na urusi.acheni vua inyeshe uone panapo vuja.

  • @eliamk1512
    @eliamk1512 24 дні тому

    Wewe mtangazaji hivi ukoroni utakutoka hakirini lini.

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 25 днів тому

    Afanye aone

  • @user-pd5hl9di2q
    @user-pd5hl9di2q 24 дні тому

    Ukraine wakishambulia vinu vya nyuklia waache magharibi wanaompa silaha si ndiyo waoga wa nyuklia, putini akikiwasha nyuklia watateseka ukraine na USA yao na ulaya si waogo wa mionzi

  • @djmaxbeatztz
    @djmaxbeatztz 24 дні тому

    Nato wote wananyuklia, Russia nae alikuwa mmoja wao akawasalit ndo maana wanataka kumshusha kiuchumi

  • @BilioneaIbrahim-jt1ou
    @BilioneaIbrahim-jt1ou 23 дні тому

    Putin anataka atawale dunia na yeye anasapot ugaidi ,mfano Zanzibar akitaka kujitenga na bara tutamlazimisha asijitenge amwache Ukraine afanye anachotaka

  • @mapundawilliam370
    @mapundawilliam370 25 днів тому +1

    Urusi alijifanya anaweza Sasa inakula kwake. Kaanza kulia kama wezake Hamasi😅😅😅 keep it up Ukraine

    • @user-tq7ss2yx3i
      @user-tq7ss2yx3i 25 днів тому +1

      Akili huna wewe

    • @peterchula1990
      @peterchula1990 25 днів тому +1

      Hujui chochote hujiulizi kwa nn nato imeanzishwa kwa kuiogopa urusi

    • @SADICKITHOMAS
      @SADICKITHOMAS 25 днів тому +1

      Russia akili nyng

    • @nizarrama225
      @nizarrama225 25 днів тому +1

      huna tofauti na jiwe hapa duniani wee kenge, unafananisha Urusi na uchafu NATO, Urusi ilikuwepo kabla na NATO na Urusi ndiyo nchi ya kwanza kurusha chombo mwezini, unafikiri Marekani kwanini aliianzisha NATO na washirika wake wa Ulaya! Urusi siyo Yugoslavia kama NATO walivyoivamia

    • @festohaule9716
      @festohaule9716 24 дні тому

      Respect for you.. akili nyingi..unajua!!!!​@@nizarrama225

  • @TeddyDickson-w5p
    @TeddyDickson-w5p 24 дні тому

    Putin ni ahadi alitoa tangu mwanzo ndio maana vikosi vya nuclear aliviweka stand by

  • @matikowambura7657
    @matikowambura7657 25 днів тому +2

    Putini alijiona kama mbabe sasa

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 25 днів тому

      Alafe huyo anaemwaga damu zawatoto na wanawake dunia nzima, mbwaa hunaunacho kijua watu hawana amani kisa mabwana zako 😂😂😂😂😂

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 25 днів тому

      ​@@uwimana6533utamaliza maneno yote na matusi lakimi kichapo lazima kiendelee😂😂

    • @YesuKristu-y5w
      @YesuKristu-y5w 25 днів тому

      @@matikowambura7657 yote ndio mapito vita haina budi kuako huo ndio mwanzo wa utungu,lakini vita sio parapanda au baragumu,Mwisho utakuja usiojua wababe wala nyukilia,tena imetajwa kwa sauti ya upole,na kujibu hoja zake ni kwa sauti tulivu

    • @YesuKristu-y5w
      @YesuKristu-y5w 25 днів тому

      @@matikowambura7657 vita haina budi kuwapo lakini sio mwisho wa dunia huo umetajwa ni mwanzo wa utungu taifa kupigana na taifa,na hata kupigwa israili imetajwa lakini yesu adumu na injili ya milele itasomwa kama alivyosimulia yohana,hivyo msitishwe na vita bali hukumu ya mungu sababu yeye ataua na roho pia sio mwili tu kama ilivyo sasa

    • @matikowambura7657
      @matikowambura7657 24 дні тому

      @@uwimana6533 kuma ww unafirwa

  • @kendwahamisi4903
    @kendwahamisi4903 25 днів тому +1

    Urusi lazima apige nyuklia ( uranium) save hii comment

    • @YustoMlay-cv4zb
      @YustoMlay-cv4zb 25 днів тому +1

      Ivi Ukraine Hana nuclear weapons?

