Hongera Sana Mama na seriali kwa ujumla 🇹🇿🇹🇿🇹🇿. Hii ndio tulisubiri kwa muda mrefu. Dah! Heko Sana. Kujengwa Dodoma n vizuri maana ndio center ya Tanzania. Ni mapinduzi makubwa Sana kwa nchi yetu. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kumbuka Chuo kikisha kuwa na mitaala mingi, focus inapungua. Itakuwa ni vyema kuwa na Chuo specifically kuangazia mambo ya technology. It makes a lot of sense.
Also employ qualified staff/Lecturers to run it once completed. To impart world class knowledge to the youth requires highly skilled teachers who can instill great deal of knowledge to the students.
Hongera Sana Mama na seriali kwa ujumla 🇹🇿🇹🇿🇹🇿. Hii ndio tulisubiri kwa muda mrefu. Dah! Heko Sana.
Kujengwa Dodoma n vizuri maana ndio center ya Tanzania. Ni mapinduzi makubwa Sana kwa nchi yetu. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Wakorea wakijenga hiko chuo, chukueni na mtaala wao. Vinginevyo mambo yatakuwa yaleyale.
Eeeee! Bila kuchukua mitaala yao tutabaki na majengo tuu
Jeshi wasome sana,,na ikipendeza jwtz wakusimamie kwa ubia kwa siku hizi vita ni sayansi na teknolojia ya hali ya juu
Wooooow....superb
Hii safiii sanaaaaa
MUNGU ibariki Tanzania wabariki viongozi Wake wakiongozwa na mama Samina ....... Hakika kazi yake tunaiona ...... kazi iendelee
MashaAllah!!!
ningeshauri kiendelezwe chuo cha udom badala ya kujenga vyuo vipya, kile chuo bado kinanafas kubwa tuuu na kinawexa kupanuliwa AHSANTE
wacha vyuo viwe vingi, UDOM bado ina nafasi ila mji wa Dodoma una nafasi zaidi, acha wajenge kwengineko
Kumbuka Chuo kikisha kuwa na mitaala mingi, focus inapungua. Itakuwa ni vyema kuwa na Chuo specifically kuangazia mambo ya technology. It makes a lot of sense.
Ahsante kua kazi nzuri unayofanya ❤🎉🎉❤
ONGERA TANZANIA , KIMYA KIMYA NA MAMA TUNASOMGA
MashaAllah!!!
If Tz taught and fraternity convo was in english kenyans would flock
Also employ qualified staff/Lecturers to run it once completed. To impart world class knowledge to the youth requires highly skilled teachers who can instill great deal of knowledge to the students.
❤❤🇹🇿🇹🇿🤟
Hivi kama tenda hazitapewa wazawa hivi vyuo vya nini? Wazawa wapendelewe katika kandarasi ili kujenga uwezo
Wa/ya kidigitali× wa/ya kidujiti
KILA KITU DODOMA NA DAR, TUMECHOKA
Ndio kwenye wajanja!
Sasa unataka kijengwe wapi sema tuhamishe dodoma ni makao makuu kumbuka
unataka kijengwe wapi?
Chato au Kizimkazi????
Kwamba Nchii ni Dodoma peke yk?
Dodoma is the Capital City of Tz. Hilo lazima liheshimiwe mzee
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🫡