    • @magigesabai8674
      @magigesabai8674 25 днів тому

      Ukraine uzuri nae ana Nuclear weapons maisha ni kuchagua

    • @user-it7ih1it3m
      @user-it7ih1it3m 25 днів тому

      ​@@magigesabai8674 ukraine hana nuclear maana ilikuwa ni sehemu ya soviet na ilipojitenga hawakuluhusiwa kuwa na mabomu ya atomic hata hvyo usiwe mvivu wa kuifuatilia urusi ana mabomu makubwa mno yaani ukraine inapigwa na bomu moja tu wala si mawili sema changamoto ni kwamba wao ni majiran ukraine ikipigwa ile sumu ya mabomu inasambaa hadi urusi

    • @magigesabai8674
      @magigesabai8674 25 днів тому

      @@user-it7ih1it3m Ukraine ina Nuclear weapons ndo maana Urusi ilikuwa inarenga hicho kinu cha Nuclear
      alaf utambue mbinu za kivita ni siri ya Nchi
      Urusi hakutegemea kama hii vita itachukua muda mrefu alijua anaenda kupga na kutangaza utawala kitu ambacha hamani anachokiona

  • @RosemaryMwaipopo-qd4vw
    @RosemaryMwaipopo-qd4vw 25 днів тому +1

    Ukren mnatafuta kisichotafutwa Putin baba nasubir kauriako tu Ila nashauli piga moja tu waone baba

    • @habari-24
      @habari-24  25 днів тому

      🎉🎉🙏🙏🙏 Ahsante Marry kwa appreciation

    • @magigesabai8674
      @magigesabai8674 25 днів тому

      Akipiga hatabaki salama
      ujue Ukraine nayo ina Nuclear weapons akipiga na wao wanapiga maisha ni kuchagua

    • @ibrahimabdullah1887
      @ibrahimabdullah1887 24 дні тому

      Muongo hana landa nato​@@magigesabai8674

    • @kitaaofficial4119
      @kitaaofficial4119 24 дні тому

      ​@@magigesabai8674Nuclear ya kupewa ni tofauti na ya kutengeza mwenyewee😅😂😂 ila Nyuklia zikitumiwa mpka wewe apo unaweza kupata athari😪😪

    • @user-yw3qh6qj8g
      @user-yw3qh6qj8g 24 дні тому

      Akipiga nae atapigwa usisahau

  • @user-bf9xj3nf1o
    @user-bf9xj3nf1o 24 дні тому

    Akitumia nuclear nato itamuazibu

  • @benjagabril9994
    @benjagabril9994 24 дні тому

    Oya boy kojoa ukalale wakubwa wanauwana uko mbele

  • @godfreypaul251
    @godfreypaul251 25 днів тому

    Hana lolote anatishia nyuklia nyuklia si apige

  • @YesuKristu-y5w
    @YesuKristu-y5w 25 днів тому

    Kazidiwa putin mpk anatishia nyuklia nato wa hovyo

    • @YohanaMasebo
      @YohanaMasebo 25 днів тому

      Kichwa kikubwa akili ziro

    • @zahorhemed1045
      @zahorhemed1045 25 днів тому

      Ushoga umekuzid sio putin

    • @festohaule9716
      @festohaule9716 24 дні тому

      Russia kazidiwaje wakati kinu hicho Cha Ukreni na alikiteka Russia .. Ukreni waneshindwa kukomboa ila wanataka kusababisha ajali ya Nyuklia